KISUGU AGEUKA MBOGO SIMBA KUONGOZA LIGI | WAO WANAGUSA ACHIA WABAKI NAFASI YA PILI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 12

  • @amonmedical
    @amonmedical 3 дня назад +3

    Gusa achia mbaki nafasi ya pili
    Huo ndo Ubaya Ubwela

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 3 дня назад +3

    Ila kisugu anajua mpira tuachini unafik

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 3 дня назад +2

    Ubaya ubwela kama wote tmekubali

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma 4 дня назад +3

    Tunatengeneza timu 😏😏

  • @KhadijaOmari-ec2jw
    @KhadijaOmari-ec2jw 3 дня назад

    Kisugu namkubali sana

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 3 дня назад

    Takukuru hakuna Tanzania mama Samia futahii taasisi.

  • @KhadijaOmari-ec2jw
    @KhadijaOmari-ec2jw 3 дня назад

    Kwali hasa mimi niamini kabisa singida tunafungwa

  • @MohamediOmari-nz4vv
    @MohamediOmari-nz4vv День назад

    Wakina mchome wanajifanya simba kumbe utopolo

  • @bakanga1410
    @bakanga1410 3 дня назад

    kisugu elewa kuwa tumepania kuzoa point 3 kila mechi ww unasemaje hatukuzani kama ttutafungwa na singida..acha ujinga

  • @bakanga1410
    @bakanga1410 3 дня назад

    tafuta jinsi ya kusifia mtu

  • @LimikiMnyama-w1b
    @LimikiMnyama-w1b 4 дня назад +2

    Huyu nae mpiga Kelele siasa na mpira anachanganya