FADHILA ZA KUMSWALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • #SheikhWalidAlhad #Darsa #Quraan
    #Mawaidha #Daawa #Muslim
    #IslamicDeen #Tanbeeh

Комментарии • 129

  • @MariamuMariamu-y5o
    @MariamuMariamu-y5o Год назад +28

    Shekhe mm huwa napenda sana kumswalia mtume usiku wa juzi nimeota kunamtu anasema nishikamane na waya wa mtume muhammad nikastuka na hapo zamani nilimuota mtume

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 6 месяцев назад

      Muongo. Msukuma na mtume wap n wap

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 6 месяцев назад +2

      UKIMUOTA MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM UMEMUOTA KWELI SHETANI HAWEZI KUKUJIA NDOTONI KWA KUJIFANANISHA NA MTUME
      NDOTO ZAKO MASHALAH NI NZURI TUJITAHIDI KUMDHIKIR ALLAH NA KUMSWALIA MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 6 месяцев назад

      @@salumhassanallymkurdistan7006 acheni kujidanganya. Kafanana na nani

    • @suditamim9213
      @suditamim9213 5 месяцев назад

      Ōp00l my ko moo​@@twalibulomy-cd4zd

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 месяца назад

      ​@@twalibulomy-cd4zdMmm makubwa

  • @abdullahyanga9552
    @abdullahyanga9552 2 года назад +23

    Mashallah shee mkumbuke sana (Baba yako) kwajitiada zake mpaka Leo uko apo wallahi nakuonea wivu ktk heri Allah akusimamie ktk kila la heri amina

  • @brownlivapping5149
    @brownlivapping5149 4 месяца назад +2

    اللهم صلي وسلم على نبينا محمد ❤️

  • @mwaminianasi
    @mwaminianasi 9 месяцев назад +4

    Allahumma swalîĩ āala Muhammad ya Rabb swalîĩ alaihi wa Salim❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰❣️

  • @KHADIJANGANZO
    @KHADIJANGANZO Месяц назад

    Asalaam aleykum warahmaturllah wabarkatuh shekh wangu, nakupenda sana kwa ajili Mwenyezi Mungu wetu. Yaah Allah akujaalie umri mrefu wenye afya njema na mafanikio makubwa katika kutupa Elimu Akhera kipenzi chetu. Inshaa Allah.

  • @MuhdharMohamed-j3h
    @MuhdharMohamed-j3h 2 месяца назад

    Shukran sana Sheikh WALID ALLAH AKUPE UMRI MREFU NA MAISHA MAZURI HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA HATA MTUMI MUHAMMAD SAW ALIPINGWA SHUKRAN SANA SHEIKH WETU

  • @mudyfashion5708
    @mudyfashion5708 9 месяцев назад +16

    ALLAHUMMA SWALI ALAA SAYYIDINA MUHAMMADI SWALATAN TUKHRIJUNII BIHA MIN DHULUMATIL WAHMI WATUKRIMUNII BINUURIL FAHMI WATWUDHWIH LII MAA ASHKALA HATTAYUFHAMA INNAKATA’LAM WALAA’LAM WAANTA A’LLAMUL UYUB

  • @HadiyaMuhammed-tt2xs
    @HadiyaMuhammed-tt2xs 5 месяцев назад +1

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 Год назад +2

    Kumswalia bwana mtume na dhikri nyengine inshaa Allah Amiin.

  • @fatmaamir7767
    @fatmaamir7767 3 года назад +20

    اللهم صلِّ على سيدنا محمد صلاة تخرجني يالله بها من ظلمات الوهم، وتكرمني بنور الفهم، وتوضح لي ما أشكل حتي يفهم، انك انت الأ علم ولا اعلم، انك علاَّم الغيوب، وعلى آله وصحبه وسلم.

  • @SalehOthman-e7q
    @SalehOthman-e7q 6 месяцев назад +1

    Duwa njema kwa nyinyi mnao tokumbuksha mema Allah amulipe.kheir,,by kher Ali kangagani pemba

  • @khadijaHatungimana
    @khadijaHatungimana Год назад +3

    Assalam alaikum wr wb, tunaomba mtuandikiye iyo salat ya mtume SAW . Kwa herusu za kizungu in shaa Allah

    • @OthmanKibula
      @OthmanKibula 7 месяцев назад +1

      ALLAAHUMMA SWALLI 'ALAA MUHAMMAD WA AALI MUHAMMAD.

  • @harunichambo4658
    @harunichambo4658 10 месяцев назад +3

    Swalluh ala nabiyy🤲

  • @malikamalik6074
    @malikamalik6074 2 года назад +3

    Allah akuhifadhi sheykh akuongezee ilm

  • @NadiaSaid-si8ck
    @NadiaSaid-si8ck 3 месяца назад

    Mola akuweke Akupe.maisha marefu yenyeAfya Shekh Aminaaa

  • @amyboyfighter7281
    @amyboyfighter7281 2 месяца назад

    Shukrani 🙏 shee wetu Allah akusimamie

  • @NadiaSaid-si8ck
    @NadiaSaid-si8ck 3 месяца назад

    Aminaaa

  • @ummusalim1991
    @ummusalim1991 Год назад +5

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم ❤

  • @OmariShekhe
    @OmariShekhe 10 месяцев назад

    Sheikh naomba unisaidie kitu ishaallah

  • @alafasyquran9806
    @alafasyquran9806 Год назад +5

    اللهم صلّ على سيدنا محمّد وعلى آله صلاة تخرجنا بها من ظلمات الوهم، وتكرمنا بها بنور الفهم، وتوضّح لنا ما أشكل حتّى يفهم إنّـك تعلم ولا نعلم وأنت علام الغيوب.

    • @ibejoe7719
      @ibejoe7719 8 месяцев назад

      Allahu Mabarik...

  • @HajrahRamadan
    @HajrahRamadan 5 месяцев назад

    Assalamu alykm warahmatulah wabarakatu,shehe naomba hiyo swala ya mtume tuandikie hivyo mm siikamati na naipenda sana

  • @HajrahRamadan
    @HajrahRamadan 5 месяцев назад

    Alhamndulilah rabilaalamina mwenyezi akuhifadhi

  • @OmariShekhe
    @OmariShekhe 10 месяцев назад

    Nashukuru kwailo

  • @YahayaYahaya-f8b
    @YahayaYahaya-f8b 8 месяцев назад

    اللهم صلي على سيدنا وحبيبنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين

  • @AbdulMakamba-b1e
    @AbdulMakamba-b1e 11 месяцев назад

    Nakupenda kwa ajili ya allah

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 2 года назад +2

    صلوات الله وسلامه عليه !!!

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 Год назад

    Ya Allah husuni lhatima!!

  • @abdulkareemsuleiman3659
    @abdulkareemsuleiman3659 Год назад

    شكرن يا شيخنا وحفظك الله

  • @fatamaosman6533
    @fatamaosman6533 2 года назад +3

    اللهم صل على سيدنا محمد صلاة تخرجني بها من ظلمات الوهم، وتكرمني بها بنور الفهم، وتوضح لي بها ما أشكل علي حتى أفهم، وعلى آله وصحبه وسلم MUNGU AWAHIFADHI MASHEKE ZETU YAA RABB SHUKRAN SHEKHE WANGU WALID SHEKH AL HAD

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 3 года назад +4

    Wallah shekhe wangu leo huku qatar sehemu nilipo kwenye msikiti wa maeneo tunaoishi niliambiwa ijumaa ya leo nikakhutubu ijumaa nilikuwa ninikhofu ila nilipomswalia mtume wallah khofu ikaondoka

  • @arafaabdullah9409
    @arafaabdullah9409 2 года назад +1

    اللهم صل وسلم وبارك عليك

  • @MuhannadRavahi
    @MuhannadRavahi 9 месяцев назад

    Mashallah shukuran

  • @khadijamgambo9382
    @khadijamgambo9382 2 года назад +1

    Jazakallah kheri Allah akujaalie umri wenye barka nyingi.

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 года назад

      Allahuma Amiiiin yaaa Rabbi!🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c Год назад

    Aslm alkm ww... Masha Allah. Allah akulinde 🙏

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe 3 месяца назад

    Allah akulinde shehe wetu. Namba zako tunaoataje shehe

  • @MazeeFatuma
    @MazeeFatuma Год назад

    Jazaqallahu kheir

  • @fahmisaliim1914
    @fahmisaliim1914 3 года назад +3

    Mwamba nakukubali....Sana Sheikh Waleed Alhad Omar

    • @sheikhwalidalhadtv2950
      @sheikhwalidalhadtv2950  3 года назад +4

      Shukran Fahmi

    • @fahmisaliim1914
      @fahmisaliim1914 3 года назад +5

      @@sheikhwalidalhadtv2950 Allah akupe umri Twaiiily..Mimi nasoma Quran Tafsir kupitia Darsa zako Huwa nakuwa nakalamu kabisaa na laptop yangu...Na daftar langu ..,Tunapata Faida nyingi..kisha na Sisi tunakwenda kufundisha wenzetu.... Nakuombea Kwa Allah akuhifadhi Sana na Hasadi za majjin na watu....Sheikh wangu

    • @sheikhwalidalhadtv2950
      @sheikhwalidalhadtv2950  3 года назад +2

      @@fahmisaliim1914 shukran Allahu bariq endelea kujifunza na kufundisha in sha Allah Allah atakulipa ujira mkubwa

    • @fahmisaliim1914
      @fahmisaliim1914 3 года назад

      @@sheikhwalidalhadtv2950Allahumma ameen Allahumma ameen Allahumma ameen

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад

      @@fahmisaliim1914 Mwenyezi Mungu akubariki

  • @abdallahahmed7983
    @abdallahahmed7983 2 года назад

    Alwah barik akubarikie kama mvua inayonyesha bila kusimama

  • @janataninaim9193
    @janataninaim9193 2 года назад +1

    Mashaallah tabaraka Allah

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 2 года назад

    بارك الله فيك اخي الكريم

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 Год назад

    Mashaa Allah

  • @qaniyowcade-v9i
    @qaniyowcade-v9i Год назад

    Assalamu Alaikum warahmatullah wabarakatu Sheikh wangu..je? Kuna ulazima kuongeza وعلي اله وصحبه وسلم baada انك انت علام الغيوب...بارك الله فيك

  • @adammgoha6381
    @adammgoha6381 Год назад

    Maasha Allah hii kitabu chake ni kipi

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Год назад +1

    Maa Shaa Allah
    Chuma hiki
    Alhamdulillah 🙏🙏🙏🙏

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 3 года назад +1

    Inshallah shukraan

  • @mahmoudally2374
    @mahmoudally2374 3 года назад +4

    AllahuMaswallialeeeeeeeeeeeeeee

  • @bigfarida6992
    @bigfarida6992 3 года назад +2

    Atakae jaaliwa atuandikie jamani iyo dhikri Allah atamlipa kheri in sha Allah

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 года назад

      Kabisa. Watusaidie tusiojuwa

    • @bisadakhalidy7000
      @bisadakhalidy7000 2 года назад

      ALLAHUMMA SWALI ALLAH MUHAMAD YARAB SWALI ALAHI WASWALIMU

    • @amranijuma469
      @amranijuma469 9 месяцев назад

      Allahuma swali ala Muhammad wa ali Muhammad

  • @haleemanakupendasanailamuh668
    @haleemanakupendasanailamuh668 3 года назад +4

    Mimi , swala za mtume nafaidanazo sana

  • @Mbarak1
    @Mbarak1 Год назад

    SwalluAlanNabii

  • @abdulhalim5950
    @abdulhalim5950 2 года назад +1

    swahaba gani kamswalia mtume ivo achs uongo n uchawi

  • @mussakantumba824
    @mussakantumba824 3 года назад

    Naomba tuandikie kiarabu hiyo swala

  • @masjiddarulssalamsouthb5727
    @masjiddarulssalamsouthb5727 Год назад

    Eti umepokea kutoka kwa sheikh wako sheikh wako ana nn ktk dini hii maulamaa wapi wamempa tazkia

  • @janataninaim4978
    @janataninaim4978 2 года назад

    Mashaallah

    • @jumadawa1968
      @jumadawa1968 Год назад

      Asalaamu alaykumu warahmutullahi naomba unitumie hinyo nya kuswalia mtume

  • @hamishamida700
    @hamishamida700 3 года назад +3

    Asalaam Aleykum shekhe samahani unaweza kutuandikia hy dua ya swala ya mtume maana wengine ndo kwanza twajifunza 🙏🙏

  • @masjiddarulssalamsouthb5727
    @masjiddarulssalamsouthb5727 Год назад

    Imethibiti wapi hio kuwa mtu akirudia anakuwa mwanachuoni acheni urongo hio dua imethibiti wapi

  • @farris_2549
    @farris_2549 7 месяцев назад

    💙🤌💚✅️💨

    • @farris_2549
      @farris_2549 7 месяцев назад

      Allahuma salli ala Muhammad. Wa barik Allah Muhammad. 💙

  • @abdulhalim5950
    @abdulhalim5950 2 года назад

    masufi mipumbav hakuna aya wala hadeeth kuna ujinga tu wa ndoto

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 года назад

      Subhaaanallah! Allah atusameh tunapokosea🙏🙏🙏

    • @malikamalik6074
      @malikamalik6074 2 года назад

      Wewe ni mjinga sana.kama Allah na malaika wake walimswalia Mtume wewe ni nani?jahilia

    • @shabaniabubakar7262
      @shabaniabubakar7262 Год назад

      wahab hamjasoma

    • @husnasabihi6549
      @husnasabihi6549 Год назад

      Uislam ni dini ya adabu....hta ple ambapo watu wamekhitalifiana kwa sababu za kimapokeo ....

    • @omarymohamedndondo1801
      @omarymohamedndondo1801 Год назад

      Sasa ndugu tusiwaheshimu mashekh wakati ndiyo warithi wa mitume lakini WEWE unasema hadith ya mtume WEWE uliijuaje kama siyo hao mashekh unao wavunjia adabu hivi SASA.

  • @ابومعاذاحمدناصر
    @ابومعاذاحمدناصر 3 года назад +1

    Ndo uweke 0??

  • @ushahidifilms2011
    @ushahidifilms2011 2 года назад

    Kuuliza kitabu gani ni kukosa adabu? 😮

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад

    🤲

  • @abuunuswaybnassibunassibu7714
    @abuunuswaybnassibunassibu7714 2 года назад

    Alhamdulillah kwa hutbaa hii pia
    Embu skiliza hii khutba ukwel maisha magumu na bidhaa zinapanda
    ruclips.net/video/dZeY2zaEAAc/видео.html

  • @zaitunibendera7988
    @zaitunibendera7988 Год назад

    Masha ALLAH

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 2 года назад

    Mashaallah