Temesa Tanzania
Temesa Tanzania
  • Видео 277
  • Просмотров 93 902
RAIS SAMIA ATOA BIL 9 UJENZI KIVUKO KIPYA MAFIA NYAMISATI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 9 kwa ajili ya ujenzi wa kivuko kipya kitakachokwenda kutoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Rufiji Mkoani Pwani.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakari Kunenge alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Sept 28, 2024 wakati alipotembelea yadi ya DMG eneo la Kimbiji, Wilayani Kigamboni kukagua hatua za ujenzi wa kivuko hicho ambapo mpaka sasa kimefikia asilimia 35 za ujenzi wake.
Kunenge amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuona umuhimu wa kuanza ujenzi wa kivuko hicho kwa wakazi wa Mafia na kutoa zaidi ya sh bilioni 9 kwa ajili ya utengenezaji...
Просмотров: 276

Видео

MSONDE AITAKA TEMESA KUBORESHA NAMNA BORA YA UKUSANYAJI MAPATO
Просмотров 24914 дней назад
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania kuboresha mikakati ya ukusanyaji wa mapato kwenye vituo vyake Nchini ili kuongeza uwezo wa kifedha wa Wakala katika kufanikisha miradi zaidi ili kufikia malengo yaliyokusudiwa. Dkt. Msonde, ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kutembelea Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) mkoani...
UNAAMBIWA VIVUKO HIVYO VITAPELEKWA MAENEO YASIYOKUWA NA HUDUMA
Просмотров 1,1 тыс.21 день назад
Tazama hapa namna Serikali ya Awamu ya Sita inavyotekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika miradi ya kimkakati ya ujenzi wa vivuko vipya vinavyokwenda kutoa huduma maeneo mapya kabisa ambayo hayakuwahi kuwa na vivuko. Miradi hiyo inasimamiwa na kutekelezwa na TEMESA kupitia Wizara ya Ujenzi.
MRADI HUU UMETUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA NA UPO KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA MAJARIBIO
Просмотров 17 тыс.21 день назад
Meneja TEMESA Kikosi cha Umeme, Mhandisi Pongeza Semakuwa amesema mradi wa usimikaji wa taa za barabarani kwa Barabara za mabasi yaendayo haraka/mwendokasi (BRT phase II) baina ya TEMESA na kampuni ya SINO HYDRO kutoka nchini China umewapa ujuzi na kuwajengea uzoefu mafundi wa TEMESA. Mhandisi Pongeza ameyasema hayo wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya mradi huo eneo la makutano ya Barabar...
MTAZAME MENEJA KIKOSI CHA UMEME AKITOA NONDO USIMIKAJI MIFUMO YA UMEME
Просмотров 206Месяц назад
TEMESA imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali ya usimikaji wa mifumo ya umeme, TEHAMA, viyoyozi, lifti na viashiria moto katika majengo mbalimbali ya Serikali yanayoendelea kujengwa katika miji mbalimbali ikiwemo mji wa Serikali Mtumba. Katika mwaka wa fedha 2024/2025, mojawapo ya miradi inayotekelezwa ni ujenzi wa nyumba za makazi ya viongozi zinazoendelea kujengwa hapa Mkoani Dodoma Mtazame ha...
BI. JOSEPHINE MATIRO AWAFUNDA WATUMISHI WAPYA, AWATAKA KUFANYA YAFUATAYO
Просмотров 169Месяц назад
Mkurugenzi wa Huduma Saidizi TEMESA Bi. Josephine Matiro akizungumza na watumishi wapya walioajiriwa na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025 Terehe 3 Agosti,2024. Waajiriwa hao wapya kutoka kada za Masijala, Ununuzi, Ufundi, Umeme, Mitambo na Ufundi wa vivuko wamepatiwa mafunzo hayo elekezi maalumu yanayotolewa kwa waajiriwa wapya kwa ajili ya ku...
AWATAKA WAAJIRIWA WAPYA KUWA MFANO WA KUIGWA
Просмотров 171Месяц назад
Mkurugenzi wa Matengenezo na Huduma za Ufundi TEMESA Mhandisi Hassan Karonda akizungumza na watumishi wapya walioajiriwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 na 2024/2025 leo Terehe 3 Agosti,2024. Waajiriwa hao wapya kutoka kada za Masijala, Ununuzi, Ufundi, Umeme, Mitambo na Ufundi wa vivuko wamepatiwa mafunzo hayo elekezi maalumu yanayotolewa kwa waajiriwa ...
TAZAMA JENGO LA WIZARA YA UJENZI, MIONGOZO YA UHANDISI KIMATAIFA KUZINGATIWA
Просмотров 4,2 тыс.Месяц назад
Meneja wa TEMESA Kikosi cha Umeme, Mha.Pongeza Semakuwa amesema, mradi wa usimikaji wa mifumo ya umeme katika jengo la Wizara ya Ujenzi na Wizara Uchukuzi unaendelea vizuri na mafundi wamekuwa wakitimiza majukumu yao kwa kufuata miongozo ya kihandisi ya ndani ya Nchi na ya kimataifa. Mhandisi Pongeza ameyasema hayo leo 29 Agosti, wakati alipotembelea mradi huo kukagua maendeleo ya usimikaji wa ...
MABORESHO KARAKANA TEMESA ARUSHA KUCHOCHEA KASI YA HUDUMA BORA.
Просмотров 116Месяц назад
Meneja wa TEMESA Mkoa wa Arusha Mha. Elirehema Mmari, ameishukuru Serikali kwa kuuwezesha Wakala kuendelea kufanya maboresho makubwa ya karakana Tanzania nzima kwa kununua vifaa vya kisasa na kuanza ujenzi wa karakana za kisasa. Akizungumza leo Agosti 28 ofisini kwake, Mhandisi Mmari amesema maboresho makubwa yanayofanyika yanaleta muamko mpya kwa utoaji huduma wa TEMESA. Mhandisi Mmari amesema...
UFUNGUZI WA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA UFUATILIAJI NA TATHMINI
Просмотров 45Месяц назад
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala leo Agosti 26 amefungua Mafunzo ya Matumizi ya Mfumo wa Ufuatiliaji na Tathmini yanayoratibiwa na Wizara ya Ujenzi yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TEMESA Makao Makuu, jijini Dodoma. Kilahala amesema, lengo la mafunzo hayo ni kujifunza namna sahihi ya kupata taarifa sahihi kwa wakati sahihi na kusaidia kujua kinachoe...
AMUOMBA WAZIRI MKUU KUZISHURUTISHA TAASISI ZINAZODAIWA NA TEMESA
Просмотров 133Месяц назад
Mkurugenzi wa Huduma Saidizi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Bi. Josephine Matiro amemuomba Waziri Mkuu kuwashurutisha wakuu wa taasisi kulipa madeni yao kusaidia ufanisi wa kazi kufanyika.
KAMATI YA MIUNDOMBINU YASHAURI UJENZI WA MADARAJA MAENEO YENYE USAFIRI WA VIVUKO
Просмотров 135Месяц назад
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo. Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Selemani Kakoso(Mb) Agosti 20, 2024 jijini Dodoma wakati Kamati...
BASHUNGWA AMKABIDHI DKT. MSONDE TAASISI YA TEMESA NA TBA, ATAKA MAGEUZI NDANI YA MIEZI MITATU
Просмотров 196Месяц назад
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Charles Msonde kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kufanya mabadiliko na kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazokabili Taasisi hizo ili kuboresha utendaji na ufanisi wa Taasisi hizo. “Namjua Dkt. Msonde nimefanya nae kazi nikiwa TAMISEMI, ...
USALAMA KWA ABIRIA NI JAMBO LA MSINGI
Просмотров 115Месяц назад
USALAMA KWA ABIRIA NI JAMBO LA MSINGI
WAZIRI MKUU AWA MBOGO, ATAKA ORODHA YA TAASISI ZINAZODAIWA NA TEMESA
Просмотров 249Месяц назад
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amezitaka Taasisi zote zinazodaiwa na TEMESA kulipa madeni yao kwa haraka ili kuiwezesha kujiendesha kibiashara na kutoa huduma stahiki kwa wateja wake. Waziri Mkuu ameyasema hayo Agosti 20 wakati akifungua kongamano la tatu la madereva wa Serikali katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa AICC jijini Arusha ambapo amewataka TEMESA kuandika barua ofisini kwake kuai...
UPEMBUZI UMEFANYIKA, MAENEO YA MAEGESHO YABAINISHWA
Просмотров 36Месяц назад
UPEMBUZI UMEFANYIKA, MAENEO YA MAEGESHO YABAINISHWA
SERIKALI YASIKIA KILIO CHA MAFIA NA KUTATUA KERO ZAO
Просмотров 155Месяц назад
SERIKALI YASIKIA KILIO CHA MAFIA NA KUTATUA KERO ZAO
TEMESA YAKAMILISHA MATENGENEZO KIVUKO MV. KILAMBO
Просмотров 590Месяц назад
TEMESA YAKAMILISHA MATENGENEZO KIVUKO MV. KILAMBO
NI NEEMA KWA WAKAZI WA KISORYA - RUGEZI, MENEJA AWATOA HOFU WANANCHI AWATAKA WAKAE MKAO WA KULA.
Просмотров 4762 месяца назад
NI NEEMA KWA WAKAZI WA KISORYA - RUGEZI, MENEJA AWATOA HOFU WANANCHI AWATAKA WAKAE MKAO WA KULA.
MCHANGO WA KIVUKO CHA NYAKALIRO-KOME KATIKA HUDUMA ZA KIJAMII
Просмотров 582 месяца назад
MCHANGO WA KIVUKO CHA NYAKALIRO-KOME KATIKA HUDUMA ZA KIJAMII
MV KILINDONI NA UCHUMI WA MAFIA.
Просмотров 1252 месяца назад
MV KILINDONI NA UCHUMI WA MAFIA.
MCHANGO WA VIVUKO VYA KIGONGO BUSISI KANDA YA ZIWA
Просмотров 2092 месяца назад
MCHANGO WA VIVUKO VYA KIGONGO BUSISI KANDA YA ZIWA
GAAWS YAIPONGEZA TEMESA, UTOLEWAJI WA HUDUMA KWA WADAU WAKE
Просмотров 502 месяца назад
GAAWS YAIPONGEZA TEMESA, UTOLEWAJI WA HUDUMA KWA WADAU WAKE
TEMESA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA MUHESHMIWA RAIS
Просмотров 352 месяца назад
TEMESA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA MUHESHMIWA RAIS
SABASABA 2024, KARIBU TUKUHUDUMIE
Просмотров 102 месяца назад
SABASABA 2024, KARIBU TUKUHUDUMIE
SABASABA 2024, KARIBU TUKUHUDUMIE.
Просмотров 172 месяца назад
SABASABA 2024, KARIBU TUKUHUDUMIE.
SABASABA 2024, KARIBU TUKUHUDUMIE.
Просмотров 102 месяца назад
SABASABA 2024, KARIBU TUKUHUDUMIE.
KARIBU UWE MIONGONI MWA WANUFAIKA WA MAFUNZO MBALIMBALI MSIMU HUU WA 48
Просмотров 102 месяца назад
KARIBU UWE MIONGONI MWA WANUFAIKA WA MAFUNZO MBALIMBALI MSIMU HUU WA 48
FIKA KATIKA BANDA LA TEMESA UJIFUNZE YAFUATAYO
Просмотров 212 месяца назад
FIKA KATIKA BANDA LA TEMESA UJIFUNZE YAFUATAYO
MBALI NA UENDESHAJI WA VIVUKO, TEMESA TUNAFANYA YAFUATAYO.
Просмотров 242 месяца назад
MBALI NA UENDESHAJI WA VIVUKO, TEMESA TUNAFANYA YAFUATAYO.

Комментарии

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 3 часа назад

    SAFI SANA MAMA GUSA KILA MWANANCHI !!

  • @sheheMohammed-q1h
    @sheheMohammed-q1h День назад

    Wananch tunataka utendaji zaid cio maneno mama usitosheke .kwani umetoa Kodi za wananchi

  • @TheMtandao
    @TheMtandao 3 дня назад

    Aliye fanya hii film lazima aelewe sound to noise ratio SNR

  • @zephamandia3958
    @zephamandia3958 7 дней назад

    Kazi nzuri sana mhe.Rais

  • @saidyemanuel8924
    @saidyemanuel8924 12 дней назад

    Washiriki watano tu?????

  • @SaidislamBates-cy1up
    @SaidislamBates-cy1up 14 дней назад

    Kwa ujumla mmefeli

  • @UjenziTv_
    @UjenziTv_ 16 дней назад

    Kazi Iendelee...

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 16 дней назад

    kazi nzuri......hongera TEMESA

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 17 дней назад

    Tnatakaa maji na umeme wa kudumu🙄😏

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 19 дней назад

    KUHUDUMIA TAA WATAALAMU WA 5 TUUUU??????

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 19 дней назад

    Acheni zenu bhana hivyo vitu vko toka zaman

  • @medystarter
    @medystarter 20 дней назад

    Mnaleta foleni mataa mengi kila mwisho wa kituo traffic lights

    • @section8ight174
      @section8ight174 6 дней назад

      Do you even understand why they have installed those traffic lights or unabwatuka tu?

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 22 дня назад

    Hizo taa yanakero hizo hela mngepeleka mhimbili mkasaidia watu angalien wenzenu je nachina nako kunamataa mengi ivo

    • @section8ight174
      @section8ight174 6 дней назад

      It’s either mataa au matuta, your choice

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 22 дня назад

    Value for money and realistic seen. Amen

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 23 дня назад

    Kazi nzuri sn. Hongereni sana sana sana!!!

  • @GraceMarine-vo9hu
    @GraceMarine-vo9hu 24 дня назад

    Kwetu pazuri nimeshapakumbuka viva Kigongo ferry, viva busisi ferry viva Mwanza

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 24 дня назад

    Safi sana labda sheria zitafatwa

  • @KaribuPemba
    @KaribuPemba 24 дня назад

    Mataa ni mengi adi keroo.

  • @joycelinelyimo-fenske8745
    @joycelinelyimo-fenske8745 24 дня назад

    Hongera sana Tanzania 🇹🇿

  • @JacksonDominicko
    @JacksonDominicko 25 дней назад

    Ayo mataa yanasabisha sana foren kwanza mataa mmeweka mengi sana yani kutoka mbagala mpaka karume kuna mataa kama 2000

    • @saidimwanyiro5147
      @saidimwanyiro5147 19 дней назад

      Shida yako ni ajali au 😊

    • @section8ight174
      @section8ight174 6 дней назад

      Safiri nje ya nchi ujionee, sasa unataka ajali ziongezeke?

    • @highlife6779
      @highlife6779 День назад

      Unajifanya mjuaji kah😂. Tembea hata ujionee

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 29 дней назад

    Good .

  • @jackoboabunuasi-hb4qc
    @jackoboabunuasi-hb4qc Месяц назад

    Najivunia kuwa temesa😂😂😂😂

  • @Al-farajiPanjalu
    @Al-farajiPanjalu Месяц назад

    ❤❤

    • @Al-farajiPanjalu
      @Al-farajiPanjalu Месяц назад

      Nikweli maana tuko nashida ya hiyo huduma kwakweli.

  • @Mjukuuu
    @Mjukuuu Месяц назад

    vivuko vya chap chap, Mwanza - Kampala

  • @jackoboabunuasi-hb4qc
    @jackoboabunuasi-hb4qc Месяц назад

    Here we come temesa

  • @israelmasisa4094
    @israelmasisa4094 Месяц назад

    Yes beautiful

  • @jackoboabunuasi-hb4qc
    @jackoboabunuasi-hb4qc Месяц назад

    Kazi nzuri

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 Месяц назад

    Kivuko cha ilagala, mnampango gani wa kukifanyia marekebisho?

  • @UjenziTv_
    @UjenziTv_ 2 месяца назад

    Kazi Iendelee

  • @សុខហៀងផុន
    @សុខហៀងផុន 3 месяца назад

    👎👎

  • @AllyGodfrey
    @AllyGodfrey 4 месяца назад

    Watakua wamesikia kilio chetu

  • @UjenziTv_
    @UjenziTv_ 4 месяца назад

    Kazi Iendelee..

  • @frandino2
    @frandino2 Год назад

    Пон

  • @mbarukumwede9846
    @mbarukumwede9846 Год назад

    Mv kilindon imekuwa stor isioisha

  • @abelkingu4653
    @abelkingu4653 5 лет назад

    HAPA MNAJARIBU KUONYESHA NINI HASA?? MAGARI MABOVU AU?? SIONI LA MAANA HAPA NI GARAGE TU.

    • @temesatanzania6563
      @temesatanzania6563 5 лет назад

      Kama umeona garage maana yake ni kwamba umeona kinachoonyeshwa, wakati mwingine sio vyema kukosoa tu kila mnachokiona bila kuwa na sababu ya msingi.

    • @abelkingu4653
      @abelkingu4653 5 лет назад

      @@temesatanzania6563 I mean what was the main target for putting up this video?? Kinachoonyeshwa sio Jambo jipya, for ages that's what it is??

    • @temesatanzania6563
      @temesatanzania6563 5 лет назад

      @@abelkingu4653 Kinachoonyeshwa kinaweza kisiwe kipya kwako na kisiwe na impact yoyote kwako lakini kikawa na impact kwa wengine kwahiyo jifunze kustahimili na kuuliza mara zote unapokuwa hujaelewa jambo. Hapo unapoona kuna jengo jipya kulikua na kichaka na hakukua na chochote, hilo ni jengo jipya ambalo limejengwa pahala kulikukowa na kichaka. Natumaini sasa umefahamu kilichokuwa kinaonyeshwa ni nini na kina impact gani kwa karakana hiyo. Uwe na siku njema.