MLIMA WA AJABU: UNA HANDAKI, WAJERUMANI WALIJIFICHA VITA YA KWANZA YA DUNIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 окт 2024
  • Tunayo Exclusive stori kuhusu Handaki la Wajerumani lililochimbwa wakati wa Vita ya kwanza ya Dunia mwaka 1914 hadi 1918 ambalo lipo chini ya Mlima maeneo ya Magamba Lushoto likiwa na historia ndefu ambapo Watalii wa mataifa mbalimbali pamoja na Watanzania wamekuwa wakifika sehemu hiyo kwa ajili ya kutalii.

Комментарии • 10

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 Год назад

    Hongera xana mtangazaji tumekupata vilivyo🔥🔥🔥🔥

  • @ShabaniSaleeh
    @ShabaniSaleeh 2 месяца назад

    🎉🎉🎉 tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 ♥️ ❤️ vijiji vya magamba ninavyo vijua mm kwa jinsi nilivo jaliwa kutembea kwa tanzania hii vipo 5 kuna magamba hiyo hanayo hizungumzia hanko hapo ya lushoto hambayo himepakana na mkuzi kwema kame kwema shai kongei harafu kuna magamba ya kologwe hambayo nayo himepakana na kwa lukonge changalikwa mkuyu mkalamo kisha kuna magamba ya handeni hambayo himepakana na vijiji vya kwachaga mavumbi kwa mkonje mandera bagamoyo komnazi bumba Gore madebe kingombe na pia kuna magamba ya katavi kalibu na mpanda hambayo himezungukwa na vijiji vya mtakumbuka na kakese intenka kapanda na mpanda mjini yenyewe pia kuna magamba ya songwe himepakana na totoe membo galula tanzania kubwa sana na nipazuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ naipenda 🇹🇿 yanguu❤❤❤❤❤

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 5 лет назад +1

    View point nimewahi kufika pazuri sana ila kuna baridi sana

  • @omarnicesang5507
    @omarnicesang5507 3 года назад +1

    Kwetu kuzuri

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 5 лет назад +1

    Jaribuni kufika makanya milimani pia kuna sehemu panaitwa BUSTANI wajerumani walipajenga pia kuzuri Km mnooo kuna ota matunda ya kila aina yasioisha miaka nenda miaka rudi majumba yamebaki kua magofu tuu na kuna makaburi ya wajerumani walizikwa hapo kama wanafamilia .

    • @R.Dickon
      @R.Dickon 5 лет назад

      Makanya Kilimanjaro?

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 года назад

      @@R.Dickon Nitanga sio kilimanjaro

  • @barnabaschuwa7820
    @barnabaschuwa7820 5 лет назад

    duuuh

  • @edwardmichael9523
    @edwardmichael9523 5 лет назад

    You are welcome to usambara mountain for more info check na me on IG @ edware_msafi