Kama kibali kilitoka na watoaji walijilizisha kua ujenzi wa apo hautoleta matatizo kwa watu. Hapo wamiliki kuwa na hatia ni ngumu sana lazima mtoa vibali na ofisi yake pamoja na mkandarasi lazima kiwalambe
Hilo jengo ni la wakubwa kuliko hata hao wakubwa wetu wa nchi sababu kwa nini wamiliki wasitajwe? au kukamatwa?dada kachang'isha pesa ya mboga imekua zogo kama yeye ndiye aliyeua aibu Kwa Taifa
Wasafi.nyinyi.kweli.wasf.fanyikazi.zuri.sana.napenda
😂😂hawa wazee ni moto 🙌
Kama waliotaka kumteka bonge Tarimo...pia kimyaaaaaaaa
Mmiliki ni mtu ambae kwamba. Sio Akina sisi hatoweza kutajwa hadharani .
😂😂ila hawa wazeee
Kama kibali kilitoka na watoaji walijilizisha kua ujenzi wa apo hautoleta matatizo kwa watu. Hapo wamiliki kuwa na hatia ni ngumu sana lazima mtoa vibali na ofisi yake pamoja na mkandarasi lazima kiwalambe
Hii inaitwa kila mtu aokoe roho yakeee!!! nchi ngumu sana😂
Sasahivi yule dada aliyebakwa kimyaa Sasahivi hasemi kitu nayule dada aliyewatumaa mpkaa leo kimyaa
Selikali yetu inafer san yan uyo mmiliki wa jengo adi leo kmy lkn walo changisha pesa wamekamatwa facta san apa kuna ki2 kipo nyuma ya pazia
Umefikiria mbali!
Hii nimeipenda sana na hilo nililifikiria siku nyingi kuwa ndio litakalo kuja kutokea tume tumeliwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
3:47 nchi sio ngumu ila dili nyingiiiii
Ndiyo ugumu wenyewe!
Majengo makubwa huwa na wamiliki zaidi ya mmoja
kama mmiliki mkinga jua ametoa kafara hizo zote ni chanzo tu
Hilo jengo ni la wakubwa kuliko hata hao wakubwa wetu wa nchi sababu kwa nini wamiliki wasitajwe? au kukamatwa?dada kachang'isha pesa ya mboga imekua zogo kama yeye ndiye aliyeua aibu Kwa Taifa
Mmiliki hafikiki
🤑
Wafanye kazi tume ya Lowasa, wakisha vunja wakamalizq ya Lowqsq , waanzenupyq tumenyq Majaliwa