MKUU MSTAAFU WA WANAJESHI JWTZ AWAONYA POLISI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 ноя 2024

Комментарии • 28

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 Месяц назад +4

    Mungu tu naomba utupe wazee kama hawa 10 tu, Tanganyika itapata UHURU kwa mara ya 2. Wazee wamenyamaza kimya wanasema kichinichini kwa kuogopa kutekwa. Asante baba na mpigania Tanganyika yetu kwa kujitosa na kusema ile kweli ya moyoni wazi kabisa. Mungu akupe miaka mingi, maisha Marefu mpaka uone Tanganyika itapojitoa katika muungano wa kinafiki.

  • @feadamagessa889
    @feadamagessa889 Месяц назад +1

    Weee acha Mzee anaongea vizuri Mungu akutie nguvu mzee

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 Месяц назад +1

    Mungu tu naomba utupe wazee kama hawa 10 tu, Tanganyika itapata UHURU kwa mara ya 2. Wazee wamenyamaza kimya wanasema kichinichini kwa kuogopa kutekwa. Asante baba na mpigania Tanganyika yetu kwa kujitosa na kusema ile kweli ya moyoni wazi kabisa. Mungu akupe miaka mingi, maisha Marefu mpaka uone Tanganyika itapojitoa katika muungano wa kinafiki. Hata wakivuruga na mziki wao lakini tumekwisha kukusikia. Mungu akutunze.

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu Месяц назад +1

    Staki polisi

  • @LeahMgunda-l8c
    @LeahMgunda-l8c Месяц назад +4

    Eee tumbo langu usijezaa mtoto polisi.

  • @RonaldoJr-h1o
    @RonaldoJr-h1o Месяц назад +1

    Sa mzk mkubwa wote huo wa Nini? Nyie kenge Sana

  • @rashidkapile
    @rashidkapile Месяц назад +3

    Uzee dawa wakuu wa majeshi wastafu wameona mengi tusiwapuuze maoni yao

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 Месяц назад

    Sahihi mzee wetu 🙏🙏

  • @salumuRashid-g9d
    @salumuRashid-g9d Месяц назад +1

    Muda utaongea safi mkuu

  • @JohnsonMichael-c2x
    @JohnsonMichael-c2x Месяц назад +2

    Msije mkasema hamkuambiwa andeleeni na kiburi

  • @khamisali4067
    @khamisali4067 Месяц назад

    Nchi na manenomaneno angalieni waliokosa aman ohooo

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 Месяц назад

    Achana na TEC wao huwa wanaingia waliona watawala wamezidisha JEURI

  • @WillfredyMollel
    @WillfredyMollel Месяц назад

    Saidieni. Nhi kwa maombi.walknda amani

  • @BillMesso
    @BillMesso Месяц назад

    Sasa huyu mtangazaji unaleta habari mbaya tutakutafuta

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z Месяц назад

    Sauti haipo

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Месяц назад

    That is the reality underground time of. Been guyert is over for tanzania citizens every single time coruption people select for we tanzania same use power protect his Rong doing on gavment such behavior we are not going anywhere protect culer of political part rulling part even if is Rong politician doing it the Rong that why politician they don't respect tanzania people voice

    • @EmerecianaWumbe
      @EmerecianaWumbe Месяц назад

      Umeipokea laana itakayo kusindikiza jehanam

  • @josephudoba5563
    @josephudoba5563 Месяц назад

    Na wewe muandishi mwehu unatuwekea mziki wa nini

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz Месяц назад

    Viongozii wa Dinii wapo wataliombea Taifa

    • @Bonifaskagoma
      @Bonifaskagoma Месяц назад

      Acha ujinga ww kuombea akili ndogo kabisa wewe

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад

    Wewe mzee unaufahamu mkubwa sana. Kwa kuongea hayo uliyo ongea

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 Месяц назад

    UMESIKILIZA HAO, JE RAIS WAKO UMEMSIKILIZA?
    VYOMBO VYA ULINZI UMEVISIKILIZA,
    MASLAHI BINAFSI NI MATESO KWA WENGINE

    • @LAZAROSEBASTIAN-j8p
      @LAZAROSEBASTIAN-j8p Месяц назад

      We chawa umeongwa ata akija malaika akaongea huwezi muelewa you blind chawaaaaaaa

  • @glorysungura3180
    @glorysungura3180 Месяц назад

    Nina ndg wanajeshi, polisi, askari magereza na ffu. Kwa sitaki hata kuongea nao. Tutakutana nyumbani.

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Месяц назад +1

    Hiv ninyi vizee mnatumwa? Pumbavu kabisa nilidhani uzee ni dawa kumbe wakati fulani ni ugonjwa umepewa sh ngap? Nan amewatuma kutus3mea? Mnataka nn kwenye nchi yetu? Tuacheni bwana cye tupo bz na maisha yetu

    • @petermasanilo732
      @petermasanilo732 Месяц назад

      Wewe ukiwa una akili huwezi kumtukana mzee kama huyu kisa uchawa

    • @josephudoba5563
      @josephudoba5563 Месяц назад

      Huyu popo kipofu anamponda mzaa kwako hakuna wazee kwanza Kuna laa a nanayo

    • @Bonifaskagoma
      @Bonifaskagoma Месяц назад

      Msenge wewe uchaw utakuua