Struggles za wokovu ni Real💯.. Nimekuwa encourage na hii Tena... Nitabakii hii pande🤞nionane na Yesu @DAVIDWONDERKE @mojishortbabaa God bless you ministers of God😇
Kenyans what's wron this gem should be over a million views right now😇😇 I have been listening to this song the first time this duo released and keep on coming back, nitabaki hii pande
David wonder is a true inspiration...Moji shortbaba is a true inspiration too..the gospel industry here in Kenya is blessed with such guys. May God bless you...Your songs are a blessing 😍😍😍😍
Ata mimi nabaki hii pande,nianguke ntainuka lazima nione yesu.,message 👌👌,@wonder u the best #barakatele...al be back shortly Ku confirm 1million views.wacha kwanza niipeleke pale whatsup status.
Davie naomba ukanyangie hapo.gospel inatosha na inahitajika na coz ushapata neema yakuwa hapo uko tuwakilishe bro tuko nyuma yako usibanduke pande ya God ndo form.moji,maze bro haujawai chemsha keep up.collabo na nyinyi in future najua itakuwa.
Struggles za wokovu ni Real💯.. Nimekuwa encourage na hii Tena... Nitabakii hii pande🤞nionane na Yesu @DAVIDWONDERKE @mojishortbabaa God bless you ministers of God😇
utabaki pande gani
@@ITtechnicalspecialist hii pande ya Yesu💯
@@dashylema_channel7592 Ausio 👊
Great stuff brother 🔥 baki tu pale kwa Yesu. You gonna wonders more than this☝
This will hit 1m &above views Nani ako na mm 🇰🇪🇰🇪🏋️🏋️📢📢📢🎶🎷
1m for few days
We ought to share far and wide. Hii pande ni evangelism
Top 100 nipeeni hizo likes za DW na MSB
Worndeful nipeeni like plz 🙏🏋️🏋️🇰🇪🇰🇪🇰🇪📢📢 mkimaliza nisaidie kufika 1k subs neno lisonge mbel #kelvinshem
Wimbo mtamu wenye kutia moyo 🙏🙏🙏
Amazing vijanaa.. ata mimi nitabaki hii pandee. 💖
Kosolo usalimie makwazi
I suggest a collabo with You na David wonder💓❤️🙂🙏
Nabaki hii pande pia
Jesus never fails
Kasolo I salute you men
Inspiring ata mimi nabaki hii pande 2024 kama bado unaipenda piga like 🔥🔥🔥🔥🔥
Sababu hamtoki online leo naomba like tano tu pliz
Jesus is a friend one will not miss to have...❤
pia mimi nitabaki hii pande nionane na yesu what a nice song
He just reminds me of my ex coz they look a like🥰🥰🥰😍😍😍Favorite Ntabaki hii pande nionane na Yesu All Life😉Vocality Check🥳
Very insipiring... bro big up💥🙌
Nani ako hapa this Easter,some great energy kwa Yesu
Being born again is a real struggle and unless u remain on God's side c rahisi so Mimi nabaki hii pande
David wonder alwayss and inspiring person most of all you know how to touch saul's ...ngomaa is 🔥🔥🔥🔥🔥
Ata mimi nitabaki hii pande DW x MSB you guys you never disappoint ,don't fall may God bless you to spread the word of God with your voices
🔥🔥🔥🔥nitabaki hii pandemic nionane na Yesu.David wonder go go go this is a amazing with mojji
Inspiring ata mimi nabaki hii pande #kingstarjr dope song hii
Am being blessed..mm pia najagua kubaki hii pande hadi nionane na yesu ...beautiful song
You're songs are so much inspiring hata mi ntabaki pande ya Yesu wangapi wanakumbaliana na Mimi nshw kwa likes
Nitabaki hii pande is lit💥💥💥nipeni ata 10 likes aki
David Wonder my favorite all time role model ukianguka tunaanguka pamoja otherwise nakuja pande hiyo tuchape collaboration
baraka
Ata Mimi nabaki hii pande....this song deserves a million views #wonderboy #shortibabaa
Hii pande sitoki pia,kabisa mabros.this song is topest.God bless you keep the fire burning
collabo best kutoka kwa hii pande.wapi likes za lyrical stalon
Nikikuita Waitika....
Moto sana.. I keep repeating this song... Nitabaki hii pande nionane na yesu🛐
Jaman sas tunataka tumwone DW na guardian angel
Wakenya mnaniangusha why?a good song like this haijafika ata 200k views yet zile chafu zinafika amilion in a day
Wapi likes la umeguzwa na hii song ka mm💯💯🔥🔥
A blessing song manzee💯💯big up ata Mimi niatabaki ii pande na yesu💯💪
Kenyans what's wron this gem should be over a million views right now😇😇 I have been listening to this song the first time this duo released and keep on coming back, nitabaki hii pande
Collabo ya wonder na guardian angel
My beloved artist we ndo unafanya najua ata mimi siku moja utanipa collabo nami nijulikane
Strungles za wokofu ni ngumu San but #PANDE Imeni encourage tena,Nitabaki pande na yesu...
🔥🔥🔥short moji ft David wonder pande!!!
Heeeyy nitabaki hii pande pia❤❤❤❤❤❤❤
David wonder is a true inspiration...Moji shortbaba is a true inspiration too..the gospel industry here in Kenya is blessed with such guys. May God bless you...Your songs are a blessing 😍😍😍😍
Ukitoa kiki, these are the finest Kenya gospel artists
Nikiskiza hii nyimbo nakumbuka Najua, Naenda na Yesu, Rehema na Mtoto.
May God bless you guys... Aki msiende Ile pande ingine... Mbaki hapo hapo ndo tumuone Yehova...
Amazing .nitambaki hii pande pia😍
Nikikuita waitika .hujawai jificha .hatanikuchoma picha we mwaminifu..👌👌👌👌👌👌napendaaa
Next David utoe na Guardian Angel😇
Kabisaa akii
@@prudencemandera2140 alafu na mimi next😁
"Ata nikichoma picha bado wee ni mwaminifu."🔥
Kazii safi
picha gani
Kazi Safi Sana mabrooos 💥💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wonder cheza Kam we Ni tale boy sapot bro sapot utb tale boy
Ata mimi nabaki hii pande,nianguke ntainuka lazima nione yesu.,message 👌👌,@wonder u the best #barakatele...al be back shortly Ku confirm 1million views.wacha kwanza niipeleke pale whatsup status.
Kwa Yesu kwa kweli sihami I ng'o.... This one a must download 😍🥰 be blessed guys
Leo lazima nicomment....great song. Hizo vocals za Wonder kuna vile...good job guys.
Davie naomba ukanyangie hapo.gospel inatosha na inahitajika na coz ushapata neema yakuwa hapo uko tuwakilishe bro tuko nyuma yako usibanduke pande ya God ndo form.moji,maze bro haujawai chemsha keep up.collabo na nyinyi in future najua itakuwa.
Nzuri Sana... congrats bro
Hata Mimi ntabaki upande was yesu,thank you Lord Jesus Christ.
Kazi safi sana majamaah ....na mm pia ntabaki hii #pande ya injili....
Wow nice one hata nami nitabaki hii pande nionane yesu God bless u guys go go preach the word God's favour be upon u
Great song.beat imeweza, creativity iko top,vida Ni more 🔥 na message imenifikia...tutafutane
Nitabakii hii pande ata nikichoma picha wewe ni mwaminifu 🔥🔥🔥🔥in love with this song ❤❤❤
may God bless u more ad more with his grace..nimebarikiwa
Ni heri upande wa Yesu. 🔥🔥Kazi safi Wonder na Moji❣️
Love you guys....mko majuu
Wimbo mzuri
Nikikuita waitika, hujawi jificha hata nikichoma picha, wewe mwaminifu..🙏
Song kali, itakua number one pale #gospelswitch
Kabisaa dj terots hatakua na choice bila kuvote lazima aieke number one.😂
This round mliniamwa mnapanda pekee yenu ata dancers hamtaki😂😂😂😂😂😂
Repeat mode thou🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kazi poa sana ,great combination tungependa kufanya kazi na wewe
David Odera Junior My all time role Model En Moji Baba my hype man Great thing Nitabaki hii pande. Nionane na huyu Yesu
Nilikuwa wapi kwani the last 12 hours 😂😂am never this late but Injili iende mbele as usual🔊🔊🔊🔊🔊🎼🎼🎼🎼🎼🔥🔥🔥
Issa Wonder Wonder ! Na Shorrti Babaaaa!!! So tubaki ii Pande wadauuuzzz
Good music
True gospel 🙌🙏👌, songs mbele Mungu ni mwaminifu
Daudi
Hata Mimi nitabaki hii pandee"nionane na yesu. ...wonder and moji never dissapoints😍😍
Please David Wonder Please don't fall we need you hii pande. Hii ngoma ni Noma 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 Manze adi nimesubscribe 👐
Mtu analike wapi Mara mbili ❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
So Nice Song, 🙏🙏always you hit bro congratulations, you have never disappoint 🙏🙏🙏🙏🌹💗💗💗💯
ATA Mimi nitabaki hii pande ya Yesu.
Hata pia Mimi ntabaki hii pande walai.good song my 2 bros
Wonder wa mawonder 💜💜...I Love This ❤️❤️.. Nitabaki hii pande pia nionane na Yesu
Nimenotice these days gospel haisell kama zile gengetone... Kulienda aje
Waaambie kuna utamu kwa Yesu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Tunaenjoy manze
David wonder you are always my inspiration bro... I hope one day utanipea collabo bro tupigie Yesu ngoma Moja kali sana...... Jah Bless
Wow nitabaki pande nionane na yesu ,the song is top
Kwa Yesu Kuna Raha,,,,bigup🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥nikikuita waitika,hujawai jificha ata nikichoma pichaa
itabaki ipande nionane na Yesu 💪💯💯💯...
powerful combination of the gospel touching so many life likes za injiili
Nice song,, wapi likes za moji?
Amazing tune bruh
Mungu azidi kukutumia may you decrease as he increases be blessed
Mm nitabaki na Yesu.....be blessed David wonder and moji shortbaba
David wonder always u are my best gospel artist...I love you Sana Bro keep going..🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌷🌷🌷🌷🌷
Wonderful wonder naomba kufanya kazi na wew pliz
The song is amazing nimebarikiwa sana nikiwa hii pande...🔥🔥🔥
Nitabaki pande nionane na Yesu 🔥🔥🔥🔥big up David Wonder... The sky is your limit bro
Moji you are my inspiration ,unajituma ,let God annoint you as you spread the gospel of Jesus christ
This is a biiig tunnne❤️🔥wacha tubaki hii pande....nice job David wonder🔥
Kazi safi my brother you are taking gospel to the next level.... Ithank the lord since umeamua kustick kwa Gospel ministry .....
Goooood Music 💪💪💪, great message.🔥🔥🔥 Producer ndo aliharibu na beats😦😦
My all time favorite artists u never disappoint keep representing Christ to the fullest