Mama wakambo sijapenda,punguza roho mbaya hii ni Dunia,na Dunia inajizungusha nakila izungukapo jua inazungushwa,kama inazungushwa Kuna siku inakuzungukia ww
Mbona mnapenda kumuweka zuu kwenye senta za mateso ... Kwann msimuweke Sania . Kuna wakati nae zuu anatakiwa aigize akiwa na Raha mda wote sio mateso tu 😢😢.
Duuu yani movie ilianza vizuri ila kwasasa mumeharibu uyo mama amezidi kuharibu sana tuliipenda sana ila kwasasa kunasehumu ikifika hadi nipitishe sehemu yenyewe niyauyo mama basi tunawaomba muboreshe I'm watching from U.S.A
Jaman huyu mama mbona mbaya sana walai hata naogopa mpaka watoto wangu hawezi kulekewa na mama wa kambo hali hii anavyo mfanyia dazuu jaman kiukweli mama mchawi na watoto wake akina sania🤔🤔🤔🤔🤔dazuu pole
Kumbe limama lenyewe ata watoto sio wa huyo bwanake...lizee lenyewe kuongea kilugha tu kumbe analea watoto wa mwanaume mwnzke 😂, khaa! Acha tuone muendelezo
kiongoz umefel sehem moja katk kipande za zuu kuusu hili jeraha damu ilikuwa aitok alaf zuu anadai kupata msahada wakt dam imekatak pia hta damu kuchuluzika kweny mkona aijachuluzika
At least Leo huyu mama hajapiga kelele sana....anakuwanga na kelele mingi sana...endelea hivyo sasa uko sawa...ukiongea kwa sauti ya chini bado tutasikia tu
Zuu amini kipaji chako Cha uigizaji kipo vizuriii good 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani toka nianze kufatilia filamu zenu toka house girl,my mother,mpaka my destiny sijawai omba like Ila Leo naomba like ya da zuli
Wewe kijana una roho mbaya sana kwani ukimsaidia kumpeleka kituone Kuna nini Dah!jmn😢😢😢
Toa maoni like so muhmu😂😂
Usimkatae m2 kweny cn kinakipand atakua nafaid yak unaonaj hiy cn ya mwixh alivyo maliz mama mcharuk
Episode 10 nimeingoja Kwa hamu inatolewa lini filamu nzuri zaidi naipenda ❤
Mama wakambo sijapenda,punguza roho mbaya hii ni Dunia,na Dunia inajizungusha nakila izungukapo jua inazungushwa,kama inazungushwa Kuna siku inakuzungukia ww
Duu ila wew mama MUNGU anakuona
Jamni huyu mama mbna ANAROHO mbya sana kiasi chakua pka umkatana zuu😢
Yaan anabowa sana😢
Yaan daaaaah hta kma kuihza m spend kbsa
Zuuu pole sana uwe mvumilivu tunza destiny yako
Alafu huyu mama mnampa mda Sana part yake haibambi
Kweli iyo bwana
Umeonaee
Mm ata simpendi😊😊😊
Nafurahi kumwona lengend kwa movie hii long time sijamuona 😊
Yan uyo mama alivyotokea mpk mm nimeogop 😢😢
Kumeanza kuchangamka huku 😂😂..
Unachewa wapi wewe mambo yako huku sasa tamtamtz ndo habari ya mjini usipitwe mtu wangu ❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu mama wa kambo wa zuu jamani duuuh,,,,hilo panga alidhani anakata mgomba?? Ila mm naamini zuu atapata haki yake tu??
😢😢😢😢
Mama mchaluko amenifurahisha eti mirasta kama mizizi ya motoni 🤣🤣🤣
Mbona mwapenda kumueka Zuu kwa scenes za kumtesa ,maskinn 😢
uyu marasta ako na roho mbaya silipendi😏jimwanamke jibaya
😂😂😂😂
Sisi tukiumia uku ye analipwa kwa kuuvaa uhusika😂😂😂
Mwaaaaaa
Duuuuh hili jimama na wanae wanariho mbya wallah mungu atawaona ak
Uyu mama ci mtu poa movie zake zote yuwaonekana ni jambazi sana
Huyo mama mnahidin kabila gani,mkuria amam😂😂😂😂😂😂😂🎉
Siyo wakurya wote wako vile ni roho ya mtu
Sema huyu dada mcharuko anaupiga mwingi sio siri apewe tu maua yake🎉🎉🎉
Much love from Kenya 😮😮😮😢😢😢😢
Huyu mama anaongea Sana Hana heshima jamani .... Mpunguzieni huyu mama vipande kelel nyingi .
Jaman mnajua sana nimewapenda buree jamani
Mbona mnapenda kumuweka zuu kwenye senta za mateso ... Kwann msimuweke Sania . Kuna wakati nae zuu anatakiwa aigize akiwa na Raha mda wote sio mateso tu 😢😢.
Kama kuna mama katili kama hawa apa duniani walaaniwe sana😢😢😢pole sana zuu mungu atakulipia inshaallah 😢😢😢so painful
Mbn wengi tu
next episode please
Jamani zu mpaka natoa macozi
Duuh kimeumana baba yao kina sania asharudi
Kumbe huyu mamake kamkonde watoto n Wa inje ya ndoa n vile anamtesa Zuu hdi amemkata Kwa panga mm km mzazi naumia sana wallai 😢😢😢😢😢
😢😢😢😢sipend munavo.nitesea zuu jamani
Sass kama ulisaidiwa kwa nn unamnyanyasa mtoto wamume alie kupokea na watoto wako tena hasom wako wanasoma
Mama wakambo ndivyo walivyo
Siyo wote@@ZamzamMusa-ve5tc
😢😢
Jamani busati TV huyu mmama mbona mnampa part ndefu jamani hadi kipindi kinaisha ladha
noma sanna rammy ww ni bonge la actor
Duuu yani movie ilianza vizuri ila kwasasa mumeharibu uyo mama amezidi kuharibu sana tuliipenda sana ila kwasasa kunasehumu ikifika hadi nipitishe sehemu yenyewe niyauyo mama basi tunawaomba muboreshe I'm watching from U.S.A
Wasimuweke house girl tu
Pia mimi ni hivio hivio Hao wanakaa hawaeleweki ata
Jaman huyu mama mbona mbaya sana walai hata naogopa mpaka watoto wangu hawezi kulekewa na mama wa kambo hali hii anavyo mfanyia dazuu jaman kiukweli mama mchawi na watoto wake akina sania🤔🤔🤔🤔🤔dazuu pole
huyu mama anaongea sana... ana sura ya baba na umbo la mama
Uyo mama nimunyama kbx😢😢😢
Huyu mama anarohombay sana uwiiii
Mama mwenye nyumba anaroho mbaya
Zuri unajuwa ku igiza sana mutoto wetu
Kumbe hata mpenzi wako wakati wa shida hanakukataa😢😢😢😢pole Zuuutakua sawa
Uyu mama jamani kiboko😂😂
Wa pili jaman nipeni na Mimi like
Huyu mama aliambiwa aplay party hiii mh haimfai bora angekuwa muuza nyanya na dagaa
Hii munahalibu huyu mama wa pesa ya vikoba anatupa laha ya hii movie kwekwali ananikela
Kwa huyu mama mwebamba inabooo,,,,, musimwekee mda mrefu😅😅
Jmn kumbe kina sania wana baba mwengin aki movie inaanza kunonga sasa 😂😂bbk zuu kitakuramva ulimkataa zuu kwakuskiza manen ya mkeo
Malaika atumuon mnamueka mtu mwingine anaongea sana picha mnaalibu wa kazi gani uyo
Kweli anamatusi tena neno la mbwa kuwaambia wenzie
kazi nzur jaman
Jamani zuu mbona anapata shidaa kipenzi
Mm silipendi ILO limama linapoo liaangalie
Daa zuuh pole ila huyo mama apunguze roho mbaya jmn alafu long seen inakera punguzeni seen ndefu alafu aina mvuto tunaomb mboreshe
Kumbe limama lenyewe ata watoto sio wa huyo bwanake...lizee lenyewe kuongea kilugha tu kumbe analea watoto wa mwanaume mwnzke 😂, khaa! Acha tuone muendelezo
Na wanaume wengi ndo walivyo atalea watoto wamume mwenziwe ila wake kama anaishi na mama wa kambo hatamzingatia
@@نيجي-ن1د 😂😂
Wa hovyo sana
We Zuu Mbna unapenda kuchukua hiyo part ya mateso kila movie jamani? Daah ila we mama unaroho mbaya sana 😢
Jamn uyu mama analoho mbaya ivi
kiongoz umefel sehem moja katk kipande za zuu kuusu hili jeraha damu ilikuwa aitok alaf zuu anadai kupata msahada wakt dam imekatak pia hta damu kuchuluzika kweny mkona aijachuluzika
So lzm dm kuchuruzik
Naomb mam wa kamb kinaend kumlamb mwish wa sik ni aibu ach tuon
𝐧𝐢 𝐦𝐜𝐡𝐚𝐰𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢
At least Leo huyu mama hajapiga kelele sana....anakuwanga na kelele mingi sana...endelea hivyo sasa uko sawa...ukiongea kwa sauti ya chini bado tutasikia tu
Habari za barna boy na upi diddy😂😂😂
Huyu mama namchukia sana😢😢
Ebu mlitoe hili limama mbona anaroho mbaya kupitiliza😢😢
Aki si mama Zuu Kuja kama ghost umsaidie mwanao😢😢😢😢
Wallahi Rio.kitamkuta nayeye
Pili maboga I love you ❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Nakuo😢ne yaurumazu
Mm anaroho mby huyu
Yaani mumeharibu hiyi movie
Zuu jamn anapitia mazito😢😢😢
Asa awa wengine wanakaz gan umu
Zuu pole Jamani 😢😢Mungu atakusaidia mama wakambo ndivyo walivyo Rio nae kakutema kisa alifukuzwa kwenu atakukumbuka tu uyo Rio
Huyu mama ni shetani ama pole sana zuuu😢😢🎉
Uyu pi didy amemufanyaje uyu mother jaman
😂😅😂😅
😂
mama wakambo jaman si mama,
Kama unaamini mama ake zuu anaenda kuumbuka gonga like hap😂😂
Hiyo inaitwa anzia mwanzo
Uburna boy na uP Diddy 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂dah
Uyo pili mabog msimueke anaribu mvi bwana
Rio huyo msaliti hata shetani mwenyewe anamuogopa
Huyu mama mbna anaroho chafu hvo jmani kwani zuuu amekumosea nini mpka unamkata panga ulaaniwe wewe😢😢😢pole zuuuuu❤❤❤❤❤❤
Walah wew mama unakaa kama hujui kuzaa mungu anakuona
Huyu mama na puwa kama kitunguu mbona roho yake mbaya jamani zuu pole Sana Dada yangu😢😢
Iala wewe mama acha kuwa na loho mbaya
Pole zuu baba yak zuu akijua kein na Sania so wake hap kivumbiiiii
Kijana una roho mbaya ww
Pole zuu
Zuri wewe kila movie ni wakulia hv hapo kwenu kweli
Toa watoto WA watu
Aho mama sania anabanwa kwakwel
Hata huruma huna we jimama angekuwa mwanao ungemkata na panga hivyo ila hats kama mafunzo hayo yamezidi
Yani nyie mwaanza vzr kumuomyesha malaika alafu mwampoteza ndo nn lkn
Naomba uyo mama arudi kwake suu abaki na amani
Jamani Zuu pole sana unapitiya makubwa uyo mm wa kando atakuuwa maana sikwakukucukiya uko 😢
Pole sna zuu
Mama wa kambo hao
Pole sana zuu
Lione vile roho mbaya
Sasa mnao mchukia huyu mam mna mana gni amjui kama ni acript kapw
Kumbe zuu ndo mtoto alali wa babayake
Kaliii