Wanabusati mim nina ushauri mngemaliza house girl, nafsi, my mother,my destiny ingekuwa vizuri kurundika kazi inafanya wafuatiliaji wenu wasifatilie kazi zenu mpya bora mngemaliza house girl na my mother kwanza
Kali yamwaka story zuri vijana wakazi mungu hazidi kuwa bariki vijana tuna wapendwa wenzangu ❤ni kwaniaba ya huhogozi wa bembe Capany Tv Online pamoja na bembe stars edimond 🙏 ✨️ 💖 mume huwa sana wadugu tupo u.s natuna patikana kigoma Kasulu nyarugusu camp
Mm nilipendekeza huyo shemejiye zatiti angechukuliwa hatua kwa yale aliyomfanyia zatiti coz kulikuwa na evidence ya bangle aliyompa lakini tena kwa u pande mwengine huyo shemeji alifanya hivyo akijua kila mtu yuafahamu mwenye hicho bangle ni chiko kwa hivyo chiko hangeruka hapo..basi ni yasahaulike tu alivyosema chiko
Katika watu mliyo feli kuweka kwenye hii move ni huyo mpenzi wa chiko, anapayuka sana haonyeshi uhalisia wa kile anacho maanisha, jitaidini kumuweka sana.
Haya msasa kanyoe ndevu zachoma😂😂😂...ila nyieee😊 ni wapi uku? Tamthilia ni nzuri Mashallah ❤ ila hii scene ya mwazani na mzee jaiva mbona kama imerudiwa au mm tu?
Aise yani hii tamthilia yenu ni nzuri sana... imebebwa na mk wa Chiko..... hivi mmemtoa wapi huyu dada???? Nani anisaidie mawasiliano yake.. nina kazi nataka tukashoot. Mke wa chiko ni 💥💥💥💥💥
Mke wachiko modo wangu nafatilia move zako uliekit move yakichaw na tin wait kama siwema na kubali unaweza sana kipenzi achana na maneno yawa2 bwa2 awo tuna kupenda mashabik zako 😢😢❤❤❤❤❤❤
Zatit unajua kuingiza na mungu akujalie upande daraja mpk ufike level za kina Jacqueline wolper mm binafs yng namii unaweza❤❤❤❤
Twaombeni house girl dk ziwe 50 wanaoungan na mm mpo au hampo,🌺🥀💐🌹🪻🙏🎉🎉
Waendeleee❤
❤hata ikiwezekana iwe 1hr
Ikiwezekana 1hrr❤❤❤🎉🎉🎉😅
@@NuraMunyasia kabisa
@@RebeccaRhobi kabisaa
Mke wa chiko anajuwa kuigiza Sana na mkubali asiye mkubali atajuwa mwenyew busati mwangalien uyu dada tume mpenda🎉🎉🎉🎉❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ hakika
🎉🎉🎉🎉🎉❤
Hatimaye zatiti ameona waooo Asante mungu❤❤❤❤❤
😂😂😂chiko uyooo mwanamke umempata wapi uwendani naye kabisa bora ya zatiti upo nae vizurii ika uyo mmmh
Shemeji mbaya sana kweli kambaka hhhhhh kumbe na yeye mbaya sana sana
Tunawapenda sana wanaho mkubali zatiti lahiki apo jaman
Mashaallah zatity unaona sasa mungu akubariki
Kazi tamu sana
Nimekuona mr tasha😊
Kabisa
House girl mbona haitokiiiiii sasaa😢
Tasha house girl dk mtuletee 50 km hv Wana busati Huwa twainjoy kuwangalia 🎉 tamsilia zenu 🌹🪻🌺🥀💐
Mr Genius mbn ivyo tna mwatulate down 👇 snaa
Chiko itakua demu wake kweli zatiti
Team zatity tujuane kwa likes jamani❤❤
Tp
Ya Allah nakuomba mwenye atasoma coment hii umfungulie milango yote ya baraka na umjalie kipato cha halali na mwisho mwema...🤲
Amiin sote
Amin
Amen
Amina 🙏
Amiin🤲🤲
Yaani nyie mnatuchanganya jamani hatuelewi hata tubaki wapi mana kote kuzuri subirieni basi tumalize kule
Hii movie mngeiendeleza tamu sana jamani
Mbona mapema sana mnatuleteya mwisho wakati titunawasapoti sana ama amtakituwasapoti 🎉🎉🎉🎉🎉😮😮😅😅
Zatiti chukua maua yako akii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤😢😢
Wa mwisho mimi ila siombi like😂😂😂naomba mnipitie guys nawaomba plz
Huyu bibi yachiko mbone nmgonganishi alafu haendani nachiko heri zatt🎉🎉
Chiko,zatiti na kai mmecheza vizuri sana hongereni sana Mungu awafikishe mbali zaidi
Wanabusati mim nina ushauri mngemaliza house girl, nafsi, my mother,my destiny ingekuwa vizuri kurundika kazi inafanya wafuatiliaji wenu wasifatilie kazi zenu mpya bora mngemaliza house girl na my mother kwanza
Kama my mother washasimama
Daah pont sana
N kwel kbxa
My mother mbn washamaliza mda tuu ina vpande 30 tuu
My mother walimaliza mbona
Mama mkwe na mkwe wake wamenichekrsha saana 😅😅 yanini kuingilia upendo wa chiko kwa zatiti
Busati kwa mala nyingine mme tuletea msanii mpya biya uyu dada mke wachiko nisinge angalia hii move yupo vizuli 😂😂😂 ume changamka wasiyo kupenda achana nao🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Atimae siwema mchawi ume tufikia busat nakibali move zako mke wachiko mcharuko❤❤❤🎉🎉
Chiko na bwanake rahma kunyoa ndevu ni how much😅😅😅😅
Mbavuuuuuuu😅
Mmmh leo chiko na kay wamekaa kiti kimoja jamn wakt house girl kule uwiii vita ni vita mulaa!!
Jamn zatiti kiuhaliasia n mwanamke Bora
Jmn zatt kanog lakin . Zatt kuonà kipandecha pil Aon itapoà atàmatés ajapitia san😅😅
Kazi nzuri chukua maua yako zatiti❤❤❤🎉
Mashallah movie ni moto ...bibi ya chiko hongera sana ❤️ ❤️❤️
Ila huyo mchumba wa chiko hajui kuigiza bhana bora hata msingemweka anatupotezea muda tu hapo
Kabisa yani kwanz mbovu
Hii move nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉
Kumbe chiko akiigiza na roho nzuri kumbe anakuwa mzuri hivi ILove chiko
Tumengoja sana love is blind,,
Huyu demu wa chiko hajuwi kuigiza mweeeh mtowen sisi kama mashabiki hatumtaki maaan hatumuelewi mweeeh😂😂😂😂😂😂
Makelele hata haeleweki sura yenyw kma yangu😜
Ukweli kabisa nilitaka kuongea ila nikasema kilanga koma😂😂😂
@@mummyjei5634 hahaha 😆 😂 🤣 😅 waogop nn 🙌😜
@@Benti-f3o we huogopi 😀😀😀😀
Mbona final 😢mama chikoo😢😢kumbuka my mother basii bana
Kali yamwaka story zuri vijana wakazi mungu hazidi kuwa bariki vijana tuna wapendwa wenzangu ❤ni kwaniaba ya huhogozi wa bembe Capany Tv Online pamoja na bembe stars edimond 🙏 ✨️ 💖 mume huwa sana wadugu tupo u.s natuna patikana kigoma Kasulu nyarugusu camp
Uyu mke wa chiko hawa endani hata kidogo
Kabisa yani hawaendani na hajui kuigiza kabisa
Mm nilipendekeza huyo shemejiye zatiti angechukuliwa hatua kwa yale aliyomfanyia zatiti coz kulikuwa na evidence ya bangle aliyompa lakini tena kwa u pande mwengine huyo shemeji alifanya hivyo akijua kila mtu yuafahamu mwenye hicho bangle ni chiko kwa hivyo chiko hangeruka hapo..basi ni yasahaulike tu alivyosema chiko
Katika watu mliyo feli kuweka kwenye hii move ni huyo mpenzi wa chiko, anapayuka sana haonyeshi uhalisia wa kile anacho maanisha, jitaidini kumuweka sana.
Haya msasa kanyoe ndevu zachoma😂😂😂...ila nyieee😊 ni wapi uku? Tamthilia ni nzuri Mashallah ❤ ila hii scene ya mwazani na mzee jaiva mbona kama imerudiwa au mm tu?
Aise yani hii tamthilia yenu ni nzuri sana... imebebwa na mk wa Chiko..... hivi mmemtoa wapi huyu dada???? Nani anisaidie mawasiliano yake.. nina kazi nataka tukashoot. Mke wa chiko ni 💥💥💥💥💥
Mchumba wa chiko nakubali sana modo mcharuko wangu kutoka busati😂😂😂❤
Mke wachiko mtalajiwa uko vizuli nakupenda sana achana na chiko njoo Kenya 🇰🇪 mpenzi❤❤❤❤😂😂
Zatiti unajua kuigiza na mungu akujalie upande daraja mpaka ufike level za kina jacqueline wolper ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mke wachiko tuna kupenda sana kalibu busati wasiyo kupenda achana nao tupo sambamba na wewe kutoka dodoma ❤❤❤❤❤ umeweza umeweza sana🎉🎉🎉🎉busati uyu msanii yupo vizuli mchaluko mke wachiko😂😂😂😂😂
Jaman Yan hapo zatiti kauwa kabisa na chiko
Kazi nzuri sana like kidogo watazamaji na mimi apa
Zatiti kuxemakweli kuigizatou maxhaallah unaweza🎉🎉🎉
Zatiti ameona ,mungu mwema,anamwita Kai Chiko
Uyo demu wa chiko kaaribu kabisa hajui kuigiza
Zatiti pole, Rahumah unaroho mbaya chiko achane nawuyomuchaluko afuma machiko vitendo viako nagisiulivio abyendani alo Zatiti rimurembo ❤❤❤
Mke wachiko modo wangu nafatilia move zako uliekit move yakichaw na tin wait kama siwema na kubali unaweza sana kipenzi achana na maneno yawa2 bwa2 awo tuna kupenda mashabik zako 😢😢❤❤❤❤❤❤
Napenda sana kazi zenu namungu azid kuwapa afya njema
Chikoooo umejikuta unamapenz ya dhat ahahahahha utafikir sio chiko wa house girl
Zatity nice work
Nzur twende nayo mpo vizur❤❤❤❤
Nakupenda sana zatiti mungu azidi kukubariki
Chiko huku umetisha unabusara na hekima na upendo wa dhati ĥongera sana nawapenda sana❤❤❤❤🎉
Au mwanz tu mnajifanya kutupa dakikaa nyingi badae mnatuzinguaaa
Ila rahama kahhhhhhhh acha roho mbaya na wewe jamani
Ila zatiti Kwa kulia 😢😢😢😢. We kibokooo
yani saiv busati tv mmejipata hamtaki mnafanya mnavotaka tuwekeeni house girl
Wapuuz sana😏
Jamn move aishi bila zatiti kulia mbn mwapenda kumuonea
Razma Chiko na Zatiti inaone kana wanaweza kua niwapenzi maana sierewi Chiko mpenzi yake na Zatiti
Huyu mama w chiko wahovyooo sanaaa
Hyo bi harusi mtarajiwa Sura kama matako
😂😂😂😂😂
Nime mpenda mke wachiko yup vizuli kwanza ame changamka chaupepo🎉❤❤
😂😂😂
Mke wachiko mchaluko cha loho mbaya na kupenda upo vizuli wew na sania loho zenu zina endana kutoka busati make wachiko😂😂😂😂❤❤❤❤🎉
Nawapeda cutoka Kolwezi 🎉🎉 🇨🇩
Hata mimi niko kolwezi djalasiga congo basi tuwasiliane
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉❤❤❤
Bhn hatujaona mwisho wa shemeji..dada zatiti ..mama ake chiko na yule demu ake chiko😂🙄
Badilisha wigi kwanza mchumba wa chiko halafu hujui kuongea
Jamnii so amazing and emotional 😢😢 chikko u deserve to be with zatiti
Jamani na zatiti namuhurumia mm
Wew mama chiko Kwan kipofu sio mtu
Kiikweli zititi na chiko mmekamua hapa mwanzo tunategemea mazur ❤❤
Chiko nimuongo zatit mkatahe nijambazi huyo badaye itageuka fimbo zatiti kataha😂😂
Nimempenda sana mke wa chiko from Kenya 🇰🇪 ngoja like kwa mke wa chiko yakeeeee
Busat mmeanza uzabinazabina malizen move mojamoja
Wahoooo zatit kahon ten😮❤❤❤
Tamuu sana ❤❤
Natamani huyo shemeji wa zatiti afungwe kwa hio kitendo la kumbaka zatiti😢
Upcoming RUclipsrs, tupitianeni hapa pia sisi tugrow pamoja ❤❤❤
Kazi safi🎉🎉🎉🎉❤❤
Tunaomba mamake zatiti akuje kama msimu awe akimfariji kama bib uko house girl
Busati nawapenda Sana kutoka Arusha ila mke wachiko yupo vizuli wanao mkubali komenti juu napenda alivo cheza kiukatili yupo vizuli mke wachiko kalibu arusha❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😅
Tunaomba house girl
Pole Zatiti wangu,,,,mimi nakupenda tu hata kama umebakwa na jitu lisilo na akili jitu lenyewe baya kama jeneza la mchawi😢
😅😅😅😅
Hahahahah umetishaaa mama maan anasura nzito kinyama make duuh Kwanza anatishaaa midevu yake kama osama😅😅😅😅
Iyi film itakuja kuwa bombaa ❤
Zatiti anajua kuigiza
Kazi nzuri sana zatity 🎉🎉❤❤❤
Mke wachiko unajuwa sana mwigizaji mpya busat
😂😂 chaupepo 😂ako vizuri
Nice zatity
Uyo mtoeni dada mwenye mawigi kama fagio la mochwali ajui ata kuigiza kuongea2 kuoga aaah
😅😅😅😅😅😅mpe vidonge vyake yaan yupo yupo anaogea bila kuweka kituo khaaaà hajui kuingiza kabisaaa😂😂😂🎉
Wigi wenyew chafu hawezi hata kuigiza kuongea sana tu kucheza part vizuri aaaaah😂😂😂
Kazi zuri zatiti dada unaweza kuingiza kila sehemu ukiwekwa unashaini na unafauru
Huyu mwanamke wa chiko anaboa hajui kuekti hashuo jingi
Erega wakwanza atakuwa wakwanza 😂 arakini na iyi nawona iko saw😂🎉
Ana wenge sana huyo alafu Ana sura ngumu sana
Kuigiza anaigiza ila anatumia nguvu sana
Wenye tumelia pamoja na zatiti tukutane hapa
Ila Chiko movie zote anampenda sana Zatiti
Huenda nimke wake kweli
Kiuhalisia ni mke wa Tasha zatity@@SharonMasitsa
Itakuwa na kiuharisia anampenda kweli 🎉🎉🎉ila wanaendana sana au vipi😂
@@SophiaJoseph-n4o Mkewe wa halali kamuoa
Next ep please
MWANDISHI AMEONESHA UWEZO MKUBWA SANA
Mama Tasha macho matege😂😂😂😂😂😂😂
Wametuonjesha utamu alafu 😂😂😂😂