Yaani kila mtu na maisha yake hapa duniani muhimu ukiona ...mwenzio ameharibikiwa muombee kwa Mungu abadilike na sio .kusema ama kutoa maneno mabaya dhidi yao kumbukeni na NYINYI mna watoto wenu ama mtazaa ..tuwe makini na midomo yetu.......WATUMA COMENT UJUMBE WENU 😏
Mariam Godfrey😂😂😂alikuwa anawahi kuwachamba wanaomsema!!!Ila kazi wanayo sio mchezo na hali ngumu ya maisha wangetafuta kz ya kufanya kuongeza kipato Cha familia.
Ila waschana jaman kwann msifanye kazi lakin uswahil una faida gani
Mashallah Mama na mwanaee wote wazurii vichuna 🤣🤣🤣🤣
Mmhhh makubwa haya.... Vpi kaka zahiri mbn kimya sana twaitaji sad moment tumewachoka hawa machangudoa
Tena machangudoa wasio namatunzo biremba Kama bi nyakomba
Bi nyakomba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hatari , kwani ukitaka ushoga na mtu hadi upeleke maombi ? Alhamdulillah nashukuru sina mpango wa mashoga .
Mmmh! ☹️😭 Subhannallah ☹️ njooni huku Oman mfanye kazi jamani mbona mwajidhalililisha?! Njooni mtafute pesa ninyi jamani
Siyo sifa hizo binaadam tubia dunia inaishaa mtihaniَ mungu atunusuru ishaalah🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yaan wanajikutaga mastaar sana hawajui kama wanafanya upuuzi tupu subhanaAllah mwezi mtukufu awauoni 😥😥😥
Show mbovu njoo uje utuhoji wagonjwa
Wacheni ujinga njooni muoshe vyombo kwa warabu mupate pesa😂😂
😂 😂 😂 😂 nitafutie mimi hiyo kazi ya kuosha vyombo..
happ hya nitafute
@@happylynguya3464 happy hy nitafute
@@adamally6 💃💃💃Asante sana😍😍
Yaani hawnaa haya kabisa hta akili pia hawana .
Yaani kila mtu na maisha yake hapa duniani muhimu ukiona ...mwenzio ameharibikiwa muombee kwa Mungu abadilike na sio .kusema ama kutoa maneno mabaya dhidi yao kumbukeni na NYINYI mna watoto wenu ama mtazaa ..tuwe makini na midomo yetu.......WATUMA COMENT UJUMBE WENU 😏
Nimekupenda bure maana huna habari 😄😄😄
Jaman mwenzenu mbona mm siwez kaz hii alhamdulilah mungu wangu nisitiri
Wanne
Hicho kilemba sasa kilivyofungwa nyonyo sasa hata sidiria hajavaa eti kaja kuchamba kazi mnayo.
Mariam Godfrey😂😂😂alikuwa anawahi kuwachamba wanaomsema!!!Ila kazi wanayo sio mchezo na hali ngumu ya maisha wangetafuta kz ya kufanya kuongeza kipato Cha familia.
🤣🤣🤣🤣🤣
Cjui niongee au bas
Watatafuta kazi WAKATI wanaenda nazo kuchambua, kazi zao
Wanawake tumekosa haya
Huyo wa nyuma ana sura personal
Wa tano mimi
Halooo
Kaz ipo
Mwambie atowe namba uyo chautundu
Watatu
🤭🤭
Pumbavuuu!
Ngariba mtoto eti nimeipenda iyo.
Narudia kwa style hii mtaishia kuzalishwa tuu yani hapo team nzima hakuna alieolewa😳😳😳
Wadangaji wote hawa ..hivi wangekuwa na kazi wasingefanya huo ujinga
@@fatumakassimu5923 kabisa my dear
Kabsaa
Nani ataoa wadangaji
wa kwanza
Wa pili
uwiii hatari nataka nijue uwo utundu mmmh😊
Kazi mnayo jaman kila leo mm
Tafsiri za ndoto
ruclips.net/video/NOwMF5iDmIQ/видео.html
Hawa ni kazi wamekosa ndio maana wako kibarazani kutafuta wa kuchamba
😅😅😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣 muandishi eti haya dabukwa sasa 😂😂😂
Mmmh mambo hovyoooo 😒
🤣🤣🤣🤣🤣
Acheni umbea nyie tafuteni kazi na vijibiashara vyakufanya mumalize umasikini
Tatzo shule apo.
Alaf nyooote mnakaa njaa aisee.kube vyebaba n midomoooo.cheeei.
Nyie wanawake hata Mungu hamumjui ila siku itafika mutaona nguvu yake na hizo jeuri zenu mutatulia chini kama mkeka wapumbavu nyie