Yaani watu wa humu ndani wanavituko kweli mtu anakataa hana umri huo utasema aliyemzaa ni yeye,,basi kama mnacheti chake cha kuzaliwa onyesheni mana mnapingana na mwenyewe kanakwamba nyie ndo mnamjua vizuri,,mnabohaa jamani khaaa...Happy birthday shishi baby miaka kama yote yenye baraka na mafanikio tele,,,enjoy your day my dear....
@@eliyajeremia1447 hahahahaha 😆 😂 alafu hawa wasaniii bhana wote waongo mimi nasoma darasa la tatu nimemsikia wema miss nawasikia wakina ailine wakina ant saiv nina thelathin na upuuzi huko eti wana 28 mara 33 mar 34 hyo anty saiv 41 shishi 39 ailini 39 au 40 pumbafuuu
Kwakweli wasanii mnapenda kuongea maneno kisha mnasahau kwenye shunghuri ya Irine uwoya mwaka juzi ulisema wewe na Irine uwoya mmezaliwa mwezi mmoja na mkasema mna miaka 34 Sasa hiyo miaka 34 tangu mwaka juzi mpka aleo hiyo hiyo? Na huyo Irine uwoya ndio kadanganya kabisaaa eti 32 sijui 33 msiseme uongo bhana saivi shishi utakuwa na 36 pamoja na huyo Irine uwoya
Ndio mana wanaamuaga kudanganya kweli coz hata wakisema ukweli hamuwaamini. Uyo mwanae wa kwanza alimzaa akiwa na miaka 14 alisema baada ya kubakwa na bamtoto kichakani
Happy birthday mumy, kwa mara ya kwanza leo umependeza sana mashallah maana kwenye kuvaa mpendwa huwa unachemsha 😉 ila leo 👌🥰
Blessings you Shilole and your
beautiful family💖 👪 💖
HAPPY BIRTHDAY 🎂 🥳 🎉
Kwa hio miaka sijui
*Shishi mzuri wa sura maashaAllah sikuambii tabia zake*
@@esthermutabuzi4582 kwel
Hongera shsh nimependa
Happy birthday shishi baby nakupend
Happy birthday 🎂 🥳 🎉 🎈 shishi
Yaani watu wa humu ndani wanavituko kweli mtu anakataa hana umri huo utasema aliyemzaa ni yeye,,basi kama mnacheti chake cha kuzaliwa onyesheni mana mnapingana na mwenyewe kanakwamba nyie ndo mnamjua vizuri,,mnabohaa jamani khaaa...Happy birthday shishi baby miaka kama yote yenye baraka na mafanikio tele,,,enjoy your day my dear....
Mbona wewe hjaweka sherehe mama kama watu wengine! HBD my love
Mashallah shishi wewe ni mama bora
Mm totoz
Munaesema ni muongo amedanganya umri si 34 tuleteeni card yke ya kuzaliwa watu wanakaa kuyajua maisha ya Mtu zaidi ya huyo mtu mwenyewe
Wewe ni mwanamke mpambanaji hongera
34 2?
Mashaallah watoto wazuli mashaallah
tabarakallah😘
Hii ya kujishusha miaka mastaa wa kibongo mi ata cwataki..
Kamzidi Arni uoya mwaka 1 😂😂
eti macho ya waja😁😁😁
Shilole 34 mmh kumbe bad
mdog tuu happy birthda shilole
39 muongo nae huyu miaka yote 34
@@magrethsanga942 🤣🤣🤣🤣 wasann wetu umri unarud nyuma
Antiezekieli utasikia ana 28 watu tumeanza kusikia nyimbo zao tuko darasa7 leo siwenyewe tuna 30 waondo Wana 34 huu uongo niwakiwango charami
@@eliyajeremia1447 hahahahaha 😆 😂 alafu hawa wasaniii bhana wote waongo mimi nasoma darasa la tatu nimemsikia wema miss nawasikia wakina ailine wakina ant saiv nina thelathin na upuuzi huko eti wana 28 mara 33 mar 34 hyo anty saiv 41 shishi 39 ailini 39 au 40 pumbafuuu
Alianza kuzaa akiwa std 4
Mmmh
Miaka 34 itakua
Zaidi. Bhana. Unajua. Wengine. Awapendi. Kusema. Ukweri. Nisiri. Yao wengi. Awapendi ktaja. Umri. Maarumu.ikiwa.ao.watoto.ni.ni.banti.wakubwa.tu.au.alianza.na.miaka.10.kama.yeye.mwenzetu
Kashika.34.ila
Nisiri.yake.
Umekuza wtt punguza kulala na vijana mtashea wanaume mwishowe
h b d my love wa tabora mwisyane bho
Mimba imepotelea wapi tena
Waongo 34 mmh
Kajitahidi sio kamazari kutwakucha yeyenamwanaye kwenye mitandao
Usipomnywa utamnawa au utamfua nguo🙄🙄🙄🙄
Happy birthday shishi wangu!! hujafikia 40 ila 34 years no..mdogo wangu .. nakutania mwaya😁😁😁😁
Kafika na kapita hawa watu sijui wapoje kila siku kurudisha miaka nyuma kisa vibenteni dah wasitudanganye saiv ana 39 au 40
@@magrethsanga942 kabisa
Shishi ni mdogo sana
@@magrethsanga942 anaukubwa gani sasa huyo
Hahaha ila mama yao mhhh!!kajua kudanga ndio maana hatak watotowake wawe kama yy sema nn maji hufuata Mkongo.. 😄😄😄😄😄
Kadange n ww
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Kwakweli wasanii mnapenda kuongea maneno kisha mnasahau kwenye shunghuri ya Irine uwoya mwaka juzi ulisema wewe na Irine uwoya mmezaliwa mwezi mmoja na mkasema mna miaka 34 Sasa hiyo miaka 34 tangu mwaka juzi mpka aleo hiyo hiyo? Na huyo Irine uwoya ndio kadanganya kabisaaa eti 32 sijui 33 msiseme uongo bhana saivi shishi utakuwa na 36 pamoja na huyo Irine uwoya
Wasanii wa kibongo hawa yaani acha tu hawaoni nikki minaj ana 39 na kinaonekana kadogo kuliko wao
Sura ndio zina waumbua licha ya makeup
Awa hii miaka yao kweli
Hakunaga msanii wa bongo mwenye miaka mingi wote ni under thirty
Kumbe shishi mtoto 34
Kumbe shilole Bado sana
Mbona Hawa wamama wa bongo wanapenda kudanganya miaka?? Watu wamegonga 40+ lakini bado wanakazania 30s upuzi tu😏😏😏😏
Huyu mdog kafanan na maake kasur na macho huyu mkubwa kabeba rangu halis ya mamaake na ubongee
Siku hizi hawajstri alivyokua na uchebe walikua wakivaa vizuri hawakuacha vichwa vyao wazi
Alijistiri na kipigo akapata sasa alipata faida gani? Labda pia alikuwa anafunika kichwa kuficha manundu. Acha ajiachie now🥳🥳🥳
@@vanessalaizer4363 😂😂
@@vanessalaizer4363 😂😂😂
Kumbe amekuwa na watoto wa kubwa kiasi icho aya ss na vp kuusu baba zao au mmoja ni wa uchebe
kudadeke matunda yameiva
Inamaana shishi na mimi tumepishana miaka 2 siamin wallahi..
Ndio wasanii na usanii. mtu unakuta ana mtoto miaka 20 na yeye miaka 34.
@@jimboulaya kwakweli me huwa sioni haja ya mtu kuficha umri ilhali unaonekana umri umeenda kweli..
Huamin nini unatishwa namwili
Inawezekana maana shilole alizaa mapema chini ya umri wa miaka 18
alizaa akiwa mdogo sana kama ulipitiaga interview zake za zazamani nashilole sio mkubwa hyo ndio miaka yake kweli
Kwani shishi din gni? Mbona majina ya watoto wako Joice na Rahma
Eti 34 mmmh
Amewaka mbali sana wanae na mitandao nimefurai kwa hilo
Miaka kadanganya
🤔🤔🤔🇰🇪
Ndio mana wanaamuaga kudanganya kweli coz hata wakisema ukweli hamuwaamini. Uyo mwanae wa kwanza alimzaa akiwa na miaka 14 alisema baada ya kubakwa na bamtoto kichakani
@@vanessalaizer4363 muongo tu 14 ya nani