🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 134

  • @AsiaAroun
    @AsiaAroun 13 дней назад +1

    Subhana Allah jaman tiba hii wafanya waganga sharifu hafanyi tiba hii

  • @HassanTwahaHassan
    @HassanTwahaHassan 19 дней назад +5

    Huyo nimganga wakienyeji hanaushalifu wowote tapeli mkubwa uyoo naallah ipo siku atamfezehesha

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 7 дней назад

    USHIRIKINA WA WAZI

  • @UmmyHafsah
    @UmmyHafsah 14 дней назад +2

    Acheni kutudanganya.allah awaongoze

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 19 дней назад +4

    Huyu jamaa ni mpiga lamri haya hayakufanywe na watu wema walio tangulia huyu anauchafuwa waislam Allah hamuongozi mpiga lamri

    • @yusufjuma3288
      @yusufjuma3288 18 дней назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂Asif bin barkia akaleta kiti cha malkia bilqis kabla nabii suleiman hajapepesa macho.......Huyo alikuwa miongoni mwa mawalii

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa 18 дней назад

      @@yusufjuma3288 ishara za ghaibu ndo Haram kilipu ya kufukuwa mahiriz hapo hakuna walii halafu kutibu watu si mpaka mtu ajiseme yeye ni kiboko ya wachawi

    • @abdallahmindika1641
      @abdallahmindika1641 14 дней назад

      Hatari sanaaaa​@@yusufjuma3288

  • @OmaryAlly-h3h
    @OmaryAlly-h3h 6 дней назад

    Uganga huo sio MAELEKEZO ya Mtume wetu Muhammad S,A,W ALLAH ATUHIFADHI

  • @swalehaltooq5233
    @swalehaltooq5233 17 дней назад +4

    Huyo msaidizi wake hajui hata kuigiza hahahahahaasaa

  • @JumaAlly-v5w
    @JumaAlly-v5w Месяц назад +3

    Mungu akulinde

  • @YunisB-x9c
    @YunisB-x9c Месяц назад +2

    Kamata Kamata Chuma ulete wote..
    Kamata Kamata Wachawi na Wanga. Kamata Sukule na Wanyowe wanyowe Wanga na Wachawi.
    Jazakallah Kher Sheikh Sharif Firdaus Al Qadir
    Fi Amanillah ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AbdallaShehi
    @AbdallaShehi 11 дней назад +1

    Subhanallah hizo nimiongoni mwaishara za kiama

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 13 дней назад +2

    Huyu anataka apigwe fimbo tapeli mkubwa walifukia baadae walienda kutoa

  • @alikidungura9419
    @alikidungura9419 24 дня назад +2

    Wizi upo mbinu nyingi kuaminiwa nawatu nakini huyu jamaa mshirikina ila anaapitia imani ya dini ili watu wasimtambuwe ila wew kaka mungu hachexewi

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 13 дней назад +1

    SUbhanallah hiyo ni dua gan jaman mbona haitambuliki ni sura ji adhan au ni nn w ni mganga wa kienyej acha kujifanya unasoma huna unalolijua maan kysom kwenyew hujui

  • @storytime1204
    @storytime1204 17 дней назад +2

    Allah hapend shirik😢unaleta shirki kwenye dini😢

  • @muddytv1513
    @muddytv1513 15 дней назад +1

    Wamechimba sehemu tofauti tofauti mkaja kumalizia kwa mikono 😢😢😢😢😢😢
    Na yule anaulizwa mda mrefu au mfupi kajibu mfupi 😂😂😂😂 kasahihishwa tena

  • @HamadHatib-z5f
    @HamadHatib-z5f 15 дней назад +2

    Acheni kufanya hada kwa watu hamuwez chochote hata kuruani hamujui kazienu niutapeltu

  • @christopherjefa1689
    @christopherjefa1689 12 дней назад +1

    Atatajirika.....uliza wakenya(pwani) ulizeni beba beba alikua nani? ....huyu anafanya vitu tushaviona miaka kumi iliopita. Nguvu za uchawi anazo tumia huyu ni kubwa kuliko wachawi anao wakamata. Anakamata wachawi wadogo. So mchawi mdogo na mchawi mkubwa wote wachawi. Jueni hilo watanzania

  • @ibrahimayoub8972
    @ibrahimayoub8972 16 дней назад +1

    kutamka tu herufi za kiarabu anakosea hawezi ndo anajiita shkh acheni upuuzi

  • @muridundhikri
    @muridundhikri 19 дней назад +2

    Kafukia mwenyewe huyo tapeli

  • @jynajyna5835
    @jynajyna5835 14 дней назад +1

    NI KWELI WASHIRIKINA WANACHIMBA HAPO NA WANACHORACHORA KAMA TUNAVYOWAONA LIVE NA NGUO ZAKE ZA KIJANI NA KILEMBA CHAKE

  • @fawziyahassan5714
    @fawziyahassan5714 15 дней назад

    Mungu atawadhalilisha Wachawi na walaghai wote

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana 10 дней назад +1

    Ndoayo kishki Yuko anasema siosheria iyokabsa mnauzalilisha wislam

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 16 дней назад +1

    Huyu jamaa anafana mambo ambayo dini imekataza kabisa shirki hata Mitume na maswahaba hawakufanya kitu kama hichi

  • @MbwangawamashesheMasheshe
    @MbwangawamashesheMasheshe 19 дней назад

    Usilam wetu aunaizi mungua awaonyeshe njia yahaki kbla amja chomwa moto

  • @ibrahimayoub8972
    @ibrahimayoub8972 16 дней назад +1

    et sigino haa uisilam gani huyo nimchawi kama wachawi wengine

  • @Zafarmohamedy
    @Zafarmohamedy 7 дней назад

    Mtapigwa sana hela

  • @SheikaYussuf
    @SheikaYussuf 17 дней назад +1

    Huyu shekh sharifu angeenda pale mtoni kwa AZIZI ALIY mitaa ya SIFA SERENGETI MPK LERINI😂😂😂😂😂😂 kule kuna MAGWIJI BALAA

    • @user13375
      @user13375 13 дней назад

      Cha ajab hao magwiji nap na waislam😮😮😮😮

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 7 дней назад

    😅😅😅😅😅😅😅😅 upigaji ni mwingi mwaisa

  • @ibrahimayoub8972
    @ibrahimayoub8972 16 дней назад +2

    hizi njaaa zinawafanya mkufuru

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide 10 дней назад

    Usiulize kuzikwa kazi ww hujaanza leo unaweza kueka hapo miez 3 ukarudia kupafukua,ata kutaja jina la mtume mohammad (s,a,w)hujui vizur unakuwaje kuwa mjukuu wake?eti sharifu 😢😮

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 8 дней назад

    Haya mambo hufanywa sana na waganga wa kienyeji, hii inaonyesha yesha huyu jamaa dah mganga maana sharif hafanyi hayo, vinginevyo a gefanya Mtume ambaye ndiyo Kigezo chema. Haha mambo yanadharilisha uislamu, vipi Bakwata mpo wapi viongozi wa dini mpo wapi? Huyu hawezi kufanya haya ila 19:35 kwa kibali je kapata wapi kibali. Hili ndo swali langu.

  • @ABBASISAIDI-c5u
    @ABBASISAIDI-c5u 7 дней назад

    Ata washilikina wenzake uku mtwara walikua wanajifanya kuzimia pind wanapo waongopea watu

  • @biommy6700
    @biommy6700 17 дней назад

    Haya mambo yapo kweli mwenye alijamfika awezi amini, watu zikiwa vitu kwenye nyumba,,, sheikh pls nakuomba ufanye utaratibu wa kufika kenya mombasa,,, mtongwe tu nateseka mno.. Yani nina mingi wacha tu

  • @HassanAbdullahHassan-i7p
    @HassanAbdullahHassan-i7p 9 дней назад

    Kuishu kwingi huona mengi taire sharifu

  • @mulisammy970
    @mulisammy970 Месяц назад +1

    Fungua branch Kenya tuzaidike doctor

  • @mohamedimiraji5495
    @mohamedimiraji5495 3 дня назад

    Mtu akiamua mkakati wake si anaweza kufukia hata mwezi mmoja kabla?

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf 9 дней назад

    Huyu mwanga et Hana usharifu mmoja kweli sharifu anakaa ivo wizi tu kuibia watu Hana lolote

  • @saalim5401
    @saalim5401 11 дней назад

    Hawa mabwege kweli huu uganga sio uisilamu Allah awadhalilishe ili msiichafue dini yake

  • @NyumbweAnafi
    @NyumbweAnafi 5 дней назад

    Makarama hayo msijifanye hamjui simumesoma nyinyi

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 13 дней назад

    Huyu hata kusoma hajui wallahi msimba huyu😢

  • @SuleimanSuleiman-r8h
    @SuleimanSuleiman-r8h 21 день назад

    Huyu mzee alovaa kofia mote yumo katika video kule msikitin yupo anasema anaumwa na mwili na hapa pia yupo

  • @UaeUae-e9l
    @UaeUae-e9l 12 дней назад

    Na wengi ni wanawake wanaojikusanya hapo kudanganywa jaman umma sjui unaenda wapi

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide 10 дней назад

    Vitu ameviweka yy huyo ili ajekuonesha kuwa yy nimjuwaji anamakarama,na aende Zanzibar km atapata mfuasi ata mmoja,anawazuga wabongo wasokua na msimamo wa dini

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 10 дней назад

    Huyu asituletee usanii kwenye dini
    Atadhalilika vibaya

  • @OmAn-we8ly
    @OmAn-we8ly 8 дней назад

    Huyu si mganga wakienyeji huu sio uisilamu na si tiba kisheria huyu ni mpigaji

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana 10 дней назад

    😂😂hahhhhhh aceni ujanjaaaaa kimwamposa nyinyi😅😅

  • @fahamimiraji2338
    @fahamimiraji2338 17 дней назад

    Falak hajui kuisoma wallah allah atakufedhehesha

  • @HamisiChisanga-h1z
    @HamisiChisanga-h1z Месяц назад

    Allah akibar njoo na kibiti shekh

  • @SomaliBajun99-fk1sj
    @SomaliBajun99-fk1sj 8 дней назад

    MEIDANGANYE WAULAMU JAMANI, HUO NI UPUZI MTUPUUUUU 😂😂😂😂 HII DINI MUMEICHANGAYA SANAAAA HAMNA HAYA KABSAAA😂😂😂😂😂

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 12 дней назад

    Hii ni tiba watu wanasumbuliwa sana na watu wabaya wakitokea watu kama hawa muwaheshimu

  • @HassanAbdullahHassan-i7p
    @HassanAbdullahHassan-i7p 9 дней назад

    Huyu sharifu aje kwetu Pemba

  • @SaydahSalimu
    @SaydahSalimu Месяц назад

    Mungu akulinde uwe na maisha marefu ili utulinde kila siku

  • @MwajumaLajab
    @MwajumaLajab 23 дня назад

    Hivi watu wanasomea, hapo watu Mambo ya uganga wanapendwa sana,Mimi Nina mwanangu kaende somea Mambo kama hayo Ila bado ajawa komki sana

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 25 дней назад

    Hakuna vyemgine nazani utoa kimoja lkn hapo Wacha walizika vingi sana kwann utoe kimoja nahisi muhongo pia unao

  • @fatmaothman7647
    @fatmaothman7647 17 дней назад

    Hyo mibuyu kila mtu anakuja kufukia mambo yake ambayo kashatapeliwa huko half yy ndio anakuja kufukua ache uongo

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd Месяц назад +1

    Haya mambo waislam tutikaa kimya sasahv kutakua na wakina mwamposa muda si mrefu

  • @HabbaniMoussa
    @HabbaniMoussa 8 дней назад

    Mazinga ombo tu

  • @AllyMikidadiAlly-v5f
    @AllyMikidadiAlly-v5f 20 дней назад

    Kwani suuratul falaq kaisomaje vile?au ni masikio yangu?tapeli mkubwa

  • @HabbaniMoussa
    @HabbaniMoussa 8 дней назад

    Kwani amefuata mtume au masahaba

  • @chieframadhani4976
    @chieframadhani4976 19 дней назад

    Sharifu piga kazi mwanangu

  • @chieframadhani4976
    @chieframadhani4976 19 дней назад

    Kazi za wanganga zimekubalika kwenye vichwa vya watu sio wakinamanyaunyau tuu

  • @FotonataMussa
    @FotonataMussa 12 дней назад

    Mganga wa kienyeji

  • @arafathswaleh
    @arafathswaleh 22 дня назад

    Njoo na sumbawanga, urudi umetundikiwa drip.

  • @SaddyKhateeb
    @SaddyKhateeb 20 дней назад

    Hakuna kitu hapo Sawa kiboko ya wasenge. Aache uongo. Kinondoni Kuna

  • @OmaryMgoss
    @OmaryMgoss 15 дней назад

    Shenzi kabisaa mbwa wew muongo mpakaa wanaokuunga mkono

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 11 дней назад

    Tapeli jiwe limewekwa😂

  • @HassanKadodo-i2e
    @HassanKadodo-i2e 12 дней назад

    We mtangazaji fala kwel doktor nn

  • @ibrahimayoub8972
    @ibrahimayoub8972 16 дней назад

    huyu ni mganga wa kienyeji aache kuchafuwa uislam,
    ujinga gani huu.

  • @OthmanKibao
    @OthmanKibao 8 дней назад

    Shenzi mkubwa ww, na allah atakudhalilisha mshirikina mkubwa wewe

  • @NadiaHabonimana
    @NadiaHabonimana 10 дней назад

    Ameizika yemwenywe😂iyo😂

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 25 дней назад

    Waganga wa kienyeji poleni

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju 22 дня назад

    Sasa huyo ni sharifu au"mganga wa kienyeji?

  • @BushiriMkwenjera
    @BushiriMkwenjera 18 дней назад

    Wewe kaka nakuomba acha kuunajisi uislam,usiufananishe uislam na uganga,nimechukia kweli kuiona hii vidio kwa sababu hakuna sharifu wa namna hii hata mimi ninamajini nazijua hila za majini vizuri,njoo tukukabidhi mikoba hauna ushehe wewe acha kudanganya watu,

  • @mim9607
    @mim9607 10 дней назад

    Apeli

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 22 дня назад

    Hapo mbona palaini hivyo nikama hivyo vitu vimewekwa jana yake, ardhi mbichi kabisa, uizi wa kishamba sana

  • @saidikambi9597
    @saidikambi9597 19 дней назад

    Kwaiyo ilo jiwe ndo ilikua alama yako

  • @KuluthumKondocha
    @KuluthumKondocha Месяц назад

    Njoo na kisemvure sheeh 😢😢

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 16 дней назад

      Si makosa yako....jina lako lenyewe la mwisho limekaa kichawi

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 20 дней назад

    wacha uongo wewe unawachanganya waislam tulikuwa kimyaaa sasa umeanza kuleta uongo wako na kutapeli watu

  • @AishaIssa-ld8lw
    @AishaIssa-ld8lw Месяц назад

    ❤❤❤❤

  • @msafiriduwiya7765
    @msafiriduwiya7765 23 дня назад

    WALLAH KISHK YUPO SAHIHI KWA STAILI HII YA KINA MANYAUNYAU

    • @amisafaraji5796
      @amisafaraji5796 19 дней назад

      Allah amlinde sheikh wetu mfata haqi na msem kwel

  • @SuleimanAbdulla-b2g
    @SuleimanAbdulla-b2g Месяц назад

    Mwongo

  • @saidothman6342
    @saidothman6342 24 дня назад

    Utapeli kweupeeeee

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Месяц назад

    😭😭😭😭😭😭😱😱😱😱😱😱

  • @MudathirSaid-i9e
    @MudathirSaid-i9e 20 дней назад

    atakuwa arimtuma mazinge akaenda kufukia af yeye kaja kufukua wanambinu nyingi hawa

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 24 дня назад

    Usanii wizi mtupu

  • @ShamsiMikdad-bj7me
    @ShamsiMikdad-bj7me Месяц назад

    Karibu Bokuba shekhe tunashida saana wachawi wanasumbua

    • @sheikhfirdaus6491
      @sheikhfirdaus6491  Месяц назад

      Ishaallah nitakuja

    • @ZaituniJuma-c6n
      @ZaituniJuma-c6n Месяц назад

      Karibu Kenya shekh

    • @mybabyarchive2104
      @mybabyarchive2104 Месяц назад

      Huyu sio sheikh ni tapeli tu hana lolote

    • @nyatya199
      @nyatya199 27 дней назад

      Hata inshaallah inamshinda halafu anadai usharifu kumbe ni utapeli chini ya kimvuli cha usharifu

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 16 дней назад

      Shida yako muambie umuombe mungu direct nakunasihi isiingie katika upotevu wa hawa majahili wanaouchafua uislamu.

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr Месяц назад +2

    Natamani wallah nikutane na huyu shekhe na mimi anisaidie wallah 😢

    • @mybabyarchive2104
      @mybabyarchive2104 Месяц назад

      Usijaribu utatapeliwa huyu ni mwizi kama wezi wengine

    • @MuzafarSaid-k8w
      @MuzafarSaid-k8w 28 дней назад

      Allah anakutosha mtegemee yeye.

    • @OmanOman-bm1lr
      @OmanOman-bm1lr 28 дней назад

      @@mybabyarchive2104 tapeli ni wewe na mwizi ni wewe

    • @OmanOman-bm1lr
      @OmanOman-bm1lr 28 дней назад

      @@MuzafarSaid-k8w kila kiumbe kina mtegemea Allah

    • @MuzafarSaid-k8w
      @MuzafarSaid-k8w 27 дней назад

      @@OmanOman-bm1lr Usifeli broo fanya nnacho kwambia km una shida zako omba kwa allah bc.

  • @ZuweinaSalim
    @ZuweinaSalim 19 дней назад

    😂😂😂

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd Месяц назад

    😂😂😂😂😂

  • @muhiyidinishabani
    @muhiyidinishabani 24 дня назад

    Uwo niusanii Acha kudanganya watu

  • @Awadh-yj2uv
    @Awadh-yj2uv 25 дней назад

    😂😂 safari za waganga siku zote ni fupi 😅😅 tapeli wee ata aoo maswahaba walobashiriwa pepo hawakuwahii 😅😅 kufanya huu ujingaa actass live 😊😅😅 hakuna kwenye uislam huna ata lafudhi ya Quran 😅😅 hukuw kutofautisha R na L hhhhhhh 🤣🤣 unasoma Yasin hhhhhhh 🤣🤣🤣 😂🤣 na wajinga wanaamini sharifu kutoka bongoo 😅😅😅 kahusiana na mtume 😅😅 uongo doctor wa kweli hajitandzi anatangazwa wala hasemi acha uongo

    • @AbdallahSemdoe-o3g
      @AbdallahSemdoe-o3g 9 дней назад

      Acheni kelele ngoja muone wate mpigao kelele huenda ndo wanga