[Hook - Professor Jay] x2 Niamini (sema) Nataka uwe na mimi (mama) Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (ye ye ye) Hivi kwanini (sema) Hutaki kuniamini (mama) Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye ye ye) [Verse 1 - Professor Jay] Nakupenda sana ingiwa wanakuita demu wa uswazini Penzi lako la kweli ndo kitu nachothamini Kipepeo cha moyo we sema unachotaka Jinsi unavyoenzi kipenzi sina mashaka Tulipanda milima tukaja kwenye mabonde Na sasa ni tambarare tufanye wanga wakonde Kote tunakopita wamemwagia mbigiri Njoo nikumbatie tufe tukiwa wawili Hushangai, tukigombana tu wanafurahi Na tukiwa pamoja wanashindwa kutusabahi Walishakuja kwangu kunipa habari zako Nikawatoa mbio kulinda heshima yako Kwangu wamenishindwa wamegeuza kibao Changanua mapema upime akili zao Ni maisha yo Liz, twende tujikongoje Maisha safari ndefu sijui mbele kukoje Wanasema mi nakunywa wee, nalala kwenye baa Wanasema mi ni bingwa la ngono kwenye mitaa Wanasema mi nimeshawataka wamekataa Kwako napiga goti yoh twende ki-superstar [Hook - Professor Jay] x2 Niamini (sema) Nataka uwe na mimi (mama) Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (ye ye ye) Hivi kwanini (sema) Hutaki kuniamini (mama) Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye ye ye) [Verse 2] Yoh, nikwamba Mi nashukuru sana, umeniamini kwa sana Hukufata maneno ya wanga waliochonga kwa sana Miss Manana baab kubwa, hiyo ndo dhana Wala hukunikana asante sana mi sitokukana Tulifarakana tulikaa chini, tukapatana Bila kugombana na ndio maana hatujatengana Tukasamehana bila kutosana, endelea kukazana Visa vizabina maji ya shingo sa chupi zinabana Vichwa vinagongana wanaulizana, hatujaachana Wanapigwa na bumbuwazi kuona bado tunakumbatiana Tunashirikiana, na tunafanya vitu vya maana Na haki ya Mungu mi nakuahidi mi ndo wa dhamana Nakata mzizi wa fitina we ni wangu wa kuzikana Mwingine hakuna, vita vya manyoya sasa hapana Kwani maneno yalizidi hasa kwa wanga na mahasidi Na wengine waliahidi lazma watumwagie acid Eti hakomi kutupwa na napiga sana mchupa Hautachukua round kwangu mi ntakutupa Haukufanya pupa haukuogopa, haukunitupa Ya Mungu mengi leo hii mambo ni super Na yote aliyoahidi kwangu mi lazima kukupa Usiwe na pupa, tulia, mi ndo simba Unanipaga hamu, na hilo napenda ufahamu Nakumbuka maneno yako matamu, mi nakupenda wewe Unanipa kiwewe, ubavu wangu wa pili ni wewe Napenda uelewa, niamini ni mimi na wewe [Hook - Professor Jay] x2 Niamini (sema) Nataka uwe na mimi (mama) Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (ye ye ye) Hivi kwanini (sema) Hutaki kuniamini (mama) Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye ye ye) [Verse 3] Amini amini, tuko pamoja safarini Wala sigeuki, nipo pamoja na wenye chuki Hivi ujabaini? Wanakudanganya maneno lukuki Eti napenda chini, eti nakuhasi na hugutuki Hivi inaingia akilini? Ni muda gani na ni lini! Siku hiyo hatukuwa pamoja? Kama si huzushi ni nini? Wanga wanajikongoja navyokupenda kwa ukalando Mwana wametunga hoja, tutengane iwe furaha Iwe tazamia vioja, usiwaamini hata mara moja Wengi ni vizabi zabina, wapiga majungu na wafitina Magwiji washirikina, pima vyema tena kwa kina Tusije tukaachana, tutawapa msemo wageni iwe meno Itakuwa haina maana, mara tu tumefarakana Pia itakuwa aibu, tujaribu tu kuvumiliana Mapenzi ni taratibu, mambo ya jana sio ya leo Tusije tukaharibu, hebu sikia sogea karibu Nani wa kunigiribu? Kwako sioni, sisikii Ukiacha utaniadhibu, we nipe raha, nipe zabibu Mpaka ntakapokufa, tushirikiane kuziba ufa Wanga wasitufate, nafurahi unavyonipenda Sinyo nasema asange, we nipe denda, nipe mate Mama subiri fungate, mzizi wa fitina tena tukate Wewe na mimi (mimi), niko radhi kula yamini Wewe na mimi (mimi), mama Lily hebu niamini
Brother Jay jaribu pia kuzfanyia video ngoma kama hizi kiukwel hajawahi vunja record mwana hip hop mwingne Hapa Africa ispokuwa ww Jay ngoma zako ni mawe na sijui tu maproducer wakipindi hicho sab beat iko sambamba sana na mashairi
Kama nawewe unampenda Fanani like.
Insikitisha alivy0p0tea
Sichoki kusikiliza hii ngoma. Ngoma inastahili views 10M
Kungekuwa na yuotub mda ule saiz zingefika 150M views😭
Hivi akina young lunya wanasikiliza hizi Ngoma?
Hii ngoma inanifanya nitamani siku zirudi nyuma aiseeee J wakitaa
Old is more than gold or silver......gonga like za kutosha 2020
[Hook - Professor Jay] x2
Niamini (sema)
Nataka uwe na mimi (mama)
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (ye ye ye)
Hivi kwanini (sema)
Hutaki kuniamini (mama)
Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye ye ye)
[Verse 1 - Professor Jay]
Nakupenda sana ingiwa wanakuita demu wa uswazini
Penzi lako la kweli ndo kitu nachothamini
Kipepeo cha moyo we sema unachotaka
Jinsi unavyoenzi kipenzi sina mashaka
Tulipanda milima tukaja kwenye mabonde
Na sasa ni tambarare tufanye wanga wakonde
Kote tunakopita wamemwagia mbigiri
Njoo nikumbatie tufe tukiwa wawili
Hushangai, tukigombana tu wanafurahi
Na tukiwa pamoja wanashindwa kutusabahi
Walishakuja kwangu kunipa habari zako
Nikawatoa mbio kulinda heshima yako
Kwangu wamenishindwa wamegeuza kibao
Changanua mapema upime akili zao
Ni maisha yo Liz, twende tujikongoje
Maisha safari ndefu sijui mbele kukoje
Wanasema mi nakunywa wee, nalala kwenye baa
Wanasema mi ni bingwa la ngono kwenye mitaa
Wanasema mi nimeshawataka wamekataa
Kwako napiga goti yoh twende ki-superstar
[Hook - Professor Jay] x2
Niamini (sema)
Nataka uwe na mimi (mama)
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (ye ye ye)
Hivi kwanini (sema)
Hutaki kuniamini (mama)
Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye ye ye)
[Verse 2]
Yoh, nikwamba
Mi nashukuru sana, umeniamini kwa sana
Hukufata maneno ya wanga waliochonga kwa sana
Miss Manana baab kubwa, hiyo ndo dhana
Wala hukunikana asante sana mi sitokukana
Tulifarakana tulikaa chini, tukapatana
Bila kugombana na ndio maana hatujatengana
Tukasamehana bila kutosana, endelea kukazana
Visa vizabina maji ya shingo sa chupi zinabana
Vichwa vinagongana wanaulizana, hatujaachana
Wanapigwa na bumbuwazi kuona bado tunakumbatiana
Tunashirikiana, na tunafanya vitu vya maana
Na haki ya Mungu mi nakuahidi mi ndo wa dhamana
Nakata mzizi wa fitina we ni wangu wa kuzikana
Mwingine hakuna, vita vya manyoya sasa hapana
Kwani maneno yalizidi hasa kwa wanga na mahasidi
Na wengine waliahidi lazma watumwagie acid
Eti hakomi kutupwa na napiga sana mchupa
Hautachukua round kwangu mi ntakutupa
Haukufanya pupa haukuogopa, haukunitupa
Ya Mungu mengi leo hii mambo ni super
Na yote aliyoahidi kwangu mi lazima kukupa
Usiwe na pupa, tulia, mi ndo simba
Unanipaga hamu, na hilo napenda ufahamu
Nakumbuka maneno yako matamu, mi nakupenda wewe
Unanipa kiwewe, ubavu wangu wa pili ni wewe
Napenda uelewa, niamini ni mimi na wewe
[Hook - Professor Jay] x2
Niamini (sema)
Nataka uwe na mimi (mama)
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane na mimi (ye ye ye)
Hivi kwanini (sema)
Hutaki kuniamini (mama)
Nyoyo ziko pamoja mpaka siku ya kifo uanze we au mimi (ye ye ye)
[Verse 3]
Amini amini, tuko pamoja safarini
Wala sigeuki, nipo pamoja na wenye chuki
Hivi ujabaini? Wanakudanganya maneno lukuki
Eti napenda chini, eti nakuhasi na hugutuki
Hivi inaingia akilini? Ni muda gani na ni lini!
Siku hiyo hatukuwa pamoja? Kama si huzushi ni nini?
Wanga wanajikongoja navyokupenda kwa ukalando
Mwana wametunga hoja, tutengane iwe furaha
Iwe tazamia vioja, usiwaamini hata mara moja
Wengi ni vizabi zabina, wapiga majungu na wafitina
Magwiji washirikina, pima vyema tena kwa kina
Tusije tukaachana, tutawapa msemo wageni iwe meno
Itakuwa haina maana, mara tu tumefarakana
Pia itakuwa aibu, tujaribu tu kuvumiliana
Mapenzi ni taratibu, mambo ya jana sio ya leo
Tusije tukaharibu, hebu sikia sogea karibu
Nani wa kunigiribu? Kwako sioni, sisikii
Ukiacha utaniadhibu, we nipe raha, nipe zabibu
Mpaka ntakapokufa, tushirikiane kuziba ufa
Wanga wasitufate, nafurahi unavyonipenda
Sinyo nasema asange, we nipe denda, nipe mate
Mama subiri fungate, mzizi wa fitina tena tukate
Wewe na mimi (mimi), niko radhi kula yamini
Wewe na mimi (mimi), mama Lily hebu niamini
Balikiwa sana
Superb.
Bigap sana
Superrrrr
More thanks to u
How about ukifanya video ya hii nyimbo kuienzi tu prof?
Good music 🎶🎶
Still rocking nerves 2024
Bado ina Bang 2020 kama unamin weka like twende sawa
Brother Jay jaribu pia kuzfanyia video ngoma kama hizi kiukwel hajawahi vunja record mwana hip hop mwingne Hapa Africa ispokuwa ww Jay ngoma zako ni mawe na sijui tu maproducer wakipindi hicho sab beat iko sambamba sana na mashairi
Mziki sio view mziki ni information miaka na miaka kubadilika sio rahisi
Dah hivi hii nyimbo ilitokaga mwaka gani? Nakumbuka nimekua nikiuskia huu wimbo
I really miss these Jams.... thump up hon.prof Jay
The best that will ever be...Prof J. Noma toka nasoma.
Hii miziki ilitufanya tuufurahie utoto wetu
nilichogundua Prof anaupendo wa chat juu ya mchumba wake!
Yeyote May 2019?
One of the greatest bongo fleva song of all time
Mashairi makali sanaaaa🎉🎉🎉🎉
Vichwa vitatu ndanii ya track moja
WA kwanza GONGA LIKE
Amega Info dah
Nimini
Mfalme Jay na wenzako wa wrong, heshima yenu. mziki umepoteza dira saizi
Safi sana
Jamaa walivunja Sana humu!
Mombasa huu wimbo uliwika sana.
Profesa nani kakupa akili hii saafi saaana weka zote na za HBC all album tunza mziki wako usipotee
Watu wenye fitina wanaleta majungu uachane namm
Nimekumbuka siku mingi sana
hii nyimbo niliitafuta siku nyingi sana asante jay
Hizi nyimbo mzee me nataka nizi Download .sasa sizipati mze wangu
Ndo song nilikuwa nalitaka pia
Bado ipo fanani bhana! We ninomasana sema bast 2021
Nakumbuka enzi hizo niliku.musuma
Wanasema mi nimeshawataka wamekataa
Mashabiki wa Trap hawawezi elewa mzigo ulipotoka
Nakumbuka back to those dayz...... Nyimbo zinarudisha moments za kitambo sana...
Keeping the good music alive
Mziki unao ishi uwo
Bonger LA go ma✌✌✌✌✌
From wasaffim ❤️❤️❤️💯💯🇰🇪🎊🎊🎊🎊🎊🎊
Hii ndiyo ngoma inayonikonga sna kwenye hii album
Fanani ni kwere 2020
Wangap wamekuja baada ya kuona post ya mpoki?
Tulifalakana tukakaa chini tukapatana
Wanapatwa na bumbuwazi kuona bado hatujaachana
Great style with message
Niamini bac bebe Wang😝😝
2020 tupo pamoja . J ni 🔥🔥
2024 still good
Professa jay ukisiliza hii ngoma halafu ukisiliza kamiligado hujioni bwege
😂😂😂😂😂
jay jay jay nimekuita mala tatu salute broth
Much love and respect for bongo flava. Zambia tunasikiliza Poa basi. Prof Jay big up
Kipepeo cha moyo sema unachotaka
2019
bado moto kabisa
Happy birthday professor jay
21/5/019
Bado iko kwa sikio
Best Tz artist of all time
Afrika mashariki.
Heshima ya bongo flavour
Young killa
G. O. A. T
when music was music, the real nigga jay
Fanani where are you
Mbona Kama nishaisikiaga hii ngoma !.
hii Ni Album ya 2001
sio mpya
Yona Rashidi Mbwambo ulioisikia wewe ni RMX hii ni OG
Dunia's best, salute Prof.
Full respect prof
HAPPY BIRTHDAY
Back in the day when we used to sneak into the club. Club silk kampala to be exact
Dah still hitting in 2021......R.I.P Halima @Rajab Mazai/Roja
Naazizi vs jaffaray
Music genius
2023
Pona haraka jembe
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
Ray c
salute
izi old school ni fire
3/3/2021
nilichogundua Prof anaupendo wa chat juu ya mchumba wake!
2023
Ray c