Abigaily D Asukulu Ft Rose Muhando-daraja La Juu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 398

  • @gospeltotheworld
    @gospeltotheworld 2 года назад +14

    Oooh Huu wimbo umenibariki sana, I’m proud of you my friend!!! Umeanza Mwaka kwa baraka sana! Tubaki daraja la Juu

  • @DelilaKataya
    @DelilaKataya Год назад +2

    Nimeisha sikiliza hii nyimbo kama Mara 40 ❤❤❤❤

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa 2 года назад +7

    Hizi sauti jamani. Nikasubscribe mara hiyo hiyo

  • @mamamuri8780
    @mamamuri8780 Год назад +1

    Mungu awe nawe from Kenya 🇰🇪 we love you abigaily

  • @uriajohn7667
    @uriajohn7667 2 года назад +2

    Kwer nipo daraja la juuu kweny mwaka huuu hongereni jmn nataman kuwa Kama wew Dada rose

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 2 года назад +4

    Mungu awabariki sana 🙌🙌🙌😍😍

  • @Safi-k6u
    @Safi-k6u 4 месяца назад +1

    Amen, hats mtu akikutenda mabaya usijibadilishe
    Juwa ni Mungu unafanyia 😊

  • @danylumumba720
    @danylumumba720 Год назад

    Daraja la juu is my favorite now wewe uko daraja la juuu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @EliMsuya
    @EliMsuya 2 года назад +5

    Nipo daraja la Juu nipo kwenye daraja kuu
    Mana hata Mimi ndo was kwanza kutoa maoni yangu hapa
    Big up sister huu wimbo upo kwenye daraja kuu

  • @bernandlopes4252
    @bernandlopes4252 2 года назад +1

    Pamoja na Malkia wa gospel kweli kweli mpo kwneye daraja la juuu nakuombea sNa Mungu azidi kukuinua abigaily una moyo mkubwa Sana moyo mkujuvu unaujua utu na bad upo mtoto mdogo Sana umebeba mengi Sana Mungu akutunze kwaajili yet sisi tunaojua thamani yako #DARAJALAJUU my favorite song after #SIKU YA HUKUMU 😢 ❤️

  • @gospelministry8881
    @gospelministry8881 2 года назад +2

    Yobu 36:15
    Lakini Mungu huwaokoa wanyonge kwa unyonge wao hutumia shida zao kuwafumbua macho. Amen Amen Daraja la Juu barikiwa sana ❤️❤️❤️

  • @vennyvenna4772
    @vennyvenna4772 2 года назад

    2024i will make sure nimeet rose muhando niimbe na yeye aki natamani kukutana na yeye aki

  • @HabakukiMlinga
    @HabakukiMlinga 8 месяцев назад

    Nimebarikiwa sana na nyimbo zako Abigail Mungu akunariki sana courage na congratulation🎉

  • @vastinaamon8161
    @vastinaamon8161 2 года назад +1

    Unajiskia Amani kuwa saidia watu ila malipo tofauti utakipwa na mungu wako ❤

  • @moungamfawume1865
    @moungamfawume1865 2 года назад +4

    Wimbo wimbo baraka baraka baraka baraka 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @Mayestron
    @Mayestron 2 года назад

    Hii kubwa sana kwetu Sote sister so proud of you mi amor 💯 🎉

  • @lifeofvicky91
    @lifeofvicky91 Год назад +1

    Song on repeat❤

  • @biezkaviru7762
    @biezkaviru7762 2 года назад

    Uko daraja la juu

  • @antoninaawuor6120
    @antoninaawuor6120 2 года назад +1

    Hii wimbo inanifundisha sana Rose I love 💕 you so much napenda nyimbo zako mungu aweze kukulinda sana

  • @DelilaKataya
    @DelilaKataya Год назад +1

    Daraja ❤❤❤❤ one of the best song

  • @mauwaelias1595
    @mauwaelias1595 2 года назад +2

    Happy new year
    Happy new year
    Happy new month
    Happy new month
    Happy new life
    Happy new life
    Daraja la juu
    Daraja la juu
    Nakupenda Abigail nakupenda Rose
    Two Queen 👸 ✨️ 💖 💕 💓 ❤️ 👸 ✨️ 💖 💕 💓 ❤️

  • @mathilde9485
    @mathilde9485 2 года назад +3

    Wimbo huu umenibariki Sana Mungu akubariki Sana pamoja na mama Rose Abby 🌹 nawapend san Sana san Abigail sauti yako Mzuri

  • @marthakerubo428
    @marthakerubo428 2 года назад +1

    Ni nani amebarikiwa na huu wimbo,nimerudia mara kadhaa nikizikiza🥁🥁🥁🔥🔥🔥🔥

  • @liliannangeni8893
    @liliannangeni8893 Год назад +1

    Wimbo mzuri kabisa nimeupenda

  • @jumawajuma1169
    @jumawajuma1169 2 года назад

    Nipo Daraja la juu nipo kwneye daraja kuu daraja langu ni kubwa Mungu amenipendelea ♡❤️

  • @mathieumahindojr3458
    @mathieumahindojr3458 8 месяцев назад

    Nyimbo nzuri sana Dada A

  • @gracekaluka1160
    @gracekaluka1160 2 года назад +3

    Big Ft congratulations Abigail&Rose tunawapenda Sana ♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡

  • @furahasefania5926
    @furahasefania5926 9 месяцев назад

    Duh minha I’m 😢 while I’m listening to this song. Mungu aku bariki minha❤

  • @BethuelofficialTz
    @BethuelofficialTz 2 года назад

    Woiwoiwoiwoioh
    Ma Rose huyo,
    Wanadamu ni kama popo wageukapo ni vituko
    Hongereni sana

  • @bamwishocadet1118
    @bamwishocadet1118 2 года назад +3

    God bless you majina wangu napenda saaaana huu wimbo 🙏🏼

  • @joycedecostas7610
    @joycedecostas7610 2 года назад +2

    That’s my friend jamani hongera sana dia wangu 🥰❤️🙏🏾

  • @yukisiana8082
    @yukisiana8082 2 года назад +2

    Daraja La juuu the best song 🎵 Abigail

  • @gabrieltito8458
    @gabrieltito8458 2 года назад +1

    Ubarikiwe ma mtumishi

  • @PeterKayOfficial
    @PeterKayOfficial 2 года назад +3

    Huu wimbo umenitia Nguvu sana,kweli tupu kuhusu Dunia ilivyo,kutoka Kenya nimetia Muhuri.👍

  • @mosesnyagaofficial6266
    @mosesnyagaofficial6266 Год назад +3

    Huu wimbo nimeupenda sana

  • @thebestsisters1774
    @thebestsisters1774 Год назад

    Mungu azidi kuku Bariki wimbo mzuri sana❤❤❤❤👏👏👌

  • @ruthmutuwa4182
    @ruthmutuwa4182 2 года назад +1

    Mimi niko kwneye daraja Kuu ♡❤️ heri ya mwaka mpya.

  • @SerahBabs
    @SerahBabs 2 года назад +3

    Mubarikiwe ❤❤❤

  • @pellagiamukora426
    @pellagiamukora426 Год назад +1

    Wooow nice song keep going watching you from south Africa

  • @anausseni6844
    @anausseni6844 2 года назад +2

    Baraka juu ya daraja la juu heri ya mwaka mpya

  • @shomamark447
    @shomamark447 2 года назад

    Mwaka huu wa 2023 niko kwwnye daraja la juu

  • @JersonDaAngela-i5w
    @JersonDaAngela-i5w 29 дней назад

    Força💪💪💪

  • @evelynwambo7481
    @evelynwambo7481 2 года назад +1

    Sijachoka kuona wimbo huuu Daraja la ju

  • @gespodavid118
    @gespodavid118 Год назад

    Kz safi san 🙏🙏🙏

  • @deborahnebuchadrezzar8957
    @deborahnebuchadrezzar8957 2 года назад +4

    Congratulations Abigail this is blessing ❣️❣️❣️ Daraja la JUU

  • @bilombelekilozodieudonne123
    @bilombelekilozodieudonne123 Год назад

    *Dada Aujuwi Kuimba hachana na mambo ya kuimba dada Endelea na mambo yako mengine tu*

  • @Mamu6
    @Mamu6 Год назад +1

    Abigaily You just makes me fall in love with God
    Almighty over and over,
    God bless you

  • @zawadiluya7641
    @zawadiluya7641 2 года назад +4

    DARAJA LA JUU ABIGAIL I CAN'T IMAGINE THIS BLESSING MWANANGU ABIGAIL TWO QUEENS ❤️❤️❤️❤️

  • @mtumepedro9950
    @mtumepedro9950 2 года назад +1

    Proud of you ila wimbo umekua mfupi Tena Abigail

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 Год назад

    Hakika ni wimbo mzuriii 💕🥰

  • @Ahishathebosslady
    @Ahishathebosslady Год назад

    Wewe ni daraja la juuuu❤❤❤❤❤❤

  • @DelilaKataya
    @DelilaKataya Год назад +1

    So proud of you Daraja lá Juuuuuuuuuuuuuuu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @dotojordan7771
    @dotojordan7771 2 года назад +5

    DEUS TE ABENÇOE ABIGAIL ❤️🧡💛💚💙💜❤️🧡💛💚 I CAN'T WAIT

  • @mariarichard715
    @mariarichard715 2 года назад +2

    Look what God has done for Abigail ❤️
    Look at you babygirl shining ✨️ 😍 with mama Rose muhando God bless yll .

  • @mwalimuhope4094
    @mwalimuhope4094 Год назад

    Tunamshukuru kwa ujumbe mukubwa sana ❤❤❤

  • @stellalumenyera8324
    @stellalumenyera8324 Год назад

    Amina kazi nzuri sana

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial Год назад

    Wimbo mzur sana jamn ❤

  • @moungamfawume1865
    @moungamfawume1865 2 года назад

    .darajaaaaaaaaa binti Jerusalem tunakupenda sana mama

  • @venas992
    @venas992 2 года назад +3

    I love the song and it’s good keep doing your things god bless you ❤❤

  • @SerahBabs
    @SerahBabs 2 года назад +4

    I’m proud of you baby sister ❤

  • @BitaBicundo5481
    @BitaBicundo5481 2 года назад +3

    Wow! God bless you prima🥰

  • @lectuareregete3311
    @lectuareregete3311 Год назад +1

    Wow congratulations siz

  • @hamacbendi
    @hamacbendi Год назад

    Waimba vizuri sana jamani dada

  • @sedekiakiza
    @sedekiakiza 2 года назад

    Amina

  • @Jeannette2027
    @Jeannette2027 2 года назад

    Ubarikiwa sana Dada Abigail

  • @fatimaally6744
    @fatimaally6744 2 года назад +4

    ❤️❤️❤️❤️❤️👏🏾👏🏾👏🏾 God is Good proud of you Abiga

  • @bernandlopes4252
    @bernandlopes4252 2 года назад +2

    Congratulations 🎊 👏 God bless you

  • @rizikiezekiel9812
    @rizikiezekiel9812 2 года назад

    Barikiwa sana ndugu yangu

  • @deborahnebuchadrezzar8957
    @deborahnebuchadrezzar8957 2 года назад

    Binti Jerusalem mbona keshobali Darajaa ❤️❤️ mawingini

  • @davidmike6054
    @davidmike6054 2 года назад

    Nice song mtumishi wa Mungu abigael

  • @henocmwambaofficial7784
    @henocmwambaofficial7784 Год назад +1

    Women of God
    let God bless you more
    Courage toujour

  • @John_officialmsc
    @John_officialmsc 2 года назад +1

    Kiukweli ngoma nzuri❤

  • @manziwamalindi804
    @manziwamalindi804 2 года назад

    Wow nice song sister 💘💘💘💘🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @sifayahala6190
    @sifayahala6190 2 года назад +1

    Mume nibariki sana 🙌🙌🙌🥰

  • @stellalumenyera8324
    @stellalumenyera8324 Год назад

    Amina dada wanadam nishida tupu

  • @melanygabriel4768
    @melanygabriel4768 Год назад

    Niko faraja lá juuu ❤️❤️

  • @aquilinakoga9774
    @aquilinakoga9774 2 года назад

    Is this gospel or secular.? Kama tunaimba nyimbo za kumsifu Mungu, wacha mavazi yetu yamtukuze Mungu,

  • @Graduation2024Live
    @Graduation2024Live 2 года назад +2

    Oh what a tune ....keep going this is the right way 👏

  • @DulceFaraja-hq5fj
    @DulceFaraja-hq5fj Год назад

    Wimbo mkubwa ❤❤❤

  • @alexandrinendolomo5896
    @alexandrinendolomo5896 2 года назад +4

    Proud of you babes 🥰🥰🔥🔥

  • @moungamfawume1865
    @moungamfawume1865 2 года назад +1

    Kweli wewe uko daraja 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @josedebrowny
    @josedebrowny 2 года назад +1

    Good one from Abbey God bless you🙏🙏🙏🙏❤️

  • @fernandomoises3503
    @fernandomoises3503 2 года назад +4

    Parabens nossa Mozambicana ♡♡♡ forca em Mozambique te amamos muito. 🇲🇿 ♥️ 👌

  • @mkanebeatz676
    @mkanebeatz676 2 года назад +2

    Good job! 🔥 🔥 🔥

  • @teknoamanda1000
    @teknoamanda1000 Год назад

    Honestly I like this one too😊🙏

  • @gospelministry8881
    @gospelministry8881 2 года назад +2

    Daraja la baraka daraja la neema utukufu kwa Mungu baraka izi tuta zi share

  • @DelilaKataya
    @DelilaKataya Год назад

    Napenda sana huuu wimbo

  • @CynthiaMepz
    @CynthiaMepz 2 года назад

    amen 🙏 mwaka huu ni yagu

  • @believeyambayamba5726
    @believeyambayamba5726 2 года назад +2

    Baraka tele my mom ❤na kutakiya

    • @AbigailAsukulu
      @AbigailAsukulu  2 года назад

      Mwanangu ❤️❤️Amen To God be the glory

  • @shomamark447
    @shomamark447 2 года назад +2

    🔥 🔥 🔥 Daraja la juu ❤️ proud of you 👏 ABIGAIL

  • @lariogerard3305
    @lariogerard3305 2 года назад

    This is the kazi kubwa

  • @ruvuzaodette2246
    @ruvuzaodette2246 Год назад

    Nyimbo nzuli Dada

  • @Laina287
    @Laina287 Год назад

    I love the song ❤❤❤❤

  • @evelynwambo7481
    @evelynwambo7481 2 года назад +3

    Proud of your babygirl 😘😘😘 I can't wait for this mpole wa Jerusalem

  • @barakadieudonne
    @barakadieudonne 2 года назад +2

    Proud of you my lovely 😍 sister ubarikiwe sana 💖

  • @mariahrose1494
    @mariahrose1494 2 года назад +2

    Wow wow what a Nice song ❤️ Hakika tuko daraja LA juu🔥💓

  • @bjjoshuamusic1353
    @bjjoshuamusic1353 Год назад

    Nice job sister! Keep coming and never give up

  • @joharijojo9011
    @joharijojo9011 2 года назад +1

    Daraja linginee iliiii from Binti jerooo God bless you .

  • @happyhaule671
    @happyhaule671 Год назад

    Duh nzuriii

  • @joharijojo9011
    @joharijojo9011 2 года назад +7

    Proud of you Abigail ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ this is the best song of the 23 tumeanza viziri mwaka happy new year