Hahahaha yani rahaaaaa ivi tnavocomment km na cc tpo vitani tnapgana kuwaangamiza madhali wa ulaya, tnatamani cku ulaya ipigwe kipigo cha kufa jumla. Maana ata mtto anaezaliwa Leo anasomeshwa ukoloni na wakoloni I nafika kipindi tnawaita mabeberu tna adi bungeni kwetu kwio cc matetea au?.
Huyu ni mmarekani ana kiburi arudi kwao 😂😂😂
Hiyo ni hasira yakezelexy
Wanajeahi wako vitani sisi tuko na vita mitandaoni na kusakizia kama raha kufa 😆 ama kweli hii Duniaimekwisha😃
😂😂😂😂wapenda dunia kuliko chochote wanahaha.
Kajua.hawana.uwezo.kupigana.namluxi
HAPO BADO ZELENSKY ATATOW SANA MITUSI KWANI NYINYI NATO NDIO CHANZO CHA VITA PALE UKRAINE...
Urusi yuko tayar kwa vita mda wowote pale ukraine ayuko vitani yuko anafnya mazoez ya kijeshi
EXACTLY....HATA ZELENSKY ALISEMA HILO
Sio bure putin anachakaza ang'atuliwe kabisa
Nahh bado
😂😂😂😂😂
Badoo