We have lost our culture as Kenyans and are busy losing the little that is remaining. We just accept foreign traditions at the cost of our traditions and call it change, modernisation, evolving or whatever name people term it In other countries you don't see them changing theirs but here we are🤦🏻
Kenya can be colonized by any other country in the world. You gotta have your own principles of doing things not just following everything.........that you seeing other cultural doing
Wakenya hawana msimamo, wanatelekeza watoto, wake zao, na hata lugha. Wasikie wakiongea kizungu matangani vijini kwao, ambako najirani na marafiki na hata ukoo wao hawaelewi kizungu. Ku_eni wastarabu, furahieni Mila na lugha yenu. Wangapi wame hudhuria matanga ya wazungu? Wao huongea kiswahili? Mke wa Keni kwa miaka alijisifu kuishi nayee alitamka hata Nemo moja la kiswahili au kijaluo? La, hangeweza , kwanini? Kwanini tusiwaige ndugu zetu wa Tanzania, wanajivunia kiswahili. Kwani wakenya wakisema kiswahili hawataeleweka? Lazima waongee kizungu iliwajulikane walisoma? Tafadhali tuondoleeni ushenzi wa kizungu msibani mwa Wajenya. Kupoteza Mila na desturi zenu kwa jina la kusoma na kuoa wake au Waume wazubgu ni ujinga na ushenzi was Hali ya juu.
Eti nahuku wanasema lugha yataifa nikiswahili ata Mimi nachukia na sikwamba sikuso nilisoma wachina wanafanya Nazi kenya na hawajue English wanashinda wakitusumbua hapa tu
Hata historia ya uumbaji inasema mababu wetu wa zamani akina Abraham walizikwa hata Mohamed mwenyewe alizikwa.Hio mbinu ya kujoma miili ya binadamu ni ushirikina na usheetani mtupu.
Huwo niujinga waafrika kila kitu tunatawaliwa hata hili pia? Mababu zetu waliotangulia wali chomwa? Hakukua na moto? Waafrika tujiulize tunanini wazungu wafu wao wanawaita watakatifu, sisi wetu twaita mizimu. Ninani aliyeturoga?
Uchomwe hapa, hutahepa kesho Jahanamu....utarudishwa venye ulikuwa urudi kuchomwa tena. Wachaneni na hiyo upuzi
Mkenya 40k. Mhindi 25k. Nanikwetu. And wastage of trees
Wah, na huyu wa kuchoma c anatisha😳😳😳😳😳
Hope Scharbatke macho yake inakaa vibaya woi anaeza kuua woi
Nonoh@ no wonder alichagua hiyo job😂😂😂
Nonoh ngetich haha
😅😅😅😅
Mimi huyu nikimwona mbio ntatoka ntavunja record I say🤣🤣🤣
Shindwe katika jina la Yesu....eiiiiiiihhhhhsh God forbid
Mungu awasamehe jamani😢hamjui mnacho kifanya laana gani hii
We have lost our culture as Kenyans and are busy losing the little that is remaining. We just accept foreign traditions at the cost of our traditions and call it change, modernisation, evolving or whatever name people term it
In other countries you don't see them changing theirs but here we are🤦🏻
Ushetani ya kihindi uzikiwe kuliko kuchomowa balaa kweli
Kenya can be colonized by any other country in the world. You gotta have your own principles of doing things not just following everything.........that you seeing other cultural doing
Agreed
SUBHANNALLAH
Muacha mila ni mtumwa
Yani anashika bila gloves
Sasa jamani ukifa unachomwa mot je ukifik huko Akher itakuwaj mungu wangu
Uchomwe duniani tena uchomwe siku ya kiama
Just because Bob Collymore did it mtacopy tu
Sally Sarch Wangari Mathai did IT before Bob.
@@muiritumuthaka huyu pole kwake amejua cremation kupitia marehemu Bob...
@@thinkingkenyan9002 😂
Wakenya hawana msimamo, wanatelekeza watoto, wake zao, na hata lugha. Wasikie wakiongea kizungu matangani vijini kwao, ambako najirani na marafiki na hata ukoo wao hawaelewi kizungu.
Ku_eni wastarabu, furahieni Mila na lugha yenu. Wangapi wame hudhuria matanga ya wazungu? Wao huongea kiswahili? Mke wa Keni kwa miaka alijisifu kuishi nayee alitamka hata Nemo moja la kiswahili au kijaluo? La, hangeweza , kwanini?
Kwanini tusiwaige ndugu zetu wa Tanzania, wanajivunia kiswahili. Kwani wakenya wakisema kiswahili hawataeleweka? Lazima waongee kizungu iliwajulikane walisoma? Tafadhali tuondoleeni ushenzi wa kizungu msibani mwa Wajenya. Kupoteza Mila na desturi zenu kwa jina la kusoma na kuoa wake au Waume wazubgu ni ujinga na ushenzi was Hali ya juu.
Eti nahuku wanasema lugha yataifa nikiswahili ata Mimi nachukia na sikwamba sikuso nilisoma wachina wanafanya Nazi kenya na hawajue English wanashinda wakitusumbua hapa tu
Huyu mpishi ni original 😂🙄
Enyewe
Sura yenyewe yatisha😂😂
N nan aliongoja hyo journalist wa citizen aguze hyo jivu
Jamani 😢😢😢
This man looks evil...the eyes tell it all,shindwe kabisa.
Nonoh ngetich aki he looks like a devil
Scaring
Kabsaa aki maggie
kuadhibu maiti. Maiti yuko na hisia.
Wonders biblical not
huyo mchomaji🏃🏃🏃🏃
Hata historia ya uumbaji inasema mababu wetu wa zamani akina Abraham walizikwa hata Mohamed mwenyewe alizikwa.Hio mbinu ya kujoma miili ya binadamu ni ushirikina na usheetani mtupu.
Huyo mchomaji nimemark nikimuona kwa njia natoka njuti kabla hajaniona, maana inaelekea yuko na roho ngumu kama shetani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uwe makini usijikwae maana ukianguka tu huna chako
Hahahaa umenivunja mbavu
Wasting trees hiyo kuni zote He looks evil
Sally Sarch aki
Sio wakenya wengi jameni, ni wachache tu
Huwo niujinga waafrika kila kitu tunatawaliwa hata hili pia? Mababu zetu waliotangulia wali chomwa? Hakukua na moto? Waafrika tujiulize tunanini wazungu wafu wao wanawaita watakatifu, sisi wetu twaita mizimu. Ninani aliyeturoga?
Wakuchoma maiti mwenye anaogopesha yani ata aogopi maiti wali mapaki ya mwili Wa maitii
Anashika mifupa bila kuogopa
Shetani shidwe kabisa