MAJIBU YA ULIZA UJIBIWE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 9

  • @a.856
    @a.856 Год назад +2

    Jazakallah khayran

  • @ismailmustafa4553
    @ismailmustafa4553 Год назад

    Assalam alaikum?
    Wawo husema ni bid"a na bda dwalal fi naar

  • @Aisha-go6mo
    @Aisha-go6mo Год назад +1

    Asalaam aleikum sheikh mm nilikua nina swali kidogo kwa mfano mwanamke kamaliza hedhi yake kisha akatia nia na kuamkia kufunga saum na akashinda vizuri tu ila baadae ikawa bado lisaa kuadhiniwe ikatoke akapata damu kidogo tu je yafaa kuendelea na saum ama

  • @zainabbereky7686
    @zainabbereky7686 Год назад

    Assallam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu
    Sheikh Izzudin nataka kueleza maoni yangu. Kulikua na suala kuhusu Heidh ukasema MIJANA IKE MENGINE WANA VOLTAGE KUBWA kiamaoni yangu naona ni dharau kutoa majina mifano hayo maneno mazuri zaidi yakutuita
    Shukran

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  Год назад +1

      Shukran sana kwa mauni mazuri na yabusara . nimefurahia sana kwa kunirekebisha . na kunieleza kosa langu mola akubarikie . na naomba msamaha kwa wanawake wote kwa jumla wasione nimekusudia kuwadharau bali ni mdomo umeteleza.

    • @zainabbereky7686
      @zainabbereky7686 Год назад

      @@IzudinAlwyDin Shukran Sheikh na pia kama nimekukosea uni swameh sute ni binadam. Jazzakkallahu Khairan darsa zako hazinipiti Maasha’Allah

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  Год назад +1

      hujakosea kabisa mm napenda kurakibishwa kuliko kusifiwa . ukinirakibisha utaniepushia makosa ambao nilikua siyajui . ukinisifu utanibakisha kwenye kosa.

  • @ushyentoabdulnunu8044
    @ushyentoabdulnunu8044 Год назад

    Asalam waleikum

  • @khadijaali9042
    @khadijaali9042 Год назад

    😂😂