I think we should have a walk of fame on our KNT for pioneer artists. With a room dedicated to house original CDs for their breakthrough albums and their posters..and stars.
Manzeeeeeee I was just talking throwback music with my G and I log on to this....... This podcast just keeps on getting better and better. Cheers to more life. Keep the surprises coming. God bless ya'll my Gz.
@Iko Nini Bamboo and Cannibal need to come on the show and share their insight on Christianity and demons since wako very vocal about hizo story especially them being former hip hop artists.
Kitu najua na Nonini...ni mkora. Go watch Eric Musyoka on CTA talking about how P-Unit walikuwa na issues na Nonini because of rights za mziki yao pamoja. So listening to this story, I'm not surprised
Napenda Nonini lakini inakaa ni mtiaji kiplanni..... Ni ukweli ukiskia line ya huuyu bobby uko hooked.... Kwa ile ngoma ya CLD, Soldier, hio verse manze.. One of my most memorable..
Bt bado nafeel pinyee alilet music industry down ,like people now had to sing to impress pinye , this guyz were legend ata mziki ya sai bado haifikii ya kitambo
nimefeel Bobby hapo akiuliza kama uko sure Diamond anaweza imba life... my answer ni kusema kweli siko sure🤣🤣🤣 almost sure hawezi... but the guy is a giant in what he does... anajua strength yake iko kwa hype na dancing so anapatia wasee just that..
Mwaf you should know one thing, Performance is performance uwe unaimba ama una cheza with performance you are allowed to do anything as long as the crowd is enjoying❤
Bobby I respect your views but I disagree with the Gospel part. Gospel wasnt really shoved in our ass but those guys kina Rufftone, Owen,Gospel Fathers, Jog C, Danco,Juliani, Late Kaberere...etc really put in work in their Music at that time. Secular musicians mlikua mmelala. You should probably go listen to some of their music journeys kwa CTA, ndio utaelewa. That era of Gospel Music was just the best,its simple as that. I agree Gospel songs were being played kwa the Beat but unasahau vile Gospel TV shows were huge on sundays that is Kubamba Tv, Crossover 101, Tukuza.Then Groove Awards ...that was simply a golden era of Gospel Music. Wacha excuses mingi na story ya Kanisa this Kanisa that.
Kumbe Ona Take Bobby amepitia Upper nimenyc ju ya io riba. Nawaambia kila msanii wa Upper angechukua mziki serious industry ya KE ingekua Upperhill mzima
Hii issue ya Zuchu ni simple sana, hajaiva bado ku headline shows outside East Africa and I hope management yake imeona. Mtoto amezaliwa juzi, ndio ameanza tu kutambaa alafu mnataka akimbie Marathon? aje sasa?
Kenya hatushobokeangi artists,but it's Kenya that has grown Tanzanian music, we appreciate good stuff,vile tu wazazi hawatuambiangi I love you but wanatupenda 😊
It's only right you check out and refresh your Mtoi a.k.a Maganji, playlist hadi kwa RUclips as the talk proceeds. Last 4 minutes of part one, ndiyo any other magazine show kwa T.V wangeanza nayo.
Piga nduru ni kama stima zime kuom. That song is still in my playlist to this day
Bobby is a legend.This generation would never understand how talented Mapesa was
is*
past tense...nothing else he talks about rather than beef with Nonini
@@Bonham23 It’s funny that that’s all you got from the interview SMH
Is
@@Bonham23 that's part of the music industry. Is it the first time you've heard about beef? Hata nonini alibonga about his beef with Juacali
This guy made our days bana back in the day ....the song aliimba na Calvo Mistari I love it ngoma underrated sana.
Niseme nisiseme, niteme nisiteme...
Inaitwa tuzidi
Mwaf, sababisha Prezzo pia akalie hii kiti ya ma legend. Nitafurahii sana
This show will be on fire with prezzo
Prezz is half man half amazing, he'll kill the show!!
Prezzo. that's what we are waiting for. Prezz
Prezzo 100
Prezzo lazima 🔥🔥🔥🔥
Mejja,Mammito,Bobby Mapesa back to back it’s getting scary🥶🔥#ikonini😎🇰🇪
I think we should have a walk of fame on our KNT for pioneer artists. With a room dedicated to house original CDs for their breakthrough albums and their posters..and stars.
Manzeeeeeee I was just talking throwback music with my G and I log on to this....... This podcast just keeps on getting better and better. Cheers to more life. Keep the surprises coming. God bless ya'll my Gz.
Wangapi wanatambua "Nani ndio nani" by Bobby Mapesa? This guy is dope
We ni legend
Mtotoo mzuri remix, naskia utam, kamoja tu, mawezere....legendary bobby mapesa..pigeni nduru nikama stima zimekam😂
*Ka hajui Bobby Mapesa lazima utandikwe makofi kidogo iliuwe rada.*
Bobby ..tightest flow ever in Kenyan Industry
Bamboo ni legend but saa hii anaspit matohoho
Bobby Mapesa is so funny, I love his esteem man, he really rates himself
huyu msee niumpenda sana
Mmeamua mniite P diddy na vile me hujiskia Suge Knight 😂 😂
It’s all love though 😂😂
@Iko Nini Bamboo and Cannibal need to come on the show and share their insight on Christianity and demons since wako very vocal about hizo story especially them being former hip hop artists.
Narem canibal alisema ulifika place ameambiwa a sacrifice mamake ikabidi ameokoka
Bamboo alikuwa anazima n worldly pleasures ikabidi ameokoka
Bobby mapema is a vibe....a funny dude as well.Anamwaga mtama vilivyo kwani iko nini😂😂😂😂
Nonini anafaa pia ajitetee hapa juu hii Story inanishangaza
Kitu najua na Nonini...ni mkora. Go watch Eric Musyoka on CTA talking about how P-Unit walikuwa na issues na Nonini because of rights za mziki yao pamoja. So listening to this story, I'm not surprised
Napenda Nonini lakini inakaa ni mtiaji kiplanni..... Ni ukweli ukiskia line ya huuyu bobby uko hooked.... Kwa ile ngoma ya CLD, Soldier, hio verse manze.. One of my most memorable..
100% the game needs Bamboo back
Bobby Mapesa!!! loved his flow
Bobby is a storyteller
Mejja,Mammito,Njugush,Bobby....we were not ready for this Mwaf!
Bobby is a good story teller I was glued in this episode
'Nonini alihepa na doo za studio bana'
😂😂😂
Bt bado nafeel pinyee alilet music industry down ,like people now had to sing to impress pinye , this guyz were legend ata mziki ya sai bado haifikii ya kitambo
I love how Bobi and Mwaf are swinging their legs in unison sometimes
Bobby can tell a story. Damn, didn't know I could get hooked for a whole hour. Big up!
Nimeenjoy hii conversation sana, ahsanteni kwa kumleta Bobby. Nangoja hio part 2 sanaaa. #IkoNini
This episode is one of the best.Big up Mwaf an Zaq kwa kutuletea Bobby.Show imekua fresh shukran sana.Nangoja part 2 mbaya!!!
boby ni story teller..nilikua napitia tu but one hour imeisha
420 was involved in the making of this great interview.
Big up to Mwaf kwa kuacha Bobby aongee...nimependa io background ya how they recorded NAskia utam...one of my fav Kenyan songs of all time
Bana hio ya Bamboo HURTS!😭😭
Very good verses from Mapesa. I listen to his lyrics and I'm left laughing.
Respect to this legend
😂😂😂😂😂 nonini ni Mkamba mbayaaa
nimefeel Bobby hapo akiuliza kama uko sure Diamond anaweza imba life... my answer ni kusema kweli siko sure🤣🤣🤣 almost sure hawezi... but the guy is a giant in what he does... anajua strength yake iko kwa hype na dancing so anapatia wasee just that..
🤣🤣🤣. But si ni life
Bobby Mapesa...this dude had dope punchlines..iko nini
Big kuleta malegends, leteni ukoo flani mau mau artistes as well, akina zakah na kah
Waaah Bobby Mapesa and Mr Googz made my childhood
By the way hiyo tracksuit niya Nike, drip ni kali from far it looks like pajama flani but drip ni💧
hii conversation is one for the books,Bobby ni ule msee hii imeweza sana
Mwaf you should know one thing,
Performance is performance uwe unaimba ama una cheza with performance you are allowed to do anything as long as the crowd is enjoying❤
I remember this day like yesterday,,, Nilikua reception kwa Tabu Osusa...Tukiwa na Afro fusion artist 👉Olith Ratego na Makadem 🙏🔥🔥🔥
Bobby Mapesa ni legend.
Iko ninii! Used to hate bobby back in my high school dayz but came to understand an artist perception later. Iko niniii 1 luv yo!!
Ulikuwa mbleina izo siku😅
@@mr.i5310 nilikua on some hardcore ish kama Nanoma,Chiwawa, smoggiz, ukooflani 😂😂
Watching from the heart of Juba, south Sudan
Iko nini
VBO was my class mate in Accounts at some point. Jamaa roho safi sana.
Bobby is low key funny asf
Nakumbuka back in the day ma barbie walikuwa wanabambika bobby akidai kama hauwezi dance weh enda ome
Bobby ma dollar, Bobby ma Yen, Bobby ma Euro. One of the greatest artistes of my generation.
Kaaaali...🔥🔥😂😂
😂😂😂😂😂
Wazi Mwaf! I can see you heeded the call, umse ni legend period. Alichafua Nonz mbaya sana kwa Mtoto Mzuri remix
😳
Bobby I respect your views but I disagree with the Gospel part. Gospel wasnt really shoved in our ass but those guys kina Rufftone, Owen,Gospel Fathers, Jog C, Danco,Juliani, Late Kaberere...etc really put in work in their Music at that time. Secular musicians mlikua mmelala. You should probably go listen to some of their music journeys kwa CTA, ndio utaelewa. That era of Gospel Music was just the best,its simple as that. I agree Gospel songs were being played kwa the Beat but unasahau vile Gospel TV shows were huge on sundays that is Kubamba Tv, Crossover 101, Tukuza.Then Groove Awards ...that was simply a golden era of Gospel Music. Wacha excuses mingi na story ya Kanisa this Kanisa that.
Kumbe Ona Take Bobby amepitia Upper nimenyc ju ya io riba. Nawaambia kila msanii wa Upper angechukua mziki serious industry ya KE ingekua Upperhill mzima
am an Artist I just want to say napenda hii show sana its detailed vizuri, as a new artist natamani sana to be on the show one day. #kengelemsanii
This ninja needs to do something with khaligraph he was always on point
Bobby mapesa to collabo with kaligraph Jones
Boby Yuko juu sana I remember dem DayZ but pia he can be a story teller nimekaa 1hour nikiskiza
Bobby sounds so mature!
Love the show. Bobby is a true legend.
Hio stima ilipotea studio ikapotea kejani pia at the same time
Legend great guest harudi studio 🙌
Bobby mapesa aliosha Nonini mistari mtoto mzuri song
Hubaya yenye madem...mukilemewa muna tuu blame... Juu ya shame... Na hii ni game hatuwezi kuwa same 🔥🔥🙌🙌✨
Hapo kwa story ya kupractice kuna msanii mmehata kumention, Nikita Kering pia hujituma.
Wazi bro sjaanza watch but I'm excited
Legendary
Mapesa ndio kabisa tangu Esir wengi wanakuja wakipotea ka C-zar.
Miaka mob kwa industry ka saunya nime tembea hadi nika stunya.. boby ni lit
Amazing good to see bobby around
vitu na penda sasa,ukikuja podcast fungua roho,kwani iko nini,nice conversation Bobby mapesa
Combination yake na calvo mistari ilkua Kali kwa industry
One of my all time faves !! I'm so happy!
Hii issue ya Zuchu ni simple sana, hajaiva bado ku headline shows outside East Africa and I hope management yake imeona. Mtoto amezaliwa juzi, ndio ameanza tu kutambaa alafu mnataka akimbie Marathon? aje sasa?
I was in Diamonds show in Berlin kedo 2020 and he sang all his songs. kama ni lip sync basi ameanza juzi.
If he was dancing, he was lip syncing. All the clips we’ve seen of his are him lip syncing while jumping on stage like a hype man
Wow this was one the best iko ninis I've watched
one of the baddest to ever do it in the Kenyan music scene.
Was my favryt ..izo wezere wezere..... noma sana
Ketebul ya Jesseeeeee
Kenya hatushobokeangi artists,but it's Kenya that has grown Tanzanian music, we appreciate good stuff,vile tu wazazi hawatuambiangi I love you but wanatupenda 😊
Great interview,live from Doha Qatar,ntarushaa kitu kwa hio paybill to support your work mwaff,tuletee mejja,okwokwoo,too artist right now in kenyaa
Mejja yuko. Haiyaa
@@IkoNini poa poa,ashaa nisikilizee,episode 135,nikoo nyumaa saana,lakini ni juu yaa world cup job,
Awesome interview
It's only right you check out and refresh your Mtoi a.k.a Maganji, playlist hadi kwa RUclips as the talk proceeds.
Last 4 minutes of part one, ndiyo any other magazine show kwa T.V wangeanza nayo.
Bobby Mapesa! The illest rapper ever alive! Much respect.
Even his gospel raps like Kabinti was 🔥🔥
Gwara gwara wich wich I can't forget
Legend bobby mapesa
This guy's songs made my days those days 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
On Bamboo still releasing albums in 2024 I support Bobby. That would be ill.
Is it possible that the guests could speak to the Mic? Hawako Audible enough.. Ilikuwa same situwehen na Mammito.
True, waliingiza story ya kanisa alaf wakaanza kuimba na lafudhi ya Naija maze
I compare Bobby with snoopy doggy according to rapping style, am number one fan
Ata vbo akam thru..iko nini
Leta Huyo pinye tuone kama atamalizaa Io cushion ya kiti akijibu maswali......nitaftie pizzo dizzo
Sometime last year kuna some idiots on twitter who were trying to compare Benzema to Bobby Mapesa, nilichoka tu.
🎶🎶🎶
Si mbaya ..juu benzema aliget inspiration from bobby na hu copy style yake
Mapesa ni comedian,asante kunijengea siku
Bobby Mapesa my G.....
Bobby Mapesa nakumbuka ngoma ya Tuko Mbele ilishuka nikiwa high school pale The Beat 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 plus Gwara Winji na Stima Zimekam
'' .. mpaka watu wakaokoka mbaya sana .. ''😅😅
Iko nini is the best podcast ever
Bobby is the Kenyan Gucci Mane