Ili upate utajiri au mafanikio kupitia herufi ya jina lako,sikia hii mpaka mwisho wa somo, namba 1.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 51

  • @Reema12-v5j
    @Reema12-v5j 2 месяца назад

    Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu wew ni mwalimu haswaa sio kama wengine wana tudanganyatu tuna bambikiziwa nyota za wengine bg up brother Ally k kmtafiti wa nyota yangu ❤😂🙏🌹

  • @KimbilimaSocial-dy9cl
    @KimbilimaSocial-dy9cl Год назад +1

    Safi sana mtabibu
    Upo Vyema sanaaa

  • @SaidiKilobo
    @SaidiKilobo 4 месяца назад +2

    Nakuelewa sana kk

    • @SaidiKilobo
      @SaidiKilobo 4 месяца назад

      Asante kwa kutujuz yaliyojifich

  • @alwynnunes8956
    @alwynnunes8956 2 года назад +2

    Salute mwambaa

  • @evnctmb1824
    @evnctmb1824 Год назад +3

    Salutes sana

  • @annageorge43
    @annageorge43 2 года назад +1

    Upo vzr bro. Big up. Nakufatiliaga Sana. Mungu akulinde.

  • @ReshmaFaridi-z4q
    @ReshmaFaridi-z4q 2 месяца назад

    Mmungu akulinde sn

  • @annageorge43
    @annageorge43 2 года назад +1

    Nakusoma broooo. Congrats 👏👏👏👏👏

  • @JacobFanuel-x4h
    @JacobFanuel-x4h 11 месяцев назад

    kaka umetisha apo

  • @RayaAli-d3w
    @RayaAli-d3w Год назад

    Manshallah shukran

  • @fabiantz1431
    @fabiantz1431 2 года назад

    Huwaga nakufatiliaga kwa umakin Sana shukran

  • @vallerymkawandu8664
    @vallerymkawandu8664 6 месяцев назад

    Kweli kabisa. Thanks

  • @ShadyaIssa-gs2ej
    @ShadyaIssa-gs2ej 5 месяцев назад +1

    S na G je mavazi ya kuvaa hujataja

  • @Dhawani-t8s
    @Dhawani-t8s Год назад

    Shukrani sana

  • @JasmnineKhaji
    @JasmnineKhaji Месяц назад

    Heruf J hujataja mavazi yetu jaman

  • @bonifacenkwabinyashimbahom275
    @bonifacenkwabinyashimbahom275 2 года назад +2

    nakupata kk

  • @etrillyodfrex97
    @etrillyodfrex97 Год назад

    Enyew wwe n zaidi ya professor

  • @Mariamu-r1z
    @Mariamu-r1z 2 месяца назад

    Mimi naitwa mwanaidi nyota yangu ni ipi na jina langu linasimama m au w i

  • @ETt-r3e
    @ETt-r3e 3 месяца назад

    Kaka mwanangu anaitwa zainab

  • @gasoredjuma1674
    @gasoredjuma1674 2 года назад

    Jazakallahulkheyr.

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy Год назад +1

    Na hilo nyota lenyewe nalo una ombaje

  • @nivesmapunda694
    @nivesmapunda694 4 месяца назад

    Uko vema bro!

  • @ETt-r3e
    @ETt-r3e 3 месяца назад

    Kumbe na yeye ni kama mim mamake Fatma je ninaeza kumbadil ana miaka 12

  • @BolasieNgongo-rh9wm
    @BolasieNgongo-rh9wm Год назад

    Nikweli Babu

  • @anastelaemmanuel7150
    @anastelaemmanuel7150 Год назад

    Hapo cjaelewa.kunamajina ya kimila yautt nayakanisani tunatumia lipi

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 Год назад +1

      Umeambiwa ulivyozaliwa jina ulilopewa ndiyo anaongelea

  • @gwaruboy2836
    @gwaruboy2836 8 месяцев назад

    Kaka sasa mimi jina langu linaanza na Th itakuwa inasimama kweny herefu gani

  • @mussamsagati6191
    @mussamsagati6191 9 месяцев назад

    Saf xana br

  • @MugishaWilliam-q2r
    @MugishaWilliam-q2r 9 месяцев назад

    Thank you so much .

  • @mwanaidgharib8276
    @mwanaidgharib8276 10 месяцев назад

    Unaongea sana mpaka naskia usingiz😢

  • @ramadhanimohamed880
    @ramadhanimohamed880 Год назад

    Jina la kaz unaweza ukaombea sku yake

  • @salomeraymond2051
    @salomeraymond2051 2 года назад +2

    Kaka I nyota gn na yupo kundi gan? nliona sehemu ni nyota ya Simba vipi ni kwel?

    • @allykk1459
      @allykk1459  2 года назад

      Tafuta clip hapo ilio andika njia tatu kuu

  • @TurabagaboJeanMarie
    @TurabagaboJeanMarie 9 месяцев назад +1

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪🙏🙏

  • @MalikiaRecho
    @MalikiaRecho 6 месяцев назад

    Sayar yangu ni upepo ila jina langu lina anziwa na j hapo inakuaje kaka??

  • @anastelaemmanuel7150
    @anastelaemmanuel7150 Год назад

    Ckuyangu nijnne.

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 2 года назад

    M bona sijasikia

  • @ZuwenaSuwedi-tr2ny
    @ZuwenaSuwedi-tr2ny Год назад

    Hbr za kazi kaka mm tangia kuzaliwa nilipewa jina la Bahati hadi nafika umri wa miaka saba, baada ya hapo nikapewa jina la Fatuma lkn wengine bado waniita jina ambalo nilipewa utotoni. Sasa naomba kujua mimi nitakua kundi gani la nyota?

    • @DuduMagau-sm3pd
      @DuduMagau-sm3pd 9 месяцев назад

      NYOTA ya Ng'ombe

    • @CralenceClavely
      @CralenceClavely 8 месяцев назад

      Udongo heluf B

    • @SimbliuthusKomba-dy3dm
      @SimbliuthusKomba-dy3dm 8 месяцев назад

      Habar kaka mm tangu kuzaliwa nilipewa jina la vumilia hadi kufika umuri wa miaka saba baada ya hapo nikapeawa jina la zainab sasa mimi hapo nyota yangu ni yepi

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 8 месяцев назад

      Nyota yako ni udongo udongo mzuri yani ukilima kitu lazima kiote maana yake ni udongo wenye rutubaaa

  • @anastelaemmanuel7150
    @anastelaemmanuel7150 Год назад

    Nipo kundi la Moto nivaenguogani hasa cku hiyo baada ya maombi

  • @dogoshazzy761
    @dogoshazzy761 2 года назад +1

    Kaka kama jina linaanza na herufi shabani au sharifu hapo herufi ip inahusika ya kwanza naomba msadaa

  • @adamsanga062
    @adamsanga062 Год назад

    Adam

  • @mahmoudmpitabavuma3158
    @mahmoudmpitabavuma3158 2 года назад

    Je,ukibadiri, nyota yako,sinabadilika?