Mwenye ameona mwanamke wa skirt ya strips za black na white na top ya green akipata roho anipe like.Wana heri wale wanaomwabudu Mungu kwa roho na kweli.Kuna aina za roho. Hoho mtakatifu ,roho mtaka kitu roho mchafu...Mungu atusaidie sana.
@@SheillahMinayo True kwanza mwenye Hana kanzu alafu anacheza mbele ya watumishi akitingiza matako na matiti alienda mbele ya watumishi mwingine mpaka akarudi nyuma. That's lack of respect
Sisi waluhya tunapenda kudancia aliyekufa hadi anaenda kwa furaha. Best tribe is luhya❤❤❤❤❤
Am proud to be a luhya
Nice one 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Makiwa 😭
Wanawake wanafanyia nini mbele ya gwarida,na hata kuvaa kwao,hakuna heshima
Makiwa kwa familia 🙏
😂😂😂😂 its the drums for me.... Venye wanazicheza. But kutigiza mwili acha tu nibaki mkikiyu
Mwenye ameona mwanamke wa skirt ya strips za black na white na top ya green akipata roho anipe like.Wana heri wale wanaomwabudu Mungu kwa roho na kweli.Kuna aina za roho. Hoho mtakatifu ,roho mtaka kitu roho mchafu...Mungu atusaidie sana.
Nimemuona, bt hakai normal😢
@@phaustinemakhungu hahaha
Wee Hashangaa tu
Mizuka na mizimu ya divination Iko hapa ni nyingi sana
Huyu mama wa mbele anafanya production wale wa miraya wamuone mmmh😮😮😮
uweh kukua mluyah haitaki uzembe😢
😂😂😂😂😂 acha nibaki tu mkikuyu. Mimi hii dance cwessss!
Heavy food!! Lazima utingize mwili kidogo ndo atleast food iende kunakostahili
@@ElizabethOnala😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kucheza
Hawa wajamaa huwa hawachinji ngombe wao huvunja shingo isaw it somewhere hadi nikawatii
Hii ni upuzi
Maybe alikuwa anafinywa vizuuri na mkufi huyo mama mwenye dress ya brown 😂😂😂😂😂
Huyo anadance n nguvu .labda mufii n x wake
Nyinyi mnaharibu agano la mtumwa huyo mwanamke anachezea karibu na bendera kwa nini na hana maagano kamili
Hakika
Huyu mama wa mbele alafu atasema pastor anamtaka na yeye mwenyewe anaweka vitu mbele 😂😂😂
Huyu mumama hana aibu vile anatingisha matako mbele ya pastor 😂😂😂😂😂😂
Imjn
She need a bra. Kukosa hekima.
Aki si inawezagonga pastor na vile ako na kubwa
@@ElizabethOnala dini zingine ni mashaka tu
Hata nimemshangaa.hawa ndo wanalala namapastor.
Sasa hii ni gani sasa
Hapa hata mkufi anadance na kusmile kwa sanduku
Nikikumbuka 2022 my fast time kupata roho mtakatifu kwa hii kanisa na kuongea in tounge😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Alafu kukaendaje 😂😂😂😂
Did you see your enemies
😂😂😂wanaingia wapi sasa
Huyu mama ni malaya anakaa aje mbele na hiyo nguo 🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
You to
Ujui hii kanisa umalaya inakuaga n degree
Hi inataka kama nimeshikisha chrome zangu kama inne hivi
Uzuri tu ni ati soloist inaezakua mtu yeyote😂😂😂.....bora beats imeshika😂😂 mlina wanje
Ama ni Yule alipigwa risasi akiiba kwake no hapo 56, sweet water
❤
Mnatoa wapi nguvu ya kucheza ilihali mumefiwa
Alafu watu wa Uganda walishutuka kuona vile Waluyha wanadance
@@christinemuvu4847 yawah nilishangaa wakiona wanadance wakiwasongea wanatoka mbio nikicheka sana
Hi inafanya iyo nyumba nikose tenant
N mkufiwa n nan Sasa juu wote wako kwa raha zao😅
Mkufiwa pia ako buy sana kuokota indumba😂😂😂😂
@@milicentakinyi1650🤣🤣🤣🤣haki tunacheka kwa matanga
Huyu mama simuone poa ama ni sidechick
Wa kunyanba wakinyamba wakusingo mmmh
Huyu anatetea kudance yake kumbe anatarget huyu ako na bendera wakulane kwa matanga😂
Bibi yake ni huyu amevaaa green na bado mnamwambia akanyange surely hamna huruma
Huyo mkufi alikuwa anakaa mbali
Aki waluhyia hii ni ufala tu evingwa
Utamu ya hii kanisa inafa ukuwe na madudu,( gigas)kwa migu u
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Twenda nalo muziki bila jasho
Kucheza ingine sio ya kikristo but ya umalaya
😂😂😂😂kuna wamama wawili hpo wanataka kuweka wazee Kwa mtego
@@SheillahMinayo True kwanza mwenye Hana kanzu alafu anacheza mbele ya watumishi akitingiza matako na matiti alienda mbele ya watumishi mwingine mpaka akarudi nyuma. That's lack of respect
@@LeahOngosi 🤣🤣🤣🤣
True Kwanza huyo WA nguo ya brown,hiyo NI usherati ,na Ile harufu inatoka hapo chini poooooh
Huyu mama ni masiato tu
Hawa ni wale walijitenga kutoka Kwa other African traditional churches ADC, so they have absolute freedom here when it come to dancing....😂
Huku ni kawangaware wapi
Haki waluya mko nasarakasi mingi .🤣🤣🤣🤣
Mkikaribu kuchua somu kwanza wa flag mtapata maajabu😂
Githurai hakuna nyumba za matope hukusoma hapo mbele wako kawagware
Hiyo mashishi iko uko kanairo ama ushago Janani naona Nikama Kidurai 45
Yani unamanushia githurai 45?
@@ElyWekesa-ek7xe ilikua town wakapeleka nyumbani kwake ushago sehemu za Uganda