Wakina mchome hao yaan mnawaacha akinamchome watuharibie sifa ya club yetu halaf cc ndo tuumie kwann nawao wacvunjwe hata mgui? Iliwakome kuvaa jez ya simba na kutuletea ujinga hao wanatumwa na watu wanaptaka simba tuvurugane ili wao wapate madaraka pale simba
Uko sahihi mchungaji, kosa ni letu mashabiki watoe namba tutalipa. Tuwaoneshe maana ya simba nguvu moja💪
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sawa kabisa tupewe namba hata saizi tuna machungu mno kweli ndani ya siku Tano inapatikana hiyo
Mchungaji tupo pamoja Sana itolewe namba na Tena sio hiyo tuu mpaka kununua wachezaji wa ghali mashabiki tuko tayali kwa Simba yetu!
Tuupo tayari kulipa hiyo faini.Simba nguvu moja
Mimi kuanzia Sasa nipo tayari kutoka mchango wa sh, 10000
Alafu,kama ni kufungiwa na Cuf na wanataka tulipe,wangetoa taarifa hii mapema tungeisha lipa tungefunguliwa mashabiki kama shida ni kulipa.
Tupo Tayari kulipa Mchungaji CEO Toa no tulipe hiyo fedha Nchi nzima tunachanga upo Sahihi mchungaji CEO Toa no Simba nguvu moja.
Tutlipa zaidi ya hiyo
Simba nguvu moja.
Hata mimi natoa
Toa no.mie jeremia daudi kazi ianze
Tuendelee kukata tiketi pesa tulipe faini.mimi binafsi nilikata jana jioni
Wao wamefungiwa usajili wanashangilia sisi kufungiwa Mashabiki 😂, ndio maana wanasema Utopolo mwenye akili mmoja tu
Haaaah haaaaaah Simba Raha jamani
Kabsaaa,ufahamu ni finyu
Kama wamesitisha basi hizo pesa tulipie hiyo hela
Tupo tayari kuchangia
Tatachangia watoe namba tu
Upo vizur sana mchungaji mashabiki ndio cha yote hayo wachangue
Upo vzr itapatkana fasrar
Nikweeli Lakini Tatizo Mkorogo Kaka.
namba tu tunala
Viongozi leteni namba hiyo tulipe sisi fedha ya faini fedha za timu zifanye mambo muhimu
Watoe hiyo namba tupo tayar kutoa
Tupo tayar leten namba hyoo
Haraka nasuburi namba Nina book kumi za timu.
Mchungaji usiwe mdhaifu,Yanga akishinda ita kuwa kwa mara ya pili wanaingia,Simba ashatinga mara 4CAF champions league,usiwe mnyonge
Towa namba tulipe
Usitoe laki kwenye sadaka zetu
uko.sahihi.mchungaji...nguvu.moja
watoe nmba mm natum million moj
😂usitafute kiki ujui kitu chochote kwenye mpira
Mchungaji umechanganyikiwa😂😂
Toen namba viongozi chapu
Hawa mbwa hata hawaeliwi kilichotokea hiyo hela unayo?
Wewe kama huna sio wote
Mbwa mwenyewe. Hujui umoja wa ushabiki.
Na ndomana kasema tutoe bukubku Simba tunaweza for sure tunaweza
Mtu mpaka kufikia kuita watu mbwa,basi ujuwe yeye ndio amelaliwa kimbwa mbwa
Hata kombe la mbuzi huwa na bingwa!
Wakina mchome hao yaan mnawaacha akinamchome watuharibie sifa ya club yetu halaf cc ndo tuumie kwann nawao wacvunjwe hata mgui? Iliwakome kuvaa jez ya simba na kutuletea ujinga hao wanatumwa na watu wanaptaka simba tuvurugane ili wao wapate madaraka pale simba