Nimetikiswa - Kiwalani SDA choir (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024

Комментарии • 77

  • @stivemajura144
    @stivemajura144 3 месяца назад

    Mbarikiwe watu wa Mungu kwa kumwinua BWANA ktk uimbaji, msikatishwe tamaa na comment, Mungu awabariki kwa kaz nzuri

  • @OketchEdward-h5m
    @OketchEdward-h5m 3 месяца назад

    Naendelea kubarikiwa

  • @wilfredchagwa1128
    @wilfredchagwa1128 4 месяца назад +4

    Hii chorus imeimbwa sana, mbarikiwe ila wasiliane na mtunzi wa wimbo huu maana ni injili ila itawapa ukakasi sana bila kuwa waungwana… nyie na Usa river wote mmechukua wimbo wa GOFU JUU SDA CHOIR- TANGA

    • @VictaBevdi
      @VictaBevdi 4 месяца назад +2

      Kikubwa ni ujumbe mtumishii

    • @kiwalanisdachoir4164
      @kiwalanisdachoir4164  4 месяца назад

      @@wilfredchagwa1128 Karibu Sana Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu Kisha waalike na Wengine Pia

    • @jeremiahnyabuga1112
      @jeremiahnyabuga1112 4 месяца назад

      sure

    • @nicommasa3663
      @nicommasa3663 4 месяца назад

      Kama ni injili ukakasi unatoka wapi?nyimbo ni mahubiri,niibada pia.
      Nyimbo za kitabu zinaimbwa kila Leo,kulikua na mtunzi pia.

    • @SUPERMARKET-tp4tb
      @SUPERMARKET-tp4tb 3 месяца назад

      @@kiwalanisdachoir4164 amina na huyu ndiye mtunzi wa wimbo huo@Wilfredchangwa1128 mkihitaji huduma yake wasilaneni naye atawabariki kwa jumbe nyingi watu wa Mungu japo ukweli utabaki original ya wimbo ni GOFU JUU TANGA na ulisha rekodiwa hivyo fuateni taratibu kanisa letu ni la utaratibu mbarikiwe amina

  • @nyatambekateti
    @nyatambekateti 4 месяца назад +2

    Kiwalani mfikeee mbali na huu wimbo

  • @eginusmberwa2281
    @eginusmberwa2281 3 месяца назад

    jamani mungu awabariki sana na kwasasa najua mpo kwenye kambi beroya fanyeni kazi ya mungu sis tupo bega kwa bega na nyie marafiki zetu wa maanaaaaaaa

  • @LilianEdward-h9x
    @LilianEdward-h9x 2 месяца назад

    Wooow madam Ruth kumbe unakarama kubwa namna hii Mungu azidi kukubariki madam ❤

    • @Ruthsamson746
      @Ruthsamson746 2 месяца назад

      Aminaa mwanangu ubarikiwe pia 🙏

  • @ezenalukonge8506
    @ezenalukonge8506 4 месяца назад

    Ruth ❤ kazi nzuri mdogo wangu nimefurahi unamtumikia Mungu huko

  • @FADHILWILLIAM
    @FADHILWILLIAM 4 месяца назад

    Dah hili ni bonge la wimbo nilikuwa nikilipiga shuleni kama fundi mitambo watu wananyamaza Girango Secondary in Rorya Mara Dah mbarikiwe sana

  • @JACKSONIMKAMA
    @JACKSONIMKAMA 4 месяца назад +1

    The blessed song 💓💞💯

  • @Lamo_Mmoja
    @Lamo_Mmoja 4 месяца назад +1

    Amen. Powerful message

  • @madafaofficial9826
    @madafaofficial9826 4 месяца назад

    I'm blessed

  • @mondyshayo-ev9gt
    @mondyshayo-ev9gt 4 месяца назад +3

    wimbo mzuri lkn hiyo korasi nimetikiswa ni ya usa-river ministry choir angalieni vzr walimu muache kuiba nyimbo za watu

  • @CalvinePaul-n7u
    @CalvinePaul-n7u 4 месяца назад +1

    All in all ni kazi ya Mungu❤❤ Ase maua yenu yapoo mmeupiga huu wimbo sanaa🎉🎉❤

  • @nyatambekateti
    @nyatambekateti 4 месяца назад +1

    Japo vikwazo ni vingi tujipe moyo ❤❤❤❤

  • @stephenwambua5384
    @stephenwambua5384 4 месяца назад

    Well done. God blessed you.

  • @okwetokennedy2949
    @okwetokennedy2949 4 месяца назад +1

    Please I need kiwalani church choir director please the contract

  • @simonmagembe3843
    @simonmagembe3843 4 месяца назад +1

    MUNGU awainueeeeeeeeee.zaidiiii na zaidiiiiii.by Mwl Simon from Nyamvisi Ay choir

  • @vinicsarange2422
    @vinicsarange2422 4 месяца назад

    Wow❤! Wow!, Hallelujah! Hallelujah! very Touching, You have Boosted my Faith, 🙏🙏🙏

  • @YoelMweya
    @YoelMweya 4 месяца назад

    Mbarikiwe sana wapenzi wa Bwana

  • @MaidaMwaijande-x3s
    @MaidaMwaijande-x3s 4 месяца назад +1

    Amen 🙏

  • @HildaSimchimba
    @HildaSimchimba 4 месяца назад

    Kazi ya MUNGU itasonge mbele USA river kunautofauti mbona kidogo

  • @YoelMweya
    @YoelMweya 4 месяца назад

    Mbarikiwe sana wapenzi wa Bwana😅😅

  • @christopherkateti3797
    @christopherkateti3797 4 месяца назад +1

    Tuwenye dhambi tena wahitaji Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

    • @kiwalanisdachoir4164
      @kiwalanisdachoir4164  4 месяца назад

      @@christopherkateti3797 Hakika Mahala Pekee tunapata Msaada ni kwa Mungu

  • @bobondieki464
    @bobondieki464 4 месяца назад

    Wonderful amen

  • @Sunmonz226
    @Sunmonz226 4 месяца назад

    Hii srp studio shikamooo kwa kazi nzuri na ujumbe mzuri kutoka kiwalani

  • @BarakaWilson-z9d
    @BarakaWilson-z9d 4 месяца назад

    Mbarikiwe sana nafrahi kumuona my bro Kennedy Wilson na mke wake

  • @thehumblevoicesfamily5996
    @thehumblevoicesfamily5996 4 месяца назад

    Mbalikiwe sana

  • @RabsonJacob-tl2mr
    @RabsonJacob-tl2mr 4 месяца назад +1

    kiwalani waooooooooooh

  • @DanielSamuel-tk8bh
    @DanielSamuel-tk8bh 4 месяца назад

    Ameny

  • @LovelyFloatingIceberg-xj1fx
    @LovelyFloatingIceberg-xj1fx 4 месяца назад

    Akika nafarijika na huuu wimbo

  • @abasrich7793
    @abasrich7793 4 месяца назад +2

    Chorous ya Usa River... Mmetisha sana tungeni nyimbo buanaaaaa,,, Wimbo wa tangu 2011 Najifunza nikiwa Usa leo mnafanya Audio kilaaaini.... Tungeni nyimbo.

    • @ThelezaPaschal
      @ThelezaPaschal 4 месяца назад

      Kabisa yan

    • @venancemeshack3709
      @venancemeshack3709 4 месяца назад +1

      Yote Kwa yote kazi ya Mungu isonge mbele, bila ukiimbwa na Kiwalani Mimi nisingejua kama ni ya USA lakini pia kuna mtu nae anasema USA wamechukua Tanga so kikubwa Injili ya Kristo inahuburiwa.

    • @VictaBevdi
      @VictaBevdi 4 месяца назад +1

      Kikubwa ni ujumbe kabisa

    • @mungelesamson3995
      @mungelesamson3995 4 месяца назад +1

      Sisi tunabarikiwa na ujumbe wa Mungu suala la nan alitunga sio kazi yetu. Haukuwa na sababu ya ww kuandika hapa ujumbe kama huo, anyway jaribu kusikiliza nyimbo zao zote huenda zitakubariki.

    • @abasrich7793
      @abasrich7793 4 месяца назад

      @@mungelesamson3995 Watunge buanaa

  • @maxiellmillian
    @maxiellmillian 2 дня назад

    ❤❤❤❤

  • @christopherkateti3797
    @christopherkateti3797 4 месяца назад

    Endelea kubarikiwa alika na mwengine atazame video asikilize mabeti na chorus kisha akumbuke ku-comment. Nadhani kuna kitu cha kujifunza ktk wimbo huu pasipo kutumia miguvu mingi😂😂😂

  • @HassanObwogi
    @HassanObwogi Месяц назад

    I miss you

  • @EnthusiasticCardinal-tw4lo
    @EnthusiasticCardinal-tw4lo 4 месяца назад

    Amina

  • @ein128
    @ein128 4 месяца назад

    imeibwa koras

  • @MWITAriCHard-h7x
    @MWITAriCHard-h7x 4 месяца назад

    Amen

  • @FelistaAmos
    @FelistaAmos 4 месяца назад

    ❤❤❤❤ ameni

  • @obychars
    @obychars 4 месяца назад +2

    Mtunzi katembea na melody za watu! Though waimbaji mmeutendea haki. But
    Beti la kwanza ni wimbo wa mbiu sda choir_ Mji mzuri
    Chorus Wimbo wa Usariver youth ministry
    Beti la pili Mbiu sda.

  • @mjemachannel7591
    @mjemachannel7591 4 месяца назад

    Ujumbe mzuri ila mtunzi sio mbunifu anachukua chorus ya kwaya ya usariver na sehemu nyingine ni ujumbe wa kwya nyingine ajitahidi kuwa na ujumbe mwingine jumbe zipo nyingi kama hawezi kuandika melody nyingine aache

  • @omodesigner
    @omodesigner 4 месяца назад

    ❤❤Amen.

  • @gracekatani3669
    @gracekatani3669 4 месяца назад

    Mmeimba vizuri lakini kwanini mmeimba chorus ya Usa river Ministry?? It's better mngeomba idhini ya kwaya husika

  • @ShadrackMeshack-b8x
    @ShadrackMeshack-b8x 4 месяца назад

    Nice

  • @sukasdachoir
    @sukasdachoir 4 месяца назад

    Watu wa production., angalieni colour grading au filters mnazotumia - uhalisia hauonekani - mfano - hakuna majani yenye rangi ya namna hiyo-
    Good song

  • @VictaBevdi
    @VictaBevdi 4 месяца назад

    🔥🔥

  • @ThelezaPaschal
    @ThelezaPaschal 4 месяца назад

    Beti la kwanza ni kwaya nyingne chorus nayo ni ya kwaya nyingne anagalien na walimu mnaowatumia aisee nyimbo za watu kabisa ila nimetikiswa Org tunamfahamu ilipo

    • @opiyokabunde9605
      @opiyokabunde9605 4 месяца назад

      Jifunze kushinda wivu, huu wimbo ni watu wa Mungu wote

    • @YoelMweya
      @YoelMweya 4 месяца назад

      Mbarikiwe sana

  • @hellenasamson3133
    @hellenasamson3133 4 месяца назад

    😊

  • @stivemajura144
    @stivemajura144 3 месяца назад

    Mbarikiwe watu wa Mungu kwa kumwinua BWANA ktk uimbaji, msikatishwe tamaa na comment, Mungu awabariki kwa kaz nzuri

  • @YoelMweya
    @YoelMweya 4 месяца назад

    Mbarikiwe sana wapenzi wa Bwana

  • @YoelMweya
    @YoelMweya 4 месяца назад

    Mbarikiwe sana wapenzi wa Bwana