Mungu Baba Tunakushukuru Kwa Zawadi Hii Tunaomba Bariki Kanisa Takatifu Katotiliki La Mitume, Bariki Makuhani Wa Kanisa Na Waamini Wote Asante Baba Kayombo Kwa Maelezo Na Ratiba Yakinifu Barikiwa Sana.
Na sauti ya Mungu baba ikasika ikisema Huyu ni mwanangu niliyependezwa naye msikieni yeye . Asante Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya Askofu kwa jimbo letu la Njombe
Asante mungu mwenye huruma kwa kutupatia zawadi hii nzuri, tunamtakia heri na Baraka aweze kuliongoza Jimbo letu la njombe amina
Asante sana Kwa ufafanuzi mzuri baba Laurean Kayombo
Mungu Baba Tunakushukuru Kwa Zawadi Hii Tunaomba Bariki Kanisa Takatifu Katotiliki La Mitume, Bariki Makuhani Wa Kanisa Na Waamini Wote Asante Baba Kayombo Kwa Maelezo Na Ratiba Yakinifu Barikiwa Sana.
Na sauti ya Mungu baba ikasika ikisema
Huyu ni mwanangu niliyependezwa naye msikieni yeye .
Asante Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya Askofu kwa jimbo letu la Njombe
Njombe mambo yenu ni moto, kumbe keshokutwa ubwabwa na hamsemi😅 hongereni, vichwa kama baba kayombo vichache sana, simple & clear.
Fr Kayombo ❤ Chemistry head
Siyo Askofu Mkuu Jaribu kujielimisha mambo ya kanisa Katoliki