Dada hakua na mambo mengi kuanzia nguo mpaka kichwa na sura lakin kapendeza mno,,,nyimbo anajua anacheza kwa ustaarabu mpaka raha😘,,, Mungu amtangulie akawe mke Bora
Bibi harusi ukichanga mka sana ukacheza sana watu una wanyima uhuru wa kukusapoti ndio mana harusi nyingi bibi harusi akicheza sanaaaa watu hawachezi wanapigwa butwaa
SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL
Dada hakua na mambo mengi kuanzia nguo mpaka kichwa na sura lakin kapendeza mno,,,nyimbo anajua anacheza kwa ustaarabu mpaka raha😘,,, Mungu amtangulie akawe mke Bora
Bi harus,umejua kucheza nakujiamini,ukamtangulize Mungu ktk ndoa yako
Bibi harusi ukichanga mka sana ukacheza sana watu una wanyima uhuru wa kukusapoti ndio mana harusi nyingi bibi harusi akicheza sanaaaa watu hawachezi wanapigwa butwaa
Yaaan kama mm navyoona
Siku yake muhim Acha afurahi
waooo mdogo wamgu dotto🎉
Umepenfeza sana hongera
Nimependa kwa confidence yako nimejfunza ktu🤔
Komwe Dada komweeee......mwenye makomwe sis aaaaa tuko vzr
Komwe hhha
Mwenyezi Mungu alitunyima nywele akatupa uzur na shape
@@irenekarume1470 umeona eeee hahhaa jmn tuna sura nzr sio utan
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 comment yangu umeona au bado 😁😁😁
Umeonaaa komwe kumbeee 🤣🤣🤣🤣
Umependeza twin 💃💃💃💃💃💃💃❤️❤️
❤jina la wimb jamani
Komweee dada lkn ukapendeza mno hongera sana sana...
Nilijua naona mm tu😂😂😂😂😂
😂😂😂😂mecheka
Aiseee umeicheza vzl tyu
Wow umpendeza sana
Ulijua kujiamini dada, sema unajua na kucheza nimekupenda
Ulijua kucheza biharusi hongera sana
Umependeza sana jahman
Kapendeza👌🥰🥰
Hongera sana umependeza
Quality mbaya ya video
Best choice Ilinogaa
Mambo ni moto 🤩🤩🤩🤩
What a vibe mashallah good luck in your wedding🎉🎉🎉❤
Material ya hicho kitambaa Ni yap??? Amependeza 😋🤪
We hutapendezaaa
Ajapemdeza komweeeee
Akina dotto huwa wana mbwembwe wachangamfu hata wakwangu dotto kachangamka balaa😀😀
we kina kurwa ndo wachangamfu bana...mi ni kurwa
Kweli bhana,, hata wa kwangu vivo hivo
Piga keleleeeee kwa kina dotto sie kweliii tumedabukwaaaa sie
Ma dotto bhana
Waoohh,,, so nice
Kumbe na wenye makomwe wanaolewa 😁😁😁😁basi na mimi na komwe langu nitaolewa 😁😁😁
😂😂Unaujinga ww
🤣🤣🤣
😂😂😂😂uliwaza nini
😂😂
😂😂😂😂
❤❤❤
Which song is this
Mapish
Waooo
Hilo komwe km langu hapa nawala hajalijali
Cutest ❤️🤩🥰🥰🔥🔥🔥
Gud
Kaimba nani huo wimbo
Komwe dada komweee wenye makomwe tujuane 😜😜😜umependeza mwaya ukiwa na komwe unapendeza bhana
Tulivyo warembo sasa 🥰🥰🌝
Watuache na komwe zetu
Umeona eeeh tena sna
@@jacquelinemabula2519 kweli nakubali wenye makomwe warembo
🌹👏👏🙏
Beautiful one
Komwweee
Bi harusi kachachuka km katiwa ndimu si mchezo
Komwe Kama langu😂😂😂😂😂But I like her
😂😂😂
Bihatus htr angekuwa mrefu kz ingekuepo Sema ndo mfupi km mm
Sijui Kam sio muhaya huyu
Shuma ni Kibosho au Machame
Kibosho
Unacheza unaimba ila umejuwa kujitetea yaan mm nina mambo mengi siku iyo kwanza niende gimmy nikawe mwepsi kwanza ili nikija apo nacheza kichuga
🤣😆🤣😆
umependeza sana mpenzi. mwez wa sita naomba mungu anipe ujasili kama wako
🤣🤣🤪🤪🤪 kichuga kabisa ni hatariiiii...mambo ya mamong'ooo
😂😂😂😂
Bibi harusi kachangamka Hadi raha
Wimbo wa pili unaitwaje jamani
Amen
mweee mweeeee kapendeza mno umejua kujiachiaaaa
Pete
🥰🥰🥰🥰