Nimependa namna yako ya kufundisha fundamentals za upigaji wa kinanda. Kwa kweli kwa wanafunzi watakao kufuatilia na kuzingatia watakuwa na uwezo wa kupiga vizuri sana hasa kwa nyimbo rahisi za Nota. Hongera sana kaka.
Yaani nikitoka sokoni naifungua haraka Sana. Naamini hii NI jibu kwetu waanza mwaka baada ya kujua kupiga DO,RE,MI,FA, SO, LA, SI, DO. Kinachofuata ndo hichi sasa.
Mbona style yako ya kufundisha ni ngumu hivyo? Vidole viko 'stiff' sana na mwanafunzi anajifunza zaidi kwa kusikia sauti. Kwa nini usiandike nota za hizo chord pamoja na namba za vidole zitakazotumika kwenye kuzicheza? Pili ni muhimu vidole vikae sawasawa kwenye keyboard. Inafaa vidole vyote viguse key za kinanda kila wakati. Siyo kunyanyua vidole ambavyo havichezi! Hata hivyo nikupongeze kwa muziki mzuri wa chord! Unahitaji kufanyiya vidole vyako mazoezi ya kupunguza stiffness .
Uko vzr xana
Hongera broo naona umeludi kwa kasi zaidi
Nimependa namna yako ya kufundisha fundamentals za upigaji wa kinanda. Kwa kweli kwa wanafunzi watakao kufuatilia na kuzingatia watakuwa na uwezo wa kupiga vizuri sana hasa kwa nyimbo rahisi za Nota. Hongera sana kaka.
ahsante san kwa elimu. natamaniiii sana kuja kujua kupiga kinanda
Mwalimu nimekuelewa sana
naomba niadd kwenye grp
We mwenyewe unajifunza kumbe
Hongera sana
Naomba tuwasiliane nauhitaji kujifunza kinanda mwalimu,mm Basil Niko tabora mjini
Uko vzr kaka,unapatikana wapi?
Mwl.tumsifu yesu kristo naomba niadd kwenye magroup ya muziki nilipoteza simu
Asante sana. Following your lesson from Nairobi
You're welcome
Brother I wish sana nijue kinanda lkn shida kwenye practice kinanipa shida sana kwenye understanding ya vidole
prince Niko chimala mbeya saaafi
Nataka niyafanyie mazoezi kwa sasa
Hello mwalimu, ulisahu seheme ya tatu sikuona
Masomo Yako ni mazuri ila hatuoni ukibonyeza batani kitu ambacho ni muhimu
Mwalim NAOMBA mawasiliano pia
Mimi nahitaji notes napataje namba zako!???
Naomba namba mwalim
Ipo hapo youtube. 0757004663
Sasa unapiga sisi hatuoni mwee
Mafunz gan unatoa na hata sauti huna ww tunasikiliz nn sasa
Yaani nikitoka sokoni naifungua haraka Sana. Naamini hii NI jibu kwetu waanza mwaka baada ya kujua kupiga DO,RE,MI,FA, SO, LA, SI, DO. Kinachofuata ndo hichi sasa.
Hahahaaaaa....kaza buti hakuna kinachoshindikana. Kazi kwako mazoezi ya kutosha.
Nasikia kuku nifundishe ufugaji
Nimevutiwa saana mwalimu
NAOMBA unicholee vidore kwa key zote na sehehemu hizo nane za Siri
KWAKWEL unanibsriki saa
Mfumo wa do re mi fa nimeufurahia saaana nadhani itakuwa jibu kwangu wa uhodari wa kupiga kinanda kwa KUZINGATIA hizo Siri nanedaaa??
Mbona style yako ya kufundisha ni ngumu hivyo? Vidole viko 'stiff' sana na mwanafunzi anajifunza zaidi kwa kusikia sauti.
Kwa nini usiandike nota za hizo chord pamoja na namba za vidole zitakazotumika kwenye kuzicheza?
Pili ni muhimu vidole vikae sawasawa kwenye keyboard.
Inafaa vidole vyote viguse key za kinanda kila wakati. Siyo kunyanyua vidole ambavyo havichezi!
Hata hivyo nikupongeze kwa muziki mzuri wa chord! Unahitaji kufanyiya vidole vyako mazoezi ya kupunguza stiffness .