Asalam alaikum mimi sijuwi mengi ila naswalia Ngozi ku masjid Shaafi n'a kila week tunafanya maulidi n'a kuna maulidi kubwa kwa mwaka n'a chenye wanafanya ni kusoma maneno ya mungu nielimishe basi nielewe kwasababu mi ni mshafi kutoka Ngozi n'a kuna ma Sheikh wakubwa sana wenye ujuzi
Hakika tuna farijika kwa mawaidha mazuri sana hakika mioyo yetu waumini ime kosheka allah akujalie maisha marefu shekhe wetu
Allah akulipe kwa hili 🙏❤️
Shukran sheikh Allah akuzidishiye kila la kheri tunaomba suite ya hiyi InshaAllah
Naiyaxubillah. Moto wajahannama yarabi. Kwshuruma wako
Ma shaa allah haya mawaidha yako sheikh Abdi ni Ghali sana yenye ibra na mazingatio
Haya njo mawaidha mazuri yakiwemo darsa, jazakallahou kheir ya sheikh
Mashallah
mashaAllah
Jazakallah khaillah shehe kwaukumbusho
Kwani ni dhambi gani sheikh Abdi John amefanya
Nakupenda sana baba kwa jili ya Allah ☝️ naeshi🇷🇼 lakini nakupenda sana baba ❤️
Naishi South Africa maalim abdi John umefanya makosa makubwa kwenda kwenye bidah ya maulid Congo
Fanya tauba Malim abdi John please please please