Daima wewe ni moja mwa masheikh pendwa inchini Burundi 🇧🇮, vijana wazee,waume kwa wake,wanakuelewa nakukupenda Sheikh wetu,hilo daima litabaki kuwa fitna kwa baadhi ya wenzako.Allah akuhifadhi na fitna za maaduwi na mahasimu wako kwa ujumla.na azidi kukupa ibra na ufahamu mzuri,utupe maneno mazuri yenye hekima nakucunga heshima za watu.aamin
Naam Sheikh wetu ❤❤❤❤ ALLAH akuwekeye wepesi kwakila jambo nakupenda kwaji y, ALLAH ❤❤
Allah akujaalie mwish mwema kwa kazi unao ifany🙌🙌
Daima wewe ni moja mwa masheikh pendwa inchini Burundi 🇧🇮, vijana wazee,waume kwa wake,wanakuelewa nakukupenda Sheikh wetu,hilo daima litabaki kuwa fitna kwa baadhi ya wenzako.Allah akuhifadhi na fitna za maaduwi na mahasimu wako kwa ujumla.na azidi kukupa ibra na ufahamu mzuri,utupe maneno mazuri yenye hekima nakucunga heshima za watu.aamin
Allah akupe ubri murefu sheikhwetu .apia akujalie mwisho mwema
Allah akupe afya na umri mrefu wenye kheri na baraka ndani yake akuwezeshe kukusanya amali njema utakazo muoneshe siku ya kukutana naye uwe na furaha.
Jazakallah sheikh Allah akupe umri mrefu inshaallah
Shukurani yaa Sheikh brakallam fikumu
MAA SHAA ALLAH.j
Allah Akbar
Ameen