bwana wa majeshi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 57

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku День назад

    Bwana wa Majeshi Mungu wa watu wote nyimbo nzuri 2025 is my favorite song

  • @justusmutuku8303
    @justusmutuku8303 2 года назад +9

    Margret!!!!!!!! Soloist hodari,,,,,, sauti ya kumtoa nyoka pangoni💓💓💓💓💓💓 ,,, vyombo vimepangwa poa,,,,, 💗💗💗💗💗💗 waimbaji sauti zimepangwa vizuriiiii,,,,,,💓💓💓💓💓 wachezaji wako🌟🌟🌟🌟🌟🌟,,, Kiongozi wa hiiii choir na composer Mungu awabariki twawapenda tukiwa Machakos 🇰🇪

  • @GaudensiaMichael-b8p
    @GaudensiaMichael-b8p Месяц назад

    Balaaaa ❤❤❤❤❤❤napenda kwaya kuliko kitu chochoteeee

  • @MariamJoseph-wi6ob
    @MariamJoseph-wi6ob Год назад +1

    Nmemiss nyumbani nkaone isiwe tabu acha nije niburudike kwa yesu kutoka kwaya ya nyumbani ni 2023 et😍🥰

  • @getrudainolelo9992
    @getrudainolelo9992 11 месяцев назад +1

    Naipenda jamn kwaya yang ya nyumbn❤❤❤❤

  • @edinahamis8984
    @edinahamis8984 Год назад +1

    Jaman kazi nzurii saaana watumishi mwenyezi MUNGU awazidishie Neema na baraka mzidi kutumika katika kristo

  • @HappynesGose
    @HappynesGose 9 месяцев назад +1

    Good

  • @ikongojeremia4740
    @ikongojeremia4740 Год назад

    Hongereni saana nimebarikiwa saana na wimbo wenu ujumbe ni Wa kumtukuza Jehova.

  • @benjaminmumo1492
    @benjaminmumo1492 Год назад +2

    What a very powerful, awesome and inspiring song there by Shinyanga choir.
    Fantastic singing !
    Keep going,shining for Jesus

  • @muyisengeonaan792
    @muyisengeonaan792 9 месяцев назад +1

    Munaimba vizuli sana

  • @RoxanneMwende
    @RoxanneMwende Месяц назад

    Wimbo mtamu sana ❤

  • @ElishaStephano-sy1yk
    @ElishaStephano-sy1yk Год назад

    ❤Njema sana watu mungu,solo mnaye wa ukweli

  • @kastopius4480
    @kastopius4480 2 года назад +1

    Kwakwer nyimbo hii Huwa naisikiliza mbaka mb zinaisha mungu awabaliki

  • @upendomunisi5950
    @upendomunisi5950 9 месяцев назад +3

    2024 Bado mpyaa haichujii

  • @happygershon9224
    @happygershon9224 Год назад

    Aiseee Hapa Mungu unamuona Mzima Mzima Yani, Unasisismua Sana

  • @nickmoshi8243
    @nickmoshi8243 5 месяцев назад

    Niliwamisi sana, nyimbo hazichunyi kabisa

  • @alphayomogunde7828
    @alphayomogunde7828 4 месяца назад

    Kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya,nizipenda nyimbo za kwaya hii sana.

  • @yvimbungwa1261
    @yvimbungwa1261 Год назад +1

    🎉❤❤❤,Bwana wamajeshi,i love it😍

  • @Jack-v5w2n
    @Jack-v5w2n Год назад +1

    I just love this song since 2017

  • @SimionOgari
    @SimionOgari 3 месяца назад

    This is a good continue more

  • @MariamSebogo-n4e
    @MariamSebogo-n4e 5 месяцев назад

    Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu mko vizuri samahani huu wimbo hauna audio maana unanibariki sana

  • @marodamakungu3411
    @marodamakungu3411 4 года назад +7

    Hii nyimbo naipenda sana lakini haina download

  • @abelonchiri738
    @abelonchiri738 3 года назад

    Mungu hawapaliki AIC, Mimi kwa mahisha yanga zitajoka kuwazikiza kila wakati AMEN

  • @SelestinaMiza
    @SelestinaMiza 9 месяцев назад

    mungu awabark sana nimekumbka shy

  • @happygershon9224
    @happygershon9224 Год назад

    Mungu Awabariki na Kuwatunza Daima

  • @joshuabundala7487
    @joshuabundala7487 4 года назад +5

    IPO vizuri

  • @philemonketereja
    @philemonketereja 2 месяца назад

    Wimbo mazuri nabarikiwa

  • @GodfreySanga-oz3mi
    @GodfreySanga-oz3mi 4 месяца назад

    Good song beautiful beautiful

  • @patricksoriney6315
    @patricksoriney6315 3 года назад

    Pongezi Mungu awabriki

  • @kastopius4480
    @kastopius4480 2 года назад

    Mimi nawakubali sana

  • @neemamahushi8910
    @neemamahushi8910 Год назад

    Magreth forever ♥️

  • @sebastianpeter2764
    @sebastianpeter2764 3 года назад +1

    naikubali sana hii nyimbo but downloading not allowed

  • @SimionOgari
    @SimionOgari 3 месяца назад

    Asante Sana

  • @MariamSebogo-n4e
    @MariamSebogo-n4e 5 месяцев назад

    Makamanda wa Yesu tuwekeeni na audio yake

  • @stevenjaney1405
    @stevenjaney1405 4 года назад +1

    My favorite song

  • @LucyFabian-r5v
    @LucyFabian-r5v 5 месяцев назад

    Amina

  • @magrethstanl5891
    @magrethstanl5891 4 года назад

    Jamn nyimbo nnzur mbalikiwe

  • @yohanamathias6326
    @yohanamathias6326 Год назад

    Very good

  • @rosewaridmanimba6561
    @rosewaridmanimba6561 Год назад

    Binafsi naomba waiachie Ili tuweze ku-downlod! Maana wakati mwingine unatamani kuicheki huna Mb inqkua tabu! Ninzuri mnoo!!

  • @CATHERINEJOSEPH-ob1vr
    @CATHERINEJOSEPH-ob1vr Год назад

    bado inatamba

  • @DagrasKalupale
    @DagrasKalupale 14 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Joylinemakeup
    @Joylinemakeup 11 месяцев назад

    Amen 🙏

  • @bitellimedia9675
    @bitellimedia9675 3 года назад

    Mlipiga mkauwa

  • @jackmagumba2483
    @jackmagumba2483 3 года назад

    Nicee

  • @ritayalala6994
    @ritayalala6994 4 года назад

    Amazing

  • @rosealoyce9958
    @rosealoyce9958 4 года назад

    Ninzuri

  • @robertmbaraka1039
    @robertmbaraka1039 4 года назад

    Nice

  • @nyawachibrayan4681
    @nyawachibrayan4681 11 месяцев назад

    2024

  • @tapassantra4566
    @tapassantra4566 3 года назад

    🙏

  • @ezrayona6956
    @ezrayona6956 4 года назад

    M

  • @ElishaStephano-sy1yk
    @ElishaStephano-sy1yk Год назад

    ❤Njema sana watu mungu,solo mnaye wa ukweli

  • @paskaziarichard9294
    @paskaziarichard9294 2 года назад

    Nice

  • @ElishaStephano-sy1yk
    @ElishaStephano-sy1yk Год назад +2

    ❤Njema sana watu mungu,solo mnaye wa ukweli