Acheni witu na mtazamo wa kijinga, mtu akiishi na watoto wake kwa furaha ndo mnasema ni ujinga wa kilokole, maneno yenu ni yenu. Na maneno ya MUNGU ni tofauti na maneno yenu. Mtumishi sifaeli huna baya, endelea kuishi na watoto wako kwa amani na MUNGU wa mbinguni awazidishie Neema zaidi.
Mzee,Tambua hayo malezi ya mwanao unayompatia ni unatakiwa kujua huyo ni mke wa MTU, hivyo muombee kwa MUNGU mume atakayekutananae awe na muda wa KUMLEA hivyo ufanyavyo zaidi utakuwa kama umemchimbia shimo refu sana😢😅
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi natamani sana niungane na ww
Fantastic family👪 is this good song🎵🌞 God bless you
😍😍😍😍😍😍lovely,God lift u from one level to another blessed kinds tumebarikiwa sana kutoka kenya
🥰🥰🥰🥰 happy family amazes the eyes of the Lord 🙏🙏
Wow mtumishi tunabarikiwa sana na nyimbo zako huku Kenya 🇰🇪
Amina asante
Naomba uwe baba mkwe wangu Kpenz niishi na family yenye kheri daima duniani
Mungu awalinde nazipenda nyimbo zako sana
ameni ameni napenda sana nyimbo zako ak ubarikiwe na familia yako🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉lam blessed by your songs from kenya
waoo nice sana,,, love u more
Amen ubalikiwe familiar yangu yesu Awa baliki, Kweli sito liga ila nitaishi In from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤🎉🤣
Amina nimependa hy mung watie nguvu na kuwalinda watumishi wa taifa hl la kesho
Aki ninmpata babangu anifanyie ivi naeza furniture sana adi mbingi ishule😊
A happy family is a God fearing family.. God bless you ❤
❤ ,,wow..baba mzuri
Wow🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 Baba mzuri
Baba mungu aendelee kukupa baraka zake nime penda saana unavyo ishi na familia Yako ndivyo mungu anavyo penda👍👍🧎🏃🌹🍀🌹🍀🌺🥀
Much ❤ from 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
Nimepata kujua leo kumbe wewe.simkenya kenya twapenda nyimbo zako sana
Hata mie
Love ur songs so much mungu akubariki bro
Amina na Amina Mungu awe na wewe pamoja na familia yako neema ya Mwenyezi Mungu iwatoshe siku zote ❤❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Sifaeli mwambuka
😅 0:00 0:00 0:00
Amen Mungu aendelee kuwatunza🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤ blessed family I’m blessed through your songs
Wooow amazing be blessed with your family
Good father ever❤❤
Woooooow God bless this family ❤❤❤❤❤
Im Rwandese
But Minakupenda sana
Ewaa mtumishi kumbe pamoja na nyimbo nzuri wewe pia ni hear dressing mizuri..
Hongereni jamn familia ya upendo
BEAUTIFUL FAMILY ❤❤❤🇨🇦
Wow so wonderful 🙏
Acheni witu na mtazamo wa kijinga, mtu akiishi na watoto wake kwa furaha ndo mnasema ni ujinga wa kilokole, maneno yenu ni yenu. Na maneno ya MUNGU ni tofauti na maneno yenu. Mtumishi sifaeli huna baya, endelea kuishi na watoto wako kwa amani na MUNGU wa mbinguni awazidishie Neema zaidi.
Wow ninaipenda wimbo wa kijanako na binti yako pia na yako mimi ninani
Louvando a Deus de cabeleireiro também todo mundo canta louva-a-deus que lindo que Deus abençoe a todos💃👏👏🌹🇧🇷
Familia yenye furaha Sana
❤❤❤ u all servant of God 🙏🙏🙏
Mungu awabariki sana wote
Barikiwa sana
Wow dad mingu awalindr 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤from Kenya
Baba mkwe mchungaji
Ameen🙏🏼🎵 inapendezaa
Mbarikiwe sana
Barikiweni sana🥰
Nyimbp zako zimenibariki sana nawe mola akubariki
Amen barikiwa
Nasi tunawapenda sana
Mnapendeza God bless you have a good
jokes
Amina
Blessed family ❤
Hizi Hela hizi hatari saana
Upendo huu ni mzuri
Heureux de vivre en famille
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Amen mtumizi hakika mungu wa mbinguni awape maisha mema na marefu uzidi kutubaliki na nyimbo za kumtukuza milele
Amina❤
Blees family ❤
❤❤
Wao 🎉🎉🎉🎉🎉
Amen
Be blessed
Mimi ntamuoa huyo msichana ili nile pesa alizo nazo
Huu ni ushamba. Wa kilokole
God bless you🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤
AMEN AMEN AMEN
Amen 🙏
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mzee,Tambua hayo malezi ya mwanao unayompatia ni unatakiwa kujua huyo ni mke wa MTU, hivyo muombee kwa MUNGU mume atakayekutananae awe na muda wa KUMLEA hivyo ufanyavyo zaidi utakuwa kama umemchimbia shimo refu sana😢😅
Vipi anamdekeza?
Ndo mnapofeli wanaume
Amen 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Amen
If you can write their channel so that we can support them by following them and subscribe asap, be blessed 🙌🙌🙌
Amen Amen
Amen