JIFUNZE NAMNA YA KUFUNGUA KIWANDA KIDOGO CHA SABUNI JINSI YA UTENGENEZAJI WA SABUNI ZA MCHE MAGADI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 29

  • @NuruNdimbo
    @NuruNdimbo 9 дней назад

    Mwalim salanga Leo umesema kitu uwoga umetutawala sabani ya mtandaoni Asante leo natoa woga

  • @fatmaathumani7569
    @fatmaathumani7569 19 дней назад +1

    Nimeipenda sana hii alafu mwl salanga ww unafundisha kwa upole san ata ss tulio kuwa wagumu kuelewa tutaelewa tu tukiwa pamoja in shaallah

  • @julianamwansasu8990
    @julianamwansasu8990 3 месяца назад

    Asante sana nimepata kitu

    • @julianamwansasu8990
      @julianamwansasu8990 3 месяца назад

      Sasa mm nimetengeneza sabuni lakini inaelea haizami kwenye maji sijui shida iko wapi

  • @fatmaathumani7569
    @fatmaathumani7569 19 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @VandrossRampady
    @VandrossRampady 26 дней назад

    Kaka ee kwamchangqnyiko uwo unaweza kupata miche mingapi ya sabuni

  • @MafundaNassor-d2y
    @MafundaNassor-d2y Месяц назад

    Mwalimu tunaomba vipimo

  • @FeiMashauri
    @FeiMashauri 2 месяца назад

    Mwalimu ni wapi naweza kupata vifaa vya kutengenezea sabuni

  • @CosmasMlelwa
    @CosmasMlelwa 2 месяца назад

    Kaka ni mafuta gani umetumia?

  • @FelisterYohaness
    @FelisterYohaness 5 месяцев назад +1

    😊😊😊😊😊😊

  • @fatmaathumani7569
    @fatmaathumani7569 19 дней назад +1

    Mimi nitaitaji nifungue kiwanda kidogo je kwa nyumbani kinawezekan

  • @neemamarisamarisa-rd7cq
    @neemamarisamarisa-rd7cq 7 месяцев назад

    Kazi nzr vijana wa Kitanzania.
    Naitamani kazi hii.
    Vp material utayapata wapi?

  • @annarichard8077
    @annarichard8077 5 месяцев назад

    Mafuta gn unaitumia?

  • @ceciliamaarifa8427
    @ceciliamaarifa8427 5 месяцев назад

    Sodium silicate unaeka kiasi gani ?

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  5 месяцев назад

      kwa vipimo vyote njoo kwenye darasa letu Whatsapp utapewa mwongozo

  • @kingdavidkd699
    @kingdavidkd699 9 месяцев назад

    Litre ngapi ya mafuta ku soude acoustique

  • @RizikiOnesmo-f6z
    @RizikiOnesmo-f6z 3 месяца назад

    Inapaswa mtukuwa namtaji kias gani

  • @SalmaAlly-ds3le
    @SalmaAlly-ds3le 8 месяцев назад

    Asante naomba uniunge wasap

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  8 месяцев назад

      Njooo Whatsapp kwa namba hiii
      0682456819

  • @NeemaMwita-c3m
    @NeemaMwita-c3m 10 месяцев назад

    Naitaji kufundishwa jmn

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  10 месяцев назад

      Njoo Whatsapp kwa namba hiii 0682456819

  • @fauziyaomar7090
    @fauziyaomar7090 6 месяцев назад

    😢mafuta gn umetumia

  • @AnjelaKyando-zf2vp
    @AnjelaKyando-zf2vp 6 месяцев назад

    Naomba uniunge WhatsApp