SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Leyla Part 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2017
  • Princess Leyla Makongoro Bezuidenhout ni mtoto wa Linda Bezuidenhout ni mzaliwa wa hapa Tanzania lakini makazi yake ni Atlanta nchini Marekani. Anaendelea kujishughulisha na masuala ya Muziki na moja kati ya nyimbo zake ni pamoja na 'Umoja ni Nguvu"
    The mboni Show tulipo fanikiwa kutua nchini humo tuliona si vyema kumuacha coz alikuwa na vitu vya kuzungumza kwa Watanzania tulifanya mahojiano na Leyla. Tazama Show part 2.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 2

  • @ghtnimzee2417
    @ghtnimzee2417 6 лет назад

    Mmm sasa ulitegemea akuambia anampenda ki ngono, subiri give him time

  • @ghtnimzee2417
    @ghtnimzee2417 6 лет назад

    Being a princess. Ha ha ha princess Tiffan she is known than you.