I can't wait kufungulia 97 podcast nione 3 men army wakinena mambo ndani ya mitambo na sauti za kupendeza roho ....waguan wadau na wapenda sanaaaa ❤❤❤ mwaaah
This must be one of the best episodes they have released. Lakini za maboyz wangu leo zilikuwa zimeshika kushika!!! 🥴🤣. Alafu leo Monte alikuwa na ubaya. Hizo diss zake zilikuwa 💥💥💥
Sai na battle na familia yangu juu ya hii story ya kitu nataka kufanya sana,hakuna msee anafeel namake the right decision adi bro yangu na ndie nli expect aelewe more than anyone ame make it so adi my mum already anamskiza kabisa,wote wako like,oooh,tuko sijui na pesa tukuanzishie biashara,maan,me sitaki biashara,kwanza nikijiskiza vizuri nafeel itaanguka na mwezi wa pili,how I wish naeza wakalisha chini wote waskize hii podcast lakini ni ma dictator wote,as we speak ni kama tuko na falling out already sitaki ku worsen the situation, lakini sitakubali iyo intimidation mimi,mmenipea nguvu ingine wadau,imma fight for what i want !!!!
Wekeni likes za Dante apa nihesabu🎉🎉🎉
Wapi likes za Monte
Kutoka nianze kuwatch 97podcast sijai pata like ata moja kwa comment yangu 😢
Heri wewe ... Mimi tangu nianze kuwawatch, nlijifunza kunyonga😂😂😂😂
Umepata zangu 😂😂😂
@@gabumuzik1878 i guess ni kutoka ile siku dante alisema ashai nyonga akiwa highschool 🤣 ndio uli anza🤣
@@vitukovyaderaboy tulia 🫴🫴😂😂😂
Maze pia 😅
Ka tuna agree hawa watu watoange podcasts twice a wee piga kalike hapa tukisonga...😂😂
Walai
Ata kama nkuongea tu ujinga but wa upload tu
Wale wa Notification button here tujuane ✅>>>>>>>>>>😂
Sisi hapa😂
Baba troi akona talent ya kupika cabbage 💯💯🔥🤡🤡😂😂🤣🤧
trevor: Babako hajamake it sindio
Montie: eeh hajamake it😂😂
This is the best podcast right now in East Africa
And also in China
Hakuna kitu mi hungoja kama kupata notification ya 97 podcast. Kila saa na check tu time...3 men army make my week ❤
True that 😂😂😂😂
Wekeni likes za Monte
3 men army is the baddest ever to come out of Africa
Walai Mimi Niko addicted na hii podcast,Sasa sijui kama Niko peke yangu ama tuko wengi wadau?
Mm narudia tena 😂😂
Tuko ilibidi nirudie ep zote
Mlete prince kev ssa we miss him kwa podcast mnipee likes niache kunyonga😂😂
I can't wait kufungulia 97 podcast nione 3 men army wakinena mambo ndani ya mitambo na sauti za kupendeza roho ....waguan wadau na wapenda sanaaaa ❤❤❤ mwaaah
leta paybill next podcast tubuyie montii TV na simuu banaa ...troy hawez kosa kuona cartoon ☺☺☺☺☺
Clearly Trevor na Dante wanaeza chekelea mtu adi ajiuwe😂😂😂😂😂
Banaa😂😂
Kwa Dante😂😂😂
Ata wacha kuchekelea ka kutoanisha msee
@@MarkMutungwa-s2n wallai wanaeza msee depression 😅😅😅
Addict mwenzangu uko huku kumbe😂😂
Hiyo introduction imenigusaa why😅😅😅😅receive my love from all the way in Germany ❤❤❤ love you guys
Uko sure uko ujerumani
@@serialthinker_254 kizunguu hikubali 😂😅😅😅😂😂😂😂😂
@@CleopasMayaka-eh8qm 😂😂😂
Aawwwhhh Dante anang'ara siku hizi kwa podcast ☺ new year new tings 😁
I can't do without you guys 😂😂😂😂❤
Dante:"kama unafeel hivyo kuhusu Troy nitamchukua"
Monti:"Atakataa
😂😂
231k subscribers 🎉🎉🎉🎉
the last part of the episode was an interesting convo❤
Essence achana nayo
Communication is of key😂
These guys talking to me left right centre adi nashangaa kwani niko exposed😂💯 perfect timing
Ati kichwa yako inakaa ikona elbow😭😭😂😂Dante ni fala
Dante anaogopa kusema keranta....na tunafaa kusema ukweli hii mwaka
Wagwan wagwan wadau.....mafans bado mpo
Trevor apewe maziwa zimeshika mbya😅
snitch
btw hii mwaka mhost kina sandwich ama innit..nafeel itakua an amazing episode(s)
Na ile ya mejja ya kufunguwa bra na mkono moja 😂😂
Sisi watu wa Spotify tuko ahead of you guys😅
Uzuri ni vocals pekee😹😹kuona huwa muhimu😹😹
Mwambie😅
Mbona uko hapa basi 😅
Siwezi sikiza kama sioni😂
@@jonastarvybzPia mm cwz skiza kitu kama sioni mpaka nione video na vile wanapigana makofi
My loves😍
Full package of therapy.
Upcoming RUclipsrs gather here we grow together
Mzazi alikataa juu alithani unapendanga drama ndio upatane na waschana😂
Prince kev kwa next episode 🙏
love your podcast guys
😂😂😂😂😂 Dante Leo amemaliza podcast na kizungu top tier
Wale wakungoja upload kwa RUclips kamimi mujitokeze😂😂❤
Wale wa addiction,notify me plus tumbler ama lighter weka likee
Mlikataa kuleta Freedah show😁
I love this podcast God bless you guys
Unacheka mara mbili😂😂😂😂
Tunakaa kwa meza thirty minutes kwanza lazima you unleash your dancing skills
Trevor :na ulienda shule kweli 😢
Dante :nilipitia 😂😂😂😂😂😂
Dante ni mchokozi mbona aambie Monty ati kichwa yake inakaa ni kama iko na elbow 😅😅😅😅😅
wee but hii podcast Trevor alikuwa high on something but we need two podcast kuanza na kumaliza wiki
This must be one of the best episodes they have released. Lakini za maboyz wangu leo zilikuwa zimeshika kushika!!! 🥴🤣. Alafu leo Monte alikuwa na ubaya. Hizo diss zake zilikuwa 💥💥💥
😂 waah kupika nje walahi 😂
Trevor anataka podcast iishe na 13mins😂😂😂...
this is the last time dante alishika iyo simu yake......ilipata wenyewe bana
Nimengoja hii podcast after "Don't troy Me"😂😂😂😂😂
It's 5:27 a.m from outside.... Nyamaza nipike. Mniite. Niko na content mbayaaa
Mazee Dante ile trauma umepitia😂😂😂
Notification imeniamsha joh😂😂
Wueeh you guys were high asf episode as always was 🔥🔥
Walai kama ninge ngoja kcse hivi....ningekua boss wa khalif kairu😂😂
I was here at 14 th jan 2024 @5.09
Dante alishasema mapema aty tusiwekee levels kwa umaskinii alijuaa hapoo atashikwaa
Dante amesema kichwa ya Monty iko na elbow 😂😂😂😂😂
Dante heaven ata viusasa haonei
😂😂😂😂😂😂😂😂you guys have made my day
Ati kichwa ya Monti inakaa Iko na elbow 😭😭🤣🤣🤣Dante yooooh
Wadau we need two episodes per week walai mnakuanga 🔝😂😂
My best podcast ever ❤aki I can stop anything niskize I podcast
piga like kama untaka prince kev next episode
😂😂😂
13:15 dakika ya 13; Trevor: Hii podcast haiishi 😂😂💔
Wa Tanzania mko wap 😊😊
Trevor "Akuna episode apa " anzeni tena 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hakuna chakula tamu kama ya wizi😂, kwanza kama bado ukona chakula kwa nyumba
Lakini nayo si twende tu Juja walai😂😂😂
Trevor amewazoea. Nataka podcast iishe kama mumemwacha akikaa😂😂sio kila time ni Dante😅
Wenye tuko apa Sunday tukingoja Monday pita na kalike 🎉
Monty laughter😅😅😅😅😅
"Siuingie gari twende"🤣🤣🤣
Kuchemsha avocado nayo joooh😢😂😂😂😂😂
3 men Ngorii am upcoming soon
Hii nayo SI episode 😂😂 🔥🔥
😂😂Spotify ibambii bila kuona izi sura eii
Kuja RUclips
mtu aambie Dante amepanua mdomo sana anyway we still waiting...
Kichwa yako inakaa ikona elbow😂😂
😂😂😂 best podcast ever
economy ni mbaya = apana nikona baiskeli😂😂
Trevor akoo on mbayaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 anazima to kwa podcast
Mrudishe Tena Austin Muigai😂😂😂
Stage ya Toronto 😅😅
bytha trevor amebonga kitu true hapo aki sema....mzazi awezi kupanga kwa any career na aja go through it
Ata kupita exam Sana ni umaskini😂
Ati SA Troy atakuwa anauliza watu in the next 10years HAMJUI BABA YANGU 😅 HAMJUI monti WA 3men army 😅😂
Ikumbukwe on this episode ndio Dante aliulizwa ako na simu gani akajibu na kiburi eti wanaeza angalia😂😂 .... Well, the rest is history
Sasa Prince Kev ameenda wapi😢
Sai na battle na familia yangu juu ya hii story ya kitu nataka kufanya sana,hakuna msee anafeel namake the right decision adi bro yangu na ndie nli expect aelewe more than anyone ame make it so adi my mum already anamskiza kabisa,wote wako like,oooh,tuko sijui na pesa tukuanzishie biashara,maan,me sitaki biashara,kwanza nikijiskiza vizuri nafeel itaanguka na mwezi wa pili,how I wish naeza wakalisha chini wote waskize hii podcast lakini ni ma dictator wote,as we speak ni kama tuko na falling out already sitaki ku worsen the situation, lakini sitakubali iyo intimidation mimi,mmenipea nguvu ingine wadau,imma fight for what i want !!!!
nataka muhost Andrew kibe maan
Hiyo advice ya Trevor manze🙌 51:40
THE SANE-ETE inafaa kurudi. It was RAW AND UNKUT
Yeah I agree
I miss those episodes
❤❤❤❤aki mumenivunja mbavuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii mwaka tuwafikishie 700k subscribers
Mnafaa kuanza kufanya reacts za reality show za kenya, commentary yenu hunimaliza😅😅😅
Dante kofia inamtoa smart aki❤
Me nilijua Arif yangu ni maskini ile siku nilipata ameeka chumvi kwa chupa ya Royco
Ahhh hiyo ni kawaida si umaskini 😂😂
@@silviangari3291 hyo Yako ni hohehahe
😂😂😂😂
Msidharau cabbage, acha izo😂😂
Monte elezea unapika aje cabbage mayai😂😂😂😂😂
nimerudi kuleta umbea dante simu imeenda,,,,itabidi aomde hiyo iHpone 4 ya monti