Hey dorea Just a suggestion,u can try adding some milk n cinnamon in the egg they turn out sooo nice alafu for the sausages allow to defrost alafu dry na serviette alafu put Kwa pan ka mafta bado c moto sana,,,,,but cna ubaya much love
Always making us updated.... it's the bull's family.... Enyewe kama ningekuwa attentive venye niko hata ku comment na kufika pale Kwa premier gang....sai ningekuwa na nyota Kali sana kuliko yenye nikonayo lakini Haina noma.....More love to you DEE na DIBUL....I just love you fully ❤❤❤❤❤❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
mbona hata hamuonyeshi the food after its all made ...seriously just taking aerial view of the food...anyways thats a queen to a king thing ..love you dorea
This is the 3rd time I am watching this beautiful girl ,she is wonderful wonderful, taking Care of his responsible man ,waooo congrats kairitu ,wacha niende kwa page yake ni subscribe
Inafanya hivo juu uliweka mafuta immediately after rinsing the pan ,at least I gewacha pan I heat up maji iishe darling. I love how your kitchen is organized
Dear try and mix , Cinamom, Cardamon,vanilla and kasmall sait , mix pamoja na Mayai kabisaa , then you put bread inside , wueeee ni tamu sana .Thank me later🙏
When you apply this word's in your relationship (Thanks ,Sorry, welcome,love you) it works perfectly but nawapenda bure my favorite couple in Town❤#Baba and mama Wendooo❤
TIP..After you wash the pan let it heat up without oil to dry the wetness and then opt for blue band or butter solves very many problems for the toast........You're making me hungry already
Mnunulie becoactin...hii atakula hadi sufuria...na ataongeza kilo..nilikuwa 49kgs for two weeks nimeitumia niko 55kgs...inauzwa 20 bob each tablet..uchukue za one month
Dear men, test her cooking skills before you wife her. Huyu hana nyota ya kupika😂😂 Hiyo ni tosti Mayai inafanya usweat hivo😂😂 Tunatuma wazee Sasa this is unacceptable. Na venye uko na modern kitchen.
Ningekua serious na masomo vile nafutilia the bulls family ningekua mbali sana ..nawapenda sana always team Di for Dibull...❤
Walai 😅😅😅
Walai sahi ni wewe tungekwa tukifuatili🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋
Kirinilamba aki 🤣🤣🤣
@@beckykuria wacha nitoke gulf hamtapumua uku kwa mtandao guys hehehe
😂😂😂🤣
Mimi hawa heri nikope credo niwatch 😍Waiting sana
Hey dorea
Just a suggestion,u can try adding some milk n cinnamon in the egg they turn out sooo nice alafu for the sausages allow to defrost alafu dry na serviette alafu put Kwa pan ka mafta bado c moto sana,,,,,but cna ubaya much love
Point noted
Thank you
I will try this one
Ulieka pan iko na maji ukaaadd oil immediately 😅😅😅
The Kitchen is goals🥰🥰🥰. Glory to Almighty
Always making us updated.... it's the bull's family.... Enyewe kama ningekuwa attentive venye niko hata ku comment na kufika pale Kwa premier gang....sai ningekuwa na nyota Kali sana kuliko yenye nikonayo lakini Haina noma.....More love to you DEE na DIBUL....I just love you fully ❤❤❤❤❤❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤❤❤❤❤
Npitie 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Dee you are my favorite couple! You are treating Dibul like a king! Kudos
Npitie 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Dorea tebu endelea kucheck uyo Mzee vipoa aki you are blessed Dibul to have Mutumia ngatha i love you dee
Wachana na watu dbull you look great in that body. Dorea beautiful in hers. Embrace what God has given you
This awesome.... Io dawa pia mi nahitaji, tuko wengi...
Aaaai Dorea the bull asikunyuwe dawa 😔😔😔akoo perfect vile ako 25:42
Dibul husiponona aky cjui tutafanya nini Tena bro bcoz our beautiful lady is really trying...big up ceez
Dorea im just praying you win the award of best actress.i don't regret voting for you dear
Aki walai me too
Sure may these award be for our girl
True 👍 ❤❤❤❤
Tuna vote wapi?
Mtu anavote wapi nkimbie
Am lucky to watch the video live today ... Kijana lazima ashone🥰
Hello sweet dee the reason I na be have ivo hukulinse pan akaeka oil juu ya maji but anyways love your content so much....❤❤❤keep pushing
😂😂ni juu huku dry the pan that's why.. you have made my with laughter ❤
🔥🥰🥰my favorite..next time unaacha pan kabisaa ikauke kabisaa that's the course..ama unless maji iliingia Kwa cooking oil
D bull jana alicheza ngoma Redberry adi machine zikaogopa😂😂😂
mbona hata hamuonyeshi the food after its all made ...seriously just taking aerial view of the food...anyways thats a queen to a king thing ..love you dorea
Waiting but mimi niko tu ni me hug pale kwa kiss.. Ile dorea well coming his fiance.......
She nailed it 😂😂
True
You didn't dry your pan after rinsing it that's why it's bubbling.
And even after that, allow the pan to hit before adding oil.
I agree
The family that never disappoint 🎉❤❤ keep going my guys 🥰 Nawapenda sana
enyewe this family is blessed to have you ❤️Dorea I always wish to meet you mimi sitatakaaa kujua I'll shout your name nikusalimie.....
Eeeeish nice one .... Dee napenda vnye unatreat dibul wooow...wife material 😊 ❤
This is the 3rd time I am watching this beautiful girl ,she is wonderful wonderful, taking Care of his responsible man ,waooo congrats kairitu ,wacha niende kwa page yake ni subscribe
I can't stop watching your videos ❤ my role model ❤ nawapenda sana
I just can't wait 🥰❤️♥️ nawapenda Sanaa 😘 😘💕🥰💕
I love you guys tunangoja Dibul sana aingie kitchen😊
Inafanya hivo juu uliweka mafuta immediately after rinsing the pan ,at least I gewacha pan I heat up maji iishe darling. I love how your kitchen is organized
My favourite ❤❤❤❤❤ lazima tuvote hiii nyo nia our gal dorea
😂😂😂Dorea unanifurahisha to... but ukitaka poa put the sausages mafuta ikiwa baridi iwarm nayo pamoja. But you've done your best
Hi Dee mafuta inaruka juu hukukausha pan .. then Kwa sausage ni juu hukuzitap na serviettes zikauke ...water and oil don't go well on fire😂
Dear try and mix , Cinamom, Cardamon,vanilla and kasmall sait , mix pamoja na Mayai kabisaa , then you put bread inside , wueeee ni tamu sana .Thank me later🙏
Wife material ❤❤❤dorea keep 🔥 going mdada wa yesu 💕🔥
This year dibul asipo Nona ujue akona shida. I love how Dee is cooking for him
The best couple in 254....love u hope Dee will get the award of the best actor.❤❤
Hiya pan hajakauka maji thus why
Aki you are so humble when serving your man ...I saw a video ukitengeza spaghetti a while back I did the same and zilitokea smart ..mob love
Mm pia 😂😂😂 i use her method 😂😂😂 uyo chef akuje haraka tusome ss wote
Doria ni juu ulipika na pan ikiwa na maji😂😂😂😂😂don't try that at home❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dibul is like ntakutafutia chef akufukunze upike but other men huku nje are like rudi Kwa mama yako akufunze☹️☹️☹️
Wow my people sijkua on but I'm back with anew email but still penda nyinyi sana much love
My favourites❤❤❤❤Dorea shually ulikuwa umeweka hiyo mafta yote😂😂😂
U give the pan 1sec to dry ndio iache kuchanganyika n mafuta afta kuikamua ndio maana mafuta ilibehave hivo
Aki the Bulls mngejua venye nawapenda tu❤❤❤❤❤
For smokies just let the ice cool then wipe it with a clean towel alafu deep it in oil haitakua na iyo bubbling
Dibull usiponona sasa sijui tulahumu nany 😂😂my best couples in 245❤❤
Dibull si anaskianga vizuri kufugwa , weeeeuuh , wa kukufuga hivi sio wengi .....mimi nimetafuta sana . 😂🤣😂🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂
You look amazing,,, success award of good actress na cez regret kkuvotia❤
Wow I love this couple so so much🎉😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤next mtufanyie morning routine 😝
My favorite couple ❤❤ wow I love this family may God continue blessings you ..... May u never luck in Jesus name ❤❤❤ Team Dorea all the way
Npitie 🙏🏿🙏🏿
But si mtumie sink ya choo instead ya ya kitchen woi🤭
N kama container ya mafuta ilikua na maji kiasi before waeke ama sausage ukitoa kwa fridge unasiwipe na serviette dear
😂😂😂aki Dorea unaeka mafuta kwa pan iko na maji😂😅kilikuramba😂😂😂❤ u guyz😊
When you apply this word's in your relationship (Thanks ,Sorry, welcome,love you) it works perfectly but nawapenda bure my favorite couple in Town❤#Baba and mama Wendooo❤
Running here after watching reke ciume na ene ya yule mwingine 😂 I remain here huku usafi unaweza kulia hadi kwa floor 😊
This was so raw and unscripted.... much love❤❤
Npitie 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Much love for this fam❤ aki the way I am waiting for the whole house tour🤔🤩
Weeh this family love is of another level,, praying for the best,,tunangoja harusi😂😂😂😂
Sikufikiria ntacheka akii??why r u running??😂😂hiyo mafta inaruka imewahi kupata kwa jicho ,😢unarusha Moja ukiwa umeshika fire extinguisher 😅😅
Ati kuna kitu ilikua imepitia juu😂😂😂😂😂😂oooh dorea
❤❤❤❤ but next time defrost sausage kwa microwave before
Next time ukitoa sausage kwa fridge fast deep them in to hot water ama uziboil kidogo
I think dorea is so humble and mature
D_bull mbona unakula ukiniangalia na nko niaa hapa😂😂😂
We are 239 subscribers,lets all vote for her,,,she deserves the award
Where is the link?
Tuvote wapi
TIP..After you wash the pan let it heat up without oil to dry the wetness and then opt for blue band or butter solves very many problems for the toast........You're making me hungry already
yes 🧈
Unawait pan ikauke maji before uweke mafuta,that is why inaruka ivo..anyway nawapenda ❤
Mnunulie becoactin...hii atakula hadi sufuria...na ataongeza kilo..nilikuwa 49kgs for two weeks nimeitumia niko 55kgs...inauzwa 20 bob each tablet..uchukue za one month
Congratulations Dorea and Dibull,the kitchen is amazing 🎉🎉can't wait for the house tour...
Npitie 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Na Dibul hukuwa shy kimpango🤣🤣🤣🤣🤣
Hey dorea such a wonderful wife to dibul and all the best and keeping loving him until the end ❤🎉
Mafuta inaruka ivo cz you didn't wait the pan to dry kabisa maji😂😂 next time hope utakumbuka because we care that beautiful face❤️
Dear men, test her cooking skills before you wife her. Huyu hana nyota ya kupika😂😂 Hiyo ni tosti Mayai inafanya usweat hivo😂😂 Tunatuma wazee Sasa this is unacceptable. Na venye uko na modern kitchen.
believe you me mr thigitha atanona ukipata wendo..utafikiria ni yy anakula njahi so mpee baby wendo ka unataka anone mpaka macho ifungike
Mama wendo uliweka mafuta pan ikiwa na maji😅😅tiga itheru we
The sugar is sugaring weeee🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
I noticed too
Next time uache kwanza pan ikauke maji ndio uweke mafuta to heat.....the reason why mafuta inaruka
Dorea, when we rinse the pan give it time to dry before adding oil. Good job though
D_bull apewe Scott's emulsion orange flavour atakula hadi za kesho kutwa
How does it work??
😂😂😂uliweka mafuta na maji pan haikua imekauka
Waaaoh I like how dibul is soo natural. Dee keep it up ❤❤❤
Ungewacha pan I dry maji kwanza before kuweka oil
Next time babygirl make sure you dry the pan before putting the oil to prevent hio kurukaruka
Next time wacha pan ikauke kabisa ndio mafuta isiruke hivo😂😂
Aki Dee ulikamua pan ukaeka salad before ikauke, unataka kuchomeka uji bleach😅😅😅 Nice cooking dear.❤❤❤❤
Dorea you the best🎉🎉🎉🎉❤❤❤
I like dibuls laughter 😂dorea you 🥰 doing a great job 💯💯😅
Weka link hapa we vote
Ebu sasa Dee mtuekee morning routine❤
Waiting...for my best couple...I want to be like you guys...so help me God 🙏
As long as he is healthy don't stress on kunona...we love him as he is!
Npitie
Mr thingitha God blessed u with what u asked for,may his continuous favour mercy kind be with u always representing team gulf
Next time make sure pan haina maji babygal 😂😂😂karibu utoroke.❤u
Next time tumia butter and milk itatokea vizuri zaidi
Next time pika sandwich ngependa kujua😊❤
Nimekaa nawatch kaa series😂😂😂😂❤️
😂ata mimi akii..n the love I have for this family 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰💕🥰💕@the bulls family 💕💕💕
Weeee our baby girl love it ❤❤❤❤❤
Aki am addicted to you guys so much love 🎉
Then si mtupee house tour eagerly waiting
Hello my favorites ❤❤❤❤waiting
I love love love you guys, thanks D I've learnt how to cook toast 🥰🥰🥰
Next tym ukitoa kwa fridge tumbukiza kwa maji kwanza ndio hiyo ice itoke kwanza