NILIFANYIWA FITINA/ CHATO HAINA SIFA KUWA MKOA/ KIGAMBONI INGEKUA DUBAI - PROF. TIBAIJUKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 189

  • @thomasjohn3499
    @thomasjohn3499 3 года назад +17

    Profesa nakwita tena profesa unaakili sana kwa kitendo cha kuwaita wapinzani ni wazalendo nimekiwa nikikufatutilia taratibu nagunduwa una AKILI SANA.

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 2 года назад

      Akili tukaange tule?

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 7 месяцев назад

      Je KUNA PROFESA ASIYEKUWA NA AKILI? Anapatikana nchi gani?

  • @MrMtebwa
    @MrMtebwa 3 года назад +7

    Hv waandishi wa habari mna salam yenu binafsi ama? Mana siku hizi sisikii shkamoo kwa wakubwa kama tulivyo zoea ktk tamaduni yetu utasikia Heshma yako mama au Heshma yako mzee kias kwamba mpaka mnawapa wakati mgumu hawajui waitike vp kama nimeeleweka gonga like moja hapa

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 3 года назад

      True

    • @karyori69
      @karyori69 2 месяца назад

      Jua maana ya Shikamoo kwanza halafu ujiulize kama mahojiano yangeenda kama yalivyoenda!

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 года назад +10

    "Cha muhimu duniani sio wewe ni nani bali unaweza kufanya nini?" By Prof Anna Tibaijuka

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 3 года назад +8

    Mama Tibaijuka ni hazina ya Taifa kama walivyo akina Warioba, Butiku, Ulimwengu, Msekwa, Mongella, Malechela, Msuya, Kikwete nk. Sasa kwa bahati mbaya sana hawa wanaomhoji si wazoefu wa kazi hiyo kiasi kwamba hatupati kile cha muhimu tunachoweza kupata kutoka kwa Mama Tibaijuka. Hata hivyo kwa hayo wachache mazuri aliyotujulisha. Mungu ambariki.

  • @nambuacassandramlaki3516
    @nambuacassandramlaki3516 Год назад +3

    Love you Mama Tibaijuka

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 года назад +3

    Prof na Mama unatisha una unyenyekevu wa aina yako. Mungu akubariki sana.

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 3 года назад +5

    Amina mama Profesor kwa maneno ya busara ubarikiwe sana 🙏🏼🙏🏼 pamoja na wanahabari

  • @ezekielmugishagwe8883
    @ezekielmugishagwe8883 3 года назад +9

    Watu wengi hawawezi ushindani na wanaogopa kushindana.👏🏻👏🏻👏🏻

  • @mohamedishasani8625
    @mohamedishasani8625 3 года назад +4

    Profesa yuko vizuri

  • @iambelnus
    @iambelnus 3 года назад +4

    She is so bright.......

  • @gregorygumbo7128
    @gregorygumbo7128 3 года назад +5

    Thanks mum you have Good plan for our Country so far ikibidi help them to build Tanzania

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 года назад +1

    Mchakato....mchakato....
    Anna... T.. nakukubal... Maneno yako Yana mantiki.... Radha tupu kuyasikiliza.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @alexander19077
    @alexander19077 3 года назад +3

    Huyu ndo profesa sasa 👍

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 года назад +2

    Wish u were my teacher

  • @emanuelyigwira2511
    @emanuelyigwira2511 Год назад

    Wasafi nimependa sound effect, na ule utulivu wa mahojiano Prof anapata muda wa kumaliza maelezo yake hongera sana

  • @mosesnyirenda6359
    @mosesnyirenda6359 3 года назад +4

    Very very brilliant..

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 3 года назад +4

    Mashaallah Tabarak Allah Prof MMungu azidi kukupigania unaweza yaani hata usingestaaf Ubunge. Yaani jambo lako umelifanyia kazi hasa mpaka nikaona wivu wa maendeleo. Yaani ungekuwa mbunge wetu ningefurahi kweli, maana wa kwenu mbunge basi tu hata maji anatuacha tunatumia kwenye madimbwi ya N'gombe.Bk vijijini kwa Rweikiza kata ya Mikoni jamani hadi huruma

  • @nasseaman3720
    @nasseaman3720 3 года назад

    mama muadilifu sana msomi na upeo wa hali ya juu ...alikutana na fitna mbaya sana ya watanzania.pole mama

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 3 года назад +4

    Ninapendekeza kwa uongozi wa Wasafi TV; Charles na Zungu muwape vipindi tofauti sababu wametofautiana sana kiuwezo. Kila mmoja anauwezo wa kukuwa sana na nadhani watakuwa kama kila mmoja akishika njia yake.
    Ni mawazo yangu tu!

  • @anordalfred5422
    @anordalfred5422 3 года назад +6

    Mama una mawazo mapana fikira pevu, inaitaji utuli wa akili na kukubali kujifunza siyo kukusikiliza kisiasa, Barikiwa sana Mama.

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 2 года назад

    Kung’atuka siyo kungatuka. Wahaya Mungu anawaona mjue

  • @fredrickmalunde3426
    @fredrickmalunde3426 3 года назад +1

    Professor wa kweli

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 3 года назад +5

    Kesha kwa Mungu tutajua mengi, muibe mtolewe then mnalalamika ,acheni hizo Mungu amechoka kuangalia wezi

  • @husseinmillinga1920
    @husseinmillinga1920 3 года назад +4

    my favourite kipindi wasafi

  • @charleswilliam6221
    @charleswilliam6221 3 года назад +2

    Namkubali Sana uyu inshomile

  • @mytimeonce1479
    @mytimeonce1479 2 года назад

    Dah!zungu!na mwezio mnanifurahisha Sana kwa maongezi na maswali ,big Up¡!!nipo huku Ulaya nawapata ,,,

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 3 года назад +1

    Hakuwa fit kuwa waziri,alipokea hongo na kutumia sh 10m kununua mboga, labda alinunua sushi toka Japan, bora mngenwacha tu bila interview,angetulia nyumbani kimyakimya.

  • @fugakwamalengo707
    @fugakwamalengo707 Год назад

    Kuanzisha mkoa mpya sio kujenga uchumi ni kula uchumi🤣🤣🤣 PR. ANNA TUBAIJUKA

  • @mwanaidsalehe1109
    @mwanaidsalehe1109 3 года назад +3

    Nimewaona wana goodmorning charles na zungu safi sana.

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 года назад +3

    "Kaiba haichoki na ikichochoka huwa ni vita. Tusiichoke na tusiichoshe."

  • @koburungomubahasha2207
    @koburungomubahasha2207 3 года назад

    Tujenge uchumi c kula uchumi ni neno zito natue kudadis mambo fumbo tumtangulze Mungu iwapo tuna haki kweri huu ni msumali wa moto

  • @amanirashid9011
    @amanirashid9011 3 года назад +1

    Mama mnafiki

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 3 года назад +1

    Namkubali sana huyu Mama

  • @mercyemmanuel8536
    @mercyemmanuel8536 3 года назад +3

    Huyu mama huwa namuelewa....sana

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 Год назад +2

    Natamani nchi hii leo ingekuwa na Rais kama huyu mama

  • @linnageorge7795
    @linnageorge7795 3 года назад

    Huyo,mama,alifanya kitu kikubwa,sana alituletea maji hapa mtukula,bora,ata zile zamboga nasie,tulizionja

  • @mashakaomary7043
    @mashakaomary7043 3 года назад +6

    Pole mama kwa msukosoko wa pesa za mboga kumbe ule ubunge iliokuunganisha na Wana porojo/ siasa ndio uliotaka kutuchonganisha Hadi wafugaji wakakuona ni mtu hatari ulipokuwa unawatetea Sana wakulima kwa ajili ya Upigaji kura. Natamani kwenye kazi iiendelee upewe ka taasisi umalizie makali yako kwa manufaa ya wa Tanzania ,Tuundie sera rahisi tukwamuke kwenye hali ngumu nimekuelewa Sana bado unaonekana una nguvu na busara tele.

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 3 года назад +2

    Amezaliwa Nazo kazitumia..

  • @bigtv4204
    @bigtv4204 3 года назад +2

    Watanzania wanapenda makelele. "Tibaijuka " vijana tujitahidi kutambua uongo na ukweli "tibaijuka"

  • @mchagashop1342
    @mchagashop1342 3 года назад +3

    Asante Sana ☑️

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 3 года назад +7

    Dah!! Wahaya tuna Akili nyingi sana aisee,ni kweli siasa ya Bongo ni nyoso,na Chato haina sifa kweli na Vijana wengi hatuko washindani maana hatuwezi kuvumilia ushindani,na ni kweli kilicho mtoa Rugemalila jela siyo mawakili bali ni mabadiliko ya Rais ni vile tuna Rais mpya,,,Kongore #WasafiMedia,#Tibaijuka

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 года назад +2

    Daah aisee Kigamboni kilikua na mpango wa kujengwa majumba ya maana saahv hamna kitu 😭

  • @emanuelyigwira2511
    @emanuelyigwira2511 Год назад

    Prof bana uko vzr “nani atamfunga paka kengele 😂”

  • @peterbuju5216
    @peterbuju5216 3 года назад +3

    Msumari wamoto kweliii

  • @mutalemwagabrie9791
    @mutalemwagabrie9791 3 года назад +6

    😂😂😂😂 connotation, daaaah, professor Mutalemwa, wahaya tuna noma sana❤️❤️

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 3 года назад +2

    Kasababisha migogoro mradi wa upimaji viwanja Kibada mpaka.leo watu wengine Wana makovu yake na wengine migogoro haijaisha

  • @karatuboyarusha2731
    @karatuboyarusha2731 3 года назад +4

    Hichi kipindi nmekipendaa ila huyu mama shujaaa🔥🔥🔥🔥

  • @mretamreta8058
    @mretamreta8058 3 года назад +5

    Very bright Prof🥰🥰🥰🥰

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 3 года назад +2

    Good

  • @abdulkhamis1170
    @abdulkhamis1170 3 года назад +1

    Siyo kweli Zanzibar mikowa yake ni midogo sana

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Год назад

    Nyee wabongo mnamatatizo dhambi imewatawala tayari kunahatari yakutafuniwa nakuiteketeza nchihii kwasabbu yaubinafusi naunafiki tu bilakuhofia chochote lolote tuchukuwe hatua mapema tubadrishe mfumo wautawala tulete mfumo wautoaji haki

  • @hamadgakwaya3466
    @hamadgakwaya3466 3 года назад +1

    Nimewakumbali san

  • @redwaanyussuph2003
    @redwaanyussuph2003 3 года назад +1

    Nc

  • @JacksoJMarko
    @JacksoJMarko Год назад

    Huyu maza anaakili sana aseee

  • @frankmanyesela6147
    @frankmanyesela6147 3 года назад +2

    Mama Umeongea point.

  • @AdnanMbaehmahmoud
    @AdnanMbaehmahmoud 3 года назад +9

    Zungu unaweza sana kuhoji na huboi, unakata kiu yetu brother. Keep it up

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat 3 года назад +6

    Mahojiano ni mazuri Ila kuna vipande mmeviondoa. Hamjatutendea haki. Huyu mama ni rasirimali na hazina kwa Taifa.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 года назад +3

    Ameiba za kutosha hana haja ya kufanya kazi. Wengi ni masikini kwasababu yeye ni tajiri.

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 3 года назад

      😂😂😂

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 3 года назад

      Uyo mama ni mfanya biashara anamiliki shule ya international inaitwa kaizirege shule pekee Tanzania ambayo school bus zake ni malcopolo G7 kwaio Hana njaa

    • @menlandmutashobya8377
      @menlandmutashobya8377 3 года назад

      @@josephwilliam5813 ya kwake n kajumulo sio kaizirege

  • @athumanii
    @athumanii 3 года назад +4

    Zungu hiyo suruali njiwa umetuibia hapo😃

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 3 года назад +1

    mama kibajuka kawajibu vijana wa wasafi wanao safiri kuwafuwata vioozi kutafuta fitina na kuliza mambo ya unafiki nazani hawa vijana muelekeo wao wanatumiwa na viyama vya upizanii juzi wamuliza maswali polepole ya kifitina nakutafuta uharibifuu

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj 3 года назад +2

    wala vyeki vya taifa........mama umekonda ile mbaya nadhani ni maisha ya mjomba alijua kuwaweka kwenye mstari ulio nyooka

  • @sankawila2689
    @sankawila2689 3 года назад +1

    Uyu kweli professor mpaka ana waelekeza jamaa maswali ya kumuuliza

  • @SimeonCharles-j5x
    @SimeonCharles-j5x Год назад

    Amkeni

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 3 года назад +1

    Hiv Prof ni mama Ebitoke?!nampenda sana

  • @husseinmillinga1920
    @husseinmillinga1920 3 года назад +8

    kwamaoni yangu huyu si proffesa wa kweli ni muoga

    • @robertbutahe2835
      @robertbutahe2835 3 года назад

      Wewe kilaza utajuaje kama ni prof wa kweli!?

  • @nestor384
    @nestor384 3 года назад +1

    Huyu mama ni mwizi kama wezi wengine tena mwizi mkubwa sana. Mifumo ya haki-jinai ktk nchi yetu hayajakaa sawa alipaswa kuwa prosecuted na kufungwa.

    • @elidarweyemamu5144
      @elidarweyemamu5144 3 года назад

      Evidence unazo?kamshitaki

    • @sylvesterjose3286
      @sylvesterjose3286 3 года назад

      Acha udumavu wa fikra na fitina, suluhishp za tuhuma ni mahakamani. Una uthibitisho wa wizi wake fungua kesi mahakamani kathibitishe kwa vielelezo ulivyonavyo, vinginevyo acha majungu, chuki na hinda.

    • @immaculatemakene7546
      @immaculatemakene7546 3 года назад

      Pesa za kifisadi alizopewa kwa nini alirudisha serikalini alivyoambiwa na Magufuri !???? Zingekuwa hazina tatzo zile pesa ni halali huyu ni msomi Prof asingerudisha !!!!! Watu hamjuwi mnalopoka tu !!!

    • @immaculatemakene7546
      @immaculatemakene7546 3 года назад

      @@sylvesterjose3286 Hujuwi lolote halaf una comment !???? 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

    • @immaculatemakene7546
      @immaculatemakene7546 3 года назад

      @@elidarweyemamu5144 Pesa alizirudisha serikalini kwa nn !??? Kwa kuwa ni Mhaya mwenzako unajifanya haujuwi au vpi !???

  • @abuukamugisha5994
    @abuukamugisha5994 3 года назад +4

    Prof anaongea technically, mjanja sn

  • @magarimzeru3686
    @magarimzeru3686 3 года назад +2

    Yaani zungu una maswali ya kichokozi Sana,😄😄

  • @thomasjohn3499
    @thomasjohn3499 3 года назад +1

    ZUNGU UMEULIZA SAWALI ZURI SANA. UNA AKILI.

  • @fredrick337
    @fredrick337 3 года назад +1

    Mama uko vizuri sana

  • @nasseaman3720
    @nasseaman3720 3 года назад

    huyu mama arudishwe kwenye serikali

  • @rusiamussa6696
    @rusiamussa6696 3 года назад +1

    Wewe jari mambo yako acha uongo

  • @husseinnganda7220
    @husseinnganda7220 3 года назад +7

    Charles sijui kwanini mnajua mambo mengi nawakati bado wadogo?

  • @sarllemmtunze405
    @sarllemmtunze405 3 года назад +33

    Huyo Mama ni mwizi tu na wezi wote wa awamu ya nne waliokuwa wameichimbia kaburi Tanzania hivi Sasa wamerudi nakuwa mashujaa. Vijana wa kitanzania tulizani Magufuli alikufumbueni macho lakini inaonekana bado ni wajinga na wajinga siku zote ndio wanaoumia. Kumbuka kusoma sio kuelimika na ndio maana watanzania tumekuwa wapumbavu kwa kuwaamini wasomi ambao wao wenyewe wameshindwa kujielimisha na kuwa mifano kwa watanzania wengine ila wengi wao wana sifa na kashfa za kulihujumu Taifa kwenye tumishi zao Serikalini au kwenye taasisi.

    • @sarllemmtunze405
      @sarllemmtunze405 3 года назад +9

      @Abdul update Daily sio mwizi wakati yeye mwenyewe alikiiri kupokea pesa za wizi za PTL zilizo wapeleka vigogo kadhaa jela yeye busara tu ilitumika kutopolekwa mahakamni. Sasa sijui nani ni kichwa maji? Potosheni mtavyopotosha ila miaka 10 ya awamu ya nne Tanzania ni jinamizi sugu na la kutisha kwenye historia ya Tanzania. Wakati huo ndio Twiga wanapandishwa ndege kwenda nje ya nchi na pesa zinaingia mifukoni mwa wachache. Tembo walikaribia kutoweka Tanzania. Makontena ya madini yanasafirishwa nje ya nchi kwa kigezo Kuwa ni takataka. Rada za Ndege fake zilinunuliwa kwa mabilioni ya shilling za watanzania, mitambo ya kuzalisha umeme fake ilinunuliwa kwa mabilioni ya shilling za watanzania na bado Giza lilitawala nchi nzima. Hovyo na ujinga mtupu kusema eti miaka 10 ya Kikwete deni la Taifa lilikuwa chini Tanzania? Katika serikali ya awamu ya nne kitu Gani hasa kilifanyika ambacho watanzania wanajivunia? Kipindi hicho ndicho Tanzania ilishindwa kumiliki hata ndege Moja. Kipindi hicho ndicho madawa ya kulevya yalitamalaki. Kwakweli acheni umbavu msitutie hasira tukaanza kuvurigana wenyewe. Nyamazeni kimya na muache kuisifia uozo kwani ni mapema mno kuanza kuleta habari za awamu nne.

    • @mretamreta8058
      @mretamreta8058 3 года назад +2

      Unamatatizo ya akili wewe

    • @robertbutahe2835
      @robertbutahe2835 3 года назад +1

      Alimuibia nani? Au ni ile tabia ya kukariri uongo!

    • @calabash4221
      @calabash4221 3 года назад +4

      @@robertbutahe2835 memory zenu ndogo sana....ile hela ya mboga aliyopewa umeisahau?

    • @johnsonmsuya1495
      @johnsonmsuya1495 3 года назад +1

      Hata kama ni mwizi anachoongea ni fact

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 Год назад

    Kuna akina Laprofeseli na profesa huyu ndio Prof Org

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 3 года назад +4

    Tibaujuka mwingon mwa wanawake waliopiga pesa bila wasi was akasema bilion kum alichukua za mboga

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 3 года назад +1

    Kipindi Cha kikwete kulikua hakuna mpango wowote wa kuwaendeleza wananchi Zaid ya kupiga dili na kujineemesha wenyewe viongozi

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 года назад

    Mama thibaijuka

  • @stn4873
    @stn4873 5 месяцев назад

    "NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE."

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 года назад +4

    Hawa ni watu kama huyu professor ni waliotakiwa wawe jela au wamenyongwa

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 3 года назад +11

    Lazima aishi MAISHA mazuri alipata muda wa kupiga na akapiga, sasa MAGU nae c bora alipigania CHATO uwe Mkoa kwa manufaaaa ya wengi sasa, yy hiyo hela ya mboga c alikula peke yake.

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 3 года назад +1

      Hilo nalo neno

    • @karyori69
      @karyori69 2 месяца назад

      Chato kuwa mkoa si manufaa ya wengi bali ya ubinafai wa Kikabila!

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 3 года назад +1

    Je ni kweli mama Tibaijuka umesema Chato haina sifa kuwa Mkoa,au umewekewa maneno na waandishi wa mtandao?

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 3 года назад +1

    Hivi aunt utakuja kunenepa lini wewe!!?

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Год назад

    Katiba pendekezwa ya ccm ilikuwa ovyo

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 3 года назад +3

    Hawa vijana hawajui kuhoji mtu hatua kwa hatua na kuchokoza point muhimu kwa maslahi ya taifa,unapomhoji mtu mkubwa aliyefanya kazi kitaifa na kimataifa lazima ubebe Pini za kutosha!

  • @yohanachami7194
    @yohanachami7194 Год назад

    zungu hujui kukaa kwa staha mbele ya mgeni unakaa hovyo kama upo ghetoni kwako

  • @aminimoshi5474
    @aminimoshi5474 Год назад

    Huyu ni Professor mnyoosho hapindishi kitu

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 3 года назад +2

    Alitaka kuwauza watu na maeneo yao kuanzia kibada mpaka vijibweni hili zengwe likja vunjwa na Jpm

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Год назад

    Wasomi hawajaisaidia nchi

  • @faridamikindo4524
    @faridamikindo4524 3 года назад +5

    Tatizo hiyo miradi ndio yao wenyewe sio KWA nananchi,,,ni biashara ZENU, mumejimilikisha nyumba za nyerere zote NHC ZOTE MUMEJIUZIA AKUNA KITU APO,,,WOTE NDO HAO HAO

  • @joycekalembo2225
    @joycekalembo2225 3 года назад +12

    Nipo na dictionary huku nikimsikiliza mtu mwenye akili.

  • @alexedward4069
    @alexedward4069 3 года назад +4

    Rekodi ya Wizi Na ufisadi pumbavu sana.

  • @huseniomari647
    @huseniomari647 3 года назад +1

    Mama nyooosha maelezo ilikwama au ilikwamishwa na je nini kilikwamisha

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 3 года назад +1

    Tujenge uchumi kwa kweli

  • @faridamikindo4524
    @faridamikindo4524 3 года назад +3

    Ni kweli uliona mpaka ukaita m10 pesa ya mboga looh africa viongozi WETU chuma ulete madarasa mahoptal aziishi KILA siku,,,,mnakula tu mwisho wenu upo watanzania techoka

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka Год назад

    Rushwa inapunguza heshimq

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 3 года назад +1

    Jamani mngeuliza kwa nini walishindwa?????? Tujue watuweke wazi ili tuache kuiongelea. Km ni kurekebishwa basi Mshauri msikae kimya

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 3 года назад +3

    Kama unavaa suti ni lazima koti na suruali vyote viwe vyako.

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 года назад +3

    Tatizo kubwa serikali inataka kuiga wazungu eti tununue vitu maeneo maalumu.

  • @vallerinejesse2299
    @vallerinejesse2299 3 года назад

    Wakati mwingine ni bora Anna unyamaze kimya kwani hata wewe hujakamilika,