FULL TIME: YANGA 5 - 0 FGT | MAGOLI YOTE MAKALI | PACOME NA MZIZE WAITEKA SHOO YOTE| TAZAMA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 45

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 18 дней назад +4

    Yanga bingwa inshaallah 💚💚💛💛

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 17 дней назад

    Daima mbele nyuma mwiko kazi iendelee 💛💛💚💚

  • @SelemanMagambo
    @SelemanMagambo 18 дней назад +2

    YANGA BINGWA 💚💚💚👈

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 18 дней назад +1

    Eeeh Yanga tena ishachafua nchi💪🙌

  • @Joseph-57
    @Joseph-57 18 дней назад +2

    Mzinze one goal two assists for just one game🔥🔥🔥🔥🔥

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 17 дней назад

    Mzize is an excellent player 🎉🎉🎉

  • @Mari89wx
    @Mari89wx 18 дней назад +2

    Mashabiki wa yanga Raha tupu💐

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 18 дней назад +1

    Maestro Clement mzize🎉🎉🎉
    Chuma 1 assist 2
    We huogopi😂

  • @chrissantkaunda9958
    @chrissantkaunda9958 18 дней назад +2

    Ongereni wanajeshi wetu🔰🔰🔰

  • @LucasMatonya
    @LucasMatonya 18 дней назад +1

    🎉🎉🎉yanga on fire

  • @IddyMuhamed-k4c
    @IddyMuhamed-k4c 18 дней назад

    Waooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 18 дней назад

    YANGA ya ramovich 🥰🥰✅💪🖤💛🔰🟢

  • @miriamkarata7495
    @miriamkarata7495 18 дней назад

    Raha sana💚💛💚💛

  • @MloweMichael
    @MloweMichael 18 дней назад

    Mzize anaimprove kila siku, atafika mbali sana huyu jamaa

    • @Tatty-u8p
      @Tatty-u8p 18 дней назад

      Yana yangu naipenda sana inanipa raha sana 😅

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 18 дней назад +1

    Mtenje mtenjeeee umewaponzaa wenzioooo na kochaaa😅😅😅

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 18 дней назад

    Allaah Akbar

  • @lotijr8376
    @lotijr8376 18 дней назад

    Mzize 🙌🏽

  • @pasrightofficial
    @pasrightofficial 18 дней назад +7

    Wa kwanza kufika hapa kwa mwendo huu Nusu fainali Champions League naiona

    • @EsterMjema-n8c
      @EsterMjema-n8c 18 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole

    • @radhiamussa1629
      @radhiamussa1629 17 дней назад

      Tuombe Dua zaidi ili tuweze kuivuka robo

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 18 дней назад +1

    Yanga msimsajiri makame, siyo beki mzuri

  • @GoodluckJonathan-y8t
    @GoodluckJonathan-y8t 18 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @officialtembo23
    @officialtembo23 18 дней назад +2

    Mjitahi kwaliti yanga jamani

  • @alphageneaz
    @alphageneaz 17 дней назад

    Angalieni goli la kwanza lilivyofugwa.. Ambundo ni kama ameshangilia hivi na mkono wake wa kushoto 😅😅😅

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 18 дней назад

    💚💚💛💚💛💛

  • @simeontwiyogohe2727
    @simeontwiyogohe2727 18 дней назад

    👋

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 дней назад +1

    CEO kafurahia

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 17 дней назад

    Kilichobakia ni mashabiki kujaa kwa wingi sana kwa mkapa nakushangilia kwa nguvu mwanzo mwisho na uongozi upambane juu yakila mmoja kujua majukumu yake bila kuzembea kuanzia benchi la ufundi mpaka wa wachezaji na kila idara kuhiimarisha

  • @MariamZanzibari
    @MariamZanzibari 18 дней назад

    Alhamdulillah

  • @Nelly93mnyiramba
    @Nelly93mnyiramba 18 дней назад +1

    Yanga BINGWA

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 дней назад +1

    Point zetu za kuongoza ligi tunajua zilipo

  • @ndulatv2373
    @ndulatv2373 18 дней назад +2

    Saivi hakuna mchezaji mwenye timu, kukaba wote kushambulia kwa kawasi

  • @SebastianMgaya
    @SebastianMgaya 18 дней назад

    Gusa achia twende kwao

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 дней назад +1

    Lau Lau uyo mzanziba jinga kakomaa na dube timu inafungwa t

  • @peteremmanuel1188
    @peteremmanuel1188 18 дней назад

    Hili goli la 5 nani kapiga ile pasi

  • @LucasMponda-cm6gf
    @LucasMponda-cm6gf 18 дней назад

    Kuna timu nyengine hazistail kabisa kuwa ligi kuu,wakikutana na mnyama wanajikaza mpaka matako

  • @AbdulYusuph-m7r
    @AbdulYusuph-m7r 18 дней назад

    Tutafk fainal caf Inshallah

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 дней назад

    Ila kabombe😂😂😂😂

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 дней назад

    Iyo lau aliagizwa dube asifunge

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 дней назад +1

    Mtenje mavi

  • @judithmwakibete3036
    @judithmwakibete3036 18 дней назад

    Hawapeeeeeeeeeeeeeendi kusikia.

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 дней назад

    NOBLE goli la 4 alikua alitaki