SHEIKH MBOGO APEWA KIBANO CHA AJABU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024

Комментарии • 82

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 5 месяцев назад +1

    Safi sana sheikh mbogo mwenye akiri timamu ameerewa ukweri kunawuma

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj 4 месяца назад

    Ubarikiwe sana Onyango mtumishi wa Mungu

  • @MirajiHemedi
    @MirajiHemedi 5 месяцев назад +1

    Safi Sana onyango, huyo Yesu ni Mungu Waisilamu hawamtambu Mungu aliyewaumba ambaye ni yesu. Tena afadhali kidogo Muhammed mtume alimfamu Yesu kuwa ni Mungu kwa sababu aliweka Roho yake mkononi ni mwa Yesu, Ila yeye Muhammed hawezi kuoka kati ka jehanam kwa vile alivyowadanganya watoto wa Mungu. Angalia wanavyomkana Mungu wao Yesu) atakaporudi wataomboleza Sana.

    • @Shillingi
      @Shillingi 5 месяцев назад

      Ata unachokiongea hujui! 🤣🤣🤣Yesu angekua mungu ww ungepewa chakula au ungepea family yako

    • @Shillingi
      @Shillingi 5 месяцев назад

      Eti yesu mungu ako na ukoo wake😂😂😂

  • @henryosoro7696
    @henryosoro7696 5 месяцев назад +2

    Hapo umefunza vizuri onyango.

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba9106 5 месяцев назад

    Amen:Hakika shindig ni kwa wakristo.

  • @DARUBINIYAUNABII538
    @DARUBINIYAUNABII538 5 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana mtu wa Mungu. Francis Onyango😂😂😂

  • @jeanpaulkwizera3216
    @jeanpaulkwizera3216 5 месяцев назад +3

    Aaaa wanasoma Bibiliya ki muskiti muskiti tuu

  • @elikanawilson2966
    @elikanawilson2966 4 месяца назад

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 5 месяцев назад +1

    Hiyo kazi huiwezi

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 5 месяцев назад +2

    Sasa onyango baada akacheze mpira kavamia fani

  • @alexandermulilison5844
    @alexandermulilison5844 5 месяцев назад +1

    We...hoja zimevunjwa

  • @hudsonkishah8677
    @hudsonkishah8677 5 месяцев назад +1

    ‭Matthew 25:24 NIV‬
    [24] “Then the man who had received one bag of gold came. ‘Master,’ he said, ‘I knew that you are a hard man, harvesting where you have not sown and gathering where you have not scattered seed.
    ‭Matthew 15:24 NIV‬
    [24] He answered, “I was sent only to the lost sheep of Israel.”

    • @sammyhannington7024
      @sammyhannington7024 4 месяца назад

      John 10:
      16] And other sheep I have, which are not of this fold: them also I must bring, and they shall hear my voice; and there shall be one fold, and one shepherd

  • @FilmeNdayishimiye-te9zj
    @FilmeNdayishimiye-te9zj 5 месяцев назад +1

    Nitwa Filemon kutoka burundi niuriziye nasikiya muhmd katumwa arakini wanaomutuma nikwamufumowawigi arakini wa isilamu wanasema mungu nimmoja sasa kamamunguwao nimmoja ametumwa namungu ao niwatu!

  • @thiswayministy
    @thiswayministy 5 месяцев назад +1

    Mungu atukuzwe

  • @collinsMwendi-j3h
    @collinsMwendi-j3h 2 месяца назад +1

    ssfi

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 5 месяцев назад +3

    Umewapa ukweli onyango wakubali wasikubali ukweli wameujua uamuzi ni wao sasa

  • @AbuuSaid-wl3ml
    @AbuuSaid-wl3ml 4 месяца назад

    Din ya uwislaam imefunza utaratibu wakulingania kitabu na sunna ila nyinyi mumejifunga na kitabu ambacho hamukijui munapuyanga tuuu.

  • @SamsonAmos-ly6ml
    @SamsonAmos-ly6ml 4 месяца назад +1

    Msifananishe yesu na mohamed imani ya ukweli ni kuwa na ushahidi mwingi

  • @WilliamMlama
    @WilliamMlama 5 месяцев назад +1

    5:41

  • @olekurarudan4773
    @olekurarudan4773 5 месяцев назад +3

    Wasilamu hakuna kitu munajua kabiza

    • @Shillingi
      @Shillingi 5 месяцев назад +1

      Ww ata kiswahili hujui eti kabiza🤣🤣🤣🤣 wacha kuropokwa

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 5 месяцев назад +2

    Utajuaje na we huna roho mtakatifu mambo ya rohoni wanao yajua ni warohoni tu

    • @MwijakaSwalehe-dg4hw
      @MwijakaSwalehe-dg4hw 5 месяцев назад

      Sasa ww roho kakupa nani, mbona mnapelekwa kama mbuzi,twahara hamjui halafu eti mna roho

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 5 месяцев назад +2

    Nawahurumia wanao jua maandiko na wanageuza hii itawagarimu

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 5 месяцев назад

      Waislamu ndio wana geuza maandiko ni wapotoshaji makafiri wakubwa

  • @KennedyBarasa-mc4mz
    @KennedyBarasa-mc4mz 5 месяцев назад +3

    Hizi za mbogo ni kelele za chura wala hana lolote

  • @Gesareh-v4d
    @Gesareh-v4d 5 месяцев назад +4

    Kweli muislam ni balaa, kwamba akiua mtu anahesabiwa ahera (Jenna) vile vile atapokea 72 virgins.. Setani mwongo jamani

  • @HillaryKhamalishi
    @HillaryKhamalishi 4 месяца назад

    mwalimu Onyango wewe ni kiboko cha wanaopinga injili ya Yesu yaani waisilamu.
    wararue raru raru juu wewe ni mfano wa Mungu. na uwaambie hao waisilamu wakubali tuammndae madhabau kama ya Elisha aliandaa na manabii wa baali ili tuone kati ya muhammad na Yesu nani ndiye Kweli.

  • @ezrommkambati1554
    @ezrommkambati1554 5 месяцев назад +2

    Hv Islamics mna matatizo gani?

  • @PintovascoMuinde
    @PintovascoMuinde 5 месяцев назад

    🎉

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 4 месяца назад

    Yesu hakuwa mkristo.Wakristo wanafuata upagani wa Roma/Uyunani.

    • @Ngugikimani04
      @Ngugikimani04 4 месяца назад

      Yesu atakuwaje mkristo
      Yesu atajifuata mwenyewe

  • @jimpaserics9359
    @jimpaserics9359 5 месяцев назад +2

    Naomba mtu anipe number ya onyango..Ningependa kumpongeza Kwa elimu aliyoitoa Kwa busara.
    Bro ,ulipeleka hii mada kwa hekima ya juu sana

    • @PTLPMTV
      @PTLPMTV  5 месяцев назад

      0727741602

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 5 месяцев назад

    Nyinyi waislamu mnamkubari ISSA lkn mnakataa

  • @muhala410
    @muhala410 5 месяцев назад

    Mussa kachaguliwa Ndio 7 ,: 144 lakini hakutimwa kwa watu wote korani iko wazi sana

    • @sammyhannington7024
      @sammyhannington7024 4 месяца назад

      Yohana 10 : 16
      Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.

  • @andrewsylv8248
    @andrewsylv8248 5 месяцев назад

    Mbogo ajue hoja haziko kwa kelele ,,,,,bali ni kwa maandiko yanayoingia akilini

  • @AllyRamadhansheshui
    @AllyRamadhansheshui 4 месяца назад

    Ukiristo ni chama tuu kama freemasons kwasababu hakuna hata mahali pameandikwa kuwa ukiristo ni dini 😂😂😂😂😅😅😅📌📌📌📌📌📌waisilamu gongeni like Sisi tumshukuru mungu kwa dini ya kiisilamu ❤❤❤❤

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 4 месяца назад

      Hujitambui wewe inaonekana majini yenu mnayosalinayo msikitini yamekupanda kichwani ndomana unaongea upumbavu hizo dini unazo linga nazo hata wapagani wanayo kikubwa unatakiwa ulinge na njia sahihi ya Mungu usilinge na dini ambazo hata mafreemason wanayo dini wapagani wana dini kwaiyo maana ya neno dini ni kikundi fulani kilicho kubaliana kutengeneza sheria za aina fulani kwa imani fulani hiyo ndio dini mfano kikundi cha waislamu kimerengeneza sheria kabla ya kuingia msikitini shart kutawadha miguu mikono na uso hiyo ni sheria ya kikundi imetengenezwa halafu ukiingia msikitini sharti kuvua viatu na waislamu wasalipo hutizama Saudi arabia uliko tokea uislamu na misikiti yao yote imetizama Saudi arabia uliko anzishwa uislamu na waumini wanatakiwa kuiga nguo za asili ya kiarabu mfano kanzu na kina mama kujifunika kichwa, na wanaopaswa watumie kitabu cha kiarabu na kama kuna muislamu hajui kiarabu inabidi ajifunze madarasa kiarabu ili atimize vigezo vya dini na kila mwaka muislamu wanalazimisha kufunga safari kwenda Saud arabia kuhiji NK. Sheria za dini ya kiislamu hazitofautiani sana na sheria za dini ga freemason freemason nao kwenye ibada zao hutoa viatu, husali kwa kuelekeza sehemu moja, na kila mwaka huhiji kwa kutoa sadaka kama ambavyo waislamu wanafanya hizo ndio sifa ya dini

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 4 месяца назад +1

      Waislamu acheni ujinga wa kujivunia dini dini hata wapagani wanao kwaiyo nyie waislamu na wapagani ni kitu kimoja wote mnajivunia dini sisi wakiristo tunijivunia njia sahihi ya Mungu muumba mbingu na ardhi huyo Mungu anaitwa JEHOVA

    • @AllyRamadhansheshui
      @AllyRamadhansheshui 4 месяца назад

      Hamna bwana nyie wakiristo na wapagani ndio lenu moja siye waisilamu hatuhusiki na msiba huo📌📌📌nani kakudanganya kuwa ukiristo ni njia sahihi kuna mtume gani walipita njia hiyo?😂😂😂😂😂

    • @MwangekaJuliusnzioka
      @MwangekaJuliusnzioka 4 месяца назад

      Ww elimu hauna hata kuelewa ukristo kwako ni mtihani

    • @MariettaNyoni
      @MariettaNyoni 4 месяца назад

      Ww ukifa unaenda wap😅

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 3 месяца назад

    Ila waislamu ni matapeli sana mpk kusoma biblia wanasoma kitapeli tu 😂😂😂😂

  • @TRIPLE.3Rs
    @TRIPLE.3Rs 5 месяцев назад +1

    Alie kuwa kaburini ni nani?

    • @isaackmlayy6228
      @isaackmlayy6228 4 месяца назад

      Muhammad yuko kaburini yesu yuko mbinguni

    • @isaackmlayy6228
      @isaackmlayy6228 4 месяца назад

      Muhammad yuko kaburini yesu yuko mbinguni

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 5 месяцев назад

    Hakuna elimu kwenye makelele yasiyo na mashiko ! Kujiuliza swali na kujijibu kunakufanya upitishe unachokianini. Wenye hisa nzuri ya akili wameelewa usahihi na ukweli wa jambo. Biblia na Koran vitabu ( takatifu na tukufu).

  • @AllyRamadhansheshui
    @AllyRamadhansheshui 5 месяцев назад

    Kwanza wakiristo vile mlivyo ikataa haki hata kiswahili chenu kibovu hatari😂😂😂

    • @RapaFata
      @RapaFata 5 месяцев назад +1

      Wakristo kukataa haki. Akili kukmkichwa. Uislam ni haki ya ibilisi

    • @lameckdaniel6724
      @lameckdaniel6724 5 месяцев назад +1

      YESU KRISTO akusamehe bure

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 5 месяцев назад +1

      Umedanganywa na shetwani wewe kuambiwa uislamu ni dini ya haki wakati ni dini ya makafiri na allah wao ni shetwani ndomana allah wao haskii lugha ya kiswahili na lugha zingine anasikia kiarabu tu mungu jiwe jeusi la makka

    • @AllyRamadhansheshui
      @AllyRamadhansheshui 4 месяца назад

      Lazima wakiristo mbishe kwasababu hamna dini mnachama tuu kama mafirimasoni tukikuambieni tuonyesheni wapi pameandikwa ukiristo ni dini hamtuonyeshi kwendaaa📌📌📌

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 4 месяца назад

      @@AllyRamadhansheshui poleni sana waislamu nazani hamuelewi kuhusu neno dini, dini ni kikundi fulani kama unataka dini uislamu, dini ya kipagani, dini ya kibudha, hizo zote ni dini lakini ukiristo siyo dini kama upagani au uislamu ukiristo ni njia pekee ya kweli iliyo sahihi ya kwenda Kwa Mungu muumba mbingu na ardhi, lkn hayo ma dini yenu ya kiislamu ya kipagani ya kifremason ya kibudha yote ni madini ya kishetwani

  • @WilliamMlama
    @WilliamMlama 5 месяцев назад

    5:41