ONA MSHAMBULIAJI MPYA WA YANGA ALICHOKIFANYA MAZOEZINI LEO/KOCHA APAGAWA NA UWEZO WAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 23

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka 22 дня назад +5

    Nakuomba M/Mungu wajaalie Kheir afya Ufaham na mafanikio Inshaallah

  • @HajjsaidhajjSaidhajj
    @HajjsaidhajjSaidhajj 22 дня назад +3

    Nawaombea mungu awajaliye ushindi inshaallah

  • @JacksonJulius-w6f
    @JacksonJulius-w6f 21 день назад +3

    Mungu yupo naamini tutapata ushindi ila jitihada tuuu na dua

  • @MasoudKhamis-ew6gb
    @MasoudKhamis-ew6gb 22 дня назад +1

    Hata Mkude yupo vizuri asiachwe

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 21 день назад

    MUNGU IBARIKI YANGA USHINDI HAPO KESHO INNSHAALAH

  • @JoyceLukiko
    @JoyceLukiko 21 день назад

    Kwa Imani ya mwenyezi mungu tutashinda mechi ya Tp mazembbe daima mbele hakika ushindi upo

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 21 день назад

    Enwenyezi mungu tunakuja kwako mbere ya uso wako waone wano wanachobpitia kipindi kingu kawasimamie kawape wepesi na na binu za kira aina baba kawafunije ote wanao tuombea mabaya ww ndoo mwamuzi wa kira jambo baba tunakutengemea wewvukawashikekono wanao wote baba yanga watoto wako tunaomba hayo kwa jinarako baba wa mbinguni amina ❤

  • @jankensail675
    @jankensail675 21 день назад +1

    Mkiweza kuzuia TP M kutibua na kucheza mpira tunashinda 2.5 kwani hiyo ilikua moja ya tactics yao kwenye last game. M/Mungu awatangulie. Mashabiki, wapenzi na Taifa Wana Imani nanyi, please don't let them down

  • @SuleMore
    @SuleMore 21 день назад

    Amin

  • @EsterMjema-n8c
    @EsterMjema-n8c 21 день назад

    Tp mazembe ipate ushindi 🙏🙏saidia MUNGU wetu

  • @JohnKauzeni
    @JohnKauzeni 22 дня назад +2

    Mungu awajalie yanga ushindi mnono wa magoli 5.

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 22 дня назад +1

    Mungu ni mwema atasikia kilio chetu

  • @DicksonMasukuma
    @DicksonMasukuma 21 день назад

    Leo yanga wanashinda wamerudi kwenye mfumo uongozi walishituka mapema kubadirisha kocha

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 21 день назад

    Uko mazoezini atajua yy situnataka matokeo uwanjani

  • @AlanusSteven-yw4ke
    @AlanusSteven-yw4ke 22 дня назад

    Htri sanaa 🙏✌️❤️

  • @King9King9nashon
    @King9King9nashon 22 дня назад

    Pamoja usajir wa dirisha dogo nkane shehan wasiachwe hao watoto wako vizuri na wapewe nafas

  • @HashimKassim-g3k
    @HashimKassim-g3k 22 дня назад

    Na iwe hivyo

  • @haidarysalehe9056
    @haidarysalehe9056 22 дня назад +4

    MUNGU awajalie ushindi mkubwa

  • @DaudLutema-h6c
    @DaudLutema-h6c 21 день назад

    Mshambuliaji mpya n nan

  • @SaidHamisiismail
    @SaidHamisiismail 22 дня назад

    Akuna kinachoahindikana mbele ya mungu 2/0 tu inatosha

  • @JoyceLukiko
    @JoyceLukiko 21 день назад +1

    Kwa Imani ya mwenyezi mungu tutashinda mechi ya Tp mazembbe daima mbele hakika ushindi upo