Ukwel bila unafiki Zi kizazi hiko akitatokea very fun man, na alikuwa na kitu ndani yako cha kipekee sana @Golden Jacob R.I.P brother daima tutakuombea upate amani na furaha uliyokuwa nayo hata huko uliko. bless🙏🙏
R.I.P more than a king mwanzo haikuwa rahisi kujuwa muziki wako uko modern Sana'a lakn nowadays test yako ndo iko trend... Salute Sana'a...... Watoto wa Leo sio wabunifu hawaumizi kichwa mashairi yao mepesi Sana'a..... Pengo lako halito zibika
Zilla ni mtu ambae mamaake alimlea kimaadili sijawahi kuona zillah akipanic , wakazi nikki Mbishi hao ndo wazee wakupanic ila zilla alikua simple sana rest easy king
daaaa atimae atuko nawee tena duniani King zilla daa ulikuwa piece sana mung akulaze mahala pema pepon ameen
Eeeh Mungu Nilikuwa Nampenda Gozilla jinsi ansvyongea Na icho kijino chake,Rest in peace Champion ❤️
October 2020 naangalia interview yako mwanangu zizi ,,,R.I.P King
Brother sawa paradise chaka langu nimeandaliwa brother huko nitakuwa siku yoyote
Gonga like twende sawa,
Ila ziz just relax!
Kutoka +254, i love the show i watch every episode . Big up MVP
Ukwel bila unafiki Zi kizazi hiko akitatokea very fun man, na alikuwa na kitu ndani yako cha kipekee sana @Golden Jacob R.I.P brother daima tutakuombea upate amani na furaha uliyokuwa nayo hata huko uliko. bless🙏🙏
Third yoh! Ila zila alikua kazimua kidogo tho najua swag zake.
Ziziiiii...one of the best hip hop master in Tanzania.
Ishuuuu wayaaaaaaaa mnyamwezi ww nowmaaaaaaaaa big up broo
kaka yani kama alijitabilia kama atakufa kabla mwanae ajakuwa sema mungu nae akipanga amna wa kupangua
zilla kazaliwa bongo bahati mbaya ung'eng'e kibao kama unamkubali zilla gonga like twende sawa
King ziz zzzz my Favorite rapper All the Time 🦉
Mungu na wanadamu,at the end of the day yote maisha yatapita
Mnyamwez sana interview haichoshi #salasala
Like hapa kama unakubali jamaa ni Mnyamwezi sana
😢😢😢😢😢😢 kaka zillah the way unavyo ongea kama upo hai mwenyezi mungu akulaze mahali pema peponi mbele yako nyuma yetu😢😢😢😢😢😢😢
Lil Ommy, Zilla anauliza uko wapi Plug yake.? Mpelekee Mama ake. King of Freestyle Plug
Well said King Zilla, simlaumu dj kutopiga mziki wangu maana yy analipwa mshahara.
Km hupendi mziki wangu/nyimbo zangu poa.
GOD bless u ziz zilla
R.I.P more than a king mwanzo haikuwa rahisi kujuwa muziki wako uko modern Sana'a lakn nowadays test yako ndo iko trend... Salute Sana'a...... Watoto wa Leo sio wabunifu hawaumizi kichwa mashairi yao mepesi Sana'a..... Pengo lako halito zibika
Zilla English yako iko 👌👌
Ahahahaha zillah tofauti sanaa ..nakubali mzee
Napenda Godzila anavyoongea English 👍😘😜😜
Ila unavimba sana na punguza pombe 😂😂
Saumu Hassan anaonyesha amekuwa mtu wa vyombo
@@abrahamfelix333 kabisa
haifai kumuongelea hayo huyu mtu hayupo tena
hahahha
Kama umemsikia Kingzila anasema Neno #LOOK tupia like zako hapa
mzee baba hii comedy kabisaaa yaan
Rip mnyamwezi Godzilla I appreciate this
Lil homie look look look look aise zizi ni noma xn
Zilla mbona kingereza Sana mzee.. Lil ommy zizi anazingua na kingereza leta kazi bob
Ya kizazi sana nice interview +254kenya nawakiza kama k
king zizy nice
H. I. P H. O.P paradise together
hahahaha hii interview so poa zilla noma sana
Wakwanza ku view nipeni Like zangu apo kama zoteeeeeeee
huyu jamaa alikua mtu wa upendo kwa wasanii wenzake yan ata ukimrushia vijembe yeye hana chuki
Sanaaaaa
Zilla ni mtu ambae mamaake alimlea kimaadili sijawahi kuona zillah akipanic , wakazi nikki Mbishi hao ndo wazee wakupanic ila zilla alikua simple sana rest easy king
Zillaaaaaaaaaaaaa look! Look! Look!! Look!!
nilipanga nisicheke lakin daah!!!! 😂 😂 😂 zillah umepiga zile mambo mzee baba
"I NEED LEGACY" 🙏🏿🙏🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿 REST EASY ZIZI
Back to back, ziz in real, hip-hop,,,,
Bad man still really
I see you international
God zizi
Daaaah Zilla kama nakuona Mwanetu kitaan Nashituka ushatuacha R.I.p Nigga 2019 see you again
Big up broo ...zila
zizi King of free style tuta kukumbuka milele
get off my way
itabakia kua timeless music zizi sala sala in the house 🏠
Zila RIP broo nikweli zila alikuwa pc sana akimuona mtu anae mfaham lazima asimame naampe hi
Zilla#umarekan mwingi bro
Kwani mswahili uyu?
Wewe uwelew tulia tunao elewa tumsikilize
@@bahranibihaqi6065ahsante baadae naomba translate ili na mm nifaham
Alizaliwa ulaya
Fundi sana Rest in Paradise
Kama uwelew lazima ata kuboa tyu... ila jamaa anajua anafanya nin anajiamin...
Baraka Ambangile rip
zilla good
Lil ommy look look look look ...Zizi Good interview ...
lil kipindi chako kizuri but epuka kuleta dranker
RIP zillah salasal
Zila wew ulistahil kuzaliwa newyork
hahahaha sawaaaaa 50 wetuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,mkali sana mzee ila sijui km ulivyombo skuiz
Kama Unamkubali Godzilla Gonga Like
xara xara wene auxxi
Nikama alitabiri kifo chake 😭😭!R.I.P Godzilla
najaribu pitia interview zake nying naunhana na nikki mbishi huyu jamaa kadata kweli pia anaonekana hata madawa anatumia
GOD ZILA AMEZILA KUNIPOKEA UNDER GROUND MUSIC SAWA NIMECHELEWA PARADISE MPO WENGI HADI DJS WALIOKIWA WANANIKUBALI ONE DAY ITAKUWA FRESH
Kizazi Sana
Ivi nyie waomba like wazima kweli kila mtu naomba like haya mimi naomba comment🤣🤣🤣
Ila hii trend ya watu kuomba likes wakishacomment sio poa wala nn ...mi naona ni ushamba tu
Monilah Cruz ilo nalo neno
fala ww
2024 naitazama bado hii interview R.i.p kamanda
hujawahi niangusha zila
Ila ni vizuri zaidi km interview ni ya kishwahili basi ijibiwe kiswahili kiswakinge kinaboa wengine hawaelewi na wanataka kujua kinachoongelewa
R.I.P ZZZ
zila zila zila nakukubali sana
Tid alianza hivyo hivyo kumbe mgonjwa
Zizi... live ua life, thats all matters
2023 wapi likes za zilla
R.I.P zizi
Sure
Sanaa
r.i.p zizi😢😢😢
RIP..ZILLAH
Hip-hop kweli mnavyosema
Jamaa mjuaj sana
😁😁😁
King zillah
braaaaah🔥🔥
zz mtu atali sana
Ma mem men zilla nakuelewagaaaaa xn broo.
Rest In Peace Zizzzzziiii
R.I.P broo
R. I. P godzila
Namuitaga mnya mkal uyuu jama ata iweje jama kafanya meng kwenye humZk
Tutakukmbuka daima
Zamani alikuaga mzuri cheki alivyo jamani yuko kama babu
Swagga zote
Luka!!! !! Noma sanaa
#RIP
Hako ka beat hapo ni ka nyimbo Gani wadau kazuriii
wasanii wa bongo bhn kira cku nipo studio hmn kinachotoka huko studio mnaatamia au
#sijalalawikinzima,!!!!!!!!!!!!!
rest in peace
look 😀😀😀
R.I.p king zilla
They call me zizi yoo sema punguza mtungi kwenye interview, I get high
Look......Look..... Zilla
unamuiga 50 kuongea sio
Hizo mbwembwe sasa
Ziz