MVUA ZAKATA BARABARA, MAJI YAINGIA NYUMBA ZA WATU, RC CHALAMILA ASEMA DAR IKO SALAMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 окт 2024
  • -Awatoa hofu wananchi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha
    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo April 23, 2024 ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathirika na mvua katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
    Akiwa katika ziara hiyo RC Chalamila amekagua miundombinu mbalimbali ikiwemo daraja la kibada ambapo TANROAD wanaendelea na matengenezo ya daraja hilo ili kurejesha mawasiliano.

Комментарии • 11

  • @evelinambewe2835
    @evelinambewe2835 5 месяцев назад +1

    Si alisema watu waondoke kwenye sehemu za maji kwamba watu wamefata maji atayaona mapigo ya mungu maana unatakiwa sio kuwaponda watu

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 5 месяцев назад

    Mkuu wa Mkoa naomba kutoa ushauri kwamba kuanzia sasa asionekane mtu kujenga bondeni. Tuna Watendaji wa kata na Madiwani ni lazima wawe wa kwanza kuzuia kwenye maeneo yao na wanaposhindwa kuwajibika wawajibishwe wao. Naamini mvua ya msimu huu ni kipimo tosha kuwajulisha Wananchi hatari iliyopo kujenga bondeni.

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤ mung akubalik

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz1390 5 месяцев назад

    miundimbinu mibovu inawafaidisha watu wachache ikiwa itatengenezwa ya kudumu watu watakula wapi

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 5 месяцев назад

    Mbona mvua kama za Dubai..ili mpate kura?

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 5 месяцев назад

    Mbonambezimumihamuangalii msumimlitutupa

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 5 месяцев назад

    Sio mjenge tu muweke mitaro

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 5 месяцев назад

    Lkn dunia yt ni mvua tusilaumu viongozi

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 5 месяцев назад

      Backwards country, just corrupt leardes is difficult to progress and too much tolkative

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 5 месяцев назад

      Unajua hatulaumu viongozi Kwa sababu ya mvua, Bali tunalaumu viongozi Kwa kutokujenga miundo mbinu Ili kuepusha athari zaidi....kama miundombinu ingekua angalau mizuri basi ni Maeneo machache yangeathirika, lkn Leo karibu miji yote ya Tanzania ipo mashakani , vijiji ndio usiseme ,yaani VINAZAMA kabisaaa,

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 5 месяцев назад

      @@ismailmasoud6001 huku tuliko nje miundo mbinu kibao bara za juu chini yn hakuna shida yyt lkn mungu hashindwi na chchte kile alichokitengeneza binadamu yy ndo mwny dunia na vilivyomo. Kwa hiyo ngoja Mungu afanye kz yake mn huenda tumemkosea, dunia yt mvua mafuriko hasa nchi za kiarabu yn bc wiki mbili sasa hakuna kz wl shule