UBAYA UBWELA ¦ 16 FINAL ¦ BONGO MOVIE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии •

  • @FrankLuhaha-p4l
    @FrankLuhaha-p4l 6 дней назад +16

    Sengo movie haina mvuto kabxaa.ulivyotokaaaa tuu Kijijinii ulee ubaya ubwela haupooo

    • @Nyotayakoisemavyoleo
      @Nyotayakoisemavyoleo 6 дней назад

      Kweli kabisa kina ma migomba na wachaw wake ndo walinogesha

    • @mateyigimatz3186
      @mateyigimatz3186 6 дней назад

      Kweli haieleweki kqbisaas

    • @desmanchula9000
      @desmanchula9000 6 дней назад +2

      inaboa saana haina maana afadhali sengo arudi kijijini

    • @stevensimbeya2212
      @stevensimbeya2212 6 дней назад

      Ni kweli kijijin ndo kulikuwa na ubaya kweli kweli

    • @gseh9277
      @gseh9277 6 дней назад

      Kumbe na ww unaona kama mm yani imekuwa mbaya

  • @ngalarajab
    @ngalarajab 4 дня назад +1

    Kubwababke io ilo dude liko vizuri oyaaa weeee simba la masimba sengo #Mzee wa mshenyeto

  • @NaimaRama
    @NaimaRama 6 дней назад +5

    Kweli kbs frank utamu ulikuwa Kijijini

  • @ISSACKFRANK
    @ISSACKFRANK 6 дней назад +1

    Finishing sio nzuri yan story mmeigeuza

  • @Kutaila99
    @Kutaila99 6 дней назад +1

    😂😂😂😂 yan sengo umebebwa na kimtu kifup halaf akukumbiza balaa😂😂

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 6 дней назад +2

    Safi sana kaka kwa kazi yenu nzuri 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 3 дня назад +1

    nilikua kwenye matatizo nilifiwa na Mama angu kipenzi nimechelewa kuiona brother,,,kazi nzuri sanaaah🎉🎉🎉🎉❤

    • @sengomk
      @sengomk  3 дня назад

      Pole familia yng

  • @PaulineNasoro
    @PaulineNasoro 5 дней назад +1

    Sengo good job much ❤️ from 🇰🇪

  • @AliBejito-cb1uc
    @AliBejito-cb1uc 6 дней назад +1

    Thnkx team Sengo mumetuelimisha kwa njia bora kabsa...mungu awabark nyote na mafans wa wote.....

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 6 дней назад +1

    Kazi nzuri kaka 🎉🎉niko ndani kutoka kenya

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 5 дней назад

    😂😂😂😂😂Zumba umenicekesha unampiga mze wa cabo kapata ajali kazini 😂😂😂iLa Sengo ubora iishe ju mbavu zetu zingepata ajali😂😂😂😂

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 6 дней назад +3

    Sengo😂😂😂 Kawa mdogo kama kipande cha kidonge😂😂😂😂

  • @HajarfeisalOkech
    @HajarfeisalOkech 5 дней назад

    Keep it up guys nice job 🎉🎉

  • @MOASLLY
    @MOASLLY 6 дней назад +1

    Dah imeisha.. Ntammiss dogo jeba😂😂

  • @aminakatana8721
    @aminakatana8721 6 дней назад +1

    Ila sengo umeupinga mwingi kakanguu😂😂😂😂 kiziwi + kipofuu❤❤❤❤

  • @UmkulOman
    @UmkulOman 6 дней назад +1

    Jamani sengo kawachongo

  • @RachelSaidi-c5e
    @RachelSaidi-c5e 6 дней назад +2

    Love you sengo mk

  • @MichaelMbone
    @MichaelMbone 6 дней назад

    Hapo sawa kaka

  • @ishamtam3
    @ishamtam3 6 дней назад +1

    Mzeewamichenyetoooo kwishnei babug😅😅😅

  • @Gloriazawad
    @Gloriazawad 6 дней назад

    Sengo wangu 😂😅😂😅yani jicho limekuwa kama embe baba 😂😅😂😅😅😂😅😂😮😅😂😅😂😅toba mtumee 🤔🤭🤭🤭🤭

  • @AminaUjumbe
    @AminaUjumbe 6 дней назад

    Jamani bubu leo umepatikana sengo 🤪🤪🤪🤪 Leo kakoso ndo doctor wako mzee wa mchenyeto

  • @amanusmilambo
    @amanusmilambo 2 дня назад

    Sengo movie yako nzuli ungetaka iwenamvuto zaidi usingekufa ungeuguza kidonda alafu uludi kijini ukasimulie yaliyo kukuta mjini apo ingenogaje

  • @collinskemongera-pq5vg
    @collinskemongera-pq5vg 6 дней назад

    wewe sengo usitwambie eti imeisha tutaenda bro endelea sawa bro much love from kenya 😮😂😂😂❤❤❤❤

  • @fathiafathia6324
    @fathiafathia6324 6 дней назад

    Ubunifu umepungua senge

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 6 дней назад +2

    Kusema ukweli ata kma ni movie nimejikuta nimelia ju y mpenzi wangu sengo woiiii sengo wangu🤣🤣😭😭😭but sengo nakupenda sana❤❤❤❤❤

  • @JustinaEfrahimu
    @JustinaEfrahimu 2 дня назад

    😭😅kilio kilio kwaheri sengo😅

  • @morishoissa4155
    @morishoissa4155 6 дней назад

    Kazi nzur sengo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @allychakatu2017
    @allychakatu2017 6 дней назад +1

    Sengo wasifu uliochukua wa kuwa kama kiziwi..imenifanya niijue channel yako na niangalie hii movie mwanzo mwisho plus comment Kila episode...
    I wish next movies uendelee nao kuwa hivyo hvyo... mana ni idea unique na ni nzur sana👏👏

    • @sengomk
      @sengomk  6 дней назад

      🙏🙏🙏🙏💞

  • @AliBejito-cb1uc
    @AliBejito-cb1uc 6 дней назад

    Daaaa bonge la movie naisubiria san hio the house

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 6 дней назад

    🤣🤣🤣🤣😁sengo ajapona jijo anapigwa lisase sengo bona umenishinda

  • @maurine3503
    @maurine3503 День назад

    Mzidole nataka kukuona hapa plz❤❤❤

  • @OCHUGANG
    @OCHUGANG 6 дней назад

    🎉🎉🎉🎉 the house itatikisa tz tukae kwa upole

  • @PingaBombwe
    @PingaBombwe 6 дней назад

    Kazi nzuli ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂

  • @pascalkomba8574
    @pascalkomba8574 6 дней назад

    Ila sengo unapendeza Sana kuigiza na uyu jamaaa mfupi

  • @jaylarb2402
    @jaylarb2402 6 дней назад

    Duuu .kumbe SENGO mwepesiiiii😂😂😂😂

  • @AssuJohn-y6t
    @AssuJohn-y6t 6 дней назад

    Move nzur sana but umeimalza vbaya but ngoja tusubr ilo dubwasha lingne tarehe 20

  • @AromeWehu
    @AromeWehu 6 дней назад +1

    Mtoto anabeba mtu mzima.,,cjapenda😅🇰🇪

  • @Princelatnah
    @Princelatnah 6 дней назад

    Mwishoi
    Tupe sasa mzidole next episode😂😂😂

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 6 дней назад

    Sengo anamakosa kuzidi mtoto mdogo 🤣🤣🤣🤣🤣😁🎉🎉🎉

  • @Hawaayaa
    @Hawaayaa 6 дней назад

    Sengo nimechoka mbavu mm heti darbini yamuona vizuri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅

  • @AishaA-t7m
    @AishaA-t7m 5 дней назад +1

    Hongera Sengo kunfanya Jeba kuongea , mungu akuzidishie kila lakweri

    • @sengomk
      @sengomk  5 дней назад

      🙏🙏❤❤

  • @MwagadiJamilaAbdalla
    @MwagadiJamilaAbdalla 6 дней назад

    Kweli chabo sipoa uwizi sipoa mzee wamshenyeto kwisha habari yako lakini movi imetufunza kitu

  • @AliBejito-cb1uc
    @AliBejito-cb1uc 6 дней назад

    Sengo anabalaa 😅😅😅

  • @RashidiShaibu-xs3oy
    @RashidiShaibu-xs3oy 4 дня назад +2

    Inavoonekana the house ni kubwa kuliko zote

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so 6 дней назад

    Sengo ludi kule kijijin ndio movie inanoga banh😢😢😢

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 6 дней назад

    Kazi mzurii sengoooo 😅😅😅😅😅😅

  • @CollinsOdhiambo-x9c
    @CollinsOdhiambo-x9c 6 дней назад

    Bc Sengo hiyo series next naomba mzidole iwe ndani

  • @UmkulOman
    @UmkulOman 6 дней назад

    Jamani sengo kafa

  • @PingaBombwe
    @PingaBombwe 6 дней назад

    😂😂😂😂 Sengo bana

  • @Younomane
    @Younomane 6 дней назад

    Mzee wamishenyento wamempa vyake$

  • @augustinesombi6285
    @augustinesombi6285 6 дней назад

    Maskio hasikii na macho kwisha😂😂😂😂

  • @munirajackson2695
    @munirajackson2695 6 дней назад

    Sengo Rudi kijijini banaaa

  • @HawaaUmibrahim-um7zi
    @HawaaUmibrahim-um7zi 5 дней назад

    Nibora urudi kijijini final ukamalizane na bimigomba

  • @DAVISAGEVI
    @DAVISAGEVI 6 дней назад +1

    What happened to the Witcher in the village bt so much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @OengaMildred
      @OengaMildred 6 дней назад

      Mzee wa masenyetto 😂😂Leo umelambwa uso na Nini hiyo😂😂😂😂

    • @DAVISAGEVI
      @DAVISAGEVI 6 дней назад

      @OengaMildred nmekuwacha uonge ikutoke

  • @MohzamMohd-lo9yc
    @MohzamMohd-lo9yc 6 дней назад

    Bora ulivo maliza mana mbaya

  • @IradukundaEvelyneEvelyne
    @IradukundaEvelyneEvelyne 6 дней назад +1

    Eti final kwanini SENGO sijapenda ujuwe 😭😭😭ila nakupenda bure 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @misisalim7292
    @misisalim7292 6 дней назад

    Hayo ndio malipo ya chabo😂

  • @lilianmutheki3077
    @lilianmutheki3077 6 дней назад

    Ak sengo wewe😁😁

  • @AraphaThabeet
    @AraphaThabeet 5 дней назад

    Wandema 😂😂

  • @FaridaJumah
    @FaridaJumah 5 дней назад

    Steling kafaaa 😂😂

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v 6 дней назад

    Ila zumba ww unapiga mgojwa😢😢😢😢 sengo limekukuta kitu kizito

  • @Oscariano_og
    @Oscariano_og 6 дней назад

    R.I.P UBAYA 😢😢

  • @Deloveally-o8g
    @Deloveally-o8g 6 дней назад

    Et zumba mxafixhe kidonda alaf mfunge ile naniliu kama mxanii wa kinaijelia😂😂😂😂

  • @SamuelNgala-ik3ci
    @SamuelNgala-ik3ci 6 дней назад

    WE MISSED YOU KAKOSO😂😂😂😂

  • @MariamFadhil-i3m
    @MariamFadhil-i3m 3 дня назад

    Ss ndo sengo kafa au

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so 6 дней назад +1

    😅😅😅😅😅sengo hashuo kweshiney

  • @belle-p4f
    @belle-p4f 6 дней назад +1

    Jamani kutoka Oman nboda mboda

  • @allychakatu2017
    @allychakatu2017 6 дней назад +1

    Umefel kwenda mjini....movie imekua testless.😠

  • @damarisnjomo278
    @damarisnjomo278 6 дней назад +1

    😘😘

  • @asyatajiriwaubunifu3003
    @asyatajiriwaubunifu3003 6 дней назад +2

    🇧🇮

  • @marynyota6146
    @marynyota6146 6 дней назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nasramkuya9828
    @nasramkuya9828 6 дней назад

    Kijijin ndo ilikuwa balaaaa ila mwisho hamna kitu

  • @ZakiaAlRamadani
    @ZakiaAlRamadani 6 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 6 дней назад

    Zumba shukuru kafa huyo angalau majanga yatakuishia

  • @ShamteTindwa
    @ShamteTindwa 6 дней назад

    😂 kumbe jeba ananguvu hivyo

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 5 дней назад

    🎉🎉😂😂🔥🔥

  • @KhairatiSulemani-t6d
    @KhairatiSulemani-t6d 6 дней назад

    😂😂😂😂😅😅

  • @SalmaMarselino
    @SalmaMarselino 6 дней назад

    Sengo mdomo kwishaa ushakuwa raida😂😂😂😂😂

  • @yuui1878
    @yuui1878 6 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦

  • @KimsitiThedon
    @KimsitiThedon 6 дней назад +1

    😂😂😢❤❤