Ngosha the swagga don....Talented uyu jamaa anabakia kuwa legend wa hiphop tanzania....Show iko hot sana #theplaylist ndani ya #timesfm ma men duh #lilommy love u brother be blessed
OMG! FID Q! That's my man, yaani huu ndo unaitwa wosia! Wakongwe wa Bongo Flava ambao wakifungua mdomo, #IListen Just missed Lady Jay Dee, Ferouz, Matonya, Prof Jay, TID, AY...them days! *#AWellSpokenArtist*
Mwambie Fid ...Cloud ya nje ya town sio ya kiwack...ila watu wanakuwa wanamzuka wa kumshangaa msanii wanaompenda na huwa hawaamini kama kweli yule wanaomsikiaga ndio yupo live before them...ni mapenzi tu.
Kuna ukweli kwenye hii dunia unachokipenda kinakutokea kwa namna Fulani. Fid Q nilimpenda sana sana sana na nimekuwa nikiimba nyimbo zake nyingi sana, kilichotokea mtoto wangu wa kwanza akazaliwa August 13/ 2016. Ilikuwa siku ya ijumamosi
Nampenda Diamond kwasabab nimegundua watu wanamchukia bila sababu mfano ni huyu Fid Q kataka collabo Mond kakubali kaimba nae katukanwa na mashabiki lakin kumchukia Mond mpaka kwenda kumuimba sasa Diamond kahusikaje hapo au Kiba kaingiaje hapo? Diamond Mungu atakutetea kwasabab moja tu hizi chuki zinampa sababu ya kukulinda hatakuacha
Dah yani nimechelewa kicheki hii interview kiukweli nakukubli sna fid q tena kikubwa zaidi najivunia zaidi kuzaliwa mwaka 1 na ww ngosha kiukweli ww ni zaidi ya msanii maana maneno yko ni zaidi somo mwenye akili ndy anayaelewa maneno yko
Tatizo wabongo tuna roho mbaya...mtu mwenye access ya kutoka hataki kumpa connection mwenzie anaona atafunikwa au anataka awe yeye tu anaeng'ara ili tz nzima tumsifu yeye
Bro fid sio mtu wa kawaida kabisa,, halaf Ommy nilichek interview ulomfanyia Edu boy, huyu kijana hana respect, ana utoto, bado hajakua, na watu hawa mnapokuwa na kipind kama hiki halafu anakuwa anaongea vtu utadhan sio kioo cha jamii maana ake hajui kazi yake, sasa kinachofuata ni kumtoa studio,, unapokaa kidis watu wenye basement na inspirations katika jamii ndo kitu gan??? Halafu anaongelea issue ya baraka, mara yeye alimuomba hifafhi kwa kaka ake Hasani, mara yeye alikata tamaa na mziki akaombew hifadhi na Rich Mavoko kwa huyo huyo kaka ake Hasani akakae,,, yaan hakieleweki kinasema nn,, anahitaji kukua na kujitambua,, mpeni ushauri!!
Ngosha the swagga don....Talented uyu jamaa anabakia kuwa legend wa hiphop tanzania....Show iko hot sana #theplaylist ndani ya #timesfm ma men duh #lilommy love u brother be blessed
big up bro Fid Q kama unamkubaree Fid Q gonga like twende pamoja
OMG! FID Q! That's my man, yaani huu ndo unaitwa wosia! Wakongwe wa Bongo Flava ambao wakifungua mdomo, #IListen
Just missed Lady Jay Dee, Ferouz, Matonya, Prof Jay, TID, AY...them days!
*#AWellSpokenArtist*
ngosha de father of HIP HOP 🎶bongo...l do appreciates your work ov art..stay blessed more en more
lakin mond alikataa kufanya na Karol..your the icon to rise our music
Happy birthday Ngosha...watu wanaoni inspire...uko kwa hio list mzee baba..
Daaaaa tumezaliwa sawa na fid QTeam 13/08 daaaaa nafurah sana hii show ilinipita daaaaa
Kama unamkubali Fd Q gonga like Twende sawa
Namkubali sana mzee baba . Big up nawe lil omy
Mwambie Fid ...Cloud ya nje ya town sio ya kiwack...ila watu wanakuwa wanamzuka wa kumshangaa msanii wanaompenda na huwa hawaamini kama kweli yule wanaomsikiaga ndio yupo live before them...ni mapenzi tu.
Happy Big day fid Q. .bonge la interview lilommy
Fid Q Namkubal Xana Napokuja Kumalizia Na Ngoma Yake Ya Bongo HipHop Aixee Aendelee Kuwepo Muda Mefu BLESS FID Q
ruclips.net/video/Wby9ncZ7oX8/видео.html gusa link kuona diamond kavunjiwa gari subscribe channel yake mpya
well..Fid I think our music is growing up...and we it ll'never drop...I think time is factor and we gonna reach to higher level
Fresh sana lil ommy nahapa Rwanda tunakupenda naitwa innocent
Yeah man!! Kitabu usichokielewa hukuandikiwa we we!! Good Fid
😆😆😆 dat true boy👉👉
Big ngosha naikubali sana ngoma yako ya ILEWE MITAA
Great Ngosha umetisha mzeiya....
FAQ og
Nakupata @therealfidq
fresh rmx imekuhalibiakwel pole ilitakiwa ujue hilo kabla king anapendwa mashabikiwake wasingekuacha salama yule wanamwita kipenz chawatu pole bro
Blessed mingi kwako bro Fareed 🙏🙏💯
much respect
Nakukubali sana Bro *Fareed*
Mr Pure Hip Hop nakukubaleee bro endelea kukaza shabiki zako tupo tunakusurppot
Nakubaree boy fdq we ni kioo
Fid q wewe ni noma sana brooo@abdul_fast.pilot2019 like hapo
Dah nilikua nimemis sana mastory yako mkbwa
Lil Ommy uko vzr bro maana unakuga na Feed back ya msaa heshima kwako KAKA
Pamoja sana mzazi
Ngooooooosha the Don.
Ngosha ze sawaga done
god blesss fid q
👑 of Hip-hop
Uko juu kaka
Nakubari mzazi fidq amanikwako braza
woraaa!!!woraaa!!!!.gooda mazee.
Nakuelew xsan fid Q we sio wa kisport sport kweny Kaz yk
Fid 😂😂😂 uyu jamaa ikiwa anaongea uwa anavitu vingi sana unajifunza 🙌
Big up yaself Mr Kubanda
Bro farid i like the way you reason
hayakuhusu kama raha p##nakuja zaidi ya sister p,fid q hajachuja wala kuvuja vizur tukimwita mwanza, mwanza
NGOSHAA...!!!! 🙌
Pamoja sana
Speaking truth
nakukubali ngosha
nice bro lilommy
Fid q akili unayo 🤘👌
Ommy unapenda sana kutia jina la diamond ama kiba kwenye caption zako
Kuna ukweli kwenye hii dunia unachokipenda kinakutokea kwa namna Fulani. Fid Q nilimpenda sana sana sana na nimekuwa nikiimba nyimbo zake nyingi sana, kilichotokea mtoto wangu wa kwanza akazaliwa August 13/ 2016. Ilikuwa siku ya ijumamosi
August 13/.... The same
fid q mtu mbaya nakukubari sana
The Real Fid.
Nakubar sana ommy mzee mzee pafande fran tumekuma makpu toking
Nampenda Diamond kwasabab nimegundua watu wanamchukia bila sababu mfano ni huyu Fid Q kataka collabo Mond kakubali kaimba nae katukanwa na mashabiki lakin kumchukia Mond mpaka kwenda kumuimba sasa Diamond kahusikaje hapo au Kiba kaingiaje hapo? Diamond Mungu atakutetea kwasabab moja tu hizi chuki zinampa sababu ya kukulinda hatakuacha
Nakukubali mpaka kufa ndio maana kila nyimbo yako haikosekani kwenye phone yng
HBD Fid Q
Nakubali mziki wa unaishi
OK sawa fDQ
Unajua nn Ommy fid q mwisho kabisa
Jinsii alivyo ichambua kiberitii maaan thats concious for alife time hatariii sanaaaa
Ngosha the swagger Don!
Kizazi sana bro
Dah yani nimechelewa kicheki hii interview kiukweli nakukubli sna fid q tena kikubwa zaidi najivunia zaidi kuzaliwa mwaka 1 na ww ngosha kiukweli ww ni zaidi ya msanii maana maneno yko ni zaidi somo mwenye akili ndy anayaelewa maneno yko
Fidq ni power
"mpaka sasa hv fid q umesoma vitabu vngap" ubongo wako ni library tosha!!!!
Lil Ommy hio simu yako ni gani?
Ngosha ni noma
safi sanaa fid
Happy bday legendary
Umenifanyaa niplay huu wimbo wa juhud za wasiojiwezaaa mara mbili aseee mana nimiongon mwa nyimbo zangu bora za hip pop
Happy bday big bro @fidQ
ruclips.net/video/Wby9ncZ7oX8/видео.html gusa link kuona diamond kavunjiwa gari subscribe channel yake mpya
Tatizo wabongo tuna roho mbaya...mtu mwenye access ya kutoka hataki kumpa connection mwenzie anaona atafunikwa au anataka awe yeye tu anaeng'ara ili tz nzima tumsifu yeye
ruclips.net/video/Wby9ncZ7oX8/видео.html gusa link kuona diamond kavunjiwa gari subscribe channel yake mpya
Dah! ukikaa kumskiliza ngosha ni darasa la maisha tosha haihtaj shule
Respect
safi sana by dash combo
Fid q big up.
Huyu mtu safi sana since day 1on the game Happy Birthday massive
omy kenzo tz tupendane
ya kizazi sana kama k +254kenya tunakubali
Bro fid sio mtu wa kawaida kabisa,, halaf Ommy nilichek interview ulomfanyia Edu boy, huyu kijana hana respect, ana utoto, bado hajakua, na watu hawa mnapokuwa na kipind kama hiki halafu anakuwa anaongea vtu utadhan sio kioo cha jamii maana ake hajui kazi yake, sasa kinachofuata ni kumtoa studio,, unapokaa kidis watu wenye basement na inspirations katika jamii ndo kitu gan??? Halafu anaongelea issue ya baraka, mara yeye alimuomba hifafhi kwa kaka ake Hasani, mara yeye alikata tamaa na mziki akaombew hifadhi na Rich Mavoko kwa huyo huyo kaka ake Hasani akakae,,, yaan hakieleweki kinasema nn,, anahitaji kukua na kujitambua,, mpeni ushauri!!
From +254 who is watching
Nakuelewa sana fid
Guud
Fid we noma
Genius ngosha
Ngosha #thedon
Bigup
Nakupnda sana brother faridi
san
heshima yako kaka
For real namuelewaga sana huyu jamaaa toka nko shule ya msingi
kweri unachokisema watanzania ss tunamajungu saanaaa
Kuwa na msimamo ww unakuwa km demu,,Q vp Maneno yakuambiwa.
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🌟✊🏼
Ommy Mbona fid haujamhost the way ulifanya kwa Nikki on his birthday??
Grace Ligunda huwa hapokei zawadi kwenye brithday yake.
LilOmmyTV nmekukubali pamja sana tambwe
@@LilOmmyTV xawa ommy
Den days nikieka fid q magetoni ma sister kuwa watoka sitting room saii wameanza kuwa wagumu fid q damu
Imefunguliwa Akron it’s called I PROMISE
Nakukubal sana fid
Ngosha
Genius
I like that,Ngosha
ruclips.net/video/Wby9ncZ7oX8/видео.html gusa link kuona diamond kavunjiwa gari subscribe channel yake mpya
Qonk mast kizaz mzee baba
hatari MR kubandaaa