Ila dereva pole sana kwa nusuru maisha ya watu wengine japo dereva katangulia mbere ya haki angekua hai angepewa sifa zake maana inapita Hilo daraja lingeenda kusababisha maafa makubwa hapo stendi kwa wale wanao erewa r i p suka
AyoTv ni vyema mkabaki kwenye mstari wa kuwa professional media. Hiyo lorry sio 'Scania' kama mlivyoeleza. Scania ni aina ya gari, hiyo lorry ni aina ya IVECO. Kama utaandika Scania kwa kumaanisha lorry wakati ni aina ya Iveco, kumbuka kampuni ya Scania inaweza kuwashtaki kwa kuchafua jina na kuandika habari ya uwongo kuhusu kampuni yao. Andika tu lorry kama hujui ama huna ujuzi wa kujua aina ya gari.
Pole sana Mungu akupumzshe Mahala pena peponi Amiina

Apumzike kwa amani jemedal kapambana sana
Mungu amlze mahal pema dereva 🙏😭
Dereva jamani!!!😭😭😭😭😭
Dahhh nimeona kabisaa hii jamaa kapasuka kichwa kabisaa mikono imevunjika dahhhbhuruma sanaaa
Poleni sana
Niliona sasahivi pale tegeta Daah yani
Inna lillah wa inna ilaih rajiuna
Innalillah wainnailaykh lajiun
Konda ndo aliruka kabla gari halijaingia mtoni akawa anakimbia kwa kuchanganyikiwa
Du .R.I.P man
Ndio ivyo dunia tunapitaa
may his soul rest in peace
😢😢
😭💔
.