ASKOFU MWAMAKULA ATOA UJUMBE MZITO/AMALIZA MWAKA KIVINGINE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 73

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya Год назад +1

    Asante Askofu. Unajua wajibu wako. Mungu akupiganie.

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 года назад +1

    Asante baba Askofu waelimishe masisiem hao

  • @godfrey_89
    @godfrey_89 5 лет назад +9

    Safi umeongea vema... Thanks.... Wenye vichwa vilivojaa michanga Kama dagaa kauzu watakubeza tu.. Ukweli unauma Sana.... I like it. Hakuna mtu kiongozi au mamlaka yoyote ambao siasa haiwahusu. Safi Sana... Tunaongozwa na matamko kutoka juu na sio katiba... Ujinga tu.

  • @anisitehaonga7063
    @anisitehaonga7063 Год назад

    Praise God..IAM Connected Stay Blessed

  • @bonifacekasililika1759
    @bonifacekasililika1759 5 лет назад +3

    Mungu aendelee kukutumia na Mungu awape masikio ya kusikia na kutii sauti ya Mungu

  • @livingstonemwakipesile2554
    @livingstonemwakipesile2554 3 года назад

    Mie namsihi Mtumishi Mwamakula,achunge kondoo wa Mungu,aliyopewa,"Kazi ya Siasa awachie wanasiasa,aidha Aache Uaskofu,"Anatuchanganya waumini,tunahitaji sana kujazwa Kiroho na siyo Siasa.

  • @sadiqkumbata4144
    @sadiqkumbata4144 3 года назад

    Asante askofu mbali ya kuwa ni haki yako ya kikatiba kuomba tume huru na katiba mpya pia ww ni tasisi una waumini nyuma yako ni wajibu kukemea maovu hatuna watawala tuna kikundi cha watu kinachopiga madeal tu

  • @sir.josephmbeya7017
    @sir.josephmbeya7017 5 лет назад +3

    Baba askofu umenena vyema mnoooo Mungu aendelee kukutia nguvu na uendelee kuwa jasili.

    • @mikingamokusekwa6429
      @mikingamokusekwa6429 3 года назад

      Masikofu wotewangekuwa kawwe Tanzania hakiingekua inatorewa irawaoga wasemi ukweri wanarinda matumbo siohaki

  • @johnmdoe9634
    @johnmdoe9634 4 года назад

    Jina lat mwenyezi mungu lihimidiwe, Mwamakula Ameshinda.

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 5 лет назад +1

    Mungu akubariki baba

  • @noelaizack8965
    @noelaizack8965 5 лет назад +2

    Ubarikiwe sanaa

  • @siliviamwando6448
    @siliviamwando6448 5 лет назад +1

    Ubarikiwe mtumishi

  • @modesttryphone4030
    @modesttryphone4030 5 лет назад +1

    Barikiwa mtumishi kwa ujumbe wa pekee kwaajili ya kuwakemea watu, familia, na watawala wanaotenda machukizo mbele za Mungu Muumbaji

  • @patiencekelvin4453
    @patiencekelvin4453 5 лет назад

    a man of divine and prowess.

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 3 года назад

    Fanya kazi yako baadhi ya Watanzania tunaojitambua tuko nyuma yako. Tunataka Katiba mpya haraka sana.

  • @charlesbarongo6922
    @charlesbarongo6922 5 лет назад +3

    Like it!

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 5 лет назад

    Uko sawa mchungaji atakaekubeza ni mpotofu na kajaa chuki na hawakubali ukweli maisha washajipiga mihuri ya uovu uonevu ujinga ndani ya nafsi
    zao sasa kweli ikiwapata huvurumisha manene na lugha za kiajabu ajab serikali ya kidhalim na washangiriaji huwa madhalim pia uovu wa ndani yao hivyo hawatoacha kukubeza kumbe wanajibeza wenyewe

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 3 года назад

    mmmmmmh, umejitoa mhanga.

  • @lukasmwakapila8345
    @lukasmwakapila8345 5 лет назад

    Naomba namba mzee naitwa NABII LUKA KUTOKA MATEMA KYELA MBEYA

    • @myself4128
      @myself4128 5 лет назад

      Wewe ni nabiii????jamani nitumie email mrefu777@gmail.com unahitaji msaada wa kiroho sababu manaabii hawapo tena sikuhizi

  • @sospeterkamala5481
    @sospeterkamala5481 5 лет назад

    Nimekupenda mtumishi kwa ushujaa kama elia mtishibi

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 5 лет назад +1

    Points Sana

  • @kassianhaule8646
    @kassianhaule8646 3 года назад

    Mimbari za kidini zisitumike kwa masuala ya kisiasa wala mimbari/jukwaa za kisiasa zisitumike kwa masuala ya kidini,ni hatari kwa uhuru wa dini kiongozi wa kidini kujiingiza kwenye siasa. Marekani iliamua kuweka maneno kuwa serikali haitatunga sheria yeyote juu ya dini.Hii ina maana kubwa. (dini na siasa wanapaswa kuwa majirani wazuri, lakini wasilale kitanda kimoja wala kuoana (viongozi wa dini kaeni mbali na siasa ili kuepuka dini kutungiwa sheria zitakazopoteza uhuru wa dini)

  • @yusufwewe8600
    @yusufwewe8600 3 года назад

    Hi

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd Год назад

    Vema sana

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 3 года назад

    Kabla haujadai katina ya nchi kalekebisheni za kanisani .hazijanyooka

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 5 лет назад +1

    Umemaliza?

  • @FrankAngolwisye-mr1nc
    @FrankAngolwisye-mr1nc Год назад

    ASKOFU MWAMAKULA WEWE NI ASKOFU WA TOFAUTI WEWE SI ASKOFU WA KUCHUMIA TUMBO,, UNAUFURAHISHA MOYO WANGU NA MWOMBA MUNGU AKULINDE, AKUPE MAISHA MAREFU.

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 3 года назад

    Lisu atakuponza

  • @sadockjohn9307
    @sadockjohn9307 5 лет назад

    Baba Askfu umenena

  • @lugendondago8493
    @lugendondago8493 3 года назад

    Wewe bhana uliungana kuunga ushoga, acha madili mabovu bhana

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 лет назад +1

    Kuhusu utawala sio uzungumzie kiongozi wa nchi tu ingependeza ata watawala wa vyama pia kuna miungu watu katika vyama wapo wenyeviti wa kudumu yote iyo ni utawala wakemewe wasiwe ving'ang'anizi inawausu pia

  • @joelsadala2676
    @joelsadala2676 5 лет назад +1

    Viongozi wa dini kama wameonja zambi ya unafiki watapata wapi maadili.??

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 3 года назад

    Wewe ni kiongozi wa kiroho co kiongozi wa dini

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 5 лет назад

    baba askofu awaambie ukweli wao hao wataawala wanaotaka kujifanya miungu watu

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 5 лет назад +1

      Nakuunga mkono watawala tulonao uko sawa sawa

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 5 лет назад +1

      Tatizo kubwa sana sana awamu ya tano iliingia vizuri na naam lakini haki haitotekelezeka kwenye awamu ya kibabe

  • @saidamsisiri2507
    @saidamsisiri2507 3 года назад

    Mzee mambo huyawezi chunga kondoo wako siasa maji marefu hutoyaweza waachie wenyewe

  • @shabanimohamed7353
    @shabanimohamed7353 5 лет назад

    Taifa linapokosa kuongezea mishahara watumishi wake na kutoa ajira mpya kwa wananchi hivi taifa hilo linaweza kukua kiuchumi kweli?

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 3 года назад

    Hajapewa kondoo kajipa kondoo ndio maana anashuhulika na yasiohusu hilo vazi

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 лет назад

    Hiyo sauti tu inaonekana ni njaa inakusumbua ndio maana umeamua kutumika

    • @bonifacekasililika1759
      @bonifacekasililika1759 5 лет назад

      Omba Mungu akusamehe kwa kauli yako na umwombe msamaha Askofu

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 лет назад

      @@bonifacekasililika1759 kafilane wewe na choko mwenzako tapeli njaa inamsumbua kuma tu wasenge wote

    • @joelsadala2676
      @joelsadala2676 5 лет назад

      Dini huijui siasa huijui umejaa ushabiki wa mavyama matako wewe

    • @asengasefu2767
      @asengasefu2767 5 лет назад

      Omba msamaha

    • @majiimalass1682
      @majiimalass1682 3 года назад

      We njaa unaijua ?

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 5 лет назад +1

    Miungu ni wengi wakwako siyo huyu tunaemwabudu wengine wew mungu wako ni wa siasa tupishe

    • @shukurunzenzule5963
      @shukurunzenzule5963 5 лет назад +2

      baba askofu watakaokutusi ni maccm yale yanayolimbukia achana nayo watanzania walio wastaarabu tumekuelewa tuko pamoja

    • @geofreyuswege9148
      @geofreyuswege9148 5 лет назад +1

      Hivi unasoma maandiko wewe Eliya alimkemea Mfalme Ahabu na MUNGU wa Elia ni MUNGU wa siasa

    • @geofreyuswege9148
      @geofreyuswege9148 5 лет назад +2

      Askofu endelea kukemea dhambi bila hofu

    • @geofreyuswege9148
      @geofreyuswege9148 5 лет назад +2

      Kemea kwa wote bila hofu wala upendeleo

    • @godfrey_89
      @godfrey_89 5 лет назад

      We kichwa kimejaa michanga.... Akili zipo matakoni nini!!! Iv unadhani kuna mtu au kiongozi ambae siasa haimuhusu...?? FAQ... Elimika acha ushabiki wa kinyumbu wewe.

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 3 года назад

    Mzee unatuzingua bana unaongea very elementary things yaani ajira unataka tukawaombee ajira nje ya nchi.

  • @ramadhanihassani3641
    @ramadhanihassani3641 5 лет назад

    Je huko wanakoenda ajira zipo