EPISODE; 12 MITUME GANI WATANO WALIOPATA MISUKOSUKO?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 116

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 года назад +8

    Mashallah sheikh kwa kweli munatoa mafunzo mazuri kwa wasiojua wanajua ni kama njia ya kuelimisha waisilamu

  • @fat-hiyaali4723
    @fat-hiyaali4723 3 года назад +12

    mashallah kishk tv allah awazidie kher swihaa na afya amiin

  • @mimah2543
    @mimah2543 3 года назад +8

    MashaAllah sheikh wetu endelea kutufunza kwa mambo mbli mbli kwa kweli jamii inahitaki kuitambua na kuielewa dini yetu inshaAllah Allah atufanyie wepesi

  • @rahmaally5128
    @rahmaally5128 3 года назад +3

    Dah unafeel bad ikiwa mtu yuamejitahid kujib swali den anakua kakosea kdg tuu, ila mzee chikopa banah hakua makin mwanae alitaja pale hajackia
    Sheikh Abdillah, jumanne na timu yako yote Allah awape kile moyo yenu inataka, amiin

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 3 года назад +3

    Ma sha allah
    Sheikh masawe allah akubariki na akuhifadhi
    Sheikh masawe amefurahi sana amepata mchaga mwenzie 🤩🤩

  • @firdausyalhaji5569
    @firdausyalhaji5569 3 года назад +6

    You are very peacefully Sheikh Massawe Allah Will grant you Jannah inshaAllah for the biggest work you do and Kishk TV at All

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 3 года назад +4

    Mashallah sheikh wetu allah akujalie afya njema akuifaidhi mashallah mpakaraha

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 3 года назад +4

    MashaAllaah wa Alhamdulillaah Leo sheikh Masawe furaha teleee kumuona mchaga mwezake 😂😂

  • @muhsinwazir418
    @muhsinwazir418 3 года назад +2

    Allah awajalie mwisho mwema kwa kazi hii mnayo ifanya kishk tv nuru ya dini yako

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 3 года назад +3

    Mashaallah tabarak allah mungu akuzidishie kila la wema shekh wangu

  • @zakiaqasim5312
    @zakiaqasim5312 3 года назад +1

    Maasha Allah Alhamdulillah tunazidi kufaidika na kishki tv hawa mitume wamepewa jina la ulul azmi

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 года назад +1

    Sheikh masawe pole kwa mcba shukran jazzakaallah khery kwa mafunzo

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 года назад +2

    Tunajifunza sana Mashaallah kupitia hapa kipindi chetu pendwa

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад +4

    Mashallah tabarakallah

  • @furahamossi3199
    @furahamossi3199 3 года назад +3

    Mansha Allah, hao wamejaribu,Allah awalipe kheir kishki tv

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 2 месяца назад

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 3 года назад +3

    Masha Allah Tabarakallah

  • @allyhussein9024
    @allyhussein9024 3 года назад +7

    Mtume Muhammad s.a.w Nuh Ibrahim musa Issa Ibn Maryam rejea surat ahzab aya 7

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 года назад +1

    Mitume watano nuh a s Ibrahim a s mussa a s Issa ibn mariam a s mtumie Muhammad s a w mashaallah jazakallah kher

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 3 года назад +2

    Maa shaa Allah sheikh Masawe furaha leo kisa mchaga mwenzake hahaha kawashinda watu hapo

  • @Khadija-qr4cr
    @Khadija-qr4cr 2 года назад

    Mashaallah mungu awazidishie kwa kutufundisha dini kipindi kizuri sana

  • @hamidahamdun3646
    @hamidahamdun3646 3 года назад +2

    Ulul yazmi, labda ungelisema kwa kiswahili mimi mwenyewe ningechemsha, inabidi tujifunze sana dini yetu.

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 3 года назад +2

    Maa shaa Allah tabarakallah

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 3 года назад +3

    Ma Shaa Allah
    Wamejitahid lkn

  • @fatmaally859
    @fatmaally859 3 года назад

    Mashaallah nimependa kinatufunza kipindi hichi shukrani sn

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 2 года назад

    Jazak Allahu Khairaan Kathiraan

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 3 года назад +1

    MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 3 года назад +3

    Mashaa Allah

  • @nuruu4269
    @nuruu4269 3 года назад +4

    Masha Allah

  • @shomaryally6461
    @shomaryally6461 2 года назад

    Masha'Allah kipindi ni kizuri na kinatoa taswira kwa waislam hatutaki kujifunga kujua dini yetu

  • @jahadibrahimtv7958
    @jahadibrahimtv7958 3 года назад +9

    Ulul azmi - the most patients , Nuh ( a.s) Ibrahim ( a.s) Musa (a.s) Issa ( a.s) Muhammad ( s.a.w)

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 года назад +3

    Kazinzur mashaallah

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 3 года назад +1

    Hongera kwa wote walio shiriki.

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 года назад

    Mashaallah masheikh wetu

  • @saidemaulide3593
    @saidemaulide3593 2 года назад

    Mashallah kishk tv hata uku msunbiji tunatamani tuwe nawe

  • @allyhussein9024
    @allyhussein9024 3 года назад +7

    (وَإِذۡ أَخَذۡنَا مِنَ ٱلنَّبِیِّـۧنَ مِیثَـٰقَهُمۡ وَمِنكَ وَمِن نُّوحࣲ وَإِبۡرَ ٰ⁠هِیمَ وَمُوسَىٰ وَعِیسَى ٱبۡنِ مَرۡیَمَۖ وَأَخَذۡنَا مِنۡهُم مِّیثَـٰقًا غَلِیظࣰا)
    [Surah Al-Ahzab 7]

    • @khatwabisadathil3423
      @khatwabisadathil3423 3 года назад +1

      Akhi fihLlah baraqallahufih.nimefurahi sn umefanya kurejea aya.Jazakkallahu khaira.

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Год назад

    Mashallah tabaraka llah 🥰🌹

  • @kondeboy6007
    @kondeboy6007 2 года назад

    sheikh mi nakupenda hiki kipindi.lakini kwakuongezea kipindi. waulize maswali ya kaburini ni mingapi na yanasemaje.

  • @dullybang7246
    @dullybang7246 3 года назад +2

    Mashallah.

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 года назад

    Mashallah aaalllah awahifadhi

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 года назад +2

    😀😀 nimejifunza

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 года назад

    In Shaa Allah nashauri na kuomba Katika Siku zijazo muweke zawadi iwe shs. 10,000 za Kitanzania na Mas-Haf.

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 2 года назад

    MashaAllah mimi pia Nafarijika na darsa... InshaaAllah

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 года назад

    Kwa kweli mnatuelimisha kishk tv nawapendeni kwa Ajili ya Allah

  • @halishmwarua2957
    @halishmwarua2957 3 года назад +2

    Shekhe massawi umepata mchanga mwenzko ameshida huna raha 😀😀😀

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад +5

    Kwaniaba ya wafatiliaji wenzangu tunakupa pole shehk masawe kwa kufiliwa Allah awarehemu mait wetu wote kwa jumla

  • @ashurahamza2485
    @ashurahamza2485 3 года назад +3

    MIMIN(muhammad,Issa,Mussa,ibrahim na Nuh)

  • @jazimseif2039
    @jazimseif2039 3 года назад +2

    Mashallah

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 3 года назад

    MashaAllah tabarakallah

  • @fatwimatzahrau2327
    @fatwimatzahrau2327 3 года назад +1

    MashaLLAH

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 года назад +2

    Mashaallah

  • @osmandemebele3335
    @osmandemebele3335 3 года назад +1

    Daah nyange kachemka

  • @mx9990
    @mx9990 3 года назад +5

    Hussein Mohamad kutoka Kenya hii Suali ni
    1.Nuh A.s
    2.Ibrahim A.s
    3.issa A.s
    4.musa
    5.nabi Mohammed s.a.w

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 2 года назад

    Mashaallah 🙏🙏😍😍❤️❤️

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 года назад

    Maa Shaa Allah na Jazak Allahu Khairaan Kathiraan kwa kupindi Muruwa.

  • @alisalimu5479
    @alisalimu5479 3 года назад

    Ustazi njoni Zanzibar japo siku moja

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 года назад +3

    Ibra nuhu isa Mohamed mussa ayo

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 2 года назад

    Mash llhaaaa

  • @abuinafoo75
    @abuinafoo75 2 года назад

    Allhamdulillah

  • @fat-hiyaali4723
    @fat-hiyaali4723 3 года назад +2

    احبك في الله ا

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 3 года назад

    Alhabdulilai

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 года назад

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 3 года назад

    Mashalla

  • @الفردوس-ن6غ
    @الفردوس-ن6غ 3 года назад +1

    Maasha'allaah

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 года назад

    Chikopa umekosaya 1 tuu umemtowa nuhu ukamtaja daudi alopewa zaburi kwenye bibiliya hhhhh ila 4 umepatiya musa issa ibrahim muhammad s.w....

  • @hawahawa6915
    @hawahawa6915 3 года назад

    😄😄Mashaa Allah

  • @abuuhuzayl6549
    @abuuhuzayl6549 3 года назад

    Jazmu ndugu yangu wkosa kosa swali Hilo kaka darasan kwa Sheykh Ahmad Bi Awadhi Zawiya ya Lindi Mtiji ulikuwa wakesha hapa akhiy
    Unababaika au kamera hyo kaka imekuhangaisha

  • @khalifasalim9916
    @khalifasalim9916 3 года назад

    Asalamualaikum. Kazi nzur ila ningewaomba masheikh maswali yatembee kaitika nguzo tano za din KWA ajili wengi hawajapat umuhimu wake husuusani swala na shahada mbili vigezo vyake .Pamoja na jambo LA tauhidi KWA kuwa ndo msingi wa ibada zote Bali ndio dini

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 года назад

    Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojali

  • @latifamkulazi8378
    @latifamkulazi8378 3 года назад +4

    Chikopa wamezikilizana wenyewe kwa wenyewe 😆😆

    • @jazimseif2039
      @jazimseif2039 3 года назад

      Hahah mm nilimsilikiliza vzr alipowataja namm nilipo kosea

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 3 года назад

      @@jazimseif2039 baba alimuacha NUHU. mtoto ilimuacha IBRAHIM

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 года назад

      @@latifamkulazi8378 hahaaa,

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 3 года назад

      @@sakinat2527 upo dada

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 года назад

      @@latifamkulazi8378 nipo da

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 года назад +4

    😂😂kipindi kimewaka leo

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 года назад +2

    ❤❤❤❤

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 3 года назад

    Hao mtu na mwanawe Ibrahim na nuh

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 года назад +3

    Masawe kakuta mchaga mwenzie anatukomesha 🙄

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 года назад +2

      Maa shaa Allah amepatia bila kutangatanga

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 3 года назад +1

    Nabii zakaria

  • @saidsam3053
    @saidsam3053 3 года назад

    iyo tunaita NIMIM

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад

    😂😂😂

  • @yuyuallinone2674
    @yuyuallinone2674 3 года назад +4

    Mbona elfu 5 tuu

  • @khadijakhamis381
    @khadijakhamis381 3 года назад +2

    Maa shaa Allah

  • @osmandemebele3335
    @osmandemebele3335 3 года назад +2

    Daah nyange kachemka

  • @mwajomaessa7513
    @mwajomaessa7513 3 года назад

    Masha Allah 🙏🙏🙏

  • @Awatee
    @Awatee 3 года назад +1

    Mashallah

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 года назад

    Mashaallah

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 года назад

    Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @hdusysceusbskdk
    @hdusysceusbskdk 2 года назад

    Masha Allah

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 года назад

    Mashallah

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 года назад

    Masha"Allah

  • @fatmahemed2189
    @fatmahemed2189 2 года назад

    Masha Allha

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Год назад

    Mashallah