Guys Familia moja naomba Tena Tuweke Comment Jamani kuna Shida Ilitokea kwa Mwazo please Jamani SUbscribe Comment Share Naomba uwe Balozi Ku Sambaza Ujumbe huu kwa Mwezako Ameen Support Yako SUbscribe channel
Kweli wengne 2mepata neeema za kipekee katka familia zetu ni wazi kwamba mungu ame2chagua kama unamkubali DOREEN na YOHANA weka like zangu hapa jamannn❤❤❤❤❤❤❤
😇😇😇😇Am frm kenya and i really love yohana antony songs naweza taka collabo plz am brian 17 years old pia mimi ni muimbaji na yohana asalimiwe pamoja na toto dorren❤️❤️❤️❤️❤️
😂😂 kuna mwaka nilimuona palee kwa mchungaji katunzi haha akiwa mtoto mdogo mnoo.mnoo ila sasa bonge la kijana Mungu awabariki wadogo zangu niseme nawapenda mnoo
Hii nizaidi ya kunitia nguvu nakuamin kinacho endelea kwenye maishayangu wimbo huu umenihakikishia mm nimechaguliwa na Mungu muumba kaz nzur sana vijana wa Yesu👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌❤️❤️❤️❤️❤️
Wow beautiful songs ❤❤❤❤❤toto Doreen and brother yohana❤🎉 may God bless your on the rest of your life ❤❤❤❤love from Kenya last but not least keep going far and far 🎉❤❤❤
Mzee Yese Alikuwa na watoto Wengi Lakini Akachaguliwa Kijana Ambaye Alikuwa Hana hata Sifa Ambaye Ni Daudi Pengine Wewe Ulidhalaulika Sanaaa lakini Mungu Anaenda Kukuinuwa Familia Watakuheshimu Nisikie Amina KUBWA Nione Like Hapa pia COMMENT
Ohooo hallelujah 🙌 Unaendeleaje Nakuona umesha Fika RUclips Sasa nikuombe Sambaza link hii pia kwa Wale malafiki zako wote Nao pia Wabarikiwe Kama Ulivyo Balikiwa Sawa !!
Guys Familia moja naomba Tena Tuweke Comment Jamani kuna Shida Ilitokea kwa Mwazo please Jamani SUbscribe Comment Share Naomba uwe Balozi Ku Sambaza Ujumbe huu kwa Mwezako Ameen Support Yako SUbscribe channel
Sawasawa
Ilete tiktok yote
@@Braybeib nimesha ileta
Nice 🎉song
@@NicksonMboya Ameen Naomba Support Yako
Kweli wengne 2mepata neeema za kipekee katka familia zetu ni wazi kwamba mungu ame2chagua kama unamkubali DOREEN na YOHANA weka like zangu hapa jamannn❤❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe Sanaaa
Barikiwa Sanaaa Kijana wetu Kwa Support Yako
Ameen
Ubarikiwe
Hii Imeenda ifike Milioni Jamani 🙏🙏
Wale Tulio Barikiwa na Wimbo huu tuweke like kama zote hapa Mimi nawawubili Guys 🎉
Yohana umekuwa mkubwa ❤Mungu akutunze
Amina Ubarikiwe sanaa pia Naomba Support Yako nisaidie ku sambaza link hii kwa Wengine Ujumbe huu Uwafikie
Hongereni🎉
Ewaaaaaaa Asante Boss wangu Umefika mpaka huku na wewe 💥💥
Barikiwa sana kwa kazi nzuri kaka yohana ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ameen
Aky tupali pia sisi ka
.
Kama mimi varnah mokeira mniombee aky
Abarikiwe baba saanamungu Asante Sanaa sister betinnah uganda kiboga 👍 Asante
Barikiweni sana
Amina Rogasia Ubarikiwe Sana Nisaidie ku sambaza link to RUclips kwa malafiki zako
Amen🎉🎉🎉 ni kweli kabisa
Ameen
Abarikie saana b etinna, Uganda 🇺🇬👍👍👍
Nice song.....
Abarikie we saana betinnah singer from Uganda 😂😂😂😂❤❤❤
Ameen
Abarikiwe saana betinnah uganda ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Abarikie we saana betinnah uganda 👍👍👍👍👍👍🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬✋✋✋✋🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mungu ukubariki muha mwenzangu
Ulakoze chane Na wewe ku nsapoti Wibuke ku Sambaza kuphandi
Amen hio ni neema ya mungu kunichanguwa kwa watu wte barikiwe Antony na dadanko asante kwa ujumbe mzuri ❤
Ameen
Abarikie saana betinnah singer ❤❤❤❤ Betinnah uganda asante
Ubarikiwe
Sifa ni kwa Bwana Yesu
Aminaaaa
Mungu awape neema zaidi YOHANA NA DOREEN. Mnabariki mataifa
Hallelujah 🙌 Tunashukulu Sanaa Tunaomba Support Yako Ku share Kwa Wengine Ujumbe huu Uwafikie
Napendeza, sana,wimbo, Vizri, betinnah uganda,
Amen, mungu amenichagua❤❤❤
Ameen Ubarikiwe Aanaaa
yes be blessed mtoto doreen
Thank you so much Please Support Subscribe Comment Share
Hii wimbo inanikumbusha mahali,,, unafanya Kila saa naweka hii wimbo,,, but l love it,,,, also Kenyans love you,,,, we are waiting for you
Thank you from Kenya 🇰🇪 Love you so much Please Support yunu Ku share kwa malafiki wengine Huko Kenya 🇰🇪
Ndayikunda imana yanje Ndayikunda BURUNDI🇧🇮RWANDA 🇷🇼 Mulihehe Simbona Ikomenti zanyu Nimuze ngaha 🔥💯 Like Wapiii Guys wetu 🇺🇸
Turaha🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤❤❤💜💜💜💜🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤❤
Najewe ndingaha umuha
Banyemeje saana❤
😇😇😇😇Am frm kenya and i really love yohana antony songs naweza taka collabo plz am brian 17 years old pia mimi ni muimbaji na yohana asalimiwe pamoja na toto dorren❤️❤️❤️❤️❤️
Ubarikiwe Sanaaa from Kenya 🇰🇪 tunawapenda Sanaaaa Nisaidie ku share link hii kwa Wengine malafiki zako huko Kenya 🇰🇪 please
@@DoreenKamtupe ok may God keep lifting you
Yan HII Nyimbo nimeixikia mala mbilimbili ucku ,kiukwel nimebarikiwa xana❤❤❤
Ameen na utazidi kubarikiwa Zaidi
Nimeikumbuka ile sikuuuu ubarikiwe Sana
Ndayikunda iyo Mana Yanje big up Sana Anthony yohana and Doreen kwa nyimbo nzuri kwa maïsha ya binadhamu mubalikiwe Sana
Juzi.tuu Antony alikuwa katoto saa hii amekuwa Gen z😂 congratulations i love❤ you from Kenya
Thank you from Kenya 🇰🇪 Love Tunawapenda pia Kwa Support Yenu Endeleeni ku Share link kwa Malafiki zenu
😂😂 kuna mwaka nilimuona palee kwa mchungaji katunzi haha akiwa mtoto mdogo mnoo.mnoo ila sasa bonge la kijana Mungu awabariki wadogo zangu niseme nawapenda mnoo
Abarikie we saana betinnah Uganda 🇺🇬❤❤😂😂😂😂😂
Barikiwa sana wimbo mzuri umeniguza sana
AMINAAAA UBARIKIWE sanaaaa Niombe Support Yako ku Subscrebe Comment Share kwa Wengine Pia
Exactly David was a shepherd bt God choose him to be the king ,may God uplifted up you the children of God to serve him be blessed.
Thank you so much Raphael Thank you Please Subscribe Comment Share Support Video
Abarikie we saana betinnah uganda 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Waooo
Congratulations 🎉 Songs Imebaba RUclips Jamani Imekuja wakati Sahihi
Amen mungu akubariki
Amina
🎉🎉🎉AMEEEEN
Aminaaaaaaa Ubarikiwe
Kuwa na huo watoto wazurii Safi kabisa
Ni kwa NEEMA NIMECHAGULIWA/UMECHAGULIWA, I LOVE YOU JESUS,,,,,,,,,,, Blessed more
Hallelujah Ubarikiwe Mtumishi wa mungu
Ameen
@@Joelhaongaofficial Umekuwa ku subscribe Share
Hongera sana u so good boy jitahidi
Ubarikiwe
Umekuwa sana yohana usische kutoa nyimbo na huyo dogo anajua mnaendana mungu away barik sana
Nyingine Inakuja Soon
Ongerani madogo zangu ❤ mngu awatie nguvu
Ameen Ubarikiwe pia kaka
Congratulations 🎊 👏 💐 🥳 🎊 👏 more blessings 🙌 🙏
Thank you so much Ile ya mwanzo ilikuwa na shida pleas Support Share kwa Wengine Ujumbe huu
Abarikiwe saana betinna Uganda 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🇺🇬🇺🇬👍👍👍👍👍🇹🇿
Ameen
Kazi kubwa xn watumishi
Ameen Ubarikiwe Sanaaa pia
Kumbe Antony amekua mkubwa I remember his first song
NDIO NIMEKUWA KUJNANA HAHAHAHA please Naomba Nisaidie Ku Share kwa wengine malafiki zako Pia
You people have done it again congratulations 🎉 blessings from God🙏🙏🇨🇩🇺🇬🇨🇦
Thank you Ester zaward please Share My friend
With God everything is possible and also God is able for me
Tank you so much
Yohana umekua mkubwa sana Mungu akumbariki natoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
Asante Ubarikiwe Rhoda Karibu Tanzania
+255765005775
Wee amekuwa araka na uyu mudongo wake au@@DoreenKamtupe
Wow good song wimbo mzuri sana mungu akubariki sana toto Doreen ufikembali nampenda sana mungu
Waoooo Congratulations 🎊
Abarikie we saana Irene betinnah uganda
Abarikiwe,saana, Betinnah Uganda country ❤❤😂😂😂😂
Njili isonge mbele
Amina Mtumishi Wa Mungu Hakika Inasonga Mungu Akubariki Sanaaa mweeeee
@@DoreenKamtupe amina
Hongera sana🎉🎉🎉🎉🎉
Asante Ubarikiwe Sanaa Niombe Support Yako ku sambaza kwa wengine Ujumbe huu
Ubalikiwe sana Yohana Tanzania tunakipenda sana
Amiaaaaa
❤nampenda Mungu Yohana songosha tupe Radha tam za gospel amenn
Waoooo Asante
Baraka tele wadogo zangu🙏🙏🙏🙏one love ❤❤❤❤from this side 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante Sylvia kutoka Kenya 🇰🇪 Ubarikiwe sanaaa Asante kwa Support yako Please Subscribe share kwa Wengine Ujumbe huu
Abarikie we saana betinnah uganda ❤❤❤❤❤😂😂😂😂👍👍👍👍👍👍👍🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬✋✋✋✋🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Waooooo
Hii nizaidi ya kunitia nguvu nakuamin kinacho endelea kwenye maishayangu wimbo huu umenihakikishia mm nimechaguliwa na Mungu muumba kaz nzur sana vijana wa Yesu👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌❤️❤️❤️❤️❤️
Ameen
Ubarikiwe sana
Amina ponde Sijaona uki Share Naomba Share please Sawa
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri mnayoifanya watumishi wa mungu
Ameen Asante pia kwa kutu Support Mtusaidie ku share kwa Wengine Ujumbe huu Uwafikie Asante
Kazi nzur nimebarikiw
Aminaaa Naomba Support Yako SUbscribe Comment Share kwa Wengine Ujumbe huu Uwafikie nawengie
MUNGU amenichagua mm Asante MUNGU wang, barikiwa mdgo wang yohana
Waooooo Thank you so much
❤❤❤Amen nikisikia nyimbo zako na barikiwa san
Aminaaaa
Barikiwa azidi kuenda Miele kwa Jina la yesu ❤❤
Aminaaa Nisaidie ku sambaza link kwa malafiki zako Naomba Support Yako
Abarikiwe saana betinna uganda 😂😂😂👍👍👍👍🇺🇬🇺🇬🇺🇬
love you guys Mungu aliwabariki sana na kipawa, tumtumikie
Asante Ubarikiwe Sanaa Nawe Ubarikiwe Sanaa Niombe Support Yako Share Kwa Wengine Ujumbe huu Uwafikie please
God bless you unatuinua sana na nyimbo zako ni christine from kenya
Amee Ubarikiwe Sanaaa Christian from Kenya 🇰🇪
Barikiweni sana watumish wa Mungu mkue katika utukufu wa Mungu
Aminaaa ubarikiwe Sana Mtumishi pia twendeleee ku share link hii
Abarikie we saana betinnah uganda 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤ bishop,sis, Doreen BRZ yohana, abarikiwe saana betinnah uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
I'm from south Sudan but this boy with all my heart
Waooo Thank You South Sudan 🇸🇩 Support Subscribe Comment Share
Barikiweni wote,watumishi wa mungu
Amina Ubarikiwe
Abarikie we saana betinnah uganda 😂😂😂😂😂
Ameen
Wow beautiful songs ❤❤❤❤❤toto Doreen and brother yohana❤🎉 may God bless your on the rest of your life ❤❤❤❤love from Kenya last but not least keep going far and far 🎉❤❤❤
Thank you so much thank you 🙏🙏
Doreen God is going to take you far and far
Mimi hapa na miaka zangu zote hata wimbo ya kuroa sadaka sijui oooooh Mungu wangu wainue zaid ya hapa waende mbali na kwa jina la Yesu
Aminaaaa Ubarikiwe Sanaaaaa
Mwenyezi mungu akuongeze Kwa Kila hatua yako nimebarikiwa sana aiseee 🙏🙏🙏
Asante mery Nimepia kuona Support Yako SUbscribe pia Niombe Nisaidie ku sambaza link kwa Wengine Barikiwa zako
Baraka zikufate popote pale ulipo Mungu akubarik kwa kipaji chako❤❤❤❤❤
Aminaaa Ubarikiwe Sanaaa pia
Ubarikiwe sana mwanangu Doreen
Asante Baba ujumbe huu nisaidie ku sambaza kwa Wengine Hakika Mungu Akubariki
Mzee Yese Alikuwa na watoto Wengi Lakini Akachaguliwa Kijana Ambaye Alikuwa Hana hata Sifa Ambaye Ni Daudi Pengine Wewe Ulidhalaulika Sanaaa lakini Mungu Anaenda Kukuinuwa Familia Watakuheshimu Nisikie Amina KUBWA Nione Like Hapa pia COMMENT
❤❤❤❤❤❤❤
Amen
Abarikiwe saanamungu Asante Sanaa, betina Uganda 😂😂😂
Mungu awabariki kwa nyimbo nzuri .
Ameen Ubarikiwe Pia Sanaaaa
Ongera Sana Mtoto Mungu akubariki sana
Ubarikiwe Sanaa pia
I love Doreen kamtupe and Yohana Antony nyimbo zao ni good songs
Thank you so much 🙏🙏
Abarikiwe saana betinnah 😂😂😂 Uganda ❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Amee
Enezeni injili ya bwana yesu milele inde mbele be blessed
Ameen
Abarikiwe saana betinnah uganda singer, abarikiwe saana, bishop 😂😂😂❤
Ameen
Amen 🙏 mbarikiwe zaidi pamoja yote yawezekana
Aminaaa Mtumishi wa Mungu
.mpendwa yohana antoni mubarikiwe sana na Wimborne wenu🎉
Asanteeeee Asante
Video nzuri 😂😂😂😂😂, mefurahi kukuyona sister Doreen mutoto,baba, Bishop, brz yoha na mungu akubarikiwe saana betinnah uganda ❤❤❤❤
Asante Sanaa from Uganda 🇺🇬
Amen amen.......Mungu ana makusudi na mimi tumezaliwa wengi ila amenichagua amenipa huduma ,amenitembeza kuwaliko wote ...i love you Jesus
Ubarikiwe Sanaaa innocent Ubarikiwe Sanaaa naomba Uwe balozi Ku Sambaza Ujumbe huu Share link kwa Wengine Malafiki zako Ameen
Barikiwa sanaaaa
Ameen Ubarikiwe Baba Mchungaji Niombe Support Kwenu Jamani ku Sambaza link kwa Wengine ijili iwafikie
Hongera sana Doreen
Asante Sanaaa Dinah UBARIKIWE pia
Doreen kamtupe yohana Antony na baba ya Doreen endeleni hivyo hivyo mtafika mbali kwa kazi ya mungu be blessed all of you
Barikiwa Sanaaaaa
PIA TUNAOMBA SUPPORT KWENU KU SAMBAZA LINK HII KWA WENGINE
Hallelujah barikiwa sanaaa watumishi wa mungu
Ohooo hallelujah 🙌 Unaendeleaje Nakuona umesha Fika RUclips Sasa nikuombe Sambaza link hii pia kwa Wale malafiki zako wote Nao pia Wabarikiwe Kama Ulivyo Balikiwa Sawa !!
@@DoreenKamtupe amen mtumishi 🙏🙏
@@Migapogospel678 Sawa Nenda kaanze ku share Sasa nione Sasaivi
Abarikie we, saanamungu Asante Sanaa, betinnah uganda 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Waoooo
Isonge Mbele Injili Ya Bwaba
Waooooo
Amina 🙏,Yohana na Doreen mubarikiwe milele siku zote
Aminaaaaa
Nawapenda sana nyie watoto, Mungu awaongoze
Amina Ubarikiwe pia tunakupenda na Sisi
Abarikie saana,, baimbanji,bamungu, abarikiwe saana 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤ Betina Uganda 🇺🇬👍👍👍👍👍👍👍👍👍🇺🇬👍 Asante
Ameen