Jinsi ya Kukata na Kushona Juba ya Shule,
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Karibu kwenye Channel hii #@NaimaCreation ujifunze Jinsi ya Kukata na Kushona juba ya Shule,
Kwa mahitaji ya vijora na nusu kanzu za watoto tafadhali wasap namba 0672310102,
Kama unaswali lolote kuhusu video hii ya Jinsi ya Kukata na Kushona juba ya Shule tafadhali niandikie chini ya Comments,
kwa video nyengine ya Jinsi ya Kukata juba tafadhali angalia hapa • Jinsi ya Kukata juba/J...
Ahsante
nataman kujua jins ya kupma mbele
Mbon sijaelewa ulivyomaliza kupima ukavurugua
Angalia tena
jamani sijaelewa
Kwa haya maelekezo sijaielewa et
Mimi sijaelewa kipenzi
Je, mbona ujatuelekeza jinsi ya kubana uso
😱😱😱
Nataman kujua jinsi ya kupma mteja mbele na nyuma
Nataman kujua jinsi ya kuweka kipaa kweny juba
Video zipo angalia
Njisi ya kushona
Angalia video nyengine
Sijaelewa jinsi ya kukata mzunguko wa uso
Sawa
Natamani nijue kukata
Jinsi ya kuwe mdomo wa kuku mbele
Video imeshatoka angalia
Maelezo yako hayajitoshelez
Ongezea na yakwako