You have ashamed me.My son was to bring Dowry today?What have you people done with your daughter?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 531

  • @brendahnkirote794
    @brendahnkirote794 17 дней назад +48

    Samaritan na vitisho za kwenda 😂😂😂deep inside huendi anywhere, style ya slay queen👸

    • @gideonchokwe8815
      @gideonchokwe8815 17 дней назад +1

      😂😂😂

    • @annefaithmwangangi7274
      @annefaithmwangangi7274 17 дней назад +1

      Lol 😂😂😂😂 very true.
      I keep commenting the same thing.

    • @JeriothNyokabi-e8n
      @JeriothNyokabi-e8n 17 дней назад

      😂😂😂

    • @AnnahYullu
      @AnnahYullu 17 дней назад +1

      Kama zamani kukipikwa chapati unajifanya unataka kwenda kulala ndio upewe za kwanza yet hauendi😂😂

    • @johnmuroki4517
      @johnmuroki4517 17 дней назад

      Samariatan huwezi pokea ruracio kama hukutolea mamake msichana

  • @lucyndiritu7459
    @lucyndiritu7459 17 дней назад +27

    Mama ciku ako na makosa mingi sana she has hidden agedas hata kama

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 16 дней назад +8

    SHIKO ' IF YOU DIE NOW ,WHO WILL MOURN AND FEEL YOUR LOSE AND RAISE YOUR CHILD ?YOU BETTER MAKE WISE DESICIONS

  • @Reenstep
    @Reenstep 17 дней назад +53

    Wooyi! I'm so sorry for this family.. 😢😢
    Mama shiku,
    1st: You should have told Baba mlezi the plot belonged to your past father in law.
    2nd: You should have added Baba mlezi name kwa title deed
    .
    3rd : You should never have welcomed Wachira into your house.

    • @Quincy27464
      @Quincy27464 17 дней назад +4

      Very true. She has brought all this to herself.

    • @Jane-fi8on
      @Jane-fi8on 17 дней назад +1

      4th: You should have disclosed to your in-laws the family dynamics I.e. baba mlezi na baba mzazi so that they know from the word go, just being honest because shit happens in life.

    • @hawababy120
      @hawababy120 17 дней назад +2

      Kweli kbsa

    • @josphinekimando
      @josphinekimando 17 дней назад +2

      Absolutely

    • @mercimerci9540
      @mercimerci9540 17 дней назад +2

      Huyu alikuwa anapola huyu baba mlezi coz mbona hakumuelezea ploti ni ya Nani ,whyyy

  • @ZN21-y9y
    @ZN21-y9y 17 дней назад +95

    Mimi hata my MUM akuwe mwendawazimu wa kuokota mapipa I will always stand with my MUM and even MORE when I know she has suffered because of US..

    • @floramumbua3393
      @floramumbua3393 17 дней назад +2

      💯 true

    • @rahema907
      @rahema907 17 дней назад +8

      Tatizo huyu mama alileta bwana mwengine kwa hii nyumba so pia ana makosa kuna ushahidi wa gari mbona alete mwanamume mwengine then maombi hapa ina hitajika hapa

    • @BlessedMammy
      @BlessedMammy 17 дней назад +2

      this mother is a big problem cos even now she has mouth to say that ciku ni mtoto !! 😮😮😮She still don’t take her daughter responsible for what she has done even insulting her and causing all this shame !

    • @dinahraluoch-ut6rz
      @dinahraluoch-ut6rz 17 дней назад +1

      @@ZN21-y9y I support you. Hata mama akiwa malaya I will still respect and adore her.

    • @dinahraluoch-ut6rz
      @dinahraluoch-ut6rz 17 дней назад

      @@rahema907 kila mtu hukosa, Baba mlezi amsamehe. She truly loves the old man

  • @blessed-e5k
    @blessed-e5k 17 дней назад +40

    One question I will always ask. What exactly did this mama shiko want by inviting wachira into her house for three good weeks?

  • @Martha-w6h
    @Martha-w6h 17 дней назад +13

    Mama shiku nakupenda sana but ulifanya makosa kukaribisha wachira kwa nyumba tena ukanunua shamba kwa baba in-law na hukuambia baba mlezi from begins

  • @kadetenyar6597
    @kadetenyar6597 17 дней назад +18

    Huyu baba mlezi,,nikama amepata walimu huko inje,,,i can remember one of our ma fans aliambia mama ciku kwa studio 🎙️🎙️ heti huyo baba mlezi siku hatafunguka macho ,,,utajipata pabaya, sasa ndiyo hii tunaona😤😤😤😤😤😤😤😤

    • @tracynyambura4494
      @tracynyambura4494 17 дней назад +2

      Kama amewatch kwanza ile video ya kwanza ni hard tumtrust mama Shiku

  • @sandraawour
    @sandraawour 17 дней назад +17

    those wanjinga who said eti mtoto wa shiko alikua wa baba mlezi... shame on you all... you always judge before listening to all story 😢😢mama chiku ulikulanana na baba shiko vile alifika😩how can u bring back your ex of 10yrs to your marital bed😢😢😢shame on u you mamma siku, u failed as a mother n wiffe

    • @AnnahYullu
      @AnnahYullu 17 дней назад +1

      Ata mimi nilikuwa nashindwa it's like they know them yet ni kuwatch tu..shiku lives with the guy

    • @PurityGatonye
      @PurityGatonye 17 дней назад +1

      Amefanywa vizuri alikua anajiona mjanja sana lakini kimemuramba

    • @LeahWanyonyi-tf8sz
      @LeahWanyonyi-tf8sz 17 дней назад +1

      Unatoa wapi nguvu yakukaribisha mtu aliyekuacha for that long without help, ati anamuendea Airport, mama shiku umepotesa bahati na ulikua na dhahabu but hukujua

    • @dinahraluoch-ut6rz
      @dinahraluoch-ut6rz 16 дней назад +1

      @@sandraawour I pray namaste Ciku will overcome these tribulations. My fear is the allegations Ciku is making against baba mlezi. If they're true then that marriage will end.

    • @dinahraluoch-ut6rz
      @dinahraluoch-ut6rz 16 дней назад

      @@LeahWanyonyi-tf8sz watu hufanya makosa.

  • @teresiamuthoni5034
    @teresiamuthoni5034 17 дней назад +3

    Feeling for mama chiku,may God interview

  • @nancymoraa6491
    @nancymoraa6491 17 дней назад +26

    SAMA please zanitine simu ya baba mlezi na ciku Kuna kitu hidden secret

    • @lucymacharia4134
      @lucymacharia4134 17 дней назад +1

      Cjui mbona Samaritan haski ama amepewa ya macho na baba mlezi

    • @naomybosibori9504
      @naomybosibori9504 17 дней назад

      True hapa kuna kitu fiche

    • @Roxana-q5j
      @Roxana-q5j 17 дней назад

      Sio rahisi hivi kumwitisha simu vile mnafikiria atasema anataka ya nini

    • @sammylikono6783
      @sammylikono6783 17 дней назад

      Yes

  • @nzyukostella7298
    @nzyukostella7298 17 дней назад +20

    Let's remember Shiku was excited by her father's car and the fact that Washira told her he will take her to South Africa.

    • @MaryKinyua-kw3gt
      @MaryKinyua-kw3gt 17 дней назад

      😢😢😢😢😅

    • @ireneatuke1581
      @ireneatuke1581 17 дней назад +1

      And no where atapeleka

    • @perin889
      @perin889 17 дней назад +1

      I saw that but it's all lies 😢

    • @blackylampard640
      @blackylampard640 17 дней назад

      She can still go to south Africa 🇿🇦 still coz it's free visa between two countries

  • @gladysmueni2534
    @gladysmueni2534 17 дней назад +13

    Mama Ciku na Baba Ciku msikubali ndoa yenu,ikaharibiwa na Ciku, she's grown-up,let her make her decision, She's thinking she's better than you, because her father promised to take her to SA,huko sio heaven, let her do her will.Move on with your husband (mlezi) have peace and move on.Give her, freedom of choice.Already she's a single mother,let her move on,rurasho apeleke kule anataka.asiwakule kichwa.majuto ni mjukuu.

    • @sammylikono6783
      @sammylikono6783 17 дней назад

      Kabisaa kabisaa,wacha akwende huko

    • @barygarcia3128
      @barygarcia3128 17 дней назад

      Thats how foolish women can get 😂😂😂😂 hii mama ilifikiria ni mjanja

  • @poulinemurima1165
    @poulinemurima1165 17 дней назад +4

    Mama shiku I'm praying for you🙏🙏 may God comfort you the best way.

  • @redemptorwayua9151
    @redemptorwayua9151 17 дней назад +6

    Wachira aliacha family yake south Africa akuje kuharibia mama shiku ndoa yake aki, praying for you wa ciku,aki huyu mtoto ameangusha mamake vibaya sana

    • @nancykoigi1551
      @nancykoigi1551 17 дней назад +1

      Angetoka kwa wachira aende aolewe kwingine u can't get married in your hubby compound wameru kwani hamjui hivyo😂😂😂

    • @hwambugu0
      @hwambugu0 17 дней назад

      The family is in Kenya. I think Wachira had about the ruracio halafu akajitokeza.

  • @aomealaome4933
    @aomealaome4933 17 дней назад +9

    Baba shiko mlezi nkaa amepata wataamu huko nje ama ameona videos sote ...wooii mama shiko naona kikuramba wallahi

  • @julianiseet4209
    @julianiseet4209 17 дней назад +6

    Mama shiku, yes you made some mistakes and you should take responsibility for them.However, as a mother, you played your role well and raised your children. If your daughter and her fathers all betray and disown you, just forgive and release all of them in good faith and start your life again from scratch.Its never too late to fix your life. Surrender all the men and property. God will sustain you dearest ❤

  • @nancynjoroge2809
    @nancynjoroge2809 17 дней назад +3

    Ciku amejimaliza. Hakuna harusi. !!!!!!!periond.

  • @tabithashimenga4742
    @tabithashimenga4742 17 дней назад +2

    Samaritan uliva smart as if you were kijana wakuleta ruracio😁😁😁

  • @cewaki799
    @cewaki799 17 дней назад +2

    Two bigs secrets that would bring problems to mama shiku
    1.They still communicate with wachira and even she welcomed him to her house
    2.She didn't disclose to baba shiku mlezi hiyo shamba alinunua belongs to her former father in law💔💔💔💔

  • @petermwangi1552
    @petermwangi1552 17 дней назад +6

    Samaritan sometimes be an executive kwa maongeo na sio place zote unatakiwa kuleta past instead of present...I will stand with mama Chiku juu ya her maturity

    • @johnkamunyu9972
      @johnkamunyu9972 17 дней назад

      Without past nothing can be solved..cause mistakes must be tabled and forgiveness gets it's way and life goes on

  • @FaithMuia-f3k
    @FaithMuia-f3k 17 дней назад +14

    Mama ciko once alifungulia wachira gate akaingiza gari ndio shida iliingia jangekubali aingie

    • @Jescah-d2c
      @Jescah-d2c 17 дней назад +1

      Akalals na yeye for 3wks

    • @MwendaMwiti-o5o
      @MwendaMwiti-o5o 16 дней назад

      And cohabiting with him for 3 weeks with this other husband in the dark.

  • @wairimukagia4321
    @wairimukagia4321 17 дней назад +1

    May God's power and will reign over everything in this family.

  • @Jane-fi8on
    @Jane-fi8on 17 дней назад +13

    It’s better for the ruracio to be paused for now until everything comes out clean.

    • @andrewmukuru6357
      @andrewmukuru6357 17 дней назад +4

      I agree,pausing is better than regrets,there a lot of red flags...

    • @okutebettina2509
      @okutebettina2509 17 дней назад +1

      Hata nikiwa Mimi shiko nitakataa till father notice because both sides need to sort out their mess first

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 17 дней назад

      I had said it earlier,let these people stop Tamaa ya Ruracio kabisa

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 17 дней назад

      ​@@andrewmukuru6357kabisa

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 17 дней назад

      ​@@okutebettina2509exactly Ruracio isnt for baba mlezi and baba Mzazi

  • @ElijahOngwacho-k5g
    @ElijahOngwacho-k5g 17 дней назад +3

    Sama give us updates za mama Abugael hizi drama zinabooo

  • @MbulwaMunyao
    @MbulwaMunyao 17 дней назад +3

    Mm nitafuata mwenye kunilea n mmngu

  • @josephwaweru439
    @josephwaweru439 16 дней назад +3

    Mama shiku ur the owner of that house 😂😂😂 weka title vizuri 😂😂

    • @dicksonmwiti9097
      @dicksonmwiti9097 16 дней назад

      Hapo ndio baba mlezi aliteleza😢

    • @RiseagainRiseagain
      @RiseagainRiseagain 18 часов назад

      But baba mlezi nkama hajielewi kabisa ,alikutana na mama shiko akiwa na mimba ,,mama shiko alipo zaa mtoto ,baba shiku rename the baby after his mother ,kuchanganyikiw aki

  • @margretnjoki8440
    @margretnjoki8440 17 дней назад +10

    Wachira ni mwanaume kiyangarika
    Walai unaweza aje kuharibu everything ata better hivo wazazi walikula doo juu kama ako hivi na hana anything na angepata amejengewa watoi wangemlamba hadi mafi,, vile alikua anaambia baba mlezi aoshe hiyo ngari...mungu ata huwa anaona....na sama please leta huyo wachira kwa studio ☹️😠

    • @jojoh-n5e
      @jojoh-n5e 17 дней назад +1

      Ni umbwa Sana wachira

    • @georgembugua6849
      @georgembugua6849 17 дней назад +1

      Wachira came from SA and was invited by mama ciku for three weeks while baba mlezi was away. Blame yote Iko kwa mama shiko.

    • @dun1247
      @dun1247 17 дней назад

      ​@@jojoh-n5e Umbwa ya nini? Huyo mama shiko ndio mkora ya hali ya juu.

  • @margaretkibware
    @margaretkibware 17 дней назад +14

    A serious sanitization needs to be done here, ciku, baba mlezi and wachira. Kuna mambo fiche

  • @janegrace5744
    @janegrace5744 17 дней назад +4

    Baba Ciku (mulenzi) if you fear God just pray and see what that woman is going through Wachira is like using demonic powers to manipulate and scatter Ciku has already destroyed her home and it will never be the same again.

    • @Jane-fi8on
      @Jane-fi8on 17 дней назад

      @@janegrace5744 but it could also be tears of the first wife, if by any chance she has been mistreated since this family moved into her marriage. This could also be another perspective.

    • @jacintawambui1446
      @jacintawambui1446 17 дней назад

      The only genuine person ni baba mlezi. Wangine wote ni wakora

    • @annettenyaga887
      @annettenyaga887 16 дней назад

      Wachira pia anaweza fanyia baba mulenzi kitu mbaya

  • @alexsaidi3940
    @alexsaidi3940 16 дней назад +3

    BABA mlezi wa cicu ukienda HIYO barabara mama shiko akishikana na baba shiko biological utapoteza MINGI vumilia tu solve polepole ukisoma rada bure apa utatolewa MBIO cz ata mtoto huna, title huna,nyumba huna, Bibi huna wolololo 😂😂😢😢

    • @RiriwaNgai
      @RiriwaNgai 19 часов назад

      Nkama alitumia kamote kukoronga baba mlenzi ,,he meet the woman when she was pregnant ,and then baba shiku accept the child to rename after his mother and the blood wasnt his ,,after staying with this woman for 10 years ,hajazalia baba mlenzi ,,she was using him aki 😭😭

  • @Winfred-n4b
    @Winfred-n4b 17 дней назад +2

    Baba shiku .amefika mwisho tangu uwachilia ngari iigiye hapo diyo ulikosea

  • @PeterNgungi-qf9vh
    @PeterNgungi-qf9vh 17 дней назад +10

    Samaritan ambia baba mlezi Shiku alisema akitaka kumkula😂😂😂

  • @janegrace5744
    @janegrace5744 17 дней назад +3

    Ciku believe me or not the words you have called your mum are painful even before God, evaluate yourself and see what you have brought to yourself and your child. Ciku where was your dad for the ten years and what is five thousand in ten years. Why do you agree to be manipulated si uko na mtoto, nobody knows of tomorrow.

  • @TeresiaMburu-u8t
    @TeresiaMburu-u8t 17 дней назад +3

    My mom hata akuwe malaya ,kiwete,kilema ama kipofu nasimama naye kitende siwezi sikiza mtu yeyote hata kwa dawa mothers struggles alots because of their kids

  • @dianakageni4996
    @dianakageni4996 17 дней назад +7

    Mama shiku hapendi huyu Baba mlezi ni pesa yake anapenda

    • @MamaWendy-xr3lz
      @MamaWendy-xr3lz 13 дней назад

      And that's why hakuzaa mtoto wake waiting for wachira

  • @KELONGBett-ce1xt
    @KELONGBett-ce1xt 17 дней назад +3

    Sanitisation baba mlezi na huyo dougther 😊

  • @patiencewatarethepoetmoifo907
    @patiencewatarethepoetmoifo907 17 дней назад +2

    Mama Ciku brought all these...now sing to the tune😢

  • @aomealaome4933
    @aomealaome4933 17 дней назад +3

    Mm watu wamaeishi kuita mamayangu mchwawi but ill stand with her come raina come shine...shiko aibu umepea wazazi wako ata hiyo ndoa yake haitasimama wallahi

  • @victorianyambu4843
    @victorianyambu4843 3 дня назад

    This thing " Samaritan" You are a home breaker, wewe nikupasuliwa na risasi ya tako utulie

  • @irenemwende1904
    @irenemwende1904 17 дней назад +3

    Shiko najua mahali uko umedanganywa unapelekwa south Africa na babako kukuzaa but kumbuka yale yote ulipitia na mum alafu baba mlezi akawaokolea kimaisha

  • @johnkamunyu9972
    @johnkamunyu9972 17 дней назад +2

    Let everything be tabled and solved before the dowry is given...and it will make a brighter future for everyone involved in these matter...nevertheless if not solved nothing will last..(.curse is real)

  • @gingergarlic6356
    @gingergarlic6356 17 дней назад +22

    Mama Ciko is the cause of all these.
    1. Y did you invite Washira into your house?
    2. If Washira hakuwa anakusupport y keep in touch with him?
    3. Yaani you have your husband na unaleta mwengine kwa the same house?
    4. Mtaka yote hukosa yote.
    5. Baba mlezi to be Sanitized please.

    • @Userantelope
      @Userantelope 17 дней назад

      I suspect baba mlezi is likely married. Samaritan doesn’t sanitise

    • @henrymworia6927
      @henrymworia6927 17 дней назад

      ​@@Userantelopewish ii case ingekua na wanjiku ange sanitize huyu mzee

    • @MargaretMwapia
      @MargaretMwapia 17 дней назад

      Alikuwa anafikiri amekuja na pesa ya South Africa

    • @edithandunguru3405
      @edithandunguru3405 17 дней назад

      If I were mama Shiko, soon as Wachira arrived, I would have called baba Shiko 2 to tell him that someone is bothering me in my own house please come

    • @BensonKaraine
      @BensonKaraine 17 дней назад

      Washira have been sending money to mum shiro

  • @PurityGatonye
    @PurityGatonye 17 дней назад +1

    Hii makosa yote ililetwa na mama shiku .Bona alileta huyo mwanaume kwake kaa hakua anamtaka Bona alikatalia gari yake pia alikua nathani ni mjanja siwezi mhurumia mimi 😅😅😅😅😅😅

  • @nxjjfj4923
    @nxjjfj4923 17 дней назад +2

    I don't like judging pple but mama shiku is the cause of this,hagekubali wachira ebu una sasa😢😢😢 bibi ya wanaume wawili utapotealea hpo ,kama hamkepatana na kma hamugepata na sama hugesema mtaka yote makosa yote😢😢😢 ugestik na baba shiku mlezi period

  • @JoyceWanjiru-wv6ib
    @JoyceWanjiru-wv6ib 17 дней назад +2

    Ma shiku ataloose everything

  • @alexsaidi3940
    @alexsaidi3940 16 дней назад +1

    Hehehe bibilia inasema proverbs...10/1mwana mwenye hekima humfurahisha babaye Bali mpumbavu ni mzigo kwa mamake,ona SASA shiko vile nimzigo kwa mamake

  • @AnnahYullu
    @AnnahYullu 17 дней назад +4

    Mtaka yote ukosa yote..mama shiku utaachwa kwa mataa

  • @kennethkiprono4251
    @kennethkiprono4251 17 дней назад +2

    Mama shiko awache ujinga,mama mzee na anachezea wanaume, lucky thing sio mimi

    • @RiseagainRiseagain
      @RiseagainRiseagain 18 часов назад

      And I hope that why mother in law neglect her ,she said alikuwa anafanya umalaya that why she chased her ..

  • @irenemwende1904
    @irenemwende1904 17 дней назад +5

    Samaritan pls saidia shiko kwa kumwambia ukweli about the wasn't send to her mum at all and her grandma said that even she's not for his own son..pls help Shiko where necessary

    • @johnkamunyu9972
      @johnkamunyu9972 17 дней назад

      Sama hana ukweli wakusema cause ata anashikia tu...ukweli ule uko una mamake shiko...juu diye mwenye kuleta haya yote

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 17 дней назад

      Hasomi msg Sama sijui yupoje

  • @mikekalushi9541
    @mikekalushi9541 17 дней назад +2

    Sanitize ciku na baba mlezi,,,

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 16 дней назад

    Maman chiko kumbuka haujapigana na Baba chiko ,family yake njoo walikukosea ,Bwana anarudi kwake mukalibishe kwake.

  • @merabshibuyanga2729
    @merabshibuyanga2729 17 дней назад +3

    It's so sad that Shiku might end up being a single mother, despite a good start that has shown up.
    Can mama Shiko explain as to why he took Wachira where she was born after he left him for ten years?
    Why did he welcome him for three weeks, not even a day, in first place?

    • @BeatriceMuthoni-rh3gd
      @BeatriceMuthoni-rh3gd 17 дней назад +2

      Mama shiku will b the cause of shikus singleness,if she respected 2nd husband all this shit wouldn't happen

    • @sophiasophie5276
      @sophiasophie5276 17 дней назад

      ​@@BeatriceMuthoni-rh3gd kabisa

  • @DavidMuikia-l7w
    @DavidMuikia-l7w 17 дней назад +2

    All, baba ngwati you are or a sincere good Samaritan. THE deal is done,Take your three lorries and hit the road bana.
    Bibi ni wa wahira watoto ni wa wachira ncluding the bloti ni ya wachira.
    Baba ngwati continue to volunteer your services.

    • @lucymacharia4134
      @lucymacharia4134 17 дней назад +1

      Mama shiko anajaribu kujifanya mkora Kwa Mali ya wachira

    • @Jane-fi8on
      @Jane-fi8on 17 дней назад +1

      @@DavidMuikia-l7w haki that is painful 😥. Na ujue pia mama Ciku NEVER disclosed to this mzee ati anajuana na mwenye anauza plot. Why didn’t she buy elsewhere surely.

  • @mosesmuchitsa2205
    @mosesmuchitsa2205 17 дней назад +1

    Just only ten years in married and you want to harvest where you did not sow surely , it was better for you atleast to get one child with that mama shiku people will listen at you.

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 17 дней назад +2

    sielewi hizi maneno sanitaiz shiko ama Baba mlezi tuone kama Aliza na yeye ama usiano kunawakati alikua na asira akasema Baba alikua ananitaka

  • @rahabmaina3240
    @rahabmaina3240 17 дней назад +9

    Sanitize baba mlezi na shiku hpa Kuna Siri Dani ya nduma

  • @lizpitah3500
    @lizpitah3500 16 дней назад

    Enyewe mtaka yote ukosa yote
    Mama ciku mbona ulitaka hawa wanaume wote?
    What was the essence of welcoming the south Africa man ukijua tu umeolewa???

  • @AthumaniSeleimani
    @AthumaniSeleimani 16 дней назад +1

    Huyu mama shida hata kuongea hawezi anakaa tu anajikanyaga kayaga Samaritan na yeye ndio mzigo mwingine hata kuelezea kitu kikaeleweka hawezi

  • @machariajoseph7328
    @machariajoseph7328 17 дней назад +2

    Resantization required to the the 4 , Both babas, Mama Shiku and Shiku, kuna giza dani ya nduma

    • @susannjora
      @susannjora 17 дней назад +1

      Nimenda karibu all comments nimeona same message sanitation both shiku and baba mlezi lisemwalo lipo na kana hakuna lanja

  • @gloria_justgloria2013
    @gloria_justgloria2013 17 дней назад +1

    Mama ciku is to blame,why did you allow wachira into your house for 3wks cz bwanako hayuko ,,haikosi ata mlikulana,,baba ciku mlezi run for your life

  • @janewaithes5183
    @janewaithes5183 16 дней назад

    Mama shiku,shida ilianza ulipo karibisha Wachira kwako na hukumwambia ukweli,ukamficha,sasa ona zile aibu zimekupata,nkt

  • @MeryNdegwa
    @MeryNdegwa 16 дней назад

    But why all this who is the father mama shiku. . Sometimes world go gorilla. I love my mummy no matter what. But 🤔🤔🤔

  • @winskitchen.602
    @winskitchen.602 17 дней назад

    Hii story inanibore Sana haky😢😢😢

  • @Zarethelovelady
    @Zarethelovelady 16 дней назад +2

    Huyu baba in law wa shiko anaruhusa ya kungilia mama shiko no matter what,,,,😢😢😢😢😢😢 yeye aowi mama shiko ni mtoto wake anaowa shiko

    • @alexsaidi3940
      @alexsaidi3940 16 дней назад

      No problem coming here cz walikuwa wakuje 😂

  • @Roxana-q5j
    @Roxana-q5j 17 дней назад +1

    Hii ruracio ya kuvutaniwa hivo sio mzuri inawezaleta shinda wacheni kwanza itulie

  • @fredmoranga2439
    @fredmoranga2439 16 дней назад

    Wakati mama Shiko alijua maneno si poa angesimamisha shughuli zote hadi kila kitu iko sawa

  • @mutukunzisa7621
    @mutukunzisa7621 17 дней назад

    Mama shiku why?????? kuendelea kujitoa nguo accept your fate it has brought shame that you already started. Where do you draw the line???????

  • @RahamaMohamed-nv1bm
    @RahamaMohamed-nv1bm 17 дней назад +5

    Hata maybe mtoto ni wa ciku ni wa huyu mzee

  • @jfmagnifico
    @jfmagnifico 17 дней назад

    Wachira was trying to do the right thing without knowing he was used

  • @rackelturner6727
    @rackelturner6727 17 дней назад

    Shiku what she is doing to th e mother is nit good, hata akiolewa it will never be well, she needs to apogise

  • @dancankamau3078
    @dancankamau3078 17 дней назад

    Wanaume mjifunze kuzaa watoto wenu wenyewe. Lesson learnt

  • @loseeal3440
    @loseeal3440 17 дней назад

    😢😢😢😢😢😢😢😢sina say mahari imefika samaritan leta udaku ingine

  • @marybae7565
    @marybae7565 17 дней назад

    But tuseme tu ukweli mama ciku wewe ndio umelete ii mambo yote mbona ulipokea baba ciku mzazi ukijua ulioleka surely ukamueka kwako na baba ciku mlezi angempata wewe ndio shida 😢😢

  • @alexjackson5960
    @alexjackson5960 17 дней назад

    Mama ulitaka huku na huku tamaa mbaya, na ni nani aliyekuambia ukubali gari ikae hapo??? Kwa nini ulidanganya ni ya mjomba wako?????
    Baba mlezi usitumie nguvu sana kuwaelewesha hao wote ni wamoja wachira,shiko,mamayake ni kopo na mfuniko. Mungu akutie nguvu ustaarabu wako udumu najua una hasira kwa kuchezewa akili mungu atatenda haki

  • @paulkaranja9257
    @paulkaranja9257 16 дней назад

    Sama, jisomeshe kuandika insha /composition uweze kuintroduce. Juu hii maneno iko internet hakuna haja ya kuficha.

  • @Quincy27464
    @Quincy27464 17 дней назад

    It started when mama Shiku advised her new husband to buy this plot. The most stupid move. Yet the guy would have bought it even in another area. Sad for baba mlezi😢

  • @AtienoEmmaculate
    @AtienoEmmaculate 17 дней назад

    Huyu shiko awezi kumbuka mahali mamake amemtoa,, sai ndio anajua babake anaexist. Msichana mjinga sana
    Baba shiko mlezi usiharibu ndoa yako juu ya shiko be strong as a man na usimame na mama shiko

  • @godwinnganga2237
    @godwinnganga2237 17 дней назад

    baba ciku mlezi runaway and dont look back

  • @elizabethwambui9117
    @elizabethwambui9117 17 дней назад +4

    Sama, please sanitize shiko na baba mlezi.

    • @kadetenyar6597
      @kadetenyar6597 17 дней назад +1

      Hiyo kitu tumemwimbia hatujui mbona sama hataki, imagine

  • @mariagichuri7273
    @mariagichuri7273 17 дней назад +1

    And what a coincidence wakatii wachira a reappear Dio dowry ilikuwa ipeanwe,.Hapa mambo ni mengi.samaa ulianza utamaliziayite,sanitize zimu zote,ya baba mlezi,wachira .chiku wote.kuna Siri Piche.

  • @MaryGathagu-tb9jl
    @MaryGathagu-tb9jl 17 дней назад +4

    Shiku Kuna kiti anaficha saniteze hio simu yake

  • @joycewairimu2448
    @joycewairimu2448 17 дней назад +1

    Am still siding na mama shiku... She did qhat she needed to do in her desperation that time she was kicked out pregnant and with a child, cursed by her mil... She was hoping all this will slide. Makosa tu alientertain wachira kwake... They never talked about having sex but the facts that alilala huku haikuwa poa. Wachira n family are loosers...

  • @jacintamumbi-c6v
    @jacintamumbi-c6v 17 дней назад

    Mama ciku you're the issue maker here na kitakuramba juu utapeteza dege na mkuki at the same time. I know you've pain now but mwimba wa kujidunga haunanga uchungu💔💔

  • @KeziahNduta-r6j
    @KeziahNduta-r6j 17 дней назад +1

    Uchawi imeanza kuisha nguvu. Na pia uchawi ya mum Wachira bado inatawala uku😮😮😮😮😮

  • @hawababy120
    @hawababy120 17 дней назад +1

    MAMA CIKU MAKOSQ YOOOTEEE YAKO KWAKO😮

  • @maggiegatuura6776
    @maggiegatuura6776 16 дней назад

    Hapo Kuna sida kumbwa sana juu wameleta mali fast time them second time umenda Ile place huyu babake na cucu ni kubaya sana

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 17 дней назад +2

    nilisema tokakitambo mama shiko kungoja at nini siwezi bona ulitumia Baba mlezi wenu na babu mukoroge muuze shamba ya bwanako na jinalako tens kwa mwakakumi unamkaribisha ukimfungulia awekegari ukona fill itaishia pabaya

    • @susannjora
      @susannjora 17 дней назад

      Na kama huyu angerudi hio nyumba kungendaje mama shiku ni taama ilimuongoza alijua wachira amekuja na pesa

  • @perin889
    @perin889 17 дней назад

    Huyu mama shiku mjinga!!. Anaambiwa apange vitu aweke mahali. Mzee alijenga nyumba, aimbomoa anahasira. 😮

  • @PhilomeneKadjabika
    @PhilomeneKadjabika 17 дней назад +2

    Uyu baba chiku mulezi anaanza kuongeya vibaya juu ya mama Chiku, kwaiyo ya Chiku kumukatala bwana yake, niko ya baba muzazi ya Chiko, na Chiko mwenyewe, ila piya na uyo mama Chiku hajuwi kuongeya, uyo Chiko muache kumubembeleza, Dunia itamufunza, murudishe tu Mali ya watu

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 17 дней назад

    Mama Chicco hajakuwa Divorce anae mume Wathira ndie Baba ya Wanjiku.

  • @virginiawanjikuwanjiku3909
    @virginiawanjikuwanjiku3909 17 дней назад

    Mama shiku pia uko nakasoro...unaitwa na family yakitambo nahuambii baba shiku....ata kama nimimi nitasikia vibaya unafanya kitu unafaa uwambie mzee wako

  • @rahabmwangigichuki9494
    @rahabmwangigichuki9494 17 дней назад

    "Ama mama shiko niende,......Samaritan anasema,.....wapi tunajua huwezi enda unapenda uhondo sana..

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 17 дней назад

    Kweli huyu mama shiko ako na shida kbsa frm day 1. bba mlezi jipange kbsa

  • @zenjibar64
    @zenjibar64 17 дней назад

    Sama. Sanitise baba mlezi nashuku kuna mkono wake . Inawezekana kamuahidi Chiku kumjengea atamuacha mamaake amuoe walee mtoto wao .

  • @irenemwende1904
    @irenemwende1904 17 дней назад

    God bring shiko back to his senses 🙏

  • @gladysmueni2534
    @gladysmueni2534 17 дней назад +1

    Hebu sanitize the communications btwn ciku na babake mlezi,ciku ako na mtoto,wapi babake huyo mtoto.? This girl whatever she's putting her mom through, tomorrow she will harvest.The problem is Ciku,Kuzaa sio kazi,! Kazi ni kulea.Baba Ciku mlezi amemlea,akamsomesha,,akamlelea mtoto, Leo hii anamwonyesha mamake madharau,anamtusi mamake na Baba aliyempa maisha, anaenda kwa Baba mzazi,aliyemzaa,akawakataa, today he is coming to claim his right as the biological father.ciku unamsikiza.tomorrow you will be put through all what you are putting your mom through

  • @patrickfrancisopolot8286
    @patrickfrancisopolot8286 17 дней назад

    Mama Shiko just fooling mlenzi. Just tell him yes they stayed 19yrs, but wants to go back to her husband Wachira, baba shiko Mzazi and now go to S. Africa

  • @naomigitonga5340
    @naomigitonga5340 17 дней назад

    Mama chiku ndie alihalimbu kila kitu akhii juu ya tamaa

  • @jfmagnifico
    @jfmagnifico 17 дней назад +2

    Huyu mama ni tapeli mnaom support mnaakili mbovu

    • @Oderorege
      @Oderorege 17 дней назад +1

      Tapeli mkubwa sana tama mingi

    • @jacintawambui1446
      @jacintawambui1446 17 дней назад +1

      ❤Mkora, sweet talker

    • @Oderorege
      @Oderorege 17 дней назад +1

      @jacintawambui1446 And she looks very innocent, hata ploti unaona ile ukora walifanya na father in law?

    • @jfmagnifico
      @jfmagnifico 16 дней назад

      @@Oderorege mingi sana

    • @jfmagnifico
      @jfmagnifico 16 дней назад

      @@jacintawambui1446 very good sweet talker