Huyu marietha matatizo anayataka mwenyewe mtu mwenyewe alikufanyia ubaya harafu unamkaribisha kwenye maisha yako acha ukutwe natukio kubwa zaidi yamwanzo hata kama umeokoka unapashwa kuwa makini oooohoo shauli yako.
Jamani iyo sauti ilinitisha kumbe nikiburudisho kwelikweli asante kaka kila mabaya hulipwa hapa hapa chini ya juwa ila pole sana leila acha mungu aitwe mungu tu ❤❤❤❤
Hivi huyu ISSA akiuliwa na mzee kapuri itakuwa dhambi maana yy ndio aliokoa maisha yake alafu bila haya atembee na mwanae tena ikiishi hapo kula bure kulala bure wanaume mtumia akili kidogo bora keterina angeiba pesa akamfungulia biashara akahama hapo nyumban ningemuelewa ISSA
Deo hataki str za leila ila angelipa wema sio ubayaa naamsamehee kisha asimxoee lkn deo hataki nuks kabisa mm simlaumu kabisa kabisaa....isssa mwanakulifind mwana kuligate yani hujionei huruma umepona kwamsaada wa doctor unamlipa kutembea na mwanae kwann hukutoroka pindi huyo katrina anakutaka onasasa unakimbia kimbia kama swaraa haya naona issa utatolewaa na moyo
Mashabiki wa Lucas ni wachoyo wa like nyie mungu anawaona mi nawapa tu
❤❤❤woyooo bado tunaendelea,,,mwisho wa ubya n aibu ,,,,good morning Mr lucasi ,,,thanks for nice story,,,big up bro 🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉 asubuhi ya leo imeanza na barak Guys🎉🎉j2 njem nawapenda timu Lucas simulizi
Leo nmewahi sana kazi nzuri kaka
L
@AishaRajabu-k4b ❤️❤️❤️
Wawoooo nimewai asante kk
Nilitaka kusema tumepotea au tumeingiliwa.
Thanks honey ❤
Eeeeweee umemitisha, nilipangawa nikithani nimekosea chumba
Wakanza leo🎉🎉😊
Maua mengi Kwa kaka Lucas ❤️❤️
Mpe na haya yangu 🎉🎉🎉❤
Jumapili iliyo njema , shukran Lucas
Asante kaka lucas kwa simulizi ya mafunzo🎉🎉🎉
Morning kaka Lucas mapema ndo best 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 naomba like Jama Leo nimechelewa kidogo
❤❤❤🎉🎉
Huyu marietha matatizo anayataka mwenyewe mtu mwenyewe alikufanyia ubaya harafu unamkaribisha kwenye maisha yako acha ukutwe natukio kubwa zaidi yamwanzo hata kama umeokoka unapashwa kuwa makini oooohoo shauli yako.
Asante kaka kwakutuletea mwendelezo🎉🎉
Kabisa kaka🙏🙏
Kaka Lumbas asante
Jamani nilifikili hiindoitakuwayamwisho ngojatubili ilaisijekuishavibaya sitakitupotezehata mmjawaoo
Shukran sana kaka Lucas ❤
Asante sana sana luca kwa mwendelezo wa simulizi hii tamu kweli kweli jamani daaah likes zenu jamani 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹🍕🇹🇿 ciao ciao
Malipo ni hapa hapa ulimwenguni jamani daaah yaani leila ndio akome kabisa 😮😮😮😮😮
Leo nitafanya kazi z mwarabu vizur Bila kisirani asant san kaka Lucas
😂😂😂😂tupo weng
@salhajuma4585 😂😂😂 😂 lazima turefresh n asubuh
😊😊😊
Pole na kzi kka
Mungu asimame Na Marietta musaa usimpate Tena
Waooo❤❤❤❤🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎋🎋🎋🎋 haswaaa! ubaya ni deni linalosubiri kulipwa, tuishi kwa tafakari
Ubaya kweli ni deni hata miaka 10
Wakwanza 😢
Jamani iyo sauti ilinitisha kumbe nikiburudisho kwelikweli asante kaka kila mabaya hulipwa hapa hapa chini ya juwa ila pole sana leila acha mungu aitwe mungu tu ❤❤❤❤
Kwa kweli kaka lucas,umbaya ni ndini masiku Lela kuringa yote ameishiya pambaya sana 🙆🙆🏼😢❤❤❤❤
Issa hana nuksi jmn 🙌
Nimeshituka mwalimu wetu kipenziketu Lukasi🎉🎉🎉🎉🎉 Asant sana Leil vuna urico kipanda kumbuka mateso urimupa Mutoto Malayika wa Allah urimucimbia Deo😂😂😂😂
❤❤❤❤
Tunaendelea pale tulipo ishia haya tunasikiliza hapa ili tujuwe mwisho wa hii simulizi tamuu BEDROOM 🤣🤣🤣
Mm ndiyo nachelew Kila siku lakin npeni like jamani nawapenda sana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤Asante sna Mr Lucas kwa ujumbe wasut ulo weka🙏 wakubwa wenzangu km bado mpo likes zenu nimeingia wamwishoo nawapenden ote💖💖💖🙏
🎉🎉❤❤❤
Mwishoo waubaya niaibu pole yko Lelah
Ndo akome mchawi mkubwa huyo
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yes leila malipo nihapa hapa douniani nakuonea hat huruma kwazambi zako
❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaka Lukas asante sana
Good morning kaka Lucas ❤❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣kumbe anaogopa kujulikana na mkewe kuwa ni mwoga🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hadi raha
Hivi huyu ISSA akiuliwa na mzee kapuri itakuwa dhambi maana yy ndio aliokoa maisha yake alafu bila haya atembee na mwanae tena ikiishi hapo kula bure kulala bure wanaume mtumia akili kidogo bora keterina angeiba pesa akamfungulia biashara akahama hapo nyumban ningemuelewa ISSA
Yaan kankera kwel kashndwa hata kujiulza akatwe 2 aunzwe mishkak
Wacha we ❤❤❤😊
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Knower days ni bandika badua...completion...is Tu high
Santii lucas
Eeh REILA weeh funza zinadondoka 😢 oneni mwsho wa ubaya jmn
Heeee jaman sumulizi imekaa km sizani haimalizi tu
Sijamaliza 10 tayar 11 hii hapa Tuko mbio hatara😂
Me ndo kwnz naanza😅😅
@Babyfaty-m3y 🤣🤣🤣ametuweza leo
Deo hataki str za leila ila angelipa wema sio ubayaa naamsamehee kisha asimxoee lkn deo hataki nuks kabisa mm simlaumu kabisa kabisaa....isssa mwanakulifind mwana kuligate yani hujionei huruma umepona kwamsaada wa doctor unamlipa kutembea na mwanae kwann hukutoroka pindi huyo katrina anakutaka onasasa unakimbia kimbia kama swaraa haya naona issa utatolewaa na moyo
😢😢😢
Madam kachawi kaanza kunyooshwa ila ubaya bhn haya ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga
Huyu marieta uwo ulokole wko utakuponza mjinga ww ingekuw yy angekunyanyasa kwa maneno mpka ukakoma
Afadhal lmkute mwenyewe co mtt m2 kashndwa kukuonea huruma wakat wa mimba.
Ifanye iishe hii simulizi.
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤❤❤❤😂
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉
Hi
❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤