Mnajidai mna huruma,je mnajua hao watoto kuwa hawana huruma ni wanyama wanakuua huku unajiona na hawasikii kila wanapoambiwa na serikali waache hizo tabia hawasikii badala yake ndio wanazidisha,na watanzania wenzenu wengi wamepata hasara, vilema na wengine kupotezwa maisha na hao mnaowaona ni watoto.
Very good waziri safi kabisa nyonga wotee
Saafii kabisa piga risasi woooteee
Ndio wauwawe hongera huyo Mwamba😊
Wao walivyowafanyia ukatili watu ilikua Sawa
Mnajidai mna huruma,je mnajua hao watoto kuwa hawana huruma ni wanyama wanakuua huku unajiona na hawasikii kila wanapoambiwa na serikali waache hizo tabia hawasikii badala yake ndio wanazidisha,na watanzania wenzenu wengi wamepata hasara, vilema na wengine kupotezwa maisha na hao mnaowaona ni watoto.
Mnatoa pole za nn mngekabwa nyinyi ingekua mahala pake.