Sheikh Othman sauti yako tu mimi hoi jamani mwenzetu ninamaradhi na sauti na maradhi ya mapenz kwa nasheikh hawa wawili wenye majina sawa Othman Maalimu na huyu Othman Michael Inshaallah ipo siku nitakuja kuonana nao ROLMODEL WNG hawa Allah awape mema Duniani na Aghera
Masha Allah hii mada nmeipenda sana ya khidhir lakini story yake nindefu sana plz iyendeleze mpaka mwisho tukijaaliwa uhai insha Allah nakutakia kila la heri shekhe wetu Amina
Huyu shekhe anatuletea hadithi ambazo hazina kichwa wala miguu. Kwanini huyo khidhr aoe halafu awatese hao wanawake kwa kutowaingilia ? Yeye ni mcha mungu wa aina gani kuliko Mtume mpaka asiwe Na muda wa kuwaingilia wakeze ? Binaadam gani akawa Na damu ya kijani ?. Hiyo ndoa ya mke mkubwa wa khidhr Na huyo askari ni ndoa aina gani ? Haina mashahidi wala walii wala mahari ? Ataolewaje mtu ambaye hajaachwa ? Halafu ndoa hiyo ikaleta vizazi vya manabii wote ulimwenguni hahahaha yaani nimecheka mpaka machozi yamenitoka kwa kusikiliza hadithi za porojo. Waislam tuzinduke Na porojo kama hizi.Tuisome Na kuizingatia Quran kwa makini ili tusiopongopewe Na porojo kama hizi
Sheikh Othman sauti yako tu mimi hoi jamani mwenzetu ninamaradhi na sauti na maradhi ya mapenz kwa nasheikh hawa wawili wenye majina sawa Othman Maalimu na huyu Othman Michael Inshaallah ipo siku nitakuja kuonana nao ROLMODEL WNG hawa Allah awape mema Duniani na Aghera
Shukran jazzaka Allah kheir, Allah akupe umri tuwili ulo na kheir nawe,na cc Allah atujaalie ni wenye kuyaskiza na kuyafata,biidhni Allah
ماشاءالله
Masha allah
Ma in sha a Allah tabarak Allah
Shehe Othman mungu akupe wepesi katika mambo yako
Amiin
Salallahu alaihi wasalam 💘
Mashaa Allah tabarakallah shukrani sana shekh
Asd
Shekh Othman nakupenda kwa ajili ya Allah
Mashaallah tafadhali endeleza kisa cha hidhri
Allah akulipe pepo
Subhanalah ebu niende Zanzibar nimfate hadhar
Maashallah sheikh mawaidha tamu
mashalla akuongoze uwe km shekh Osman maalim au zaidi
Maashallah tabaraqarahman wallah napenda darsa zako..allah akujaalie kila lenye kheer nawe inshallah lakin pia umependezaaa na huwa unapendeza sana
Mashaallah
Shukuran ustaz Allah akuekewepec bizin lahi huyo nabi khidhir ameonekana pempa
Mashaallah tabarakallah
Shukrani waallah unamaneno asal
Masha Allah
Marshallah marshallah
MashaAllah shukraan.
Masha Allah hii mada nmeipenda sana ya khidhir lakini story yake nindefu sana plz iyendeleze mpaka mwisho tukijaaliwa uhai insha Allah nakutakia kila la heri shekhe wetu Amina
Mashallah kwakuwa miongoni mwa wenye kuyaskiliza yale ya kheri. #Suley
😁👌
Mashaallah akwa kutupa elimu
mashaallah allah akuzidishie elim
@@fetysukafetysuka8811 ammina
Hii zanziba peke yake kuishi umche mungu tu daah dawa
Ww mbona muongo ww
A a
Mawaidha yako mazuri illa uko na mapozi mengi
Huyu shekhe anatuletea hadithi ambazo hazina kichwa wala miguu.
Kwanini huyo khidhr aoe halafu awatese hao wanawake kwa kutowaingilia ? Yeye ni mcha mungu wa aina gani kuliko Mtume mpaka asiwe Na muda wa kuwaingilia wakeze ?
Binaadam gani akawa Na damu ya kijani ?.
Hiyo ndoa ya mke mkubwa wa khidhr Na huyo askari ni ndoa aina gani ? Haina mashahidi wala walii wala mahari ? Ataolewaje mtu ambaye hajaachwa ?
Halafu ndoa hiyo ikaleta vizazi vya manabii wote ulimwenguni hahahaha yaani nimecheka mpaka machozi yamenitoka kwa kusikiliza hadithi za porojo.
Waislam tuzinduke Na porojo kama hizi.Tuisome Na kuizingatia Quran kwa makini ili tusiopongopewe Na porojo kama hizi
Story za porojo.uogo mtupu
Mnafik
Masha Allah